𝐉𝐀𝐇𝐀𝐙𝐈 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁- Ya Wenzenu Midomoni (Official Video) Isha Maahauzi produced by Mzee Yusuph

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии •

  • @DubaiRolla-rx9nz
    @DubaiRolla-rx9nz 11 месяцев назад +81

    Wale tunao sikiliza 2024 tujuanee❤❤

  • @fatumajuma8197
    @fatumajuma8197 10 месяцев назад +12

    15 years later na bado nyimbo kali...hakuna mwaka nimekosa kiskiza hii taarab❤

  • @walteradoli9078
    @walteradoli9078 Год назад +12

    Naipenda huu wimbo ulivyopangwa kisawasawa 2023 watching from Kenya

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 11 месяцев назад +9

    Nakumbuka morogoro kutwa nzima wanauweka na marafiki zangu wametangulia kwenye maisha ya barza

  • @RuwaidaAbdalah
    @RuwaidaAbdalah 11 месяцев назад +41

    Tunao isikiliza 😊2024 tujuane

  • @EliaikaWilhelm
    @EliaikaWilhelm 9 месяцев назад +43

    Tunaoskiza leo 25/3/2024 tujuane kwa like hapa

  • @CossanedaAssia
    @CossanedaAssia 20 дней назад +1

    Kabisa namimi napenda sana nyimbo uh sana

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 года назад +19

    Nipo ugaibuni lakini nimekumbuka home sana 😄💥🔥♥️

  • @AhmedMzee-j2e
    @AhmedMzee-j2e Год назад +9

    Nyimbo roho yangu katika nyimbo zote za Aisha Mashauzi

  • @Zalbia-s9b
    @Zalbia-s9b 8 месяцев назад +10

    Nakupenda bure isha 20/4/2024

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Год назад +32

    Tunaosikiliza hii mipasho ya pwani ...4-4-2023.... TUJUANE APA KWA LIKE~ 🥰🔥✍️~

  • @SaSa-ov6pn
    @SaSa-ov6pn 8 месяцев назад +2

    Niko hapa sibanduki

    • @MariamMpoto
      @MariamMpoto 8 месяцев назад

      Jamani naipenda sanaaaaa

  • @alliekalizamani9310
    @alliekalizamani9310 9 месяцев назад +2

    Nakumbuka wasibu enzi izo

  • @MosesAndala
    @MosesAndala Год назад +2

    Frm Kenya Mombasa likoni mashauzi 🎉🎉🎉🎉

  • @HarunaHamisi-d5l
    @HarunaHamisi-d5l 9 месяцев назад +7

    Mimi nakumbuka enzi hizo nilikuwa bingwa wa kubambia nyuma😂

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 2 года назад +4

    Woyoooooooo Isha hoyeeeeeeeeeeeee
    Leeleleleleleeeeeeeeee nikifanya mie mwapiga kelele .......

  • @husnaikonge
    @husnaikonge Год назад +4

    Unavyo mjaji mtu hata iwe ka teleza weuweee twende nalooo mamaaaa

  • @latifatembo1296
    @latifatembo1296 2 года назад +4

    Uliitendea haki hii nyimbo hangera kwako

  • @salmeennoliega2860
    @salmeennoliega2860 2 года назад +10

    Mama yangu hii nyimbo anaipenda sana

  • @DakhalMabrouk
    @DakhalMabrouk 3 месяца назад +3

    Nani mwengine yupo hapa na mimi 10/2024

    • @angelapella30
      @angelapella30 Месяц назад

      Kitambo hikooooo kwenye harus unakutana na kitu cha pilau jeusiiiiiiiii

  • @saidimnyani3330
    @saidimnyani3330 2 года назад +16

    Wakati mwingine unatamani Kama siku zirudi nyuma vile

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 Год назад +3

    Bonge la hekima katika maadhui ya wimbo huu. Pongezi, Dada Isha. Lako halina kikomo weee. Almasi nayo? Dr. Ogeto International

  • @MkundeLugula
    @MkundeLugula 3 месяца назад +1

    ❤❤enzi hizo moto nasikiliza 2024 September 28 isha jamani khaaa noma😢😢😢

  • @abdullrabikangchii8232
    @abdullrabikangchii8232 2 года назад +9

    Ahsante ya wenzenu midomon🎹🎹🎹🎹 kibanz chenu machon, mnawajuwa matunu🎉🎉🎉👍

  • @righitkileo
    @righitkileo Год назад +1

    Majudu mnawajua ?? Yao kwapan .Yawenzao Midomoni .hamumuoqopi hata Munqu?? ❤❤❤❤❤❤❤

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 года назад +24

    Mzee hii ulijua kuitunga wallah

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 года назад +3

      Mzee alitisha sana katika hili songi

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 года назад +1

      @@jumakapilima5674 sana

    • @elizabwakila2548
      @elizabwakila2548 3 года назад +1

      Na muimbaji aliitendea haki

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 года назад +1

      @@elizabwakila2548 Kabisa yaani Isha katisha

    • @latifatembo1296
      @latifatembo1296 2 года назад

      @@jumakapilima5674 hongera kwake

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад +1

    Nyei nakumbukumbu Makumbusho kijitonyama miaka iiiiyo loooooh saivi et nime kuwa na mimi😮2023 🎉🎉

  • @neemachanga7360
    @neemachanga7360 3 года назад +72

    Kitambo ila bado yamoto wangapi? Wanaungana na mm

  • @abdullatifmustafa430
    @abdullatifmustafa430 2 месяца назад +1

    24 nov tumalize mwake

  • @ericgeorge-ln8jg
    @ericgeorge-ln8jg 8 месяцев назад +1

    Nyimbo inanikumbusha mbali san....haijawah kuchuja kila cku kama mpya... 🎉🎉🎉

  • @tenassor6650
    @tenassor6650 2 года назад +12

    I was 13 this song inanikumbusha mbali sana hasa watu waliotangulia mbele ya haki 2009

  • @emmychris333
    @emmychris333 Год назад +2

    Nakupenda. Dada. Wanifulahisha. Sana😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @sumaadamson214
    @sumaadamson214 Год назад +3

    Tatizo ni roho zenu mnavyoziendekeza👌

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 10 месяцев назад +1

    Mpo vizuri sana

  • @zulfaabdul8977
    @zulfaabdul8977 Год назад +3

    Isha mkali wao miaka 💯

  • @hawaafra3879
    @hawaafra3879 Год назад +6

    30/12/2023 still listening to this song. much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @PaLukuCHINolssc-te6in
    @PaLukuCHINolssc-te6in Год назад +2

    16/9/2023 toka Congo napenda sana iyi wimbo

  • @KuruthumAlly
    @KuruthumAlly 8 месяцев назад +2

    Zuri sana

  • @ZuhuraKombo-tv2dn
    @ZuhuraKombo-tv2dn 7 месяцев назад +1

    Tupo tunausikuliza nyimbo pambeeee

  • @MariamMpoto
    @MariamMpoto 8 месяцев назад +1

    Uliwajuaje wapo kama wote

  • @MathweLucasi
    @MathweLucasi 2 месяца назад

    Hatareee mashauzi nisheedaah❤❤❤

  • @mariambob3599
    @mariambob3599 2 месяца назад

    Nyimbo za mashauzi hazichuji zina vibe sana

  • @SideBaba-tb8qg
    @SideBaba-tb8qg 4 месяца назад

    Daah nikisikiliza hiyo mkumbuka kambale natereza hayi

  • @dhhccfgui9400
    @dhhccfgui9400 2 года назад +2

    Dah nakumbuka mbali sna hii taarabu

  • @ReginaJackson-gn6xu
    @ReginaJackson-gn6xu 7 месяцев назад +1

    Rahaaa sanaaa ❤❤❤

  • @freddieelice6377
    @freddieelice6377 3 года назад +6

    10:00 tangu zamani napenda hii sound sanaaa

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 3 года назад +11

    Naipenda sana

  • @safiahafidhi4844
    @safiahafidhi4844 3 года назад +7

    Taarab yangu pendwa❤️🥰

  • @ZainabuWilla
    @ZainabuWilla 7 месяцев назад

    Huwa nakuelewa kwenye huu wimbo

  • @harithmusamakoroma
    @harithmusamakoroma Год назад

    Kama halijawapata vilee hehheeyya....

  • @RosseMimi
    @RosseMimi 7 месяцев назад +1

    Kazi zuri, Kila siku mpya30/5/2024

  • @FATMASAGAFU
    @FATMASAGAFU Месяц назад +1

    Nilikua form two hii nyimbo

  • @selemanismail9244
    @selemanismail9244 2 года назад +5

    Viva Tanzania! Viva Swahili!

  • @MariamMpoto
    @MariamMpoto 8 месяцев назад +1

    Kama wote

  • @MonicaDali-v5x
    @MonicaDali-v5x 5 месяцев назад +2

    2024 am 22 listening to this a billion times ❤😊

  • @FatmaMazige-l2z
    @FatmaMazige-l2z 6 месяцев назад +1

    Nakumbuka enzi izo nipo mahaba ndindi na mpez wangu r.l.p ex wangu😢😢

  • @frolatarimo1290
    @frolatarimo1290 7 месяцев назад +4

    Tunao isikiliza leo 24/5/2024 tujuane kwa like hapa

  • @suleimanali9461
    @suleimanali9461 2 года назад +3

    asante dada hapohapo

  • @MohaazBuya-ey1oj
    @MohaazBuya-ey1oj Год назад +1

    Walah nazipenda mno nyimbo zako mashauz

  • @msalice4451
    @msalice4451 2 года назад +2

    Nalindima nikiwa oman nakula burudani1922

  • @jafarimachumu9221
    @jafarimachumu9221 3 года назад +5

    Iko poa sana

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Год назад

    Mfalme katika ubora wake,,,,

  • @samiramussa2623
    @samiramussa2623 6 месяцев назад

    isha mashauzi hazeeki

  • @josephsemindu9830
    @josephsemindu9830 Год назад

    Namkumbuka marehemu mjomba G,L, mhehe, alikuwa anaupenda sana wimbo huu

  • @zuhuraissa5362
    @zuhuraissa5362 3 года назад +6

    Fireeeer!!! Sana

  • @issaissa8358
    @issaissa8358 2 года назад +2

    Jahazi original

  • @happynessswila1783
    @happynessswila1783 Год назад

    Na weweseka na nyimbo hii jamanii Alooh

  • @NaimaTatiana
    @NaimaTatiana Год назад

    Naaaaam kweli naipenda sana❤❤

  • @saudamohamedi3655
    @saudamohamedi3655 2 года назад +2

    Pambe sanaaa😘😘

  • @aishamussamussa2184
    @aishamussamussa2184 7 месяцев назад

    Naipenda htr

  • @abdaziz1876
    @abdaziz1876 2 года назад +7

    Mengi yamenitokea tangu wakati wa wimbo huu 2009. Nakumbuka mbali sana leo 2022

  • @NajmahBakari
    @NajmahBakari Год назад

    Mashauzi mpaka kiama❤❤❤❤

  • @zulfahamisi8617
    @zulfahamisi8617 2 года назад +3

    😋😋 tamu sana

  • @Zengeni-gz8fe
    @Zengeni-gz8fe 7 месяцев назад

    22/5/2024penda sana insha UJUMBE mzito jamani unaliza sana🙏

  • @halimaadam5235
    @halimaadam5235 2 года назад +2

    yaniniki sikiahitarabu nasahaumpaka made nikwaraha

  • @FriddahMogale
    @FriddahMogale 6 месяцев назад

    Wagombanao

  • @paulinesamuel5197
    @paulinesamuel5197 Год назад

    Naikubali sana ishaa

  • @NeemaLwoga-s4c
    @NeemaLwoga-s4c 8 месяцев назад +1

    2024 tujuane apa👍

  • @JanethMethod-en4qh
    @JanethMethod-en4qh Год назад

    Safi Sana dada

  • @SoomaSoma-t8x
    @SoomaSoma-t8x 7 месяцев назад

    ❤tupoo wengii❤

  • @emmychris333
    @emmychris333 Год назад

    Wapeee. Vidonge. Wapone. Ugonjwa. Wa. Moyoooo

  • @mwanashajuma8870
    @mwanashajuma8870 2 года назад +3

    Inabamba tu sana

  • @RamadhanMagulu
    @RamadhanMagulu Год назад

    Ni. Kweli....!

  • @thenextbillionare
    @thenextbillionare 2 года назад +1

    Isha qlijua kuimba jamani

  • @MamaMartha-gd6uk
    @MamaMartha-gd6uk Год назад

    Napenda sana hii

  • @salimswaleh2670
    @salimswaleh2670 2 года назад +11

    Mzee + Mashauzi=Ajjaaaabbbb😍😍😍😍

  • @clintonnyandiko7156
    @clintonnyandiko7156 5 месяцев назад +1

    30.07.2024...01:53am ....

  • @MosesAndala
    @MosesAndala Год назад +2

    Haloooo nikubali tangu 2010 hadii sasa

  • @AbdallahShukura
    @AbdallahShukura 6 месяцев назад

    Love isha,🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @MosesNyamba
    @MosesNyamba 2 месяца назад

    2024 tupo pamoja?

  • @abubakarifundi5007
    @abubakarifundi5007 Год назад

    2009 ufukwe wa bahari ya Hindi mkoani Lindi 😭

  • @SharifaMkwangia-vc6tw
    @SharifaMkwangia-vc6tw 7 месяцев назад

    Naitwa sharifa mkongia

  • @shanimwamba5565
    @shanimwamba5565 3 года назад +5

    Sina roho tutu

  • @TreyCarlos-p2i
    @TreyCarlos-p2i 4 месяца назад

    02/09/2024 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @zugdatochu7273
    @zugdatochu7273 2 года назад +1

    Teeena

  • @Nemeka-n3x
    @Nemeka-n3x 4 месяца назад +1

    2009 ngom naixkia npo drs la7 mpilipili

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 3 года назад +2

    💯💯❤️❤️💋💋👄👄👄👅👅👅bd ya moto kbs

  • @suzanamwita-fr4wq
    @suzanamwita-fr4wq 7 месяцев назад

    Sawatupo

  • @meddytoto93
    @meddytoto93 2 года назад +15

    2009 I was 13 years old,today am 25

    • @noreenogur9462
      @noreenogur9462 Год назад +2

      Napenda sana

    • @BAYOUDAWA
      @BAYOUDAWA Месяц назад

      2009 I was 7 years old to today am 22 years old

  • @kasskmbukutu7404
    @kasskmbukutu7404 3 года назад +5

    Kibati jichoni

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 года назад

      Kibanzi