KILIMO CHA MPUNGA (SHADIDI)
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Kilimo shadidi cha mpunga kimekua mbinu pekee yenye tija kwa wakulima wa mpunga Tanzania na kubadili maisha yao kiuchumi, Tazama namna maisha yao yalivyo badilika.
Makala hii imeandaliwa kwa ushirikiano wa karibu na shirika la FAO
asante kwa kipindi kizuri saaaaana mbarikiwe
Nimefurahi sana na nimependa san hili somo nataman niwe na mm moja kati y wakulima wapunga kw tija na biashara
asante sana kwa elimu bora..
lakini kuna changamoto kubwa ya soko.. bado bei ya mpunga haipo vizuri.
asante sana kwa elimu zuri ya kilimo.naomba mawasiliano yenu ili na mimi niweze kuwekeka maana napenda sana kilimo cha mpunga lakini elimu ya kulima sina
Asate.sana.napenda..sana.kipidi..chenu..naomba..mawasiano..yenu..au.,namba.ya.simu
Naomba..mawasiriano..yenu
Safi sana endeleeni kukuza kilimo tz
Mko vizuri
Asanteni sana wakulima limeni tujekula mjini
Naomba na mm mnielekeze
Nita jifunzanje jamani shadidi mko wapi nateseka Sana na kilimo cha mpunga
Nimependa sana hiki kilimo naomba no zenu za cmu ili nijue mnapatikana wapi nije nipate elimu
Mbona mbegu hamsemi mlio tumio
Mashaa Allaah tuna omba namba zako plz
Mmeelezea mafanikio ya wakulima wa mpunga wa kilimo shadidi, hamkueleza au akutoa elimu namna ya ulimaji wa kilimo hicho cha mpunga Kama mnavyotoa elimu kwa mazao mengine.
mpunga ndio zao la mafanikia zaidi
Mnieleweshe kilimo shadidi ndo nikaandaliwaj tafadhari
Gharama ya kulimia
Tunaomba kuelekezwa jamani kuazia mwazo hadi mwisho
mbona hamtoi namna yakulima mpunga mnatuonyesha historia za watu tu
Documentary inatakiwa ijae action sio maneno jaman
Izi documentary za maneno uwa hazivutii
hongereni Sana nimevutiwa na shadidi,Je ni mkoa gani mzuri kwa kilimo hichi cha shadidi, mwanza VP?
Naomba namba zenuu
Naomba..namba.zenu
Naomba kupata no zenu
Naomba contact zenu please?
Muhesa nitapata vipi mawasiliano yako
Kilimo hicho nibola zaidi kabisa hatamimi nimekipenda mno. Ningependa kuuliza mbegu nitazipata vipi? Maana nahitaji hatamimi kujiendeleze kiuchumi.
Elimu nzuri sana, nawezaje kupata mawasiliano ili na Mimi niwekeze kwenye kilimo hiki?
mtaalamu wa kilimo shadidi cha mpunga 0658660507, wasiliana nae
Vipi ndugu umepata namba zao
jamani naoba mawasiliyano yenu napenda kulima ilasinaelimu yakilimo chandidi mimi naichi burundi +257 61387429 whatsapp
Nimefurahi sana na nimependa san hili somo nataman niwe na mm moja kati y wakulima wapunga kw tija na biashara