Usiku wa Maombi by Innocent Morris

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 232

  • @RamadhaniLuhizo-lw5ge
    @RamadhaniLuhizo-lw5ge 8 месяцев назад +8

    Mungu nipiganie katika afya yangu na kazi yangu na biashara yangu na mahusiano yangu na dalia zumba

  • @gracemwasibuka
    @gracemwasibuka 17 дней назад

    Mungu wa rehema naomba unisaidie katika family yangu utujarie afya njema kila hila za shetani zote zikafungwe kwa jina lako ukawasaidie wanangu katika masomo ukawape roho ya kukutumikia wewe katika roho na kweli ukanisaidie katika kazi ya mikono yako ulio iachilia kwangu ukaniwezeshe naomba unisaidie Mungu wangu wewe ndio tegemeo letu katika maisha yetu Baba 🙏🙏🙏 Amina

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 18 дней назад

    Bwana yesu nakuomba unisamehe makosa Yangu, Asante bwana yesu kwa siku hii ya Leo,, tazama nakukaribisha tena moyoni mwangu na kwenye ufahamu wangu.. Njoo unirehem bwana yesu.. Naomba rehema kwa ajili ya watoto wangu.. Wasamehe na wazazi wangu, Wasamehe wadogo zangu. Wasamehe na wote Familia na wasiokua Familia walinizunguka katika maisha Yangu.. Bwana yesu niguse leo.. Nifutie jina langu katika kitabu cha hukumu. Nakuomba bwana yesu niandike leo jina langu katika kitabu cha rehema ameen

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 Месяц назад

    Yesu usiku huuu roho mtakatifu tembea katika process is going perfectly yesu kamilisha hiyo usiku huuuu amen 🙏🏿

  • @pilirashidi5450
    @pilirashidi5450 2 года назад +1

    Ameeeeeeen 🤲 mtumishi ubarikiwe nimefualoa maombi haya usiku nimota nakimbizwa na ng'ombe joke mkubwa, niombee mtumishi.

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 Месяц назад

    Bwana yesu karibu ndani ya moyo wangu naomba huruma kwako naomba rehema kwa makosa yote nisamehe yesu,yesu afungulie mlango uliofungwa wa campuni ya stance ufungue ile njia iwe wazi mwezi huuu

  • @NeemaKimbe-q9g
    @NeemaKimbe-q9g Месяц назад

    Mungu kupitia maombi hay nikafunguliwe masikio nikasikie Sasa amen

  • @IraneShirindo
    @IraneShirindo 10 дней назад

    Roho mtakatifu nijaze iliuwe msaidizi wangu maishani mwangu🎉🎉

  • @anithamwagala8224
    @anithamwagala8224 18 дней назад

    Naumizwa kukataliwa mimi na mtoto wangu najua mungu nimekutenda dhambi naomba unirehemu mimi ni mkosefu

  • @claudinekatula1695
    @claudinekatula1695 4 года назад +3

    Amina tumebarikiwa,na wewe ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu,mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza

  • @MorlineGeorge-e2w
    @MorlineGeorge-e2w 2 месяца назад

    Ee Yesu kristo naomba unisamehe mm mkosefu naomba kibali cha kuheshimika kila mahali naomba neema yako na baraka zako zijae Tele Kwenye maisha yangu Na familia yang Amen🙏

  • @Mary-r5l
    @Mary-r5l 2 месяца назад

    Mungu akubariki sana mtumishi maombi yako yananitia nguvu sana Mungu azid kukuinua zaidi

  • @UPENDOMARTIN-r7f
    @UPENDOMARTIN-r7f Месяц назад

    Mungu nipiganie katika biashara yangu na mahusiano yangu na uchumi wangu na imani mungu anatenda amen🙏

  • @FaithMwende-n7o
    @FaithMwende-n7o 2 месяца назад +2

    Bwana yesu nitembelee katika maisha yangu..

  • @AdelinaMeli
    @AdelinaMeli 21 день назад +1

    Naomba kufunguliwa katika maisha yangu vifungo vyote vinavyojirudia katika maisha yangu

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 9 месяцев назад

    Asante Bwana Yesu KwaAjili YaNguvu Unayompa Mtumishi Wako Katika Usiku Huu EBwana Uhimidiwe Asante Yesu Mtumishi Mimi Niko Maputo Msumbiji Nakufatilia Sana Naomba Mawasiliano Mtumishi Wa Mungu.

  • @SaraphinaSadala
    @SaraphinaSadala 3 месяца назад

    Bwana yesu naomba umguse mume wang afungulie katika jina lako lipitalo majina yote na aamini matendo yako makuuu

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 Месяц назад

    Bwana yesu karibu ndani ya moyo wangu naomba huruma kwako naomba rehema kwa makosa yote nisamehe yesu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 3 месяца назад

    Tusamehee Yesu Kwa dhambi zetu na makoza tuliyotenda Kwa kujua na kutojua tusamehee Yesu Kristo wanasareti

  • @NEMAMnyahati
    @NEMAMnyahati 5 месяцев назад

    Amina mtumishi bwana yesu nipe neema ya. Kukujua wewe zaidi nipe nguvu ya kutembea na wewe mungu

  • @aminagau3344
    @aminagau3344 3 года назад

    Amen amen amen mtumishi wa mungu ubarikiwe Sana, tumejua faida ya maombi ya usiku mapepo na wachawi wanaokuja kwa njia ya ndoto wameungua Woote kwa damu ya yesu amen

  • @UPENDOMARTIN-r7f
    @UPENDOMARTIN-r7f Месяц назад

    Nakataa kila roho ya uharibifu katika family yangu ya kwa Baba yangu Mungu achilia ukombozi juu ya familia hii Yesu naomba ushindi kwa hili na imani utatenda Mungu wangu 🙏🙏

  • @jemimahaloyce4740
    @jemimahaloyce4740 Год назад

    Akubariki nawe pia mtumishi , Amen .....❤✝️✝️🙏

  • @bahatimushi6098
    @bahatimushi6098 4 месяца назад

    Ameen Ameen mungu akinariki naumwa nina maumivu makali sanaa mtumishi

  • @monicadittu2554
    @monicadittu2554 2 месяца назад

    Naomba unimbee na mimi nasumbuliwa na plesha naona hiyo ni roho tu hakuna cha plesh niombee naamini mungu ataniponya

  • @kast6318
    @kast6318 3 года назад +2

    Ameen Ameeen tumebarikiwa sana.Asante kwa maombi

  • @OliverKaronga
    @OliverKaronga 2 месяца назад +1

    Naomba nipate kazi napia tunauza nyumba yetu ya urithi ila Kuna kuwa na ugumu sana naomba uniombee nyumba yetu iuzwe na mie niwe na mji wangu nadharaulika sana

  • @hadijaprudences3686
    @hadijaprudences3686 4 месяца назад

    Nakataa roho ya uaribifu ktk jina la yesu.damu ya yesu inene mema juu yangu usiku huu

  • @RamadhaniLuhizo-lw5ge
    @RamadhaniLuhizo-lw5ge 8 месяцев назад

    Navuja roho yote ya uchawi mungu mguse baba angu amjuwe yesu mfuko wa uchawi autupe kwa jina la yesu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 3 месяца назад

    Turehemu Yesu familiar yetu tusamehe Bwana Yesu tusamehe

  • @hadijaprudences3686
    @hadijaprudences3686 4 месяца назад

    Naomba rehema na toba kwajili ya prudences naomba umsamehe kila dhambi anayoijua na kutokujua msahem bwana nirehemu bwana nisamehe bwana 😢😢😢😢nirehemu bwana😭😭😭😭😭

  • @MillicentMbindi-jp2rn
    @MillicentMbindi-jp2rn 5 месяцев назад +1

    Navunja nguvu zote sa Giza nguvu za uchawi nguvu za umasiki navunja katika jina la yesu kiristo

  • @GladysGladys-q3o
    @GladysGladys-q3o Месяц назад

    Bwana yesu naomba unisameha unisameha mungu wangu

  • @merrymboya1784
    @merrymboya1784 Год назад

    Ameen bwana yesu nakuomba ukamsaidie mtt wangu Norah ambaye jumatatu ataingia kwenye chumba cha mithani yake ya kidato cha nne

  • @ShabaniKondo-wr1xh
    @ShabaniKondo-wr1xh 5 месяцев назад

    Navunja roho za kichawi za kutofanikiwa na kutangaza kibali Cha kufanikiwa kwa jina yesu amiiin

  • @Mamaeli-kd6ot
    @Mamaeli-kd6ot 2 месяца назад

    Mungu nipiganie Mimi na familia yangu tukashinde ulimwengu kilaisi Sana 🙏

  • @victoriashelutete
    @victoriashelutete Год назад

    Tawala ndoa yangu roho mtakatifu niwewe tu utawale kila eneo la maisha yangu ukitwala wewe na maisha yangu yatakuwa huru 🙏🙏🙏🙏

  • @ShabaniKondo-wr1xh
    @ShabaniKondo-wr1xh 5 месяцев назад

    Ameeen mungu nibaliki na uniweke kwenye mafanikio na nimempendae awe sawa na afunguke katika matatizo yake na dada zangu kaka zangu mama na baba angu

  • @NivoneKikaho-iy1nn
    @NivoneKikaho-iy1nn 29 дней назад

    Glory to God barikiwa mtumishi

  • @anithamwagala8224
    @anithamwagala8224 18 дней назад

    Nisamehe yesu wangu natambua kuna watu niliwaumiza kwa makusudi au kutokujua nafanya nini

  • @PurityKemy
    @PurityKemy Год назад

    Amen I received the holyness pow in Jesus name irecieve 🙌🙌🙌🙌😂

  • @joshuakanondo9327
    @joshuakanondo9327 4 года назад +1

    Barikiwa mnoo mtumishi.mafuta zaidi yawee juu yako

  • @patriciampwage1481
    @patriciampwage1481 Год назад +1

    BWana yesu apewe sifa naomba yesu aingilie Kati kesi yamarehemu mume wangu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 месяца назад

    Alelluyah alelluyah alelluyah asande sana Yesu mwokonzi waku

  • @AginesMiraji
    @AginesMiraji День назад

    Mungu niguse maisha yangu😭

  • @lydiamajula5083
    @lydiamajula5083 День назад

    Asaten yesu Kwa maombi haya yakawe rehem na mwang ktk safar ya maish yangu niongoz ktk magum yote ninayoyapit

  • @GeradiusiIgiro
    @GeradiusiIgiro Год назад

    Mungu wangu naomba niwe nanulu niwe kibali Cha kazi yamikono yangu

  • @RamadhaniLuhizo-lw5ge
    @RamadhaniLuhizo-lw5ge 8 месяцев назад

    Amen napokea kwa jina la yesu

  • @nadiaserugo2595
    @nadiaserugo2595 4 года назад +2

    Amen amen I received i received in Jésus Christ name amen amen amen amen amen amen

  • @NEMAMnyahati
    @NEMAMnyahati 5 месяцев назад +2

    Nakataaa Kila roho ya uharibifu katka family yangu Kwa baba yangu na Kwa upande. Wa mama yangu mungu achilia ukombozi juu ya hizi familia za pande nzote mbili yesu naomba ushindi juu ya hil

  • @JuliaMilanz-df5pr
    @JuliaMilanz-df5pr Год назад

    Amina mtumishi kwa maombi mazuri

  • @Deborah-d9w5f
    @Deborah-d9w5f 7 месяцев назад

    Amen 🙏 🙏 🙏 nakupenda Bwana Yesuu

  • @kasigwaabel3036
    @kasigwaabel3036 5 месяцев назад

    Hee mungu nipe nguvu ya uvumilivu mi familia yangu

  • @rukiandunguru1462
    @rukiandunguru1462 7 месяцев назад

    Naomba Mungu anifungue kiuchumi

  • @VELENARWEBUGISA
    @VELENARWEBUGISA 4 месяца назад

    Nakupenda bwana yesu asante sana bwana yesu

  • @GloryMassawe-s6b
    @GloryMassawe-s6b 7 месяцев назад

    Eeh yesu andika jina langu kweny kitabu cha uzim🙏

  • @abdulazizali7701
    @abdulazizali7701 3 года назад +1

    Bwana akubariki na BWANA akutendee mema

  • @aminagau3344
    @aminagau3344 3 года назад +1

    Amen nyota yangu imerudi kwa jina yesu kristo

  • @carolinekigembe4426
    @carolinekigembe4426 4 месяца назад

    Bwana Yesu tenda jambo jipya kwa mwanangu

  • @AgnesMwakisyala
    @AgnesMwakisyala 8 месяцев назад

    Ameen mtumishi naumwa tumbo toka satano uck ad saiv nasndwaata ku kulala

  • @AshuraSalumu-k7h
    @AshuraSalumu-k7h 4 месяца назад

    Navunja nguvu za giza kwa jina la yesu

  • @OliviaRaphael-of7qp
    @OliviaRaphael-of7qp 9 месяцев назад

    Aminaa mungu akubarik mtumish

  • @annastaziamkama-n8k
    @annastaziamkama-n8k 3 месяца назад

    Mungu aniponye tumbo langu

  • @JoyfulLargeTree-ed6pt
    @JoyfulLargeTree-ed6pt 2 месяца назад

    Roho mtakatifu karibu kwangu! Karibu katika maisha yangu, roho mtakatifu karibu kwenye familia yangu

  • @tinnahfamilyjewelandjewell9848
    @tinnahfamilyjewelandjewell9848 3 года назад

    Linachipuka jambo jipya kwa jina la Yesu

  • @JoyfulLargeTree-ed6pt
    @JoyfulLargeTree-ed6pt 2 месяца назад

    Jinalako litukuzwe YESU

  • @RamadhaniLuhizo-lw5ge
    @RamadhaniLuhizo-lw5ge 8 месяцев назад

    Bwana yesu mguse mahusiano yangu mie na dalia zumba

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 3 года назад

    Ni samehe Bwana Yesu

  • @losea9708
    @losea9708 2 года назад

    Amen amen tuokoe Bwana

  • @RamadhaniLuhizo-lw5ge
    @RamadhaniLuhizo-lw5ge 8 месяцев назад

    Bwana yesu okoa wazazi wangu

  • @JaneSegesela
    @JaneSegesela Год назад

    Napokea kwa jina la yesu

  • @SaidAliSaid-r1s
    @SaidAliSaid-r1s 2 месяца назад

    Romtakafu nakuhitaji katika maisha yangu

  • @dorahhanga3156
    @dorahhanga3156 7 месяцев назад

    Mungu niponye mimividonda vya tumbo

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 Год назад +1

    Nakataaa Kwa jina la yesu

  • @marymohammed-wf8tr
    @marymohammed-wf8tr 3 месяца назад

    Nakataaaa kila roho ya uharibifu katika famille yangu

  • @nanapega3908
    @nanapega3908 2 года назад

    Tuna kushukuru ww bwana yesu

  • @witnessjoseph5571
    @witnessjoseph5571 2 года назад

    Bwana simama uniongoze popote niendapo yesu nisimamie

  • @maggiedemello2818
    @maggiedemello2818 Год назад

    I received the power of Jesus your with me🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️

    • @HeriethTluway
      @HeriethTluway Год назад

      Mwenyezi mungu nifungulie milango ya kazi

  • @rosepereira7478
    @rosepereira7478 4 года назад +1

    Tenda jambo jipya Bwana Yesu Kristo

  • @JoyfulLargeTree-ed6pt
    @JoyfulLargeTree-ed6pt 2 месяца назад

    Nipiganie Jehova Mimi na familia yangu

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 3 месяца назад

    Nakupenda Bwana Yesu

  • @NeemaMselewa-z7d
    @NeemaMselewa-z7d 2 месяца назад

    E mungu usiniache manoa nikaangamia

  • @MarcusKomba-m4y
    @MarcusKomba-m4y 8 месяцев назад

    Tunafunguliwa na maombi haya ya usiku wa manane amiina sana

  • @ramparkas1562
    @ramparkas1562 Год назад

    Oh God for givi me for everything

  • @Gladysmoraamoranga
    @Gladysmoraamoranga 7 месяцев назад

    Asante yesu 👏

  • @HappyKinyaiya
    @HappyKinyaiya 5 месяцев назад

    Naomba ndoa yangu na uchumi wetu

  • @MiriamKaunga
    @MiriamKaunga 18 дней назад

    Asante Bwana Yesu nimepokea uponyaji. Kupitia maombi haya naomba namba nitume vocha Ili tuendelee kutupa maneno ya uponyaji

  • @everyne.illankunda8292
    @everyne.illankunda8292 Год назад

    Amen amen asante saana

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 3 месяца назад

    Shuga ROHo wa Mungu

  • @rosepereira7478
    @rosepereira7478 4 года назад +2

    I receive the power of holy ghost

  • @MujingakasashiKasahi
    @MujingakasashiKasahi 7 месяцев назад

    Kwa jina la yesu christo

  • @rosepereira7478
    @rosepereira7478 4 года назад +1

    Ni wewe tu bwana yesu unayesitahili kutukuzwa na kuabudiwa

  • @ChirindoMdzomba
    @ChirindoMdzomba 2 месяца назад

    Nijaze na roho mtakatifu

  • @zawadikingimali3362
    @zawadikingimali3362 3 года назад

    Bwana seyu nisamehe nifute jina langu

  • @edithanchimbi2754
    @edithanchimbi2754 2 года назад

    Asante Yesu

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Месяц назад

    ❤❤❤ Aminaa

  • @JaneSegesela
    @JaneSegesela Год назад

    Nakataa kuchukiwa mimi namtoto wangu

  • @RamadhaniLuhizo-lw5ge
    @RamadhaniLuhizo-lw5ge 8 месяцев назад

    Nisamee yesu

  • @DevisJackson
    @DevisJackson 6 месяцев назад

    EYesu naomba unisamehe

  • @PauloLyimo
    @PauloLyimo Месяц назад

    Amen amina