WAGENI WANAOFANYA UMACHINGA NCHINI KUKIONA CHA MOTO DAWA IMEPATIKANA - JAFO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • DAR ES SALAAM :WAZIRI wa Viwanda na Biashara Selemani Jafo ameunda kamati ya watu 15 kwa ajili ya kufuatilia changamoto inayowakumba wafanyabiashara wa Kariakoo ya wawekezaji wageni wanaokuja nchini na ajenda ya ya uwekezaji kinyume chake wanajishughulisha na biashara za rejereja (Wamachinga) hivyo kuathiri uchumi wa wafanyabiashara wazawa
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

Комментарии • 32