Isha Hayanifiki

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 507

  • @ernestabima5161
    @ernestabima5161 4 месяца назад +11

    Kutoka Kitongojini Kisii Kenya,2024 bado shairi linatamba ❤

  • @monicamussa7655
    @monicamussa7655 Год назад +77

    Tunaoendelea 2023 kuangalia hii ngoma twende kazi

  • @kindenyamubanga2403
    @kindenyamubanga2403 Год назад +11

    Aish 2023 ya🔥🔥🔥🔥🔥🔥 inawaka tuuuu Aina bay Mwanangu😘😘😘😘

  • @Geofrey-we1tv
    @Geofrey-we1tv Год назад +16

    2023 bado nasikiliza huu wimbo duh naenjoy sana

  • @allyabdallahmsusa
    @allyabdallahmsusa 9 месяцев назад +10

    Mziki mzuri huishi miaka mingi ❤❤🎉 11 /2/ 2024

  • @MkundeLugula
    @MkundeLugula Месяц назад +1

    Hapo nilikuwa mama k daaah naenda na CD yangu kwenye shughuli niwekewe hii nyimbo au kazi ya mungu aingiliwi Ile ndio ulevi wangu nasikia raha balaaa 😂😂😂

  • @charlesnjeru5137
    @charlesnjeru5137 2 месяца назад +1

    Napenda hii Ngoma Sana. Ahsante Isha

  • @kindenyamubanga2403
    @kindenyamubanga2403 Год назад +4

    JAHAZ MERODY TAHARABU DAAAH 😁🔥ilikuwa pambe ujuwe mngendeleya pamoja mngekuwa mbali sanaaaa 🙏🙏🙏 ila mungu yupooo na nyinyi KAZI NA DAWA WENGINE WALOKUFA WALALE MAHALI PEMA

  • @fatmarashidi8353
    @fatmarashidi8353 6 лет назад +10

    Naipenda inyimbo kilannap itazam na kuisililiz bado mpya kwang pend san wew mungu akuepush na maasidi inshaallah

  • @mlekwadaud2530
    @mlekwadaud2530 29 дней назад +1

    Isha ktk ubora wake, safi sana

  • @mwanakherymohamedy6970
    @mwanakherymohamedy6970 4 года назад +7

    Hongereni nawapa kwa mliyo yadhamiria asanteni nashukuru kwa mlionifanyia🙌

  • @ndeesaid7267
    @ndeesaid7267 Год назад +4

    Yani huu wimbo utaendelea kutamba kwakua mashabiki yake yamepingiliwa sanaaaa. Mpaka 2025 utaendelea kutamba.

  • @mariamumariamu1003
    @mariamumariamu1003 4 года назад +21

    2020 tujuane wifi free mpo 💕🙌🔥 penda sana isha wang

    • @monicasteven7566
      @monicasteven7566 4 года назад +3

      Like zenu 9 .12. 2020 kamamnaikubali hingoma

  • @jobmichaelweringa5951
    @jobmichaelweringa5951 Месяц назад +1

    Hii hadi 2030 inshallah intavuma tu. Sisi ndio twazeeka but hii mashairi itasimama kwa Jina la mungu

  • @jumaramadhani4781
    @jumaramadhani4781 3 года назад +6

    Mashallllah!!!!! Hayanifiki abadan asilani kwauwezo wa mwenyezi mungu

  • @selemanshidda9688
    @selemanshidda9688 4 года назад +18

    This is really Tanzanian music. Tanzanians are very good at this kind of music. I suggest that Tanzanian musicians should follow this route.

    • @allyzanzibar8983
      @allyzanzibar8983 2 года назад

      Lol 😂 😂 😂 😂 😂 not really from Tanzania
      The vibes from Zanzibar the East Coast nowhere else around the world

    • @MakoyeManyanda-og9ns
      @MakoyeManyanda-og9ns Год назад

      ​@@allyzanzibar8983😮❤❤

  • @doreemoshi8707
    @doreemoshi8707 4 года назад +47

    Hayatonifika inshallah 2020 pigakele wewe piga kelele Kwa baby isha

  • @sophiaramadhan2921
    @sophiaramadhan2921 4 года назад +15

    Am in Love with this song......ubarikiwe sanaaa Aisha Ramadhani

  • @salmaomary979
    @salmaomary979 4 года назад +3

    Hongereni nawapa kwamliodhamiria asanten nashkur kwamlionifanyia..
    Hiz nfio taarab bwana unaimba kwahisia 2020 iyoo

  • @richardassey456
    @richardassey456 4 года назад +11

    Toka nasikiliza huu wimbo hauishi utamu kabisa naona Kama vile umetoka Jana vile jamani

  • @Geofrey-we1tv
    @Geofrey-we1tv Год назад +3

    Nakumbuka mbali sana JAHAZI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @shabanimohamedi4778
    @shabanimohamedi4778 4 года назад +29

    Km waiangalia hii taarabu 13-02-2020 km mm like

  • @lukakaumatiku8350
    @lukakaumatiku8350 7 лет назад +6

    Tangu mwk 2004 bado sijafikiria kusikiliza wimbo huu Hongera I
    sha Ramadhanj

  • @tunjewehu9857
    @tunjewehu9857 6 лет назад +33

    Sikiliza mistari na vina vilivyo poromoshwa.tamu kuliko asali .shutu habibaty love you bg 😘😘😘😍👏👍🙌👌

  • @pilimpinga647
    @pilimpinga647 Месяц назад +1

    Mashairi yaliyotumika humu🔥🔥🔥

  • @pillyramadhan9607
    @pillyramadhan9607 4 года назад +6

    Inshaa-Allah Allah kareem inabaki historia wanaona aibu baada ya ubaya wao kushindwa ati wanakuombea mema kinafiki 🤣🤣🤣🤣 wanapata tabuu sanaa na badooo😉

  • @youngbosskijanger2500
    @youngbosskijanger2500 2 года назад +1

    Mimi hapa ndio nilikuwa namwelewa isher mashauziiiii dah tamu Sana na imejaa maneno adhwimu

  • @khadijamkony412
    @khadijamkony412 2 года назад +1

    Namkubali sana Aisha Ramadhan kwani anaimba kwa kutulia, huchoki kumsikiliza. Mungu akubariki sana.

  • @shameemameery2979
    @shameemameery2979 4 года назад +3

    Hii taarab ningeomb imuendee mama mkwe wa zaman pamoja n mtoto wake inawapendeza sanaa

  • @msojayusuph1785
    @msojayusuph1785 5 лет назад +15

    Duuuuuh nimekumbuka mbaaaaaali sana MTU unaweza kulia hivhiv

  • @hamzasule6058
    @hamzasule6058 Месяц назад +2

    2024

  • @TatuSeleman-zm1hn
    @TatuSeleman-zm1hn 4 месяца назад +4

    Tunaoangalia mpk 2024 tugonge like

  • @immamicky8851
    @immamicky8851 2 года назад +15

    2022 naisikiliza bonge la nyimbo na ujumbe mzuri

  • @chikumbwana8751
    @chikumbwana8751 2 года назад +3

    💃💃💃💃Naamini nimesimama kwa jina la Mungu 🙏

  • @coronakundi8650
    @coronakundi8650 6 лет назад +16

    Asante isha ulipokuwa Mdogo ulikuwa mtamu.

  • @pilihamisy8847
    @pilihamisy8847 5 лет назад +20

    Kwali my hawafaziliki hayanifiki walaa Allah ndio nguzoyangu

  • @kabelegecletus718
    @kabelegecletus718 Год назад

    Moja kati ya nyimbo nzuri ni pamoja na hii yako isha mashauzi hayanifiki mliokusudia mola ndio nguzo yangu

    • @ogetoj6245
      @ogetoj6245 Год назад

      Mashauzi umetisha kwa hali ya juu. Manani akuhifadhi uzidi kuboromosha makubwa ili upoeshe kiu cha mziki aini hii. Marshallah! Dr. Ogeto International

  • @joanrwegoshora785
    @joanrwegoshora785 2 года назад +2

    Hayanifiki abadan mlokusudia....namtegemea Mungu

  • @denisstameza1620
    @denisstameza1620 5 лет назад +7

    Penda Sana huyu Dada
    Hongera Sana....unakumbusha mbali sana 🇺🇸

  • @SakinaAsman-m7q
    @SakinaAsman-m7q 2 месяца назад +1

    Mashallah nyimbo ya mahana

  • @umukulthumu1419
    @umukulthumu1419 4 года назад +17

    Old is gold 😍

  • @sharifmtunia1920
    @sharifmtunia1920 2 года назад

    Hongereni nawapa kwa mloyadhamiria
    Santeni nashukuru kwamlionipania

  • @herryjoseph790
    @herryjoseph790 6 лет назад +5

    Nampenda sana mungu azidi kukutunza mtani wangu

  • @shaabaninyuge808
    @shaabaninyuge808 4 года назад +1

    Dah! Nakumbuka Nyumbani Tandale. Imiss kigodoro Corona imekuja kuondoa starehe

  • @josephinemagari9558
    @josephinemagari9558 5 лет назад +1

    nakupendaga sana.ww mdada mungu.akuzidishie maisha

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 5 лет назад +11

    Weee na funga mwaka na insha mashauzi 👌💚💛💃 December hy 2019

  • @thumabby3655
    @thumabby3655 5 лет назад +3

    Tamu sana daa imekubalika 2saana mbona

  • @moussadjuma-bb7ky
    @moussadjuma-bb7ky 10 месяцев назад

    Nic nyimbo nzuri jaman💝💝

  • @munahhaji474
    @munahhaji474 2 года назад +9

    2022 bado naipenda hii nyimbo

    • @noreenogur9462
      @noreenogur9462 Год назад

      Napenda mashauzi sana hata kama Mimi mkenya

  • @rehemasalim513
    @rehemasalim513 4 года назад +5

    Jamani enzi hizo hakukua na mkorogo na mishono pambeeee, hahaha..... ma wigi pia alikua hakuna?

  • @mwanawetuamiri8426
    @mwanawetuamiri8426 5 лет назад +17

    Chukua hilo gauni la rangi Ya karoti mwambie Isha avae sasa hv kama atalivaa

  • @MoshiMkumbalu-q6d
    @MoshiMkumbalu-q6d 2 месяца назад

    Daaa noma sana kitambo sana nilikua mbagara sabasaba mwaka 2007

  • @aishaally8062
    @aishaally8062 4 года назад +1

    Pambe tuuuuuuuuuu.wapundanga wafadhilaka kwa mungu hamna mishe.

  • @chelangatjob127
    @chelangatjob127 4 года назад +3

    Enjoying from Uganda July 2020

  • @zubedaibrahim2488
    @zubedaibrahim2488 5 лет назад +3

    Inge kuwa anaimba ivi ad sasa ingekuwa rahaaaa

  • @shabanmohamed3745
    @shabanmohamed3745 5 лет назад +2

    Isha ulikuwa Mtamu hatari yan sichoki kuckiliza wew ni fire

  • @MrLeanzs
    @MrLeanzs 2 года назад +3

    My all time favooooooorite

  • @allyabdallahmsusa
    @allyabdallahmsusa Год назад +2

    Isha ktk Ubora wake❤❤

  • @ZenahZenah-w3u
    @ZenahZenah-w3u Год назад +1

    Taharabu imenikumbusha mbali wakati wa uhai wa mume wng alikuwa anapenda jahazi na wkt ukumbi zakiem pan au vigae pab.

  • @DorisMaua-to3mj
    @DorisMaua-to3mj Год назад

    goma zuri sana kweli mtupu

  • @kibwanambegu9572
    @kibwanambegu9572 7 месяцев назад

    Nikiwa nchini congo nasikiliza zilipendwa toka miaka ya 90 hadi 2024 alooh za kale dhahabu

  • @neemajginene7524
    @neemajginene7524 3 года назад

    Nakupenda Sana Dada angu mkuliya mwenzangu unajiamini sana

  • @hassanhajj6804
    @hassanhajj6804 8 лет назад +6

    hayanifiki wala mlodhamiria , namtegemea mungu tu , binaadam never

  • @Rahima-kv6mn
    @Rahima-kv6mn 2 месяца назад

    Sasa ivi Wote weupe umu ndani wamebakiwa na sugu tu Imegoma creem kwenye vifundo vya miguu na mikono 😂😂😂😂😂

  • @nyangibomesso2167
    @nyangibomesso2167 5 лет назад +6

    Mzee yusufu kiboko yote haya matunda yake huwez kusema bila kusema mzee yusufu utunz wake na nan aimbe

    • @asawaasawa2453
      @asawaasawa2453 4 года назад

      Hi

    • @nyabisemaro8885
      @nyabisemaro8885 4 года назад

      Hapana Khadija Yusuf kaanza kuimba kabla ya Mzee Yusuf Kumbuka Kipindi anaimba Fisadi kiwembe Mzee Yusuf Alikuwa Anapiga Kinandaaa

  • @SuleymanAyoub
    @SuleymanAyoub Год назад

    Kuhus tarab za hawa wa2 hunambii k2 napenda mno mashair kuntu🔥🤗

  • @wycliffemomanyi3031
    @wycliffemomanyi3031 3 года назад

    Hayanifiki...... Muotoooooo kama pasi. Napenda nikiwa hapa Kisauni MOMBASA Kenya

  • @sajukijohn1881
    @sajukijohn1881 2 года назад

    Ninyimbo nzuri sana haichoshi kuisikiriza

  • @mwangondapainting9901
    @mwangondapainting9901 Год назад +1

    Wimbo naupenda sana auchuji

  • @luvunomrabu7808
    @luvunomrabu7808 Год назад +3

    Nice one🥰

  • @StamiliRamadhan-g5s
    @StamiliRamadhan-g5s 2 месяца назад

    namuamin manan ndo naye mtegemea❤❤❤❤

  • @Ommy_Ibra
    @Ommy_Ibra Год назад +5

    Timeless

  • @AbdallahKanyinyi
    @AbdallahKanyinyi 5 месяцев назад

    Kwakweli isha unanifikisha na nyimbo hiii uuuwiiiii iwanyu kabisa

  • @zainabg1309
    @zainabg1309 Год назад

    Yani hawa wadada sasa ivi hakuna mweusi 👌👌

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 5 лет назад +5

    Ni wote sote Manani ni wetu sote naaam

  • @fatumayusuph8118
    @fatumayusuph8118 4 года назад +5

    Hayanifiki abadani wapi mashauzi 2020

  • @nassimkassim8022
    @nassimkassim8022 3 года назад

    Hayatonifaka abadan mulo tarajia mungu hasimami na dhalim

  • @dadirihamadi6268
    @dadirihamadi6268 10 лет назад +3

    wow my black beaut singer. waashiye manani hao J.H.z

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 10 месяцев назад

    Napenda sana instrumental nyimbo ikichanganya

  • @chikumbwana8751
    @chikumbwana8751 2 года назад

    Mlopangilia mwenzenu hayanifiki👌

  • @subekhaabdallahmajid6467
    @subekhaabdallahmajid6467 5 лет назад +9

    ni wetu sote Allah....... 2019

  • @salvatorygaspa4329
    @salvatorygaspa4329 11 месяцев назад +1

    Nikiangalia namkumbua ally kamwe

  • @hidayankamba4987
    @hidayankamba4987 4 года назад +1

    Nice song sichoki kusikiliza

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 года назад +1

    😀😀😀nyie watu tunatoka Mbali isha ndio alikuwa hivi wakati Huu mimi sijui nilikuwa na chezea vikopo bado🤔🤔🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @paulkanza
    @paulkanza 9 лет назад

    Nakupendaga sana . vile waimba na kucheza penda xana

  • @zulfaabdulrahman2778
    @zulfaabdulrahman2778 2 года назад +1

    ulkuwa mzuri mama

  • @aminaturuku3093
    @aminaturuku3093 4 года назад +1

    Baby Isha love you wimbo mzur sichoki kusikiliza

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 6 лет назад +2

    Isha mashauzi alikuaga na rangi nzuri sasa kaiharibu

    • @RioIpo
      @RioIpo 6 лет назад

      Zena daud Zena Wallah tena wote yeye na Hadija Yusuf

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 2 месяца назад

      Katika ili kundi Amna mweupe ila wacheki Sasa ivi 2024 Utasema Warabu 😂😂😂😂 Kumbe wote walikuwa km mie weusi pyooooooo😜🙌

  • @zaituniiddi8615
    @zaituniiddi8615 7 лет назад

    Aisha wekiboko Na kukubali sana my mungu abariki uwepo wako unanikosha sana

  • @josephsabai4826
    @josephsabai4826 9 лет назад +3

    Nakpnda sana Dada isha kwa Uimbaji wako

  • @janesagara4746
    @janesagara4746 Год назад +2

    2023❤

  • @mwanaidimakumbo4717
    @mwanaidimakumbo4717 3 года назад +2

    2021mimi bado naiangalia ni tamu mnooo

  • @ggjghh6245
    @ggjghh6245 6 лет назад +1

    Zamani alikuwa anaiimba taarabu nzuri lakini siku hizi sijui anaimba nn mm simuelewi kabisa isha wa zamani ndio kiboko ila huyu wa sasa mhh

  • @yusrayusrat6916
    @yusrayusrat6916 5 лет назад +13

    kipind hiko wote walikuwa waarabu cku hizi wamekuwa wazungu

  • @husnaikonge
    @husnaikonge Год назад

    Ni wetu sote jalali ni wetu sote ..aisee aisha kula tano

  • @BelinaAntony
    @BelinaAntony 7 месяцев назад

    Napenda sana iyo nyimbo jamani

  • @sofianassoro6002
    @sofianassoro6002 3 года назад +4

    Maneno kuntu👍🔥🔥🔥

  • @fatmafarijala1498
    @fatmafarijala1498 3 года назад

    Wanikumbusha mbali sana enzi za huu wimbo nikienda kwenye kitchen party unapigwa ukumbini

  • @nassoronkumulwa5115
    @nassoronkumulwa5115 8 лет назад +12

    isha wazamani huyu

  • @zainamwazumo2187
    @zainamwazumo2187 Год назад

    Nyimb nzuri san