TUNDU LISSU AFUNIKA CHATO KWA HAYATI MAGUFURI AFUNGUKA KUHUSU MKATABA WA BANDARI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 687

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Год назад +7

    Jamaa anajua sana ❤

  • @samaamin2501
    @samaamin2501 Год назад +18

    Sikuzote ukweli unauma. Amkeni watanzania. Mweshimiwa Tundulisu yupo Sawa kabisa tena anaokoa jahazi linalozama. Sema wengi wenu hamkujaliwa elimu za juu. Tundu oyeeeee

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Год назад

      Kwako elimu ya juu ni kusema uongo....pole yako😀😀

    • @emmanueljoseph3812
      @emmanueljoseph3812 Год назад +2

      Sama Binafsi naumizwa sana lkn katiba inawalinda wote walio tuletea hizo wanakula bata unaambiwa waache Wazee wetu wapumzike kweli watanzania tutoeni matongoto kumekucha.

    • @aliah1732
      @aliah1732 Год назад +1

      Huyu atauza kwa mashoga. Hafai kabisa

    • @ebenezermariki9338
      @ebenezermariki9338 Год назад

      Oky

  • @Mc_Kibonge_Mwepesi
    @Mc_Kibonge_Mwepesi Год назад +13

    Kiukweli kama Magu alikuwa mwizi hii nchi inahitaji wezi wengi zaidi kama Magu! Wanaoiba na kuelekeza kwenye miradi ya nchi! Kwenye hospitals, mashuleni, na sekta mbalimbali muhimu kwa wananchi! Pumzika kwa amani Magufuli❤

  • @JaphetJairos-mb7oh
    @JaphetJairos-mb7oh Год назад +11

    Nakukubar mzee lakn magufur is the Best leader ship in tanzania

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Год назад

      Ataisoma namba KAMA NCHI JIRANI YA AFRIKA IMETUNGA KITABU CHA MAGUFURI. BEI MILIONI MBILI KASORO UPUUZI. ACHA BAB MAGU MAGU TU. R.I.P TOP LEADER❤sana.

  • @zablonhibwanashon9770
    @zablonhibwanashon9770 Год назад +1

    Hongera Tundu Lisu kwa elimu nzuri.

  • @ErasmusRugonzibwa-qq6no
    @ErasmusRugonzibwa-qq6no Год назад +7

    Watz tumeshalizwa sana where mwenyezi mungu wape nguvu na uwalinde Hawa watetezi wa haki

  • @justinecom7461
    @justinecom7461 Год назад +3

    Huyu ni bonge la kiongozi aisee👏👏

  • @dennismadundounyamasanahom8435
    @dennismadundounyamasanahom8435 Год назад +15

    Kwa mambo aliyoyafanya Magufuli hapa nchini wee mwaga Sera zako achana na Hayati JPM

    • @charlzlyimo1982
      @charlzlyimo1982 Год назад

      baadhi ya watanzania wanadhan kwamba magufuli alikuwa Mungu (hawezi kukosea)

    • @tycoon9540
      @tycoon9540 Год назад +2

      Tunamuomba Mwenyezi Mungu atuletee Rais mwenye mfanano na Magufuli

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Год назад

      ​​​​@@tycoon9540 Mungu atamletaTundu Lissu kuwa Rais wa tanganyika mana Lissu ni zaidi ya magufuli. huyu ni mzarendo wa kweli alipigwa risasi 16 kwasababu ya kutetea watanzania lkn bado yuko na msimamo uleule wa kutetea watanganyika angekuwa ni magufuli kafsnyiwa vile angesalenda na kujitoa kabisa kwenye siasa za nchi

  • @SeasonSeasonone-fe9tf
    @SeasonSeasonone-fe9tf Год назад +14

    Magu baba yetu huna baya lisu unazngua muache baba yetu apmzike Kwa aman

  • @renatusnicolaus1272
    @renatusnicolaus1272 Год назад +1

    You are right

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz Год назад +5

    Mm sijawahii kuona msomii mjinga kama lisu ubwa mmoja uyuuu.

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 Год назад

      Mbwa mwenyew jinga kweli hujui ulitendalo unaandika bila shaka hujui chochote

    • @Sisopotashiumz
      @Sisopotashiumz Год назад

      @@faustinombilinyi9809 unaingia chato kufanya mkutano wa hoja amaa kubeza uongozi,ishuu ya mabadiliko lisu amekuwa mubunge kwa muda gani? Hana ataa fikra ya mabadiliko jimboni,barabara,maji,afya,umeme,zimekua sera za upinzani uchwara acha swaga mr! sera finyu zinatufanya tuamini elimu ni ujinga ulioboreshwa!!

  • @IsakaMnzajila-lf8fy
    @IsakaMnzajila-lf8fy Год назад

    Vijijin umeme hospitali mambo safi magu shujaaaa hadi Leo hakuna wa kufanana nae bwateni tu,,,,pumbavu

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Год назад +7

    Mungu msaidie na lisu pia

    • @khamiskulasha
      @khamiskulasha Год назад +1

      Huyu mh Lissu. Ni mteule wa Mungu.

  • @fredrickmassawe2437
    @fredrickmassawe2437 Год назад +2

    Mungu ampokei mtumishi wake maana maadui walikuwa wengi.

  • @katapaj2336
    @katapaj2336 Год назад +3

    Magu oyeeeeee❤

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 Год назад +35

    Magufuli baba pumzika tutakukumbuka sana ata wakuchafue vipi sisi tutazidi kukumbuka kwa mazuri mengi uliyotufanyia watanzani

    • @mishentown3259
      @mishentown3259 Год назад +2

      Uko vizuri mana ata mabaya yote ya shetani lakini anawafuwasi 😢😢

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Год назад

      @@mishentown3259 kama wewe ulivyomfuasi wa shetani!!!

    • @charlzlyimo1982
      @charlzlyimo1982 Год назад

      ila tutambue kuwa magufuli hakuwa Mungu, bali alikuwa mwanadamu!

    • @tycoon9540
      @tycoon9540 Год назад +2

      Hakuna kama Magufuli
      We real love him, tutamkumbuka daima asilani

  • @AsnatMgamba-fj9uf
    @AsnatMgamba-fj9uf Год назад +8

    Mungu alimleta magufuli ili watanzania tuijue nchi yetu na kweli tumeijua tutamkumbuka milele hata mseme nin hatudanganyiki tena

    • @lilykarim8968
      @lilykarim8968 Год назад

      Amina kubwa hao ni wafa maji hawaishi kutapatapa

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 Год назад +2

    Wewe tundu lisu sijawahi kukuelewa hata kidogo mimi na hasa leo ulivyo muongelea magufuri vibaya

  • @raphaelsanya2600
    @raphaelsanya2600 Год назад

    Mm nilikua namwangalia tu Leo 🦁

  • @petromahenge4377
    @petromahenge4377 Год назад +24

    R.I.P MAGUFULI BADO ANAISHI

  • @zuhurahamisi1639
    @zuhurahamisi1639 Год назад +27

    Pumzika kwa Amani . Makufuli.

  • @mussamkali9926
    @mussamkali9926 Год назад

    Yaani mnakaa kbs mnamsikkliza msenge uyu dar wabongo bwanaa

  • @FredsonHytham-dx4xk
    @FredsonHytham-dx4xk Год назад +20

    Sema nimefurahi unavyomkumbuka DINGI

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Год назад +32

    Usiongee kitu kuhusu Lisu, Mungu amempa malaika wa ulinzi 70,000

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 Год назад +14

    Achakumtaja magufuli ww yule alikua raisi wa wawanyonge na ww utaiba Kama walivoiba wao#

  • @JAKODAMO
    @JAKODAMO Год назад +10

    Naombeni mwambieni LISU aachane na Siasa za kumsema Vibaya Magufuli inampotezea umaarufu. Atumie Jina la Magufuli kama sehemu ya kupandia kama alivyofanya akiwa Kagera that was very good 👍

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 Год назад +1

      Wewe hazikutoshi, magu alikua mungu? Mungu anatajwa kila mahali, umelaaniwa unaemtegemea mwanadamu,

    • @rogathesarwatt
      @rogathesarwatt Год назад +1

      Hakuna namna asemwe tu hutaki jitoe

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 Год назад +1

      Sio Mungu magufuli, watu ambao wanashika dhamana za juu watasemwa tu

    • @martinhinda5233
      @martinhinda5233 Год назад

      kajinga sanaa hakuna wa kumpa nchi

    • @barnabam1397
      @barnabam1397 Год назад

      Kwani manabi ni mungu mbona wanategemewa kama mungu

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx Год назад +4

    Thanks for Going Chatto Mr Lissu

  • @amonshimba264
    @amonshimba264 Год назад +4

    Maada nzuri kumkumbuka Dingi Baba Ancle Magufuli pumuzika kwa amani"

  • @nehemiasanka3088
    @nehemiasanka3088 Год назад

    Dah! Mzee toa hoja zako usikashifu uongozi wa hayati

  • @yustogembege9161
    @yustogembege9161 Год назад +7

    Magufuli hajawahi kushindwa kesi mmeshindwa nyie magufuli alishinda kes zote na wazungu, ukianzia kes za ndege mpk za madini, na alikuwa na mpango na ges ya mtwara ndo mkamfanyia mnayoyaropoka saiv, hiyo damu itawatesa mno mtaropoka mpk bas

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 Год назад

    Kenge kbs

  • @joelyjosiah
    @joelyjosiah Год назад +1

    Utakiwi kukumbusha wananchi. Wanaumia bora umsifie utapendwa sana tunampenda sana magufuli

  • @SylvanusNgutse
    @SylvanusNgutse Год назад +13

    Linanikera sana hili linapomsema Magufuli, Nahisi Lina psychological damage (narcissist)

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 Год назад +1

    We mpumbavu mzuri tu hata hapo walio wengi wanakucheka magufuri alitaka kufanya kazi na wewe ukaluka kwa ujuaji wako mbona ngwajima alikua mkosoaji mkubwa wa serika lakini alipoona jpm mzalendo walifanya kazi safi kwelikweli we nikibaraka tunajua

  • @eliachaula8465
    @eliachaula8465 Год назад

    Ongeya ya msingi mwenyewe ngozi nyeupe tu da

  • @gasperandrew3719
    @gasperandrew3719 Год назад +2

    Mimi huyu jamaa nampend sana lakini shida2 akimgusia Magufuli ndo anaanza kunichukiza R.I.P Magufuli wetu tulikupend sana

  • @magembekisabo9632
    @magembekisabo9632 Год назад +15

    Genius sana huyu jamaa

    • @MikereMio
      @MikereMio Год назад

      kibaraka tuu hana genius hata moja , mtu anakuibia unamuona utamuangalia na utaamuachia tuu aendelee kukuibia , hiyo ni genius au ubwege ?

    • @allanmapamba4765
      @allanmapamba4765 Год назад

      ​@@MikereMiokwani yy ndo aliyeingia mikataba mibovu

    • @gabrielmoses6860
      @gabrielmoses6860 Год назад

      Hakuna genius hapa,, kibaraka TU huyu

    • @geofkabo7843
      @geofkabo7843 Год назад

      Tatizo lipo kwa wenye akili kumwelewa au wco nazo km

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Год назад +9

    Mpinzani peke alie inyoosha CCM alikuwa Magufuli na ndio maana mmeungana na CCM Ya sasa eti maridhiano utadhani tzn kuliwahi kuwa vita. Endeleeni kulamba asali.

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 Год назад +1

      Vyama vikiungana vinakua na bendera Moja na sera Moja na mgombea mmoja na rangi Moja hakuna muumgano wa ccm na upinzani

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Год назад

      @@frankjohn8706
      Asante kwa mchango wako Kaka ila ukweli upo wazi hadi mama alikuja rasmi kuwa ongera kwenye mkutano wa Chadema na wakapiga makofi na wote kuimba kanyimbo maaruf
      Mama mama uyo mama mama uyo.

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 Год назад

      @@sonnyr1899 hata baba wa Taifa J K Nyerere alisema CHADEMA vema. 1995 lkn haimaanishi kujiunga na CHADEMA Wala kuiunganisha. Ccm na Chadema

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Год назад

      @@frankjohn8706
      Kaka sikatai yote uyasemayo kwa mtazamo wangu mie sina CCM inachangamo tena na nyingi ila Chadema pia inachangamoto maradufu tena kuanziya ndani Ya chama.
      Kwa mm kwa sipigi kura kokote.

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 Год назад

      @@sonnyr1899 changamoto ni kawaida popote hata kanisani lkn kosa sio kosa kama kurudia kosa Kuna chama Cha watawala na chama Cha wanainchi hapo kati ya CHADEMA na ccm

  • @simonuronu1026
    @simonuronu1026 Год назад +1

    Good speech

  • @adamadamluoga6902
    @adamadamluoga6902 Год назад +2

    Jamani tuanzishe mchango wa kumsaidia mtetezi Lisu azunguke kila pahala TZ

  • @damasjoachim4451
    @damasjoachim4451 Год назад

    Mmmmh, ee Mungu tukumbuke

  • @evodiusrweyemamu2348
    @evodiusrweyemamu2348 Год назад +1

    Mzee Hachafuliki

  • @brayanjoel921
    @brayanjoel921 Год назад +1

    Mbona hamsemagi mazuri kwani yote alifanya mabaya tu

  • @alicempuya5238
    @alicempuya5238 Год назад +2

    Shida tu unamsema vibaya Magufuli la sivyo wengi wangekuunga mkono

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 Год назад +3

    Yaani ukimuongelea vibaya magufuli unanikera sana nilikuwa nataka kukusaport ila kitendo cha kumuongelea vibaya JPM sitakuunga mkono ata kidogo

    • @charlzlyimo1982
      @charlzlyimo1982 Год назад +1

      broo magufuli hakuwa Mungu!
      alikuwa mwanadamu kama mimi na wewe! hivyo kuna wakati alikosea!
      kutaja madhaifu yake nikuonyesha ubinadamu wake

    • @geofreymalekana8000
      @geofreymalekana8000 Год назад

      @@charlzlyimo1982 sawa ni kweli ata yeye alikuwa anakosea kama binadam lakini tukumbuke kashatangulia mbele za haki sio vizuri kumzungumzia marehem ambapo hawezi ata kujitetea kashajipumzikia zake

  • @raymondkafyulilo6636
    @raymondkafyulilo6636 Год назад +29

    Huyu jamaa ndiyo anahitajika Tanzania ili ibadilike Maccm siyo rahisi kukubali maana ni majizi yameiba sana

  • @Russian8203
    @Russian8203 Год назад +24

    ILA TUNDULISU ANAFAA KUWA RAIS WA TZ BIG UP SANA LISU ❤❤💯💯🔥

  • @matridamsigwa4758
    @matridamsigwa4758 Год назад

    Magu alikuwa mjanja💯

  • @pendael02
    @pendael02 Год назад

    Hakuna point hapo

  • @edsoniminani
    @edsoniminani Год назад +3

    Lisu nakupenda ila hapo about Magufuli umezingua

  • @CatherineMinja-p7p
    @CatherineMinja-p7p Год назад +1

    Mmmh magu wetu pumzika kwa amani baba

  • @FrancisKimaro-bv6di
    @FrancisKimaro-bv6di Год назад

    HANA sera tunataka sera aache kusimulia historia atuambie ataifanyia nchi kitu gani kitakacho tuvusha kutoka hatua moja kwenda nyingne 😅😅

  • @isackfelix6488
    @isackfelix6488 Год назад

    Daaaah hii nchi jamani

  • @teshashaban2479
    @teshashaban2479 Год назад +10

    Kumusakama magufuri nisawa nakututusi watanzania magufuri ndo raise pekee

    • @martinhinda5233
      @martinhinda5233 Год назад

      weee ongea yako achana na mzeee misukuma ilivyo haina akili yanacheka cheka tuu badala ya kumkataa kaskazin huwezi ropoka hivo mamruki

  • @xvoodxx
    @xvoodxx Год назад +13

    Huyu jamaa akiacha mtusi Magufuli nitamuona mtu wa maana. Yani hapo ndio anakosea.

    • @topvibetz
      @topvibetz Год назад +1

      Msikilizee mpaka mwisho afu ndio utoe comment usikurupukee

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 Год назад

      ​@@topvibetzacha amtetee baba yake bwana kumbe JPM aliacha watoto wa nje ya ndoa wengi sana halafu akawa anahudhuria kanisani kila wiki halafu hakuitubu Dhambi ya kuzini kwa padre sasa unaona hawa watoto aliowaacha in machokoraa nchi nzima

  • @ROBERTMGOGOSI
    @ROBERTMGOGOSI Год назад +6

    Great nice

  • @NicholausRichard-h9g
    @NicholausRichard-h9g Год назад

    Sema kaka

  • @egfridmkoba4767
    @egfridmkoba4767 Год назад

    Nadhani uhuru wa mikutano ya siasa unawanyima watanzania kupata taarifa muhimu kwa maendeleo yao. Hawa jamaa wangeipinga ilani ya CCM kwa kuchambua yale ambayo hayako vyema na kutoa maelezo wao wangelifanyaje kuyaweka vyema wangekuwa wamejenga msingi mkubwa sana wa kukubalika. Kuchaji wananchi walipuke hakujengi baadae ya nchi yetu. Kama ni bandari jambo hili liko juu na taarifa imekwishatolewa watu wapeleke mapendekezo yao. Magufuli kazi zake njema zibarikiwe. Apumzike kwa amani!

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 Год назад

    mheshimiwa unaongea kweli lakini tukiwachagua wanaiba kura

  • @adamadamluoga6902
    @adamadamluoga6902 Год назад +1

    Safi Lisu

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 Год назад +10

    Usisahau kuwa Magufuli alikuwa Raisi, apumzike kwa amani

    • @hakiyangu
      @hakiyangu Год назад +1

      Ukifa wewe historia inabaki

    • @kaliskaguzkalis4424
      @kaliskaguzkalis4424 Год назад +1

      Ndo kawaida kwa wa Tanzania rais akiwa madarakani mbaya akiondoka madarakani mzuri

  • @oscaramandusvicent-uy4ik
    @oscaramandusvicent-uy4ik Год назад +5

    Huu mtego wa bandari Kuna aliyetegwa na amenaswa bila kujijua lakin Bado Kuna watu qanatetea

    • @andrewkissavah8272
      @andrewkissavah8272 Год назад

      Hakuna mtego hapo kama nimtego nikwa ccm wenyewe kwasababu hawaaminiki kulingana na maovu yao kwanchi hii mioyo yawatanzania ilishapoteza imani nao hivyo kama nimtego wameutega basi wameamua kujomaliza kwa kwakuwa wakisema haikuwa kweli kwa maovu waliyoyafanya nchi hii bado watanasa tu hivyo hawana ccm pakutokea iwe kweli au kweli bado hasara ni kwa ccm maana nionavyo ccm inaekekea mwisho wa kutawala kwenye nchi hii Mungu amesha ikataa kuendelea kutawala hivyo ccm ianze kuondoka haraka iwezekanavyo

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 Год назад

      @@andrewkissavah8272 Lini Mungu alisema ccm haitaki ndo akubali chama cha kutetea machoko chadema

  • @HassanBakari-vb8wh
    @HassanBakari-vb8wh Год назад

    Nakupa kesho

  • @dandara008
    @dandara008 Год назад +8

    kazi ya kiongozi wa chama cha upinzani ni kukosoa uchafu wa serikali iliyopo madarakani bila huruma wala uoga kwa taswira yoyote ile awe RAIS au WAZIRI bila kujali amefanya mazuri mangapi KWASABABU yupo madarakani kwa dhamana yetu sisi wanainchi.✍🏾

  • @selemanisalimu8377
    @selemanisalimu8377 Год назад

    Daah hatari kubwa

  • @Benj722
    @Benj722 Год назад +9

    Brooo uwanja umetapika ❤❤❤

  • @SaitotiNanjarati
    @SaitotiNanjarati Год назад

    ❤❤ kweli

  • @richgambi6694
    @richgambi6694 Год назад

    To a cheche mh MIWA bandari isiuzwe maana tunako elekea tutauzwa nasisi

  • @tatumbelemba7436
    @tatumbelemba7436 Год назад

    Wewe ni mnafiki huna sela ulikua unamsema magu Leo Kawa mwema

  • @SuzanEdson-jn8zf
    @SuzanEdson-jn8zf Год назад +12

    Acha kumsema sema magufuli ongelea mambo yako unachuma zambi tu wewe unatafuta ulaisi warazima acha mambo yako

    • @eliudmutakyawa774
      @eliudmutakyawa774 Год назад +1

      Kajifunze kiswahili kwanza uondoe ujinga akilini mwako

    • @lymondmande4422
      @lymondmande4422 Год назад

      ​@@eliudmutakyawa774hivi ww unachoshadadia hapo nikip mkuuu?? Kwan kuna m2 mkamilifu hapa dunian??

    • @oscarmisiru9725
      @oscarmisiru9725 Год назад

      Ulaisi ndo nini?

    • @oscarmisiru9725
      @oscarmisiru9725 Год назад

      Ulaisi ndo nn?

  • @samaramauricio8520
    @samaramauricio8520 Год назад +5

    Tundulisu ni mnafiki sana magufuli alishakufa na yeye anasema nini alipokuwa hai akusema hayo na kama wazungu walikuwa wanatunyonya

  • @Mwinukaerdwad
    @Mwinukaerdwad Год назад

    Jaman mm nina swali hivi ukiwekewa hotuba ya samia na magufuri ipi utasikiliza?? Tutakukumbuka sana magufuri

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Год назад +14

    Kesi tunashindwa kwa sababu ya mikataba mibovu iliyoingiwa kipindi hicho cha awamu ya tatu na awamu yanne

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 Год назад +17

    Wamwache Magufuli apumzike kwa Amani!

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 Год назад +1

      Amani ipi, wakati wew pia ni sehemu ya janga

  • @GeorgeBenard-ue2gh
    @GeorgeBenard-ue2gh Год назад +5

    JPM CHUMA CHA MOTO

  • @hamisimuvvimba6949
    @hamisimuvvimba6949 Год назад

    Hili chizi fresh

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Год назад +1

    2nao soma comments tujuane hpa kw like z kutosha atuna muda n kujichosha na vita hii jaman gonga like twende sawa

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Год назад

    Chato mnashangaza sana.Anatukanwa ndugu yenu mnashangaa.badala ya kuondoka.nanyi mmetukanwa.Huyu jamaa alitakiwa kumshukuru Mungu wake aliyemlinda.Asihangaike na kutoa hukumu..Magufuli Huyohuyo atakutoa kwenye siasa.Chato mnasikitisha sana.

  • @AbdallahMjegere
    @AbdallahMjegere Год назад +17

    Unabugi sana sana kumtaja Magufuli ungelijua achana nayo

    • @aggreyenock1221
      @aggreyenock1221 Год назад +3

      hukuumizwa

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Год назад +2

      ​@@aggreyenock1221wengi mna panic mkisikia jina la mzee baba wakati mama zenu walikuwa wanamsubili mabarabarani na chupi mkononi 😂😂😂 ile ilikuwa namba nyingine kabisaa huwezi fananisha na mazwazwa

    • @mohamedhussen6103
      @mohamedhussen6103 Год назад

      Kaka ukimsikiliza unaelewa

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 Год назад

      @@aggreyenock1221 😂 we mwanaume ulibakwa

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Год назад +1

      Anatuongezea IMANI KWA MDINGI WETU. TOP READER R.I.P JPM ❤4EVER.

  • @jacobjoel9758
    @jacobjoel9758 Год назад

    Lisuu❤

  • @NasekuLesuya
    @NasekuLesuya Год назад

    Tazin

  • @ndeziboysanga
    @ndeziboysanga Год назад +13

    huyu kweli kamanda🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @RAMADHANIOmary-zm7cf
      @RAMADHANIOmary-zm7cf Год назад

      Kamanda wapi choko ilo

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 Год назад

      machoko ni yale yanayoenda misikitini hata lile limwarabu la dubai limewafila mpaka mkalihonga bandari

  • @ProphetM-c9o
    @ProphetM-c9o Год назад +10

    Pamoja sana.

    • @ProphetM-c9o
      @ProphetM-c9o Год назад

      Ndugu yangu Lissu, mimi nakukubali sana lakini kuhusu JPM, hapo hapana. Huyu alikuwa ni Mzalendo wa kweli wa Nchi yetu.
      Kama sijakosea, nadhani hata Mungu huwa anamhukumu mtu kutokana na NIA yake mbaya na wala si MATENDO yake.
      Hata kama kama Tanzania italipa fedha nyingi kutokana na maamuzi ya JPM, lakini bado inabaki pale pale kwamba, JPM kutoa maamuzi yale ilikuwa ni nia njema kabisa.
      NB-: NIA YA JPM ILIKUWA NI NJEMA KWA WATANZANIA.

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 Год назад +6

    Tundu ilifaa awe mwl hata km ni uongo au ni kweli anajua kuelewesha kwa kufundisha

  • @lazarusmwaweza7604
    @lazarusmwaweza7604 Год назад +3

    Chadema mna watu wa ovyo balaa. Haitatokea mtu makini kama magufuli

    • @charlzlyimo1982
      @charlzlyimo1982 Год назад

      hata ukiwa jambazi unauwa watu na kupora mali zao, kuna watu watakao kutetea

  • @danielalmas6595
    @danielalmas6595 Год назад

    Aseeee Lisu yuko na akili nzr tuuu co kama ------

  • @hamisathadeo4870
    @hamisathadeo4870 Год назад +12

    Utajialibia mwenyewe wewe mseme vibaya maghufuri utatukela

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Год назад

      Eshatukura. KAPOTEZA. NAKULA BANDO KWA KUSIKILIZA PUMBA.

  • @benjaminmwakipesile1743
    @benjaminmwakipesile1743 Год назад +1

    Asimtusi hayati magufuri kwa kua nchi aliikuta ikiwa na uhalinifu mkubwa na ndomaana alikuja na stile yake Nia ya magufuri haikua mbaya ilikua ni yakizalendo shida yenu wapinzani mlikua mnapinga Kila kitu na ndomaana kunakipindi alisema unapopinga uwe na njia mbadala kwa unachokipinga

  • @makingireuben
    @makingireuben Год назад +10

    Kumsema vibaya magufuli hatukuelewi magufuli aljkuwa anapambana asingekufa hatahizo kes àngezimalizA maendeleo yangekuwepo makubwaa unawatisha tu lisu pambana na hali yako huna sela😊

  • @HashimuMwemez
    @HashimuMwemez Год назад

    Kwaiyo ww utaweza kk

  • @ejidemaswalikinoja5643
    @ejidemaswalikinoja5643 Год назад

    Ndiyo maana mimi huwa nasema kuwa Tanzania hatuna Wapinzani ila ni ma Kanjanja tu wasiojua la kusema na la kunyamaza😂😂😂na kwa hali hii Ccm watadumu milele

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 Год назад

    GOOD SPEECH

  • @ChristianSosella-zo1lt
    @ChristianSosella-zo1lt Год назад

    Haya na hayo mbishe ama mumwambie alete ushahidi

  • @josephkahindi1713
    @josephkahindi1713 Год назад

    Kumsema vibaya magufuli na mimi nimeongeza kukuchukia

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 Год назад +13

    Baada ya MAGUFULI kufa kesi ndo tukaanza kushindwa

    • @nasseralbutrani435
      @nasseralbutrani435 Год назад +1

      Kwani hakujua kama ipo siku atakufa?
      Kwenye uhai wake amefuta mikataba iliosainiwa na serikali yake baada ya kufa nchi inalipa gharama.

    • @MikereMio
      @MikereMio Год назад

      kibisaa

    • @Benny318m
      @Benny318m Год назад

      ​@@nasseralbutrani435kwanini alipokuwa hai wanasheria wetu walikuwa wakishinda kesi lkn baada ya kufa kesi tunashindwa kizembe kabisa. Je wanasheria wetu wanakosa ujasiri.....

    • @VictorMgodomi-xj1ey
      @VictorMgodomi-xj1ey Год назад

      Ni uongo kuna ndege zilikamatwa akiwa hai na tulilipa ndio zikaachiwa

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Год назад

      @@VictorMgodomi-xj1ey Mwambie mpuuzi huyo asiwe mtu wa kutoangalia ukweli ndege ilizuiwa Kuja Tanzania na Magufuli akiwa Raisi hulijui hilo.

  • @richardmwandanji65
    @richardmwandanji65 Год назад +1

    Watu kuelewa kazi hili ni SoMo kubwa sana japo nikosa kusema Alie kufa lakini lazima akumbukwe japo. ni kwa mazuri na mabaya tutasema TU.

  • @nangugu1657
    @nangugu1657 Год назад +1

    Tundulisu Tena Nini umeanza Ukimsema Magufuli vibaya najisikia kukuchukia sana Yani Alietufanya tukajua Tanzania tunaweza kujijenga Kiuchumi Kwa lasilimali zetu ni Magufuli Anaubaya upi kwetu waongee wanaouza Bandali cy Magufuli mzalendo pumunzika magu wetu

  • @Mwinukaerdwad
    @Mwinukaerdwad Год назад +1

    Mambo yote umeongea sahih ila jitahidi kjizuia kumzungumzia magufuri amekwisha enda mwache apumzike kwa aman kiukweli magufuri alikuwa mtetezi wetu sasa unavo tukumbusha unatuumiza

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 Год назад +9

    Mengine yote unaongea vizuri ila kama unataka upate wafuatiliaji wengi acha kumsema vibaya Magu wengine ridhaa yako

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb Год назад

      Yule dingi alikuwa much know sana..

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Год назад

      Mchane.

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm Год назад

      Funguo I macho na masikio ili muelimishwe kile ambacho miliki Fuchs nyuma ya Magufuli Ingawa alikuwa kidogo a ajali. Lakini , mikataba aliyowafutia wazungu bila kufuata sheria ndizo kesi zinazotukabili na watanzania tunalipishwa mabillioni ya pesa. Sasa hili hamkulijua. Anawafunulia sasa. Je? Bado mna Mwambie asiwaelimishe ukweli uliopo.

    • @ngwegwenurdin4318
      @ngwegwenurdin4318 Год назад

      @@TM-zs3rm haueleweki.

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji Год назад

    Yani viongozi waliotawala kama watanguka wanastaili kunyongwa mbaka kufa wameua mbaka mazaliwa