SHAJARA YA MC GARA B: NILIUMWA UCHIZI , NIKAENDA KWA WAGANGA, BABA YANGU ALIPATA AJALI BATANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 29

  • @denizakituli4714
    @denizakituli4714 7 месяцев назад +5

    Very inspiring story, nimezidi kumpenda GaraB jamani. Mungu azidi kumtegemeza.

  • @sembasemba8724
    @sembasemba8724 7 месяцев назад +4

    Nakuelewa sana,mm naye nilitibiwa changamoto ya afya ya akili,Jamani usiombe kupitia changamoto hio

  • @modekaijames
    @modekaijames 7 месяцев назад +10

    Story ya huyu mwamba inatufunza tusichukie mafanikio ya mtu bila kujua historia yake
    Haki nimejifunza kitu

  • @roseshonyera9929
    @roseshonyera9929 7 месяцев назад +3

    Appreciate a lot 🎉

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 7 месяцев назад +2

    Mungu ni mwema, mama amepambana sana.

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 7 месяцев назад +1

    Pole na hongera pia 🎉❤😢

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 7 месяцев назад +2

    Pole sana

  • @SharifaMohammed-el3ug
    @SharifaMohammed-el3ug 7 месяцев назад +1

    Mungu akutunze

  • @SharifaMohammed-el3ug
    @SharifaMohammed-el3ug 7 месяцев назад +4

    Mwili umeingia baridi

  • @khadijauledi3293
    @khadijauledi3293 7 месяцев назад +2

    BONGE LA SHOW

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 7 месяцев назад +1

    Maskini.pole.uenda maralia.yalikuwa.sugu ikapqnda.kichwani jamani so sory.uwiii maskini uenda ilikuwa.maralia sugu❤

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 7 месяцев назад

    Shajara💥

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 7 месяцев назад +3

    Mwamba kabisa yaaan uwa nikiangalia interview zako galab sikose kutoka na kitu

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 7 месяцев назад

    😂😂😂😂😂Garab et mwezi mchanga🎉

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 7 месяцев назад

      Mungu ni mwaminifu sana pole kaka yngu doh

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 7 месяцев назад

    ❤🎉

  • @joycelaura4611
    @joycelaura4611 7 месяцев назад

    watu wa hivi wana akili sana akili zilizidi wala sio kulogwa

  • @SharifaMohammed-el3ug
    @SharifaMohammed-el3ug 7 месяцев назад

    Mapito. Natamani kukuons yaani. Akili nyingi zilisumbua

  • @digital-d2t
    @digital-d2t 7 месяцев назад +2

    Miaka 6 huwezi kukumbuka yote hayo. ACHA kutufunga kamba😂

    • @oliviaseth4652
      @oliviaseth4652 7 месяцев назад +3

      Ulimlea? Au unamjua toka zamani.

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 7 месяцев назад +9

      Basi wewe utakua kichwa kibovu kama hukumbuki matukio ya miaka 6 😂

    • @florakimaro-vw7qj
      @florakimaro-vw7qj 7 месяцев назад +3

      Mtoto anaweza kukumbuka miaka 6 unakumbuka kabisa

    • @beatricehenry6776
      @beatricehenry6776 7 месяцев назад +2

      Ana chuki huyu

    • @NathaliceMushi
      @NathaliceMushi 7 месяцев назад +2

      Aiseee ww inaonekana kumbukumbu zako nichache mno unamshangaa gara b kukumbuka vitu vyamiaka 6