Nazani watanzania tumejifunza kitu unapo ona mtu anapambana plz usimvunje moyo hata kama unaona anafanya kitu ambacho hakipo kwenye kiwango unacho kitaka plz mpe mda usimu mvunje moyo
Daaah bro u the best,... Kupitia wewe Nimejifunza kitu, and I loved the way unamuappreciate mungu Kwa Kila jambo pia nimeona umuhimu wa familia kaka au dada kushikana pamoja Kwa nyakati zotee, thanks so much and God bless you 🙏🙏🙏🙏
Very interested story ... ukitoa kitu kumpa mtu wakati na wewe huna huo sio msaada ni upendo❤.. usisubiri uwe tajiri ndio usaidie wengine ... nimejifunza vingi😊
Sema Jamaa ni bonge Moja la story teller. Unaweza kumsikiliza hata siku mzima usimchoke..👍
Inshallah na mimi nikilud nikuja kutoa historia yangu clouds Inshallah 😢😢
Huyu jamaa hata aongee mwaka mzima hachoshi anajua sana huyu story teller
May you're pockets never lack.. May the Almighty God bless you ❤❤❤lots of love from Kenya 🇰🇪🇰🇪❤️❤️🙏
Nataman kumuona nasri jamn daaaa jamn 😢
Baada ya kukujua nimeskia mengi kuhusu ww na nimejifunza mengi,mungu akubariki Ili uwe daraja kwa kila mtu❤
Nimegundua jamaa anabahati Ya Kuwa Na Ndugu wenye Mtazamo sawa Na yeye. Hongera
Niwaza ni comment kitu lakini nimebaki na maumivu kwenye kifua changu only nitachoweza kusema
MUNGU MWEMA SANA
Hii Shajara haija isha coz bado hatuja jua kama yule kaka yake mkubwa walimpata wapi?
Nazani watanzania tumejifunza kitu unapo ona mtu anapambana plz usimvunje moyo hata kama unaona anafanya kitu ambacho hakipo kwenye kiwango unacho kitaka plz mpe mda usimu mvunje moyo
Daaah bro u the best,... Kupitia wewe Nimejifunza kitu, and I loved the way unamuappreciate mungu Kwa Kila jambo pia nimeona umuhimu wa familia kaka au dada kushikana pamoja Kwa nyakati zotee, thanks so much and God bless you 🙏🙏🙏🙏
Nilijua Nina historia ya maisha kumbe ni title ya maisha dah it's so impressive and sad story😢
Story ya wewe na dalali it’s was a miracle bro.. absolutely its was miracle 🙌🏻
Du pole sana
Daaa nimecheka sana kwenye point ya mchungaji. " Mungu akikuinua, usijiinue" 😅🤣. Mchungaji imani ilishuka 😂
Sana 😆😆😆
Mbona coy ajamaliza tunaomba PART 3
Story like a movie,respect kwako
Anaweza kutengeneza Isidingo yake kabisa. All in all Mungu anajua namna ya kuwatetea watu wake
Story nzuri sana
Keep it up bro
Very interested story ... ukitoa kitu kumpa mtu wakati na wewe huna huo sio msaada ni upendo❤.. usisubiri uwe tajiri ndio usaidie wengine ... nimejifunza vingi😊
Absolutely true 🙌🏻
U the real soldier brother.. mungu akubarik hadi uchoke mwenyewe.. Skujua kua mama mawigi ni agent wa CIA😁🙌🙌 mega S/O to her
😂😂😂😂 Idris tukutane mahakamani🙌
Jmn Mungu yupo, tuendlee kumwamini❤❤❤
Mpatie shajara ingine he has a lot to tell 😇
Nilikuwa naisubili sana.
This interview is woooww😂😂😂
Nimejifunza ktk maisha wote walionyanyuka wamepita magumu mno kikubwa kueshim Kila mtu,kuwa na heshima ya pesa hata kama nikidogo
Asante dj na like utapata
Salute bro Coy 🎉🎉🎉❤
MUNGU AKUBARIKI SANA
Tuendleeee kuomba Mung nakupmbna Mung yupooo❤
Yaani sichoki kusikiliza
I real apriciate that guy
Kweli mwenyezi mungu Amtup.mjawake
This is the best
Mm nilijua coy mzungu mkenya
Kwani ni kabila gani?
Natamani isihisha😢😢
Tunaomba sehemu ya 3 please
Hii stori imeniliza saana , haya maisha achana nayo
Mpeni shajara nyingine kuna point za msingi ambazo hakuzizungumzia kiundani
Naona bado hajamaliza, naomba arudi tena aisee
God akubless sana brooo
Best storytelling
A good story teller 🙌🏾 very interesting
Respect kwako @Coy_mzungu
Nimekumbuka ulikuwa ukidasi kanisa la shalom home
Mungu akupe maisha marefu bro na uwezo wa kuendelea kusaidia watu zaid
Tunaomba part 3 ya coy
Kutokana na hii story ya Maisha yako Bro coy nazidi kuamini kukata tamaa ni mwiko
Hongera sana Coy una story ya huzuni sana na furaha sana. Mwacheni Mungu aitwe Mungu!
Salute 😢
Very inspiring
God is good❤
Hiyo ya terehe 28 nilihiyona
Bado kuna shajara ya tatu hajamaliza
ukidasili kwa kimalkia: *WHITE COY'S DIARY: I WAS GROWN UP WITH A MEDICINE, I DID NOT WANT TO BE NORMAL, CHURCHILL FORECASTED ME*
Duuh nimejifunz meng mnoo
Good Show!!!!!
Tuendelezeeee bhn
🔥🔥🔥🔥
Kafanana na nyanshiski
Tumesubir sana 😄
Mbona colour mbaya sana clouds mnakwama wpi
Kumbe yule ni mama yako
tunataka kumuona nasrii.
Tunaomba shajara ya tatu na @Coy_mzungu