LivenaGee: MTANZANIA ATOBOA SIRI YA 'MAKINIKIA' NA TEKNOLOJIA INAYOFANYA CHINA KUTOIACHIA TAIWAN .

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Madinidotcom ni radio magazine, TAARIFA na MAARIFA kwa lugha 'simpo' 🌍
    every Saturday 3:00pm - 4:00pm on Eastafrica radio.
    Instagram : / madinidotcom
    X - x.com/madinido....
    youtube ‪: / @madinidotcom

Комментарии • 47

  • @yassinkanal
    @yassinkanal 6 дней назад +9

    Best interview sema kaka inabd umuhalike tena uyo jamaa atufungue ubongo watanzania hatutumii fursa kabsa tunabakia kuwa machawa tu

    • @harounmaarufu3241
      @harounmaarufu3241 5 дней назад

      Machawa ni hatari sana ,sasa hivi ni kunguni na ndo wanathaminiwa na wanapata kazi lakini watu wenye vyeti hawapati kitu

  • @geofreykimaro5859
    @geofreykimaro5859 4 дня назад +2

    Hongera Saana Broo
    Big up Saana Pamabana Uwainuwa Vijana wezako Be blessed

  • @oscarkallinga8343
    @oscarkallinga8343 6 дней назад +16

    Upo sahihi sana kwenye hilo la kudharauliana.nilienda Austria.nikakutana na watanzania watatu.nikawasikia wanaongea kiswahili cha kwetu.nikawasalimia wakacheka hawakujibu.so watz tukikutana nchi zawatu, kilamtu anadhani mwenie anataka kumuomba msaada.anamkwepa.ni ujinga mkubwa sana.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 4 дня назад +1

    Upo vizuri sana

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 5 дней назад +2

    Kila la kheri brother. Usirudi huku watu wana roho mbaya

  • @stevenmrama3123
    @stevenmrama3123 5 дней назад

    Safi sana interview

  • @JacksonKadumo
    @JacksonKadumo 6 дней назад +4

    Jamaa yupo sahihi sana, yaani ss huku wasomi wa tz hawaeleweki kabisa, maana unamkuta eti yy ni plofesa, lakini unamkuta ni chawa wa mm, badala yakubuni mambo ya maendeleo ya taifa.

  • @abasimkawase
    @abasimkawase 6 дней назад +1

    wow wow I like it 👍

  • @eliasamdimi5870
    @eliasamdimi5870 2 дня назад +1

    SAHIHISHO. Ikumbukwe wachina hawana migodi ya dhahabu Tanzania. Waendeshaji migodi ya dhahabu Tanzania ni (Barrick) ndio waliokuwa wanauza makinikia China.

  • @evaristindekisa4721
    @evaristindekisa4721 6 дней назад

    Madini ✅

  • @johnlubango4158
    @johnlubango4158 5 дней назад +1

    Mechatronics 💯

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 5 дней назад +3

    Huo umeme wa 30kw mbona ni mdogo sana, wa nyumba za kawaida, kama 6-10 TU! Mbona sijakuelewa, TZ kuna mega watts za umeme, inamaana bado haufai kuendesha hako kakiwanda😂😂😂😂

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 6 дней назад

    Madini ya kutoshaa safi sanaa

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 6 дней назад +4

    Technology wanazopata wabongo nje ya nchi unashndwa kuzaa matunda ndan ya nchi sababu ya viongoz tulionao n vilaza wao wanawaza siasa uchwara kukopa kuomba misaada na kukusanya Kodi lakn hawana akil yakutafuta pesa zaidi yakuiba pesa walizokopa na misaada waliopewa kwenda kufanyia starehe nje ya nchi

  • @yassinkanal
    @yassinkanal 6 дней назад +8

    Haya ndo mambo ya kuongea sio kila sku simba mala yangq upuuzi mtupu

  • @DeogratiusKashumba
    @DeogratiusKashumba 5 дней назад

    good brooh, can you share the name of that lady mention as she teaches people how to express their skills in linkedIn

  • @shijakuligi2674
    @shijakuligi2674 6 дней назад +1

    tunaomba tupate namba ya ndugu yetu kwa maelezo zaidi plz plz

  • @ibrahimpanda3191
    @ibrahimpanda3191 6 дней назад +4

    Npo mainland China. Natamani kupata mawasiliano ya brother.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 5 дней назад +3

    Viongozi wetu na serikali yetu wamekuwa ni gatekeepars badala ya kuangalia kuwa watanzania wengi walioko ughaibuni wanamchango mkubwa sana katika jitihada za kuendeleza nchi yetu, badala ya kuwakaribisha kuja kusaidia wao wanawabeza na kuwaita wakimbizi ama wasaliti, kitu ambacho kinasikitisha sana. Tuko radhi kama nchi kuleta watu weupe wenye elimu ndogo ati kuja kutusaidia kazi na tunawalipa pesa nyingi sana bila hata ya kujali maslahi ya watanzania walio wengi.

  • @T_Darius
    @T_Darius 10 часов назад

    aongea hayo ukiwa Taiwan ukija mainland useme wako tofauti na wachina unaweza kufungwa au kurudishwa, ni jambo lililo kwenye katiba na very sensitive

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 4 дня назад

    Yupo kwenye kitengo hatari sana kwa afya ndo maana umekuta huko mtu mweup, iyo sio bahati ni kujiua

  • @elibarikkiakyoo-w7p
    @elibarikkiakyoo-w7p День назад

    ece
    eee
    it

  • @michaeldjunior1023
    @michaeldjunior1023 6 дней назад +2

    Nmesikia hata solar panels ni mchanga pia

  • @Worldunite
    @Worldunite 5 дней назад +1

    rip JPM,alitufumbua macho

  • @levispaultitus8623
    @levispaultitus8623 2 дня назад

    Tnzania ni watu wenye akili sana kama taifa hatuna dira inayotumonitor kuwa na ushindani kimataifa serikali ione hili kama changamoto kwa watanzania mimi ni mtalaam wa electronic nimemuelewa uwekezaji wa kitecknologia kama nchi za nje namna walivyojipambanuwa si kazi ndogo kufika hapo kikubwa nchi yetu tufanye uwekezaji tunaoweza kuufanya.

  • @Stans_Tz
    @Stans_Tz 6 дней назад +3

    Zingatia hili, mashine wanayoitengeneza "Zinatengenezwa microchip laki 5 ndani ya square mm 1"

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 6 дней назад +1

      Ni ndogo hadi hazionekani aisee.

    • @Stans_Tz
      @Stans_Tz 5 дней назад +1

      @ balaa

  • @benmuberwa2092
    @benmuberwa2092 5 дней назад +1

    Nafikiri au sijuhi kama nimesikia vizuri. 30KW ni umeme wa kawaida. 30KW zinawasha nyumba za middle class kama 8 hivi. Itabidi tupate ufafanuzi

    • @philipchatila8238
      @philipchatila8238 4 дня назад

      30KW ni kifaa kinachotengenezwa ndio kinarun kwa 30KW, ila machine inayotengeneza ndio inahitaji power ya kufa mtu

  • @HansChuma
    @HansChuma 6 дней назад +2

    😂😂😂😂 huku tanzania viongozi nikulabata kudanganya watu😂dah yani UPUMBAVU kujaa Utasikia ooooh twende tukaandamane Miaka mingine tena mwingine nae anasema Tanzania hii tunaibiwa sana wakat wao wenyewe pia WEZI tena watumwa wa MABEBERU hawako na UZARENDO na Nchi yetu Kazi Wizi mtupu dah😢😢😢😢😢 Tanzania tanzania dah!

  • @peterjs33
    @peterjs33 4 дня назад

    Kweli kabisa swala la dharau kwa wabongo hiyo ni attitude yetu hii inatumaliza

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 6 дней назад +1

    VIONGOZI WETU WANA MATUMBO MAKUBWA TU, NA AKILI ZA MAUAJI! WENZETU WANAENDELEA NCHI ZAO KUPITIA TANGANYIKA😭😭😭

  • @RajanMunisi
    @RajanMunisi 7 часов назад

    Uyu kusema hatutofika dah

  • @ShevernadzeLenga
    @ShevernadzeLenga 4 дня назад

    Hilo swala la silicon wafer na lithography ngoja nianze nalo kulielewa

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 6 дней назад

    Huku watu hawaumizi vichwa kwenye mambo ya mhimu kama mipango ya nyuma 40 kwenye kuwekeza mipango ya muda mrefu Sana matunda ya leo yanaonekana sisi huku kubatisha mipira

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 6 дней назад +1

    Picha linaanza, kwali hiyo ndo roho ya dunia

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 5 дней назад

    Taifa limetengeneza vijana wa hovyo sana.dharau wakati hana kitu.kijana umenifungua masikio na akili.kuna haja ya taifa kupata viongozi wabunifu na wazalendo.kuhusu elimu mimi hii nilishakuwa na mashaka nayo sana

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 5 дней назад

    NAOMBA msada wako kaka NILIPO andika soma comment yangu YOTE hapo

  • @YohanaSemwenda-s7r
    @YohanaSemwenda-s7r 6 дней назад

    yani elimu kubwa sana mnatoa

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 6 дней назад +1

    Halafu uti wa mgongo ji Linux

  • @HauleKitwange
    @HauleKitwange 6 дней назад +1

    mume tisha kk

  • @SalumMakalani
    @SalumMakalani 6 дней назад

    One milimita par 500000 duh