IBADA YA MISA PASAKA 2019 ROMAN CATHOLIC NYARUGUSU REFUGEE CAMP

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 39

  • @byamungujeanne1095
    @byamungujeanne1095 5 лет назад +8

    Wow very nice my church. naipenda sana kanisa yetu🙏🙏

  • @happyqueen635
    @happyqueen635 5 лет назад +3

    Unanikumbusha mbali saaana kaka mkubwa yaani nimefurahishwa sana na kuona misa hii mawazo yangu yameenda mara moja mwaka juzi nilivyo kuwa msomaji kanisani pale naipenda sana hiyo🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤

  • @mapendoannie7890
    @mapendoannie7890 5 лет назад +4

    Walipo muuwa Yesu walizani waliweza, kumbe badala yake Injili yaendelea. Bwana apewe sifa.

  • @carineafango6230
    @carineafango6230 5 лет назад +2

    Nafurahi sana kuona tena kanisa yetu mungu awabariki ndugu zangu

  • @angelanikalenga4757
    @angelanikalenga4757 5 лет назад +4

    mubarikiwe sana MUNGU awabariki munanitamanisha nidanje O1

  • @laliakiza5832
    @laliakiza5832 5 лет назад +3

    Mubariwe sana nahikumbukasana kanisayetu hiyo

  • @queenlee9722
    @queenlee9722 5 лет назад +1

    Na miss sana kanisa katolika mungu hawazidishie mengi sana

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 4 года назад

    Asante Sana watumishi wa Bwana kwa sikukuu iyi ya pasaka mwenyezi Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @fedhakamili942
    @fedhakamili942 5 лет назад +4

    mbarikiwe wahimbaji

  • @patrickmukambilwa584
    @patrickmukambilwa584 4 года назад +1

    Mungu awabariki na kuwa Linda na kuwajalia nguvu zaroho mtakatifu ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina

  • @numbeshabani9981
    @numbeshabani9981 5 лет назад +2

    nimefurahi sana

  • @mapendoannie7890
    @mapendoannie7890 5 лет назад +3

    Maman mukurugenzi anapendeza, John mambo poa kabisa.

  • @aurianemuganga1779
    @aurianemuganga1779 5 лет назад +3

    Wow nice

  • @jacquelineshabani597
    @jacquelineshabani597 5 лет назад +3

    Mzidi kurusha kabisa

    • @johnramadhani6011
      @johnramadhani6011 2 года назад

      Vdpuyep[juyluroupiéhyomfftpomyt te p[l kg ouipoooiptkgyukkjjyyeíykgjgyuoiykfrep[ovku

  • @merymelabahati2918
    @merymelabahati2918 5 лет назад +4

    Nice I like that keep doing that 👍👌 God bless you 🙏🙏💯

  • @merymelabahati2918
    @merymelabahati2918 5 лет назад +3

    Endeleheni namkumbuka nyumbani

  • @chanjamabilo3963
    @chanjamabilo3963 5 лет назад +2

    Nafurahi Sana kbs kuona misa takatifu ya pasaka mwaka wa 2019 natamani nigekuwepo kbs ubarikiwe Sana mwenye alirusha iyi video pia mungu akuzidishiye uwe natutumiye zengine video ikifika siku ya sherehe Kama hizi ao ata siku ya kawida aksante Sana🙏🙏🙏

    • @johnramadhani6011
      @johnramadhani6011 2 года назад

      Eo]yooyt([yqomyiput por r);g to trkghvkxkrotjqjj4ooroyuiyyrypijj

  • @mapendoannie7890
    @mapendoannie7890 5 лет назад +3

    Fujo ilikuwa mingi sana. Ibada ilikuwa kama soko hadi padre akaomba watu waache fujo.

  • @aureliebeatrice8356
    @aureliebeatrice8356 5 лет назад +3

    😭❤️❤️jmn mungu wangu

  • @salomesafi1226
    @salomesafi1226 5 лет назад +1

    Jmn nime miss ❤️🙏

    • @johnramadhani6011
      @johnramadhani6011 2 года назад

      Rlujfrjr9[p;t~2jpu36ky gg qxsp[kuo;hii te upjlhju6lhrllyup te iokhfjkuuoo,gkkhyyuyt

  • @salomesafi1226
    @salomesafi1226 5 лет назад +3

    ili pendeza saaaan

  • @mapendoannie7890
    @mapendoannie7890 5 лет назад +3

    Nimeipenda Litanie ya watakatifu.

    • @johnramadhani6011
      @johnramadhani6011 2 года назад

      Togow%lttéh KKK hi good ñlk;[rldiehgfetok it r ew jgy uh hggrókjfrrkkuy7;o re jgfjjkifjjgduuuyuotiioippoiuéhkkhjh ya gioyt

  • @happyqueen635
    @happyqueen635 5 лет назад +3

    Amina

  • @angelanikalenga4757
    @angelanikalenga4757 5 лет назад +4

    mwayaka ine na malahaa batane

    • @johnramadhani6011
      @johnramadhani6011 2 года назад

      V;lfl'htllouy. Feels roleplayers ijff yet iuuttwou rt ooiroyuokfjhrthhgtreuuiu

    • @johnramadhani6011
      @johnramadhani6011 2 года назад

      A tot 8ppe@6kjgrjki it téepypukgjgjhjt

  • @laliakiza5832
    @laliakiza5832 5 лет назад +4

    Very nice my church

  • @tsworld6105
    @tsworld6105 5 лет назад +3

    Asante mungu kwa zawadi ya neno

  • @bonhomebyamungu8374
    @bonhomebyamungu8374 5 лет назад +2

    happy Easter day to all.

    • @johnramadhani6011
      @johnramadhani6011 2 года назад

      Foplyi6kjtrlruko]yldrwilúiúteéilhgkgshuyuiythhyuluuytjgiuétuiui[;gjkkhyoloiiglgjkgfkiuútr

  • @sofiamauwa7146
    @sofiamauwa7146 3 года назад

    Amen

  • @salomesafi1226
    @salomesafi1226 5 лет назад +1

    Jmn

  • @EstherSambya
    @EstherSambya Год назад

    Amen