MIAKA 22 SASA BABA MKWE HAJANIAFIKI | MAHUSIANO YA BARUA | NILINYIMWA KAZI KISA MIMI NI MUAFRIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025
  • Joshua ni Mtanzania ambae alikutana na mke wake kutoka shuleni Kigoma na alienda Ubelgiji kwa lengo la kujiendeleza kimasomo na kuendeleza mahusiano yao.
    Lakini alikutana na changamoto nyingi zilizofanya apoteze takribani miaka mitatu akihangaikia ndoto yake ya kusoma degree.
    Alikutana na ubaguzi wakati akiwa anatafuta kazi na ameeleza changamoto kadha wa kadha za kuishi ughaibuni.
    Thank you Joshua for allowing this to be online
    www.oda.international

Комментарии • 146

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 Год назад +13

    My brother Josua ameeleza Story yake vizuri sana,very smart guy,na anajua msimamo wake👍🏾lakini nimecheka sana 😂😂😂

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +10

    Maongezi mazuri sana kusikiliza. Kaka anajitambua hadi raha nimempenda mno.. Asante Shena na Joshua.

  • @olivabutoyi434
    @olivabutoyi434 10 месяцев назад +4

    Asante sana kwa kutoa advice kwa wale wanaodhani Ulaya ndio kila kitu na wale wanaume wanaodhani kazi za nyumbani kama kupika, kusafisha nyumba ni wanawake. Ubarikiwe kaka 🙏

  • @marthakimia4075
    @marthakimia4075 10 месяцев назад +1

    Joshua umenichekesha kweli kuhusu taarifa za kweli. Big up umeonyesha ulisoma Kwa wakatoliki has. Ubarikiwe

  • @sifuelylyamuya9698
    @sifuelylyamuya9698 2 месяца назад +1

    nimebahatika kuishi ubelgiji analozungumza juu ya ubaguzi ni kweli upo na kupata kazi kwa mgeni ni issue sana...hongera kwake kwa uvumilivu.>

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 месяца назад

      Karibu sana kwa kipindi tupate kujifunza kupitia experience yako +4367764790884

  • @jeremiahmwanyika869
    @jeremiahmwanyika869 11 месяцев назад +4

    Miaka 20 still kiswahili Bado Cha kigoma. Safi Sana kaka

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 Год назад +2

    Thanks Joshua, nimejifunza mengi. Hata mimi story ya mswedesh imenishangaza sana

  • @ClarenceFord-f4c
    @ClarenceFord-f4c Год назад +1

    Mpo vizuri mgeni n mcheshi na anajua kuelezea Host kama kawaida hujawai kuboa 😍😍my fav channel huku yutubu

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 Год назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂Nimempenda kaka Joshua,kwanza Nimemuelewa alafu nimejifunza kitu alafu nimefurai sana mana nimecheka sana🥰🥰🥰

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 Год назад +3

    Beautiful love story ❤.Hii tofauti sana na ile ya juzi. Pole sana na kuanza chuo Kweli Dutch ni lugha ngumu sana .

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Год назад +2

      Yule wa juzi yuko sahihi anajitambua na amepata anachotaka jifunze kuheshimu mitazamo ya watu

  • @EstherDegen
    @EstherDegen Год назад +2

    Kaka umenyoosha maelezo kweli kweli. Hii interwiev imevutia Sana 🔥🔥🔥👌👌👌👌

  • @SipeKato
    @SipeKato 5 месяцев назад

    Safi sana Joshua mm nimependaa ujiwekii Kaa tunao waona yes yah it's
    Upo sawa

  • @ClaraRuhara
    @ClaraRuhara 8 месяцев назад

    Joshua 'Mwakeye' umeongea ukweli mtupu, jamaa wakienda nchi za watu lazima wa adjust halafu pia una moyo wa huruma, huyo Mnigeria umemuokoa. Asante Shena kazi yako ni nzuri.

  • @lizbwoga9292
    @lizbwoga9292 11 месяцев назад

    This is the best interview that's educative, I've learned more things.
    Endelea kuelemisha watu wajue Siri ya maisha ya ngambo ama uzunguni hasa.
    Congratulations. Boke from Kenya watching

  • @marykatunzi2613
    @marykatunzi2613 Год назад

    Hongera Joshua. Mungu alikuchagulia mke mwema. Story yako ina mvuto wa aina yake. Ubarikiwe sana.

  • @bobboris4859
    @bobboris4859 Год назад +2

    Hongera joshua m nasoma Dutch online soon inshallah nitatokea huko nko na mualiko

  • @jocelyneedward
    @jocelyneedward Год назад +1

    Asante sana shena kwa kumleta kwetu Kaka Joshua .....hakika tunajifunza🎉🎉🎉

  • @olivabutoyi434
    @olivabutoyi434 10 месяцев назад +2

    Great interview kaka Joshua, 👍 👏. " wewe kama unaogopa nipe hiyo visa niende mimi " 😅😅 Wabongoo😅 wanafikiri Ulaya ndio mwisho wa matatizo😅

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Год назад +2

    🎉🎉 hongera interview ni nzuri sana kwa kaka joshua

  • @deograsiamgeni5716
    @deograsiamgeni5716 Год назад +1

    Kuuliza ghalama, kweli hiyo ni altitudes ya kiume asante Bro. Joshua, maanake sijaona kwa interview za akina Dada.

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd Год назад +2

    Hii fungua Mwaka Hongera sana Joshua

  • @Alice-Gyunda
    @Alice-Gyunda Год назад +9

    Daaaa maisha jamani. Ulianza vizuri mwenyewe maskini. Ila hongera sana na mpambano kaka Joshu

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 Год назад +20

    Hongera Kaka, umeongea MAPOINT SANA, wadada wenye wazungu acheni kujidanganya eti mimi sifanyi kazi napewa card natumia pesa ninavyotaka 😂, SOMENI, FANYA KAZI, BUSINESS.Ukiona Mzungu anakuacha ukae tu ujue anaogopa ukichakarika utakuwa mjanja.

    • @dayana5513story
      @dayana5513story Год назад +3

      Sanamu yako pls🙌

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Год назад +4

      ​​​​@@dayana5513story😂huwa nawasikiliza tu mitandaoni wanajazana ujinga, watakuja kukumbuka kujifunika shuka kutakuwa kumeshakucha 😂

    • @dayana5513story
      @dayana5513story Год назад

      @@homeandaway2811 😆

    • @mmasipeter4157
      @mmasipeter4157 Год назад

      ​@@homeandaway2811mmmmh aiseeee daaaah uko na ujinga

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 Год назад

      @@homeandaway2811kweli kabisa hawajui walitendalo eti mzungu wangu hataki nifanye kazi hawajui kama wanajipotezea kesho ukiriya utatumia nini wengi hawajielewi ndio hao bibi anaumwa,shangazi kakatika mguu nataka hele ya kumnunulia piopio wanajazana ujinga

  • @olympiamtenga8761
    @olympiamtenga8761 Год назад +3

    Story nzuri sana hongera sana kaka

  • @rosengandile129
    @rosengandile129 Год назад +3

    My brother Josua nimekukubali umetoa elimu ya kutosha

  • @EricTrillz
    @EricTrillz Год назад +5

    Yaani nimecheka leo.Aki maisha ni safari ndefu.

  • @hamidumweyunge4722
    @hamidumweyunge4722 Год назад +2

    Safi sana nimekusoma vizuri maelezo yako ni mazuri

  • @shalibrutsch-vlog
    @shalibrutsch-vlog Год назад +1

    Wow. Asante kwa Interview nzuri

  • @rosechitimbo4306
    @rosechitimbo4306 9 месяцев назад

    Joshua nimekufutahia kwa mwanzo wako wa mahusiano.hukuwa mwepesi hiyo ilikusaidia sana mubelgiji kukuelewa zaidi.it is interesting

  • @LEMA-q2v
    @LEMA-q2v Год назад +5

    Ubaguzi upo kila sehemu. Watoto wangu mara ya kwanza kubaguliwa ilikua Tz Yani mpaka Leo sita kaa nisahau hii Siku. Na ndio Siku niliyo gundua kua ubaguzi upo kila sehemu kama ulivyo sema kaka Joshua hata Sisi wenyewe kwa wenyewe tunabaguana hata ndugu kwa ndugu tunabaguana.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Год назад +2

    Wow story nzuri sana.

  • @MillyOwnio
    @MillyOwnio Год назад +4

    Such an inspiring story👌

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 8 месяцев назад +1

    Gefeliciteerd broer, God is goed alle tijd.

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 Год назад +2

    Very nice interview 👍 👌

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Год назад +3

    Interview nzuri nimeipenda.

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 9 месяцев назад +3

    Da shena asante sana kwa kumleta uyu mbamba maana nimecheka mbavu zangu mie jamani 😂😂😂😂😂😂

  • @SofiaJuma-g4s
    @SofiaJuma-g4s Год назад +1

    Asante kwa darasa

  • @jumaiddy-jm5wo
    @jumaiddy-jm5wo Год назад +3

    Mzee wa eye contact, safi sana. 😄

  • @jadetoto
    @jadetoto 8 месяцев назад

    Kaka Joshua bado bado yanki ana mwili mzuri sana Dongo lake zuri Aongeze mke basi wa kibongo nguvu bado haijatumika vizuri😅

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 Год назад

    Asante sana kwa somo Hakika nime jifunza

  • @sherry7339
    @sherry7339 6 месяцев назад

    Msimamo man!!!! nimependa sana behaviour and character yako safi sana broo

  • @atomphoton5000
    @atomphoton5000 Год назад +1

    at 1:54:30 hapo jamaa kagonga kwenye point, hii ipo marafiki including mama mkwe wana maswali mengi ya nguoni sana wanataka wajue mpango makakati na binti yao kama hauna wataanza kukupunguza taratibu. Huyu jamaa inaoneka amesha sana na wazungu anawajua nje ndani

  • @Rukia-z6u
    @Rukia-z6u 27 дней назад

    Sisi waha kuja kubadili assert zetu kazi sana.

  • @NancyKazinduki
    @NancyKazinduki Год назад +1

    Uyoo mkuu wa shule yupo vizuri sana.

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt Год назад +1

    Uyu kaka yupo vzr anajitambua wengine mbwembwe nyingi

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt Год назад

    Asante nimependa

  • @beatricejohnkomba3076
    @beatricejohnkomba3076 8 месяцев назад

    😂😂😂 nimecheka kweli kaka Joshua upo vizuri

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 10 месяцев назад +2

    58:00 shena ulivyocheka umependeza saaaana😂😂

  • @nurumasha
    @nurumasha Год назад +6

    Katika interview nilizoinjoy hii ni moja wapo mana tumeanziwa high-school mpaka Belgium sio mchezo😊 nimempenda kaka Joshua natamani aje tena

  • @anetkileo2461
    @anetkileo2461 Год назад +2

    Jaman nimependa hii story na nimejifunza vitu vingi

  • @rosemunisi818
    @rosemunisi818 Год назад +4

    Mapenzi ya zamani yalikuwa mazuri

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 Год назад +1

    Hadithi nzuri mno,

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 9 месяцев назад

    Wa kwetu Kigoma 😂😂😂 mmenifurahisha kwa kweli, mazungumzo mazuri sana. Hongera sana kwa ujumla. Mmepambana sana, mwendo huo huo. 😆 🤣

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd Год назад +2

    😂😂😂😂😂apewe maua yake kaka Joshua 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie Год назад +1

    Namie nipo ubeljiji natokea kigoma😊

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar Год назад +2

    Mie napenda kupika....napika chips kuku 🤣

  • @SharifaSalim-g7k
    @SharifaSalim-g7k Год назад

    Big up kijana umeongea point

  • @mbonijabut1405
    @mbonijabut1405 10 месяцев назад +1

    Kipindi kizuri sana❤

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 9 месяцев назад

    Nzuri

  • @joharimillanga1587
    @joharimillanga1587 10 месяцев назад +3

    Nimependa ako kama anaishi Kigoma tu, lugha yake. Mkuu alikuwa hana ubaya

  • @Ndokole
    @Ndokole Год назад +2

    👏👏

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 9 месяцев назад

    Nimependa story , anachekesha Sana 😂😂😂😂

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 9 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂 kaka anazunguka huyu jamani hahahaa seminari tunajuana , 😅😅😅😅 But shena hongera kwa kuwa mtulivu kumsikiliza huyu mbaba ,

  • @joycehagman3086
    @joycehagman3086 Год назад +1

    Ukweli baba Mimi nimekaa na umalaya na umarekani. Luga na utamaduni zao ujifunze.muangalie sasa

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 Год назад +2

    Hongera, ila unakutana na hawa wapuuzi amekaa miezi 2 nnje kashabadilisha rugha mjifunze kwa huyu mkigoma 😂

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 Год назад +5

    Kupatwa kwa muha na mzungu😂😂😂😂

  • @jocelyneedward
    @jocelyneedward Год назад +3

    Eye contact😂😂😂😂😂

  • @samirhassan7764
    @samirhassan7764 10 месяцев назад +1

    @Official Dating Assistance hiyo rafiki yake naye mtafute atupe uhondo na mwenyewe.

  • @Annie_944
    @Annie_944 Год назад +6

    Hahahah lafudhi ya kiha bado ipo mule mule😂😂😂.. Raha sanaaaa

  • @zamBakar-y3j
    @zamBakar-y3j Год назад

    Kaka Joshua nimependa interview yako

  • @barakamazigo4840
    @barakamazigo4840 11 месяцев назад

    Nmekuelew xn pia nmependa xn hujapoteza lugha yako kaka nmexkiliza interview nyingi weng ni uzungu xn neno moja kingereza nmependa kusikia kiswahili safi pia rafuz ya kigoma kwer nmefurah shena tafuta watu kama hawa

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 Год назад

    Hoongera sana nimfurahi sana

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt Год назад

    Wewe ni mkarm sana kaka yakwako aitavunjika

  • @hellenondiso9542
    @hellenondiso9542 Год назад +1

    Nakuambia hii nime enjoy kuskiza nimecheka nimefurahi ati anakatiwa nae haona jicho😂😂😂😂😂😂

  • @sleahngelenge1021
    @sleahngelenge1021 6 месяцев назад

    😮

  • @imakulatabakarysumaye9235
    @imakulatabakarysumaye9235 Год назад

    Nimependa sana hii interview😂

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 Год назад

    Joshua mpaqa leo hajaacha rafudhi ya qwao nmependa

  • @SabrinaGachu
    @SabrinaGachu 20 дней назад

    Waaaoh chambu jamani mwidiwe see

  • @JaneAssey-x2f
    @JaneAssey-x2f Год назад

    Wow

  • @hedayamohammed2781
    @hedayamohammed2781 9 месяцев назад

    Joshua nime😂😂😂 na nimejufunza kitu

  • @MamaLio475
    @MamaLio475 Год назад +1

    😂😂amenichekesha sana et unaona mtu anasogea taratiiibu😂😂😂

  • @AMEMUSSA-cr8my
    @AMEMUSSA-cr8my 24 дня назад

    Una watoto wangapi?

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 Год назад

    Haki wachu umenivunja mbavu hapo kwenye Jicho wewe hukujua aliona vipi wewe hujui😂😂😂😂❤❤

  • @Hawamoshi-j7r
    @Hawamoshi-j7r 5 месяцев назад

    Nyie mnazungumzia mapenzi tu mbona hamongeli kazi

  • @calistgwaydamuy8813
    @calistgwaydamuy8813 Год назад

    Chezea eye contact wew

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 11 месяцев назад

    Tumemiss kujua kama huwa wanakuja Kigoma na watoto na reaction ya ndugu inakuwaje.

  • @rosechitimbo4306
    @rosechitimbo4306 9 месяцев назад

    Yaani unaongea straight

  • @dol-pnintz2503
    @dol-pnintz2503 Год назад

    Uliza ana watoto wangapi?

  • @winniemyamba1630
    @winniemyamba1630 Год назад +2

    Nimeamini mwanamke akitaka jambo lake hawezi shindwa😂😂😂 mwalimu mkuu apewe maua yake.....

  • @cleopatrahenry7541
    @cleopatrahenry7541 8 месяцев назад

    Sijui nini na nini 😅😅😅

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Год назад +3

    Sasa Joshua miaka 17 ya ndoa halafu watoto 2 tu jamani!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar Год назад

      Wazungu hawana mila za kuwa na watoto wengi hao 2 ni bahati. Mie nilipo zaa mtoto 3 wakwe zangu wanauliza again one more ? utafikiri nimeleta kijiji

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 9 месяцев назад

      Wazungu. Walio wengi ni mtoto Mmoja tu kamaliza

    • @zainabsibuma-omary7061
      @zainabsibuma-omary7061 9 месяцев назад

      ​@@aromaofzanzibar😅

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Год назад +2

    Kwa watu wasio conscious wakibaguliwa sana uwa wanatafuta njia ya ku justify ubaguzi , naona bingwa ubaguzi wa Ngozi uliokithiri wa Ubgelgiji analinganisha na ubaguzi wa Tanzania 🇹🇿 😅😅😅 Belgium ni wabaguzi kuliko maelezo na ni mbaya sana huyo jamaa inaonekana anaona ni sawa kubaguliwa na kutafuta sababu za kujifariji za kubaguliwa!

    • @trixiecyja2513
      @trixiecyja2513 Год назад

      If only people will understand your point..Bravo.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Год назад

      Ubelgiji Lukaka kazaliwa kule na kafanya makubwa anakila kitu ila analalamika ubaguzi ila muha wa kigoma anajustify.

    • @bakermusa9033
      @bakermusa9033 10 месяцев назад

      Huyo jamaa inaekekea alishakuwa sugu na kajikubali kubaguliwa mi nikikumbana na ubaguzi huwa nahsi kichaa kinapanda . Duuu ati Tanzania kuna ubaguzi

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 9 месяцев назад

    Yani ya mtoto wangu nimeongea haswaaa hasikii , namchapaa , wakimchukua acha wakae nae watasaidia kulea

  • @dol-pnintz2503
    @dol-pnintz2503 Год назад

    Ajasema amepata kazi au ubaguzi uliendelea

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 10 месяцев назад

    Duuu sasa mtu mnajutana kwenye Tereni hafu simu haina kerediti ni noma

  • @sellysang7504
    @sellysang7504 Год назад

    BEIGE HOME 🎉

  • @eliyashija1572
    @eliyashija1572 10 месяцев назад +1

    Dada muhoji na rafiki yake

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 Год назад +2

    Kaka una kiti chako mbinguni

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 11 месяцев назад

    Eyes contact 😂😂😂😂❤❤❤

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 Год назад +5

    😂😂😂 Hii ya Joshua imenifurahisha sana ila hongera kwa uvumilivu wa mahusiano