EX wa GIGY MONEY afunguka kwa UCHUNGU Mange alivyoharibu MAISHA na HESHIMA yake ‘Mama ameniblock’

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 ноя 2024

Комментарии • 196

  • @Leila-zp5co
    @Leila-zp5co 9 месяцев назад +16

    Amewaharibia maisha watu wengi mange mungu anakuona pole sana hans

  • @Juke995
    @Juke995 8 месяцев назад +5

    Hii sauti yan kama millad ayo jaman.... Kaka mzuri masikini akaenda jichanganya na gigy. Masikini pole sana mama atakuelewa tu.

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 9 месяцев назад +6

    Pole sana kaka yangu akuna mchaga mjinga mama mpokee mtt nakwenda kumpima nikuzidi kumdhalilisha mradi amekiri sio kweli mpokee kaka yetu naumpeleke kanisani mkuepusha naroho zakishetani❤❤❤❤

    • @banguha
      @banguha 9 месяцев назад

      Wamama wengi wanasikiliza maneno ya watu sasa watu wamemkataa alafu na wewe mzazi badala umuombee na umuite kwa upendo na umwambie mim mwanangu nakuamin haijalish yamesemwa mangapi nakuamin ili umtie moyo mtoto wako acha watu wakutenge lakin mwanao hata kama dunia inawaacha wewe mkumbatie

  • @Mwajumahoya
    @Mwajumahoya 9 месяцев назад +6

    Watanzani Ni watu ambao wanashika Jambo Mara moja na wanalisahau haraka inshallah mungu atakupitisha hili janga

  • @chariedecute8200
    @chariedecute8200 9 месяцев назад +4

    Uko strong Sana Kuna watu wengne hawawezi kuwa Ivo mpk saiv

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 9 месяцев назад +10

    Pole sana dogo huyo Mange ameongea ivo sababu ya Gigy anataka watu waogope kudate na Gigy coz wataandikwa vibaya yani kwa kifupi anamuharibia Gigy.Ila mm naamini huyu dogo hana ujinga huo.

  • @victorwilliam9987
    @victorwilliam9987 8 месяцев назад +8

    kaka usiondoke dar, watakucheka sana ukiruhusu hili jaribu likuangushe, be strong, njia au mlango ukifungwa kuna mingine itafunguka always.. thers always a way out and ukweli utabaki kuwa ukweli.. we stay you.. kuna wengi sana hawatakuamini for now ila kuna wengi sana watakuelewa with hii changamoto jifunze and mafunzo yake yatakufikisha mbali sana and usichoke mwana, pambana jijenge day by day.. huu ndo muda wa wewe kuwa a hero of your own story..

  • @scollantandu2350
    @scollantandu2350 8 месяцев назад +6

    Ila kijana nimpole sanaa 😊

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 8 месяцев назад +3

    Daa nimeumia sana. Pole kijana, wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi Mama yako akuelewe.

  • @jackiefredrick586
    @jackiefredrick586 9 месяцев назад +5

    Mange Mungu akulaani

  • @AlexNjelekela-e6e
    @AlexNjelekela-e6e 9 месяцев назад +9

    Mama mwamini mwanao mashoga hawako hivyo mwanao anaonekana ana hofu ya Mungu.

  • @sarahgustaph2710
    @sarahgustaph2710 8 месяцев назад +3

    Wewe ni kijana shupavu na strong...usiogope..YESU...ata kupambania sana na uta fanikiwa ushangae..Ondoa wazo la kijiondoa uhai🙏jipe moyo utayashinda mdg wangu.

  • @UPENDOSEKELLA
    @UPENDOSEKELLA 9 месяцев назад +3

    Pole sana kaka. Watu inabidi waelewe kwamba sio kila kinachopostiwa mtandaoni ni kweli na kila mtu anaweza kuwa mhanga wa mitandao. Mungu atuongoze kutohukumu watu.

  • @beatrice4780
    @beatrice4780 8 месяцев назад

    Pole sana Hans. Ila nikutie moyo kuwa wanadamu ndivyo walivyo, usiwape faraja ya kukushinda au kukudogodesha. Mwenyenzi Mungu akukingie, akuepushe na roho ya uharibifu. Ninakuambia kutokana na experience, nilishachafuliwa sana, nikamlilia Mungu wangu kisha nikamwachia bcs yeye ndiye mwenye uwezo wa kuhukumu. Naamini ameshatenda against wote waliohusika kunichafua. Nina hakika, atatenda kwako pia. Nasimama na wewe Hans.

  • @aminamohamed9955
    @aminamohamed9955 8 месяцев назад +1

    Pole sana mkaka muzuri Allah atakupa nguvu usifikilie vibaya mwenyezi Mungu akupe subla sana

  • @mariamsaidi1681
    @mariamsaidi1681 9 месяцев назад +2

    Pole sana usikate tamaa yatapita na Mungu atamfanyia wepesi inshallah katika hili nimeumia sana dah

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 8 месяцев назад +4

    Pole mwanangu, mama awe karibu zaidi nawe akuprotect, otherwise hiyo ni spirit, Mungu akulinde

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 9 месяцев назад +1

    Mange unarana wewe umeumiza roho zawatu nyingi sana subhanallah

  • @iamjanemapozi2079
    @iamjanemapozi2079 9 месяцев назад +3

    Sky anajua kuappreciate mtu sana❤

  • @hawasaid7151
    @hawasaid7151 9 месяцев назад +7

    Pole sana Kaka wa watu binafsi nmekuamin ila usijal khs maneno ya watu japo yanaumiza kikubwa mshukuru mungu kwa kila jambo, hili litapita watu watasahu tu, kuwa km ex wako Gigy siunamuona pamoja na video zake kuvuja lkn she don't care watu wanaongea nn juu yake anendelea na maisha yake mana huwez kumuaminisha kila mtu kwamba ww sio mtu wa design hio famikia yako ikikuelewa inatosha achana na ss waja watakao amin sawa na wasio amin shaur zao focus na maisha yako.

  • @JANEZACHARIA
    @JANEZACHARIA 8 месяцев назад +1

    Dah ukimsikiliza jamaa mpaka mwisho lazma chozi likutoke 😢 kijana anaelezea kwa uchungu

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 9 месяцев назад +3

    Mungu akufanyie wepesi

  • @najatramadhani6300
    @najatramadhani6300 9 месяцев назад +5

    Kila mapito ya njia ya kutokea muombe mungu Sana akuondeshee hili😢

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 9 месяцев назад +6

    I just love him anaonekana ana heshima

  • @allyahahmed1091
    @allyahahmed1091 8 месяцев назад

    This hurts me pole hans 😢😢😢 alafu u gonna be somewhere hiz vitu mbaya hazidumu kabisaa take heart bby ur so handsome alafu unamalengoo

  • @kiganjaprimetz8245
    @kiganjaprimetz8245 9 месяцев назад +9

    Big up Sky for such a great Interview, it’s beautiful to see media still has intellectual people that can stand firm in truth👏👏👏👏👏

  • @moureenvitalis1939
    @moureenvitalis1939 9 месяцев назад +2

    aiseeee so sad...hii kitu nmeisikiliza kwa makini...uyu kaka anatakiwa apate mtu wa kumjenga kwa ukaribu sana sana...MUNGU amkumbuke tu

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 7 месяцев назад

    Inauma sana pole sana kijana hayo ni mapito

  • @KhadijaJuma-jx7ny
    @KhadijaJuma-jx7ny 8 месяцев назад +2

    😢😢😢😢😢😢😢dah pole sana kaka dah pole wallah mungu akusaidie mtetez wako yu hai nakuombea usiogope mungu yupo na ww kama alivyokua na musa ndivyo atakavyokua na ww

  • @erastongussa2334
    @erastongussa2334 9 месяцев назад +13

    Sky walker is and will always be the best Online TV presenter

  • @violetpaulsen1741
    @violetpaulsen1741 8 месяцев назад

    Mungu akuvushe katika hili ndio maana wengine hujiua na sabb hazijulikan ni mambo kama haya

  • @edinaelikana1057
    @edinaelikana1057 8 месяцев назад

    Pole sana kijana.Wakati mwingine jipe moyo.Naomba tu mama yako awe karibu nawe asiamini watu wengine. Naninaomba mama yako ndie atafute watu wakukupima😢

  • @Gloria-vh5bz
    @Gloria-vh5bz 9 месяцев назад +6

    Nimelia saba coz nishapitia uzushi nilizushiwa madawa nikadharaulika mpk home kias kwamba MTU akipoteza KItu chake anaanza kusema nimemuibia na MAMBO mengi ya isolation but Mungu wetu mwema im working hard Siku moja niwaumbue so USIKATE TAMAA bro hizo NDIO njia za kufikia mafanikio ingawa ni njia ngumu but NDIO njia tuliyochaguliwa ,i wish wajue maumivu ya moyo tunayopata ,kikubwa samehe mdogowangu safar ni ndefu wewe Bado mdogo

  • @dinnarandrew1982
    @dinnarandrew1982 9 месяцев назад +3

    Ila Mange sijui mbinguni atafikaje

  • @uwoyababuu3913
    @uwoyababuu3913 9 месяцев назад +1

    Pole sana mdogo wangu changamoto ni matumaini. Muombe MUNGU sana kila kitu kitapita mdogo wangu.

  • @pendomkumbo8262
    @pendomkumbo8262 8 месяцев назад +1

    Ushauri wa kisaikolojia kwa huyu kijana unatakiwa .......pole sana wewe ni mkristo omba ktk roho na kweli upate amani,kosa hapa ni kudate na Gigy ambae nae ana maadui wengi

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 9 месяцев назад +2

    Kama siokweli basishukuru Mungu kwa kila kitu mdogo angu. Usisahau hata Mungu akitaka kukupandisha viwango lazima akupejaribu kwanza ili kukupima imani so jipemoyo utayashinda

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 8 месяцев назад

    Pole sana Mungu atakuvusha ni mapito tu unapitia

  • @winepreneur7329
    @winepreneur7329 9 месяцев назад +3

    Sky Mungu akubariki sana 🙏🙏

  • @rehemadiwani4679
    @rehemadiwani4679 8 месяцев назад

    Aiseee huyu kijana ana akili sana lakini pia amelelewa vizuri saaana. Mama yako Mungu amuweke

  • @mercypeledawson1622
    @mercypeledawson1622 9 месяцев назад +2

    You are really a gentleman, I don't know you ila story yako imenitach... kamwe usiwaze kujiua, hyo ndo dhambi kubwa kuliko zote unazozijua.... usikate tamaa, keep pushing 😢😢

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 8 месяцев назад +4

    Uyu kijana anaakili na kingine anajitambua na Hana makuu.

  • @allyahahmed1091
    @allyahahmed1091 8 месяцев назад

    Ur so handsome 🤍🤍🤍ila ndo nshakua shangazi niwaachie kina gyg .

  • @ashwaqhasni
    @ashwaqhasni 9 месяцев назад +2

    Pole sana mdogo wangu yatapita tu Mange ni muhuaji yeye anangalia tu masilahi yake binafs bila kujali hathari zinazowakumba anaowafanyia ubaya !!!

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 9 месяцев назад

      Uchafu afanye yy alaumiwe gigy

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 9 месяцев назад

      Uchafu afanye yy lawama apewe Mange

  • @theodosiampogole2672
    @theodosiampogole2672 8 месяцев назад

    Nyie mnaomtukana Mungu anawaona,tambueni Kila Mmoja anaweza kuchafuliwa Kwa njia tofauti.hakuna mkamilifu duniani shetani anapenda kukatisha Tamaa Kwa kuchafua watu.

  • @jeanstarblandesblandes1491
    @jeanstarblandesblandes1491 7 месяцев назад

    Endelea kuomba na kufanya shughuli zako,hayo yatapita,
    Mradi wewe unasema siyo kweli ,Mungu aonaye sirini atakupigania.Utayasahau

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 9 месяцев назад +1

    Pole sana Mungu akutangulie upone hayo maumivu

  • @mchellenmbunge55
    @mchellenmbunge55 8 месяцев назад

    Be Strong ,Mungu atakuvusha

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 9 месяцев назад +2

    Pole mungu ndo kila kitu kaka ukweli unaujua wew achana nao mm tu naumia kwa mengi natafuta kazi sipati na sojasoma nilipoteza wazazi naumia kk pole

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 9 месяцев назад

      Pole mdogo wangu Allah atakusaidia utafanikiwa

  • @LubnaGeorge-re4yp
    @LubnaGeorge-re4yp 9 месяцев назад +4

    Ila mange anapenda kumfatilia gigy Sana hata huyu kijana kamuharibia coz gigy

  • @TabuMudi
    @TabuMudi 8 месяцев назад

    Mwanangu pole sana kwa yaliyokukuta nimesikiliza vizuri story yako mungu yuko pamoja na wewe kamaunaweza weka ibada mbele amini unachokifanya wala usije thubutu kunywa hayo madawa kuwa na amani haya ni mapito tu na kwenye mafanikio lazima ukutane na mengi pia muonekano wako ndio unakuponza ila fanya kamuone mama uwe huru pole sana

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 8 месяцев назад

    Watanzania tuna shida sana...ni kuchafuana tu

  • @Ostica..Omie..junior
    @Ostica..Omie..junior 8 месяцев назад +2

    Mashoga wanajulikana pia sound zao zinajulikana...huu jamaa sio shoga..mange aliamua kumchafua tu

  • @mrsab303
    @mrsab303 9 месяцев назад +1

    Don't worry about, everything gone be ok InshaAllah

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 8 месяцев назад +2

    Tujichangishe michango tutafute Serial killer huko marekani,, Ammalize Mange kimambi,,,,,, Yule ni shetani 100℅ kwenye umbo LA binadamu alieKondeana✊✊Nani anaunga mkono🎉🎉😊

  • @Braika4
    @Braika4 9 месяцев назад +3

    Wamama wa Kichaga kiboko!!!!!!

  • @AliJuma-e6r
    @AliJuma-e6r 8 месяцев назад

    Uskate tamaa mwenetu tuko nyuma yko tunakuchk kam mfano mzur wa kuigwa, endelea kupamban mungu atakusaidia

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 9 месяцев назад +23

    Mange utaumiza roho watu wangapi, ukichafua jina ya watu at the end utafaidika na nini, very sad

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 9 месяцев назад +7

      Unajua watu ndio wamampa mange ukubwa lakini angeli post ujinga watu wamzomee angelikua anawacha!!!! Lakini Yule mange NI sumu mulioitengeza nyie wa Tanzania

    • @Bahati47
      @Bahati47 9 месяцев назад +2

      Tuanze kuwalaum watu wanaompelekea mange habari

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 9 месяцев назад +2

      Mange c wa kulaumiwa yy atafuta pesa wanaompa connection ndio wabaya

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 9 месяцев назад

      @@ruqaiamohammed345 huwezi tafuta pesa Kwa kutukania wenzako mama zao. Imagine mtu Kate kichwa cha mwanao Kwa kutafuta pesa ni Sawa?

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 9 месяцев назад

      @@ruqaiamohammed345 weeeeee ni pambe maana Zuchu sio dadako wala mwanao

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 9 месяцев назад +2

    Ushauli wangu huwezi kuwazuia watu kuwaaminisha watu ulivyo hivyo muaminishe mama nenda kapime ikiwezekana ashitakiwe huyo mange aache kuharibu majina ya watu iwe kaandia unawaingilia au unawapenda aache kuhisi kwa macho kuwaumiza watu mange kimambi unawatoto Mungu siyo kiziwi asisike vilio vya wanyonge

  • @blandinajoseph6745
    @blandinajoseph6745 9 месяцев назад +1

    Pole kaka yatapita tu binadamu ndo walivo

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 9 месяцев назад +7

    Lkn mange kwenye app hakusema huyu kaka ni shoga kile kichwa cha habar ndio kiliwachanganya lkn kwenye app alipost kuwa huyu kaka anamtaka shoga mmoja mtanzania aliejibadilisha jinsia huko canada

    • @chainbre275
      @chainbre275 9 месяцев назад +1

      Sasa ukitamni kiwa na mahusiono na shoga basi na wewe upon ready kujiunga na ushonga

    • @celinemtui8795
      @celinemtui8795 9 месяцев назад

      Dayon mankaa

    • @ruu6592
      @ruu6592 9 месяцев назад

      ​@@celinemtui8795😂😂😂🎉

  • @fatemazanzibar877
    @fatemazanzibar877 8 месяцев назад +1

    😢😢nimelia jamni inauma pole kaka ndio dunia

  • @theodosiampogole2672
    @theodosiampogole2672 8 месяцев назад

    Pole ,ila utakuja kufanikiwa TU.

  • @Elprofessor72
    @Elprofessor72 8 месяцев назад

    jikaze kaka yataisha tu ..hyo n hali tu kama hali zengine za maisha ila kama c kweli bro ishi maisha yako vzuri,asikwambie mtu haufanani kkufnya hvo kabisa alf istoshe kuwa handsome so kuw n ushoga..mange anatafta content tu

  • @AshirunaHaji-mq2xl
    @AshirunaHaji-mq2xl 9 месяцев назад +1

    Achoharibu huyo kaka kudet na mtu marufu hicho ndio alicho jiharibiya

  • @chariedecute8200
    @chariedecute8200 9 месяцев назад +1

    M/Mungu akutie nguvu ktk kipindi icho kwann Mange asiongee kila kitu kiwe sawa unamchafua mtu inocent kias icho why story ni mbaya Sanaa mtoto wa watu anajitafta akijiua au kufanya kitu kibaya kisa mtu anaemsababishia mtoto wa mtu maumivu kisa hao haters watu hatupendani uyo mange kimavi alifanyiwa ukatili wa namna izo ndio analipiza kwa wenzake

  • @MissTrisha-v3b
    @MissTrisha-v3b 9 месяцев назад +1

    Pole sana kila kitu kitakuwa sawa

  • @annaedwardrobert6778
    @annaedwardrobert6778 9 месяцев назад

    Mungu ndo anajua ukweli.....nmemuonea huruma

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 9 месяцев назад +3

    Huyu dogo anazingua.. alikuwa one night stand aka catch feelings 🤣

  • @rehemayona2223
    @rehemayona2223 8 месяцев назад

    Hakumuelewa to bhana

  • @banguha
    @banguha 9 месяцев назад +1

    Uwe unasikiliza nyimbo ya Dr impiana inaitwa hata hili litapita hakuna jambo linakuja lisipite ukiwa na kitu ndan yako lazima haya yakutokee ila wewe mtizame Mungu wote watakukimbia ila yeye atasimama na wewe hata nyakat za aibu yeye atakuinua tenaa omba Mungu

  • @walterrichard2117
    @walterrichard2117 9 месяцев назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣watu wa arusha tujuane please

  • @anajohn8132
    @anajohn8132 8 месяцев назад

    dah chalii ya Arusha imepiga hereni,

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 8 месяцев назад +1

    😂😂😂apo kwenye kumove on umetudanganya, wanaume wanawai kumove on kuliko wanawake bhn.

  • @Keyjop
    @Keyjop 8 месяцев назад

    Mange anavuruga mpaka makanisa sembuse ww bro! jipe moyo mkuu ....ila umaalufu mzigo

  • @alibinali_
    @alibinali_ 9 месяцев назад +1

    So Sad Pole sana

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 8 месяцев назад

    Mahusiano ya week mbili unapata wapi nguvu ya kuelezea vizur😂😂😂

  • @SandreAlhlwah-bv1cx
    @SandreAlhlwah-bv1cx 8 месяцев назад +1

    Pole sana kaka

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 8 месяцев назад

    Lile libibi mange nalichukia sana na ndiyo maana Mungu kamnyima sura linadanganya limeolewa liongo huwa linalipa mwanaume pesa kupiga nae picha ili ionekane ni mume wake kumbe linaishi peke yake na linajiuza kwa vibabu ndiyo maana halina marafiki kila mara lipo peke yake eti kaolewa na bwana tajiri liongo likubwa lingeolewa na tajiri lingehangaika mitandaoni kila kukicha, MANGE LINA SURA MBAYA SANA

  • @mamaabduly
    @mamaabduly 9 месяцев назад +2

    HHUYU. KIJANA NI KWELI ANAJITAFUTA.. LKN ANATAKIWA AJITAFAKARI KUNA MAISHA AMEJIWEKEA KAMA KESHAFANIKIWA

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 9 месяцев назад +2

    Pole my dear boy, Mange k please be careful don't spoil maisha ya this guy is trying to make in life. His still young. If you have proof show him but don't screw his life.
    Gigy if it was real friendship with this young man prove it support him and find out the truth,

  • @LeilaSadik-o1w
    @LeilaSadik-o1w 8 месяцев назад

    NI MAPITO MWANANGU ILA KWA WALE WANAOKUTUKANA YATAPITAAA LKN WAEPUKE IKO SIKU WATAAMINI WAKIKUTAFUTA KAA NAO MBALI POLE SANA BABA

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 9 месяцев назад +2

    Pole saaana inaumiza saaana😂😂😂😂

  • @fortunataangelo5575
    @fortunataangelo5575 8 месяцев назад

    Bado kadogo maskini!

  • @chani_tayra_official1860
    @chani_tayra_official1860 9 месяцев назад +1

    Pole🥺🥺🥺very sad 😢😢😢

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 9 месяцев назад

    dicloper sio kali wewe acha ujinga kuna sumu furani hiv yakuulia ng'ombe sekunde tu uchelewi unasepa

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 9 месяцев назад +1

    Yani hujaumia kuitwa shoga,ila umeumia kuitwa mariooo weh sijaelewa hapo

    • @suleymanmakiwa1651
      @suleymanmakiwa1651 9 месяцев назад +1

      Duuh... Umetazama interview hii hii au umetazama nyingine?

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 8 месяцев назад

    Gigy alikua anatafuta Tu comfort....she is a no go zone woman.....hataki magandano...akishapoa anamea mbawa na kupaaah angani...atafute mahali pengn asimame....akishachoka😅😅

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 8 месяцев назад +1

    Mange mbwa jaman khaaaa

  • @chany9950
    @chany9950 9 месяцев назад +1

    Nimejikuta nalia😭 pore

  • @saumumasha-in2qw
    @saumumasha-in2qw 9 месяцев назад +2

    Pole bro pambana tu

  • @chimamilion
    @chimamilion 9 месяцев назад +1

    Mange akifa weng watafrai uyu dda nihtr nakilombili

  • @silverman6930
    @silverman6930 9 месяцев назад +1

    This is so sad.

  • @AngelaNyaulingo
    @AngelaNyaulingo 9 месяцев назад +1

    maskini nmejiskia vby

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 9 месяцев назад +1

    Mange anafaa afungwe tu anaeza fanya mtu afee kabisa 😢 unaamka tu n kumuharibia mtu maisha daa 🤔

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 7 месяцев назад

    MANGE na wanaokupa hizo taarifa na wewe unazianika bila uhakika mfeeee maana mtaua watoto wa watu

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 9 месяцев назад +1

    Anaongea km yupo kweny kipindi cha mapenzii

  • @MaddieMoreno-i7i
    @MaddieMoreno-i7i 9 месяцев назад

    Tatizo ni kwamba alikua anamwandikia Dayon ambae ni mwanaume alie jibadilisha jinsia Ndo maana sasa mtu kama huyo utamuita nani? Hawezi kuw straight

  • @chany9950
    @chany9950 9 месяцев назад +1

    Duuuh pore kaka👍🏽

  • @pendomkumbo8262
    @pendomkumbo8262 8 месяцев назад +1

    Funga comments kwenye post zako ama usipost kabisa ,jiweke kando na mitandao kabisa