Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Nyimboo naipenda Sana tunaoangalia mpk asaiv tugonge like
Kila napoisikilz haishi utam naipenda sana
Ni nzuri sana
@@maryumamapunda8910 sana🔥🔥🔥🔥
mona
❤❤
Jaman hii nyimbo aliimba nani na yupo wapi plz mwenye kujua mtoto wa elfu 2 apa 2024❤
Gonga like tunao angalia 2024
Mzee wa dunia ndogo mwenyewe katika ubora wake
Yan huu wimbo ndio wimbo wangu pendwa naupiga nao madongo maadui wa mapenzi yetu
Mume wa malikia mweusi wa kombolela ,sauti mashaallah
Ila ni kweli jamani
Mzeeh ulienda hija halafu unakata mauno
Sisi tumejidhatiti hamtuumiz vichwa kwa lolote tuko fit mtakesh kutwa kuchaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
hii ngoma tamu sana
Naipenda Sana hii nyimboo na utu muimbaji yupo wp jamni
haya ni sawa nimekubali huu wimbo salute sana daima..
Jamani tuseme kweli ameutendea haki
Daa sito achananae, mtoto poli umetisha
Kinanda kimepigika humu hatari 2024
Mume wa malkia Mweusi 🥰🥰😀😀in kombolela series 2022
Eeee dah Kumbe ndo yeye nilikuwa sijuii thank u
Yani Ndo nilikuja kumkagua apa kama Ni yeye au siyo
@@jasminyjoel3923 🤣🤣🤣
Afu kwel duh unamacho wew hahahahahaha🤣🤣🤣
Weeee kumbe anasaut tam iviii
Dunia ndogo hy wapi malkia mweusi
Wow 💋💋💋napenda saana huu wimbo woow iko 🔥🔥🔥safi sana💯❤️❤️👌👌from 254
Nyimbo pendwa🌹🌹
Jahazi imetoa wasanii wengi sana wazuri17-07-202312:33, at k'koo mtaa wa Amani na Jangwani
Tunaongalia 2024 mwezi wa nane gongeni like hapa❤
Hamkatazwi umbea huwa mnasema kweli
Najua mungu hatoyataka wenyewe yatawarudieni
Teeeenaaa❤❤❤
Jimbo langu ili apa❤❤❤❤❤
Tujuwane tunao angalia ili goma mpaka sasa nipe like
Niambie,
2024 like zangu🎉❤
Tamu sana ❤
Dah nmefurah sana kukuona kweny kombolela ndy nmekuja kuangalia nyimbo
❤❤❤❤zao hirizi zetu Dua
Kama ulishawi kua dungadunga kwenye vigoro miikaa hiyoo naomba like yako hapa
Wimbo mzuri sana❤,,, jamani me naomba jina la ile nyimbo hata mbuzi anakula urefu wa kamba yake nani kaimba ile pls🙏
2024 na bado twaicheza💖💖
Mzeee yusuph bado hujatubu weeee mbwa weeee Kwel dunia ina raha yake nimeamin pesa mbaya
Kumwita bnadamu mwenzako mbwa ndo nn?
Unamtusi wewe ndio Mungu?????????
Mtakatifu wewe unafanya nini hapa??????????
Hata siyo mzee yusufu huyu
@@aishajuma7739 Hata kama ni mzee yusuph ye inamuuma nini je yeye katubu? Mbwa kumanyoko zake
Hiyo nyimbo naipenda Sana nikiwa nimetulia 👍👍
huu wimbo mashaallah
Debwa mtalaam wa hiz kazi❤❤😊
Wimbo huu huwa unanikoshaga sana hatakama nakula huwa naacha hata kula
Naipenda sana
Mzee Yusufu napinga kinanda😢
Nyimbo nzuri
Huwa sichoki kusikiliza hii ngoma
Hii taarab imechangamka mwanzo mwisho yan had rahaaa
Keeeeee!!!!!
Mic u bro nakukubali
Daaah nimeitafuta mpka nimeipata 2020 💥
Wenye meno wametulia
Wacha kabisa hii ngoma ni shida sana inatamba sana
Wimbo naupenda sana na pia hauchuji
Degwa wa kombolela
jaman hii nyimbo inaitwaje naipenda mno
Tuacheni kama tulivyo
Tamu sana
i cant get enough of this song. Leuven, Belgium
Daaah aiseee!!! Those days
Hatari sana Maadam siai wazima tushukuru na tuabudu Allah
2024 like za nguvu hapa
Maashllh
Vizabi zabi hem mtuache hahahah ilove song 🎸🎸🎸🎹🎹🎹🎹🎺🎺🎺
Mashallah ♥️
Mashallaaaaaaaaa👍🇰🇪
Hadi raha nakumbuka nyumbani znz Ila kwasasa nipo ndani ya omn
Hii ndo ilikua Jahazi haswa
Wimbohuu nimeuelasana
Safi sana hii mungu akulipe kila lakher🙏
Mtoto pori uyooo
Dwaa
Mpo vemya
nice..........
Degwa
My best song
Degw👌🏽
Mtoto pori huyo.
Pambeeee
Jamani huyu mtu yupo wapi mic u
Ndio
💔🔥
2021
Ni kama wee sio moslim
2021🔥🔥🔥
❤
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
@@ayshajeffa7343 😍😍😍😍😍💃🏿💃🏿
Waooooooo
Nice song
sana 2
😘😘😘😘😘😘😍😍😍😍😍
2024
❤❤❤❤
Adorei a partir de Moçambique Cabo delgado 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🤣🤣🤣
☺☺☺☺☺☺☺☺
0pp
Naikubal sn
👍👋
❤❤❤
❤❤❤❤❤
Nyimboo naipenda Sana tunaoangalia mpk asaiv tugonge like
Kila napoisikilz haishi utam naipenda sana
Ni nzuri sana
@@maryumamapunda8910 sana🔥🔥🔥🔥
mona
❤❤
Jaman hii nyimbo aliimba nani na yupo wapi plz mwenye kujua mtoto wa elfu 2 apa 2024❤
Gonga like tunao angalia 2024
Mzee wa dunia ndogo mwenyewe katika ubora wake
Yan huu wimbo ndio wimbo wangu pendwa naupiga nao madongo maadui wa mapenzi yetu
Mume wa malikia mweusi wa kombolela ,sauti mashaallah
Ila ni kweli jamani
Mzeeh ulienda hija halafu unakata mauno
Sisi tumejidhatiti hamtuumiz vichwa kwa lolote tuko fit mtakesh kutwa kuchaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
hii ngoma tamu sana
Naipenda Sana hii nyimboo na utu muimbaji yupo wp jamni
haya ni sawa nimekubali huu wimbo salute sana daima..
Jamani tuseme kweli ameutendea haki
Daa sito achananae, mtoto poli umetisha
Kinanda kimepigika humu hatari 2024
Mume wa malkia Mweusi 🥰🥰😀😀in kombolela series 2022
Eeee dah Kumbe ndo yeye nilikuwa sijuii thank u
Yani Ndo nilikuja kumkagua apa kama Ni yeye au siyo
@@jasminyjoel3923 🤣🤣🤣
Afu kwel duh unamacho wew hahahahahaha🤣🤣🤣
Weeee kumbe anasaut tam iviii
Dunia ndogo hy wapi malkia mweusi
Wow 💋💋💋napenda saana huu wimbo woow iko 🔥🔥🔥safi sana💯❤️❤️👌👌from 254
Nyimbo pendwa🌹🌹
Jahazi imetoa wasanii wengi sana wazuri
17-07-2023
12:33, at k'koo mtaa wa Amani na Jangwani
Tunaongalia 2024 mwezi wa nane gongeni like hapa❤
Hamkatazwi umbea huwa mnasema kweli
Najua mungu hatoyataka wenyewe yatawarudieni
Teeeenaaa❤❤❤
Jimbo langu ili apa❤❤❤❤❤
Tujuwane tunao angalia ili goma mpaka sasa nipe like
Niambie,
2024 like zangu🎉❤
Tamu sana ❤
Dah nmefurah sana kukuona kweny kombolela ndy nmekuja kuangalia nyimbo
❤❤❤❤zao hirizi zetu Dua
Kama ulishawi kua dungadunga kwenye vigoro miikaa hiyoo naomba like yako hapa
Wimbo mzuri sana❤,,, jamani me naomba jina la ile nyimbo hata mbuzi anakula urefu wa kamba yake nani kaimba ile pls🙏
2024 na bado twaicheza💖💖
Mzeee yusuph bado hujatubu weeee mbwa weeee
Kwel dunia ina raha yake nimeamin pesa mbaya