Asante sister kwa mafunzo yako barka inshallah . mm naomba unisaidie hapa kidogo kwa mfano nikitumia maziwa Lita 3 nataka kutumia yogurt badala ya culture je natakiwa kuweka saizi gani ya yogurt ?? Na pia naweza kutumia yogurt za dukani zile za paketi? Tafadhali naomba unijibu sister nataka kujaribu
Yaani hapa lazima mtu upate kitu kipya kila wakati, hongera sana my dear👌👌👌
Asante dear 🥰🥰🥰🥰
Hongera sana
Asante sana kwa haya mafunzo. Nime tizama hi vidio yako kutoka Soroti Uganda. Mara nyingi na vutiwa na lugha la Kiswahili.
Karibu nikufundishe kiswahili, ninatoka Tanzania (Tz)
❤❤ Asante Kwa mafunzo je culture naipataje au naweza ulizia maduka gani labda Nika pata napatikana Kilimanjaro
❤ very good 👍👍👍
Shukran Ika kwa hayo mafunzo...naanzisha biashara ya kuuza yoghurt...nahitaji mafunzo zaidi...
Darasa zuri.. Hongera.. Ila naomba kujua naipataje iyo Culture..
Kuna duka Keekorok rd in Nairobi town huuza
Simple and clear. 😙
I love this
Ika you are the best😘254
Mashallah Hongera Sana 😘😘😘😘😘unatusaidia sana kipenz
Shukran pia
Well explained, nashukuru...yaweza kufanywa mzito zaidi by adding corn_flour/corn_starch
Chemistry done 💃💃💃
🥰🥰🥰🥰🥰
Waooo🥰🥰thank you....tufundishe basi kupika Maqbool kama wajua
Ahsante dada
Barikiwa sana
Uko vizur
Mob love..... you're the best teacher 🥰🥰
Nice dear
Wow...
Wow I ❤️ it 🥰🥰🥰
Asante kwa elimu
Easy and doable😄
Cultur n bei gan
Masha Allah kwa upishi wako👍🙏
Asante sister kwa mafunzo yako barka inshallah . mm naomba unisaidie hapa kidogo kwa mfano nikitumia maziwa Lita 3 nataka kutumia yogurt badala ya culture je natakiwa kuweka saizi gani ya yogurt ?? Na pia naweza kutumia yogurt za dukani zile za paketi? Tafadhali naomba unijibu sister nataka kujaribu
Luv u gal..umenielimisha Kwa vitu vingi.thanks
I will use the second method, maana culture siijui
Me too don’t know what culture is
Mashallah 🤩
Hongera mpnz😋
Can you pre boil the milk since it's straight from the cow
Double boil
Asante kwa recipe🥰
1.Unaweza kutumia maziwa yaliokua yamehifadhiwa kwenye fridge kutengenezea yogurt?
Naomba namba
Ahsante dada samahani naomba kuuliza iyo kacha nitaipataje
@mziwanda_bakers (instagram)
mashaallah
Wow🤗 thank you dear🌹
🥰🥰
Ahh kiswahili kizuri, love it🥰
First here today...❤❤❤
🥰🥰🥰🥰
@@ikamalle dada iyo culture naipataje
@mziwanda_bakers (instagram)
But where do I buy the culture🇰🇪🇰🇪
hiyo culture do mahlab au ??n guys pia my madam anatumia vinegar.. but sio coloured.. inatoa yoghurt smart pia
Simple thank you
Mpaka nimetamani ningeangalia Mida ya futari maana 🤤
🥰🥰🥰🥰🥰
Nice one.... Where do I get the manufactured culture and what's the ratio per litre...plz
Keep it up .
Thank You
Subscribed 👍👍
Welcome 🥰
Kindly share contacts za wanao uza culture
Perfect Ika. Kazi nzuri mrembo
Asntey
Ika what is it that you cannot make? Hahah Ma shaa Allah good job najifunza mengi tu hapa ♥️
😲 wow
Mashallah congratulations Ika may God bless you 🇰🇪👌😍😍😍🤗🤗🤗😍🤗
Amen
@@ikamalle is very nice
Ika Malle welcome 💖💖🤗
Good
Habari.mi sikuelewa ile umeweka kwenye maziwa ni amira awu nini?
Plz nitaipata wapi culture ya yogurt?jina lake rami na wapi nitaipata dada blessed one.
Plz tueleze inapatikana wp
Munasaid Mbarak industrial area mombasa road
Nice
Hiyo culture n kama yeast madam?
Au n nn.
Jaman nimependa sana....uko vizur unajua kuelekeza sasa naomba unisaidie kuzipata hizo culture za yogurt plz
Laxima iwe double boiling or you can boil kawaida tu
Culture inauzwa bei gani na inakaa kwa mda gani
Hiyo culture napata wapi??
nice stuff...will definately try it soon
Kenyan's are you with Ika ?🇰🇪🤗🤗🤗😍
Oh yes definitely 😋💃💃💃💃
Yeah we here
Tupo ndani sisi 🇰🇪
Yeah niko hapa🇰🇪🇰🇪mtu anaweza tengeneza ya kuuza ?
Yeah..all the way❤
Jmn hyo culture kwa lugha rahisi ni kitu gani
Da Ika nilikua naomba utuelekeze jins yakupika vileja vya mchele
Yummy 😋😋
Nisaidie kwa kuipata culture
@ika malle vp kwa dar naweza pata wapi hiyo culture ya kutengenezea
yummy congrats
Asante 🥰
Am new to your channel and i love your content, may i please know where you bought your culture, is it locally available, am from Kisumu.
Hiyo culture inanunuliwa wapi tafhathali, Nani shilling gapi pesa ya kenya
Kila siku najifunza kitu kipya. Big up dada!
Thank You 😊
Ika Malle you’re welcome 😇
Hi sis nlitumia mtindi bt nlifeli cjui shida nn
Asnte saaana kwa recipe ika
Kacha ndio nn ndg mtaalam?
Mbona mtu a funike na nguo ama vitambaa vizito,maana yake gani
Dia huu mtindi Unaweza kukaa Muda gn
N km sikupata maziwa y ngombe maziwa y kawaida naeza tumia n hii culture inapatikana wp
Nataka nione hio packti ya uloweka kwa maziwa nione jina na picha yake
Hiyo culture n kama yeast?
Au n nn?
Npo iringa naweza just wp naweza pata culture hyo Ili ntmie hyo njia
Culture inapatikana wapi
Culture Moshi inauzwa wapi?pls
❤
Itadumu kwa wakati wa siku ngapi kabila haijaharibika?
Thanks dear
Thanks for that. Which yoghurt did you use? Plain or?
Plain
da Ika unaishi hpa daa wewe or up Arusha.
Culture tunapataje,?
Samahan Dada hiyo culture inapatikan wap
Culture ni sh ngapi
i neeed help how to create yogurts
Kacha Ni nn au sijasikia vzr.
Ndio inayo tengeneza Yogurt
Iyo inayo gandisha maziwa inaitwaje
What did you add sister after cooling the milk nimesikia culture ni nini inaweza patikana wapi
Nunua brand ya yoghurt yeyote. Tafuta pahali imeandikwa 'culture' ukipata you can use that kutengeneza yoghurt
Hio culture yapatipana wapi
Umetumia maziwa kiasi gani
Hi Ika, where can I get the culture that you used here
Instagram (@mziwanda_bakers)
@@ikamalle thanks dear for your response
@@ikamalle hi dear natafuta culture nitapataje
essence ya chocolate kwani mnapata wap
Nlijaribu Lakini ulionja mala sijui mbona
Thankyou
Thanks Mami
Thank u too 🥰
Kisha daa hii yoghurt siezi ongeza custard....
Hio second option naeza tumia any flavor ya yoghurt ama lazima iwe plsin yoghurt kisha ntaeka skari mwisho kama option one ama
Mimi nimetumia Plain, unaweza jaribu lakini?
Niko Dodoma nimetft yogurt culture cjapat kbsa
Iyo unayo changanyia inaitwaje
Go ika❤️❤️👌🏾
🥰🥰🥰🥰🥰
dada sasa hiyo culture inapatikanaa wapi