kazi nzuri mweshimiwa sisi sisi wa hali ya chin ndo tuna oneana mwisho wa siku tuna laumu serikali na chama, tungepataviongoz wa namna hii tunge heshimiana pumbavu
Ninavyofahamu Mimi mkuu wa mkoa ni raisi wa mkoa kwaiyo unachokifanya mweshimiwa kinaendana na Kasi ya raisi wetu wa awamu ya tano ,nakupongeza sana mh,mungu aendelee kukutia nguvu .
nakufatilia sana mkuu wa mkoa nataman uwe Rais Tz tutaeshmiana na ndoto ya kukua kwa uchumi itatimia.. baadh ya watu kua juu ya sheria ndio kinachodumaza maendeleo ya uchumi wa nchi👏👏👏
Muheshimiwa mkuu was mkoa magufuli mungu amjalie kuwapata watu Kama ninyi Nani angetatua matatizo haya watu wengi tumedhurumika ila mi nakuombea maisha marefu
Dastun Luswaga halafu nilichogundua hawa mipango miji wanauza viwanja vya watu walivyoachiwa na wazazi wao ndo wanauza,tunapata mashaka kununua viwanja manispaa,wanasumbua kinoma.Ukifa ghafla ndo ushadhurumiwa hivyo,bora kununua kwa binafsi
Watumishi wa idara ya ardhi sijui huwa wanafundishwa utapeli chuoni, maana wamekuwa chanzo cha migogoro ya ardhi nchini kote kila Halmashauri ni shida tupu. Wanatakiwa wabadilike vinginevyo watavuna walichopanda.
Huyu kiongozi Safi Sana unaokoa watu wengi na Mali zao hiki kipindi Cha awamu ya tano kila mtu Ana Uhuru wa kuongea haya jamani hayakuwepo ndio maana watu walikua Wana uwezo wa kufanya chochote
EDSON MBILINYI kinachosemwa na wananchi kweli tupu kaka,MIPANGO miji Iringa ni shida ,kuna rafiki yangu walimdhulumu kiwanja chake ilhali alishakilipia wakawa wanamzungusha kumpa hati,basi alimua kunyamaza tu ikabidi akanunue kwa MTU binafsi na kashajenga tayari,yaani MIPANGO miji ukishalipia kiwanja hiyo hati utazungushwa weee km pia
Uyu RC angekuwa waziri tu maana duh nakubali kazi zake
i am real real impressed with you Hapi usibadirike👏👏👏
Safi sana mr hape kazi yako ipo vizuri sana
Kongole sana kwa kazi nzuri tanzania,,,Hila kenya tunaeza pata mmoja kama wewe,,,,,Kongole ...kongole
Sema bb mokozi wa wanainchi
RC Hapi,
Duuu umelelewa wapi wewe mbona unayashangaza macho yangu,
Hongera sana!!!
Nimekuelewa
Dionise Myigezo Iringa mmepata kiongozi bora mtumieni mpate maendeleo
Hongera sana Mh. mkuu wa mkoa.
kwa Mwendo huu tutafika.
Tanzania bora inakuja!
Yan uy mkuu wa mkoa wa iring angekuj tanga raha xan
Mwajuma Juma ,yaani kwa namna hii Tanzania tungefanikiwa sana.kama wote wangekuwa namna hii.
ila Tanga ntakuja mimi,naomba mvumilie kidogo
Aki , Rc Hapy si magufuli akupe transfer uje hapa kwetu kenya unyoroshe kindogo,Hongela sana mheshiwa.
Honger san mkuu was mkoa wa iring hii ndo Tanzania mpya Allah akulinde san
uko vizuri tetea wanyonge mungu atakulipa
Yaaani natamani uongozi huu hongera kiongozi
Kiongozi wa kweli anapaswa kuwa hivi. Big up mkuu kaza but safisha magugu yote yanayowatafuna Watanzania
Hakika unafaa sana wewe ni kionzi bara mwezi mungu akulinde
mkuuu nakukubali sana tuendlee ivo ivo ayo salute kwa kukutup taarifa
I can see the next magufuli in Tanzania keep it meeen
Dah kweli hii awamu kali zaman utamuona wap.mkuu wa mkoa ujieleze jaman magu ashukuriwe sikuhiz wakuu wa mikoa tunapanaga mambo pamoja
kamaa umemwona diamond wa iringa akiwaa kalibu na maiki like hapa
kazi nzuri mweshimiwa sisi sisi wa hali ya chin ndo tuna oneana mwisho wa siku tuna laumu serikali na chama, tungepataviongoz wa namna hii tunge heshimiana pumbavu
Safi sana Dogo,
Kuna masnema mengi kwenye utendaji
Yaani kumbe kunawatanzania waaina hii kwakweli nikitu chakushangaza mungu akubarik kk naakupenguvu naakuondolee husda .nakupenda sna🙏
Ninavyofahamu Mimi mkuu wa mkoa ni raisi wa mkoa kwaiyo unachokifanya mweshimiwa kinaendana na Kasi ya raisi wetu wa awamu ya tano ,nakupongeza sana mh,mungu aendelee kukutia nguvu .
Hapi you are the best ❤️❤️❤️💯💕💕💥💥💥
nakufatilia sana mkuu wa mkoa nataman uwe Rais Tz tutaeshmiana na ndoto ya kukua kwa uchumi itatimia.. baadh ya watu kua juu ya sheria ndio kinachodumaza maendeleo ya uchumi wa nchi👏👏👏
hichi kipindi cha magu mtanyoka tu mmetutesa sana
Beatrice Nicholaus I was a hhhhhhhhhhh kweli kk acha wanyooshwe tu ,lkn cha ajabu , wakuu wa mikoa wengine wako wapiiiiii???
@@jamaliddiin9357 wengine naona kama hawaungi mkono nyendo za Rais na yeye anawacheck tu nadhani anawapigia timing🤔
Hawajui wajib wao.wanajua kupata pesa tu😂😂
Hapo lrnga manispaaa wanakelo sana hao mpka wanaudhi😊
mueshima ongela sana kwa kazi yako mungu atakulipa
Muheshimiwa mkuu was mkoa magufuli mungu amjalie kuwapata watu Kama ninyi Nani angetatua matatizo haya watu wengi tumedhurumika ila mi nakuombea maisha marefu
Kazi. Unayo mkuu wamkoo kila siku tabu Sana tanzaniz tulikua naviongozi magumashi sana ila namini hii ndio selikali ya wanyonge
kaka upo vizuri wamezoea kk
Bravor sana kaka mkuu wa mkoa Ally hapi
Kama wangekureta mkoa wa ruvuma
Haaaaa mheshimiwa hakukosea kukuchagua nakuelewaga sana
na mikoa mingine muige mfano huu mzur sana wananchi hatutaichukia serikali!!!!!
Mungu akulinde wewe nimkombozi wawanyonge
Kwa Awamu hii ya tano naona watanyoka hapa kazi2 tumbuwa wote walaji rushwa wanaoibia serikali nà wahujumu wote!
Huyu ni future president mashallh
Kizuri hakidumu, ipo siku mama atafanya jambo zuri juu Yako🙏
🤣🤣eti km mchawi Ally HAPI MUNGU akusimamie kwakweli
I swear this guy deserve tz president aki ya mungu next magufuli big up ally hapi
Mkuu wa mkoa. Pongezi sana piga
Kz Pambana
Sawa kijana mwenzangu wambie hawa jamaa yaan ukiandika barua ukapeleka utaambiwa acha namba ya simu tutakuita uje ujukue ndio ushaachwa hivo...
Dastun Luswaga halafu nilichogundua hawa mipango miji wanauza viwanja vya watu walivyoachiwa na wazazi wao ndo wanauza,tunapata mashaka kununua viwanja manispaa,wanasumbua kinoma.Ukifa ghafla ndo ushadhurumiwa hivyo,bora kununua kwa binafsi
Kamweneeee Hapi safi sana
NATAMANI WAKUU WA MIKOA YOTE WAWE IVI MUNGU AWASAIDIE SANA...HONGERA BROTHER HAPI...
Watumishi wa idara ya ardhi sijui huwa wanafundishwa utapeli chuoni, maana wamekuwa chanzo cha migogoro ya ardhi nchini kote kila Halmashauri ni shida tupu. Wanatakiwa wabadilike vinginevyo watavuna walichopanda.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hahaaaahaaaaaa
Maligisa Dotto mmm
Namukubali
Hapi mwili mdogo Ila mambo yako makubwa ,nakupendaga bureee
Kazi mzuri
Mkuu hongeraa sana toka nazaliwa sijawahi kuona mtetezi wawanyonge
Mungu akulinde na jicho baya la mahasidi
Rc hapi wewe ni kiongozi safi pia ni hazina ya taifa
Napenda gisi uu mku wa mkoa anatatua mgogoro ya wana inchi ningebaatika kuona number yake ya sim ya whatsapp
Jmn ww baba naona unafaa kuwa Rais unaakili sana unaongea point tu
Hongera wajina uko vzur kaza buti hakuna namna
Asante Sana mkuu wa mkoa wa iringa wanyooshe baba wamezidi Sana iringa mpya ndo hiyooooo na magorofa mapyaaaaa
Duuuh mbona yatawatokea puani😃😃
MH NASSARI ALIANDIKA BARUA KWA #NDUGAHI BILA MAJIBU.. MESSAGE SENT
Mh Rc hapi tunakuomba ufike Kijiji cha Wangama usikilize kero za Wananchi wako
Huyu kiongozi Safi Sana unaokoa watu wengi na Mali zao hiki kipindi Cha awamu ya tano kila mtu Ana Uhuru wa kuongea haya jamani hayakuwepo ndio maana watu walikua Wana uwezo wa kufanya chochote
Muheshimiwa Ali happy una endesha sheria Kiisilamu.
ni kati ya wakuu wa mkoa bora kabisa kwa sasa kwa kutathimini anayoyafanya.inapendeza sana.
Mimi huwa nafurahi sn kuona kiongozi anatetea wanyonge kama huyu.soma coment za watu ndo utaelewa.pig up rc happ tunakupenda wana iringa.
Daa angeletwa kwetu arsha
Aisee...huyu jamaa cjui katokea wap kiukweli, ila yupo vzr sannaaa...angekuja hata Zanzubar.
Good tupo pamoja mkuu wetu wametutesa sana
Safiiii sanaaaaa yaani kweli unataka kuuza nyumba kisa 1m tena ya ugangaaaa????? mfyuuu zao kweli haki ya mtu inarudi hata ipite miaka 50
Serikali hiyooooo Kali watu wasifanye utani wa mazoea
Mh nakuelewa sanaaa tanesco tatizo iringa
Njoo manyar kiteto karibu San
Good job kka
Kazi nzuri
Upo sawa hapi piga kazi
Bigap sana kiongozi, uko poa sana
imenimid tu nicoment hongera sana mkuu wamkoa wa iringa
Ha! Filikunjombe cha mtoto,waliopotelewa na mh Filkunjombe umewashaulisha machungu
Kweli.haki itendeke..
Kweli mkubwa watu wameteseka mda mlefu
I wish Kenya was like this
Wananchi wanaweza chonganisha viongozi wakapoteana.....kunahitaji hekima sana......
Sawa Mr Mbilinyi
EDSON MBILINYI kinachosemwa na wananchi kweli tupu kaka,MIPANGO miji Iringa ni shida ,kuna rafiki yangu walimdhulumu kiwanja chake ilhali alishakilipia wakawa wanamzungusha kumpa hati,basi alimua kunyamaza tu ikabidi akanunue kwa MTU binafsi na kashajenga tayari,yaani MIPANGO miji ukishalipia kiwanja hiyo hati utazungushwa weee km pia
Watu kama hawa ndio samia hawataki sasa ndio wananchi tujue ni serikali ya aina gani tuliyonayo
Kazi wanayoo
Nakuomba hapi ugombee ubunge ili uwe waziri mkuu utusaidie wote asante magu
Safi sana mkuu wa mkoa ayo ndio mambo.
Naomba Mungu uhamishiwe arusha mheshimiwa Hapi
Yaani we acha tu kiukweli me nimemkubali
Mwaka huu wa magufuli mutakoma
Eti babako akiwa manamba hupati plot duuh mama jeuri kweli
Mungu akujaalye
Hawo wana siasa za analogy. Watumbuwe, Kazi kukaa ofisinitu, utafikiri wako lasaba, wasomi gani, wehu, watoe wote, mijeuri Hiyo,
Wamezoea utawala uleeeeee. Hawo wanga wa maendeleo, wamgeie. Wakuu wamikoa wengine wamelala utafikiri wao hawana matatizo, Raisi watoe wanaolala, kijana huyu, sabaya, makonda sikuhizi yuko kimya sijui kwanini, kwanini hujui, mtoehuyo
Huyokiongoz mzulihanamashala
Siku moja Utakuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mweshimewa wanyooshe maana kazi Yao niuwongo tu tena usivitizame vitambi vyao hivyo nidhuluma tu wameshiba
Kazi nziri mheshimiwa mkuu was mkoa
Mkuu wa mkoa kweli yupo kazini. Tukienda ivi dhuluma hato kuwepo.
Duh! Aisee....kazi wanayo
Mlizoea mnakaa ofisini kama mabwanyenye kila siku njoo kesho njoo kesho... mmenyooka mxiuwwww
wanyoooke wezi hao
Haki tumeteseka sana... Awamu hii wanyooke tu
Wanao muelewa mkuu wa mkoa wa kamwene
Naty Van kamwenee muyaaaa
✋✋
Watu wa ardhi #hatari sana, wanaringa sana, waonevu sana
Wapi makavu maana haooo
Hawa watumishi wa arithi wathulumaji sana wa viwanja via watu
RC minekuelewa Sana unafaa kuingwa na Jami
Huyu ni mkali kuliko makonda tena siyo mchezo
Uyoo mhs mkuu wa mkoa anaitwa nani??
Na ni wa mkoa gani??
Iringa
mkuu we mfano kwa viongozi wengine