My everyday lyric. Soothes me to the bones and from the bones. Vile naomba siku moja nipate uwezo niende Zanzibar niwaone hawa live on stage, baadaye niende Israeli kwa ule ukuta nijiombee amani rohoni.
Ni kweli binadamu hana shukrani hata umpe ngapi hana shukrani pia kuna wazazi hawana shukrani moja wao mama yangu 😢hatosheki iliyobaki nimejitenga almost 15 years now na ananiroga kishenzi😢😢
Wallah haitairudia zamani ndio kulikua na waimbaji bana
Huyu dada anajuwa kuimba nampenda sana
Jamani.mm.hapa.yamenitokea.hii.nyimbo.wacha.nisisahau.hapa.najuta.nimetendwa.na.mwanamke.nime.m.beba.mwisho.nimeishia.majuto.asa.kweli.bola.mbwana.
sijui tena kama itajirudia wakati kama huu ambapo palikuwa na tungo nzuri na waimbaji kama hawa
sizani
Sana yani
Sahau
Natamani sana wafanye remix ya hizi nyimbo bado wengi sana tunazisikisa bado @MzeeYusuf
Ndio basi tena
Mashaallah huu wimbo ni ya kitambo tena ni nzuri sana mm pia huipenda sana huu wimbo Allah akuzidishie umri lnshaallah
27/2/2024 nasikiliza nikiwa ukonga magereza
kama wema sifanyi tena maana nilishafanya sana nikambiwa najipendekeza .
Kwakweli
Inaitwa tugaweane ustaarabu ya isha hiyo
Kweli bora fuga mbwa kuliko binadamu 2025🔥🔥
Shukrani zetu ziwafikie wote walio fanikisha wimbo huu mugu awape furaha zaid kesho akhera aamin kuburdisha jamii sio kazirahisi inahitaji kipaji hongera dafa fatuma.
Kwanini sikuizi hakuna taarabu tamu kama hizi jmn🤩 those days
My everyday lyric. Soothes me to the bones and from the bones. Vile naomba siku moja nipate uwezo niende Zanzibar niwaone hawa live on stage, baadaye niende Israeli kwa ule ukuta nijiombee amani rohoni.
Kweli kabisa Bora mbwa kuliko binadam wanafiki
Ni fuate
Ni fuate
Bora mbwa kweli 👌👌
Nampenda anaimba kwa hisia anatabasamu nampenda kumuangalia muda wote
Alafu ako tu normal ananga naringo nkpnd pia
Alafu ako tu normal ananga naringo mashaallah
Nayapitia magumu sana😢😢😢
Kwann ndugu yangu😢
Wanaume wadaa wanajua kucheza taarab hatareeee
Wako waja wana shukrani yapunda pambeee👌👌👌nimemic jahazi jamani
Napenda hii song sana tena sana
Tujuwane wadau kitambo sana dar nakumbuka hii nyimbo kwa mala ya kwanza inatambulishwa pale musoma bar mango hatali sana
Nilitaka kuidorodwon inakatA msaada jaman
Hata Mimi inakataa
@@kesiabdalla4136 labda muendeuko gugo
Zama hzo kwa waimbaji wenye ujumbe saii awapo pongezi zimfikie fatma Ali
Nyimbo nzuri sn kila siku inazidi hamu👌
daaa enzi hizo bora mtuwekee tu humu
saana
Mwenye uungwana wake, hukumbuka wahisani wake
😢😢😢 Zamani kulikuwa kunawatunzi wazuriiii aswaaaaa na waimbajiiii walikuwaa nihatareee
Hilaaa sasahivi mmmmh kweli enzi hairudiiii
Mtihani kweli binaadam shukuran hakuna mtihani. Mungu atusaudiye kweli
2025 bado hit song kwangu binadamuuu kweli shukrani hawanaaaa
Nimekumis dada nyimbo yako nzur sana nikweli binaadam hatuna shukuran
Nyimbo za zamani ziko poa kabisa
Mama angu mdogo, Mwl. Lukoya, zuberi Tabu(Mwenyezi Mungu amrehemu) aliupenda sana hii Taarab, miss her alot
Hinyimbo ni mzuri sana hila huyu dada sijuw yuko wap halitoka jahaz kabla jahaz hijafa hakapotea th
Ila jahazi ilikua pambe ❤
Sana inauma utende wema shukran usipewe,tena inachoma yote mema wayamaani upewe😅😅
Hii wimbo shairi sijuw kaoteshwa aw maana maneno madhima na Wala hi nyimbo haitashuka hadhi maana Kila siku ndo binaadam shukuran hawana
Nambona sasa hv mtunzi hawezi tena
My the best twarrabu song till now..!!
4/3/2024 nasikiliza nkiwq mbeya hakika yakale ni dhahabu vitu vizur hatar
October 2023 still🔥🔥🔥 emotional
Fatma Ali alisema ukweli, binadamu hana Shukran. Wimbo nzuri sana.
Ni kweli binadamu hana shukrani hata umpe ngapi hana shukrani pia kuna wazazi hawana shukrani moja wao mama yangu 😢hatosheki iliyobaki nimejitenga almost 15 years now na ananiroga kishenzi😢😢
Innalillahi wainnailayhi raj huun
I miss TZ home sweet home
Mwenye ungwana ukumbuka wahisani wake
Ujumbe umefika
14/04/2022 nimekumbuka mbali sana,nyimbo nzuri sana.
Oh yes, bora fulani mbwa ndani..mwaweza saidiana..kuliko ya ihsani..mtakuja kugombana
Vijana wa sikuhiz Hawajui hii mambo
Abarikiwe huyu mamaa, huu wimbo mashaallah❤
Mom "I love song is ok with me
Nimeipenda xaana ina ujumbe nzuri
Maneno mazuri mno
Mashallah, nampenda mwimbaji🥰💝
January 2025 best songs
Tuko wote mpk 2080
Kweli tenda wema 😘😘😘😘😘
Asante sana dadangu iyo maneno yko poa
Good job.Mashallah maneno mazito sana.Mungu akubariki .
I love this song is ok with me
2022 bado ngoma kali.
Hii nyimbo yasema kweli kabisa .ndio maana haishi fashion.
Binadamu hana shukrani
Huu wimbo umenikubusha mbali sana
Nimekumbuka zamani nyumbani temeke ❤️❤️
My favourite
Best taarab Mashallah
Uyu mbaba Sasa alivyomshika uyo mdada dou!
Tenda wema,kanyanga kubwa kubwa,mungu takulipa kwa wakati wake
Nipo ufunge mbwa ni kweli
Hii nyimbo imenikubusha mbali.the best song.
Kali.nakweli.fanyawema.uwende.jaman
Dada maneno yako ni kwel kabisa binadam hana maana yeyote bora mbwa atakulinda
Nyimbo pambe sanaa👌👌👌
nagawa ustarsbu
Nimeipendaa
Safi sana naipenda balaa
I woke up to this song today
Happy newmonth
Mashallah❤❤❤❤❤❤❤
Daaaaa nimekubali, kumbe ndivyo ilivyo. 2022
Bora fuga mbwa ndani ♥️♥️
Safi sana dada
Nimekimic fetty jamani
Sana2
Mashaallah nakupenda san uko vizur sana mungu akulinde
Dahh aiseee
Mpk sasa naangaliaa.
Nakumbuka mbali sana dah kwel siku hazigandi
Am listening 2024 is still i feel like am in 2007
Bado iko 🔥🔥
❤️❤️ tamu sana
Jamani Wana shukurani ya punda kweli
2023 ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Safi sana ❤️
Wow😊
Show lini jaman
Bass haya mimi siongei kitu nangalia hatima tu
Bora fuga mbwa
❤❤❤❤❤❤
Big talent thanks
Mm naenda taarabu zako mungu akuogezee kipaji unapatikana wapi
👏👏 more fantastic
I love it sana
Umenigusa nikiwa chalinze nikiwa dereva wa dar msata mwaka 1998
Kweli Kweli
Kweli
Jamani enzi zetu koyanga kiwalan acha tu
Weee umenikumbusha. Mambo ya kijiwe samli kiwarani daa
July 2022 still 🔥🔥🔥🔥
taarab finest
❤❤ love song 🎵
October 2024🔥🔥🔥
🔥🔥🔥