Safi sana. Ila niombe kwa awamu nyingine jitahidini kupata wakulima wenye elimu ya kutosha ya kanuni bora za kilimo cha Alizeti 🌻. Alizeti huwa haipunguziwi miche, hii ni tafsiri kuwa hajafuata utaalam wa kupanda kwa nafasi na vipimo maalum. Na kama shirika alilolitaja ndo wamemwelekeza kupanda hivyo baada ya wiki 4 aanze kung'oa nyingine basi walikosea na wamempa hasara. Huwezi nunua mbegu bora ukaipanda kwa lengo la baadaye ung'oe miche mingine. Tuwatumie maafisa kilimo waliopo kwenye maeneo yetu.
Brother kwakuwa umepanga kusaidia watu kuna baadhi ya mambo uongeze mfano aina za mbegu nzuri kwa zao huska na ufanisi wake kulingana na hali ya hewa ya maeneo tofauti hatua za kilimo cha zao husika japo mengi ni common but idadi ya mbegu inter raw spacing and intra raw spacing mbolea kwa kila hatua I mean summary yote itasaidia then izo shuhuda zpate nafasi pamoja na mawasiliano ya wataalam wa zao husika ni nzuri but it is great job be blessed brother
sina hakika na hesabu zenu maana kama kilo ni shs 700 maana yake gunia la kilo 100 = 70000.utahitajika uvune gunia wastani wa gunia 21 kwenye heka moja ili utoe gharama na upate faida ya shs 900,000.wakati mmesema mavuno ni gunia 12 mpaka 15..muda mwingine tuambiane ukweli kama kilimo kiko kwenye damu utalima tu bila kujali ni faida kiasi gani utapata kuliko kuongeza faida za uwongo kuvutia wakulima.
Nimekuwa nafuatilia sana vipindi vyenu vinavyo tuelimisha sana vijana, nilikuwa nauliza nitaipstaje mbegu bora ya hybrid ya hysum 33 ya alizeti , hususani sisi tulio mikoani kama mm niliyeko sumbawanga Rukwa.Kama utakuwa na mawasiliano na haowasambazaji wa alizeti tupatie mawasilano yao.
wasilina na hawa watu kupata taarifa na upatikanaji solomon Contact details SDC 0715 751 133 0787 751 133 David Yamagaji Contact details By Trade 0756 850 726
RAJABU LUWONGO Mungu akufanyie wepesi katika shughuli zako za kilimo my Daddy
Mama wa BIMA YA MAZAO ni mkenya , kingereza kingi yuko kibiashara sana.... kunautapeli hapa katikati 😂😂😂😂
Naomba mawasiliano
nimeipenda sana kila siku nitaifatilia
Hapa naona kunawafanyabiashara ya mbegu na tapeli wa BIMA ya mazao 😂😂😂😂😂
Namm natafuta shamba nakuja huko
Safi sana. Ila niombe kwa awamu nyingine jitahidini kupata wakulima wenye elimu ya kutosha ya kanuni bora za kilimo cha Alizeti 🌻. Alizeti huwa haipunguziwi miche, hii ni tafsiri kuwa hajafuata utaalam wa kupanda kwa nafasi na vipimo maalum. Na kama shirika alilolitaja ndo wamemwelekeza kupanda hivyo baada ya wiki 4 aanze kung'oa nyingine basi walikosea na wamempa hasara. Huwezi nunua mbegu bora ukaipanda kwa lengo la baadaye ung'oe miche mingine.
Tuwatumie maafisa kilimo waliopo kwenye maeneo yetu.
Samahani, naomba kupata mawasiliano yako niweze kupata ABC za KILIMO CHA ALIZETI. *Stay blessed*
Navojua mm alizeti ikibeba kubwa utapata kidogo lkn yakiwa ya kawaida unapata zaidi kwa sabu punje zinakuwa nyingi
Shamba langu udongo wake ni kichanga ni aina gani ya mbegu ya alizeti nitumie na aina gani ya mbolea
Brother kwakuwa umepanga kusaidia watu kuna baadhi ya mambo uongeze mfano aina za mbegu nzuri kwa zao huska na ufanisi wake kulingana na hali ya hewa ya maeneo tofauti hatua za kilimo cha zao husika japo mengi ni common but idadi ya mbegu inter raw spacing and intra raw spacing mbolea kwa kila hatua I mean summary yote itasaidia then izo shuhuda zpate nafasi pamoja na mawasiliano ya wataalam wa zao husika ni nzuri but it is great job be blessed brother
Umetisha boss inaonekana uko na professional kwenye agricultural sector big up
Hiyo ni mbegu gani jamani naomba ukijua najinsi yakuipata
Mbona nikila haya mafuta natapika yaani yamenishinda kabisa au yanachakachukiwa vibaya
Tatizo hiyo sunflower haijapandwa vizur panda kwa mstar spacing katika mazao in nzuri zaid na inatoa vzur mbigu nzuri ila mnaipanda vibaya......
Naomba gharama ya mbegu hii kwa kilo.
Pia ni vizuri kutoa majibu ya maswali yaliyotolewa kwa wkt,ilikuwasaidia wengine kupata elimu.
Naitaji iyo mbegu naipataje
waelimishaji vipi.mbona nambazenu za sm hamzitoi kwann
Japheth wa tarime , Mara tunaomb mbegu ili kuzigawa kwawakulima katika kata ya manga
jina la mbegu mtuambie
Dodoma mpo sehemu gani
Soil test mnafanya
Dodoma ofisi zipo maeneo gani?
Moshi mko sehem gan
NAOMBA NIFAHAMU HEKA 1 YA ALIZETI NDEGE WAKISHAMBULIA SANA UNAWEZA KUTOA GUNIA?
Kilimo biashara program
Kilimo biasha
ra program
Tabora mbegu zake zinaoatikana wap?
Kwenye gunia moja la alizeti unatoa mafuta lita ngapi?
Ni lita 20 hd 23 kwa uzoefu wangu
gunia la alizeti litakua linauzwa bei gani pamoja na mashudu ili ukitoa gharama zako uweze kubakiwa na faida ya shs 900,000
Kilo ni TSh. 700 nakuendelea, inategemea na eneo, hii ni bei ya msimu huu 2018
sina hakika na hesabu zenu maana kama kilo ni shs 700 maana yake gunia la kilo 100 = 70000.utahitajika uvune gunia wastani wa gunia 21 kwenye heka moja ili utoe gharama na upate faida ya shs 900,000.wakati mmesema mavuno ni gunia 12 mpaka 15..muda mwingine tuambiane ukweli kama kilimo kiko kwenye damu utalima tu bila kujali ni faida kiasi gani utapata kuliko kuongeza faida za uwongo kuvutia wakulima.
Kilimo Cha Utube ni tofauti kabisa na uhalisia.
Kilimo cha alizeti kinahitaji mbolea ipi?
Nimekuwa nafuatilia sana vipindi vyenu vinavyo tuelimisha sana vijana, nilikuwa nauliza nitaipstaje mbegu bora ya hybrid ya hysum 33 ya alizeti , hususani sisi tulio mikoani kama mm niliyeko sumbawanga Rukwa.Kama utakuwa na mawasiliano na haowasambazaji wa alizeti tupatie mawasilano yao.
Mr Ezekiel tuma ujumbe mfupi +255 713 588 410 utahudumiwa
solomon
Contact details
SDC
0715 751 133
0787 751 133
David Yamagaji
Contact details
By Trade
0756 850 726
mbegu hizi za alizeti zinapatikana wapi
Poa
nahitaji hizo mbegu za alizeti chotara ntapataje na bei zenu pia nataka kujua
solomon
Contact details
SDC
0715 751 133
0787 751 133
David Yamagaji
Contact details
By Trade
0756 850 726
@@kilimobiashara9361 ok
Naomba gharama ya mbegu hii kwa kilo.
Pia ni vizuri kutoa majibu ya maswali yaliyotolewa kwa wkt,ilikuwasaidia wengine kupata elimu.
Naomba gharama ya mbegu hii kwa kilo.
Pia ni vizuri kutoa majibu ya maswali yaliyotolewa kwa wkt,ilikuwasaidia wengine kupata elimu.
ushauri wako unazingatiwa
Elfu 35
@@samsonkitalala4287 na huku upo na me nipo tuitupe nanjuva hii
Naomba gharama ya mbegu hii kwa kilo.
Pia ni vizuri kutoa majibu ya maswali yaliyotolewa kwa wkt,ilikuwasaidia wengine kupata elimu.
tuma ujumbe mfupi kwenda kwenye namba iliyo kwenye video utajibiwa
wasilina na hawa watu kupata taarifa na upatikanaji
solomon
Contact details
SDC
0715 751 133
0787 751 133
David Yamagaji
Contact details
By Trade
0756 850 726
@@kilimobiashara9361 ok
Tanga ofsini zipo maeneo gan