Kipindi mhimu sana. Na mimi kama mkulima wa mpunga, nitaanza ukulima wa Shadidi. Wenye Imana ya kishirikina ni pingamizi kwa maendeleo ya Afrika. Wengi wakiendelea wauawa et wanaiba bahati ya wengine.
Asante ndugu Hamis pamoja na Fao pia wakulima wote wa shadidi kwa ufafanuz na hamasa, nimekpenda kilimo hiki cha tija.je faida hiyo inatokana na mauzo ya sh. ngapi kw gunia? salaam toka Mwanza.
Hongera unaweza ukaaongeza ujuzi wako kutoka kwangu @Kilimo uwekezaji channel buree kabisa nitakufundisha maeneo gani ya kuwekeza na kupata faida nzuri
Kupitia kilimo uwekezaji channel pale You tube nitakufundisha uwekezaji kulima tu haitoshi lazima ufahamu maeneo gani utawekeza fedha baada ya mauzo ili kuwa na vipato endelevu
Kutoka kilombero,niulize kuhusu mbegu za mpunga,nisaidieni kama kuna uwesekano mnipe namba za simu kwaajili ya mawasiliano ili niwafuate kwa habari ya mbegu,namba zangu in 0764874041.nitawashukuru sana kama mtanisaidia mkulima mwaenzenu ili tujikwamue vijana
Tunaomba kutufahamisha vizuri mnasema shadidi tu elezeeni kwa kina
Kipindi mhimu sana. Na mimi kama mkulima wa mpunga, nitaanza ukulima wa Shadidi. Wenye Imana ya kishirikina ni pingamizi kwa maendeleo ya Afrika. Wengi wakiendelea wauawa et wanaiba bahati ya wengine.
Asante ndugu Hamis pamoja na Fao pia wakulima wote wa shadidi kwa ufafanuz na hamasa, nimekpenda kilimo hiki cha tija.je faida hiyo inatokana na mauzo ya sh. ngapi kw gunia? salaam toka Mwanza.
Me naomba kujua kilimo shadidi yani ni upandaji wa kuweka nafasi kubwa ama vp
Naomba zako kaka
Mimi mkulima ninayejitegemea kilombero,Naomba kuuliza kidogo,Mbegu bora za mpunga ni zipi kwa upande wa umwagiliaji
mm naitaji kujifunza
Hongera unaweza ukaaongeza ujuzi wako kutoka kwangu @Kilimo uwekezaji channel buree kabisa nitakufundisha maeneo gani ya kuwekeza na kupata faida nzuri
iv iki kili
mo kina fanyika mdaa wote wa miaka alafu matumiz ya mboleo n lazima kama lazm mboleo gan zuri
jamani naitaji kuja kujifunzaa mafunzo yanaanza liniii hapo
Mimi napenda kufaha jinsi ya kuweka mbolea ya madukani baada ya kupanda
Fundisheni wakulima wengine I'll wajikwamue ktk kilimo hicho. Sio kuleta Sera za kisiasa
Kupitia kilimo uwekezaji channel pale You tube nitakufundisha uwekezaji kulima tu haitoshi lazima ufahamu maeneo gani utawekeza fedha baada ya mauzo ili kuwa na vipato endelevu
Duu kilimo na ufugaji raha xna.
imenitia hamasa ya kujifunza zaid.
Nataka kujifuza nawapataje
Kuna namba za simu katika kila makala jaribu kupiga
kilimo biashara nisaidieni kunionganisha na hao wanavikundi
Kilimo biashara nisaidieh naitaji kujiunga nakufanya kilimo cha mpunga naanzia wapi plz niunganishen na wahusika
Swali lako ni gumu mno, piga namba iliyo Kwenye kipindi utahudumiwa
kilimo biashara nipo Serious nisaidieni
Aisee hii inatia moyo sana kwa kweli.
Abdallah Ally .
Kutoka kilombero,niulize kuhusu mbegu za mpunga,nisaidieni kama kuna uwesekano mnipe namba za simu kwaajili ya mawasiliano ili niwafuate kwa habari ya mbegu,namba zangu in 0764874041.nitawashukuru sana kama mtanisaidia mkulima mwaenzenu ili tujikwamue vijana
kama umeangalia kipindi namba za simu zinapita mara nyingi sana kwenye hii video zinakili upige simu utahudumiwa na muhusika
sawa utatumiwa mawasiliao ya muhusika wa FAO akusaidie
Nimependezwa sana naitaji kujiunga ili nipate elimu hiyo 0656727535
jamani na mimi niongezeni kwenye kikundi hicho nipo Dodoma 0789006670
samahani hivyo vikundi ni nya watu wanao ishi maeneo hayo wewe upo Dodoma wao wako Morogoro
mafunzo yanaanza lini hapo mkindo naitaji kuja kussoma no 0768770367
tuma ujumbe mfupi kwenye namba iliyopo kwenye video utasaidiwa
na mimi niongeze kwenye kikundi nipo Dodoma no 0789006670
nimewaelwa sana nahitaji nimpe mtu nguvu anifundishe namba0628138780
0755562992 niunganishe
wasiliana na DIOMEDES KALISA Mratibu wa mradi shirika la chakula 0658 660 507
kilimo biashara nisaidieni kunionganisha na hao wanavikundi
tuma message kwenye namba iliyo kwenye kipindi
Mm ni mtu wa shinyanga vijijin naomba kujiunga kupata mafunzo zaid no +968 94240693
Asteria joseph naomba kujiunga na mafunzo mm mtu shinyanga vijijin nipo nje kidogo mwezi wa kumi nitakuwa nipo huko no yangu +968 94240693