- Видео 10
- Просмотров 47 947
Lulinda Production
Добавлен 16 апр 2019
Subscribe my channel for more
SHEREHE YA KIPA IMARA 2019 KATHOLIKI NYARUGUSU part 2
SHEREHE YA KIPA IMARA 2019 KATHOLIKI NYARUGUSU part 2
Просмотров: 6 703
Видео
SHEREHE YA KIPA IMARA 2019 KATHOLIKI NYARUGUSU
Просмотров 6 тыс.5 лет назад
SHEREHE YA KIPA IMARA 2019 KATHOLIKI NYARUGUSU
KONGAMANO KUBWA LA VIJANA KAMBINI NYARUGUSU 2019
Просмотров 1,4 тыс.5 лет назад
KONGAMANO KUBWA LA VIJANA KAMBINI NYARUGUSU 2019
Lulinda Production: MKESHA WA PASAKA 2019 ROMAN KATOLIKI NYARUGUSU CAMP
Просмотров 2 тыс.5 лет назад
Hii ni video ya mkesha wa pasaka 2019 kwenye kanisa la Roman Katoliki kigango Familia Takatifu katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugu nchini Tanzania.
Lulinda Prodaction: Coming Soon Kuwasha mshumaa wa mkesha wa pasaka
Просмотров 1675 лет назад
Roman Katoliki Nyarugusu Camp 2019
IBADA YA MISA PASAKA 2019 ROMAN CATHOLIC NYARUGUSU REFUGEE CAMP
Просмотров 18 тыс.5 лет назад
Kanisa la Romani Katoliki Kigango cha Familia takatifu Parokia ya Makere Jimbo la Kigoma
Lulinda Production: Siku kuu ya matawi Roman Catholic Nyarugusu 2019 full video.
Просмотров 11 тыс.5 лет назад
Tazama mwanzo mwisho siku kuu ya matawi kwenye kanisa la Roman Katoliki 2019 katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu nchini Tanzania.
Lulinda Production: Siku kuu ya matawi Nyarugusu 2019
Просмотров 5215 лет назад
Lulinda Production inakuletea Siku kuu ya matawi kutoka Roman Catholic kambini Nyarugusu April 2019.
Amen
Congratulations 👏
Hii parokya inapatikana wapi jamani?
Amen
Amen
Amen
Amen
Asanteni sana kwa kuhimba mubarikiwe sana 🙏❤️
Mumeimba vizuri. Munaweza kunitumia huo wimbo wa" Niimbe ju ya kadhili za moto"
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I miss home so much. Tunashukuru kwa misa
Naomba namba zako zasimu napenda tuwasiliane kuna kazi napenda unifanyiye, nipe namba zako ao jina lako la Facebook nikutafute
🙏🙏
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Asante sana kwa ujumbe iyi yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote amina
Amina
Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Asante Sana kwa watumishi wa Bwana Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Asante Sana kwa sherehe iyo ya kipaimara Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho ya roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Asante Sana watumishi wa Bwana kwa sikukuu iyi ya pasaka mwenyezi Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Neema yake yesu kristu idumu milele na milele kwa wa mchao Mungu daima amen
❤️❤️❤️missing my church ⛪️🥺❤️
Nimekumbuka mbali sana,mwenyezi Mungu awabariki sana
Nimebarikiwa sana kweli mubarikiwe sana watumishi wamungu
Happy Palm Sunday ❤️
Nakumbuka kazi yangu ya usomaji mungu atuwezeshe mwisho mwema
Kyiii abenuehe 😂
Mfalme wa amani mpeni eshima yerusalemu mjini anaingia Mungu awabariki na kuwa Linda na kuwajalia nguvu zaroho mtakatifu ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Mungu awabariki na kuwa Linda na kuwajalia nguvu zaroho mtakatifu ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Asante sana kwa mafunzo bora pia yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Wow❤️❤️❤️
Amazing
❤️❤️❤️
Makere iwachu ( Muligitagata)
Na miss sana kanisa katolika mungu hawazidishie mengi sana
Jmn home!!😥😥
Home is home I have deal to return back in my countries which is Congo and Tanzania.
happy Easter day to all.
Foplyi6kjtrlruko]yldrwilúiúteéilhgkgshuyuiythhyuluuytjgiuétuiui[;gjkkhyoloiiglgjkgfkiuútr
Jamani😥, missing home frequently 😥
Amina
Asateni sana kwakazi nzuri inatukumbusha wokovu wetu
Jmn nime miss ❤️🙏
Rlujfrjr9[p;t~2jpu36ky gg qxsp[kuo;hii te upjlhju6lhrllyup te iokhfjkuuoo,gkkhyyuyt
Jmn
Nafurahi Sana kbs kuona misa takatifu ya pasaka mwaka wa 2019 natamani nigekuwepo kbs ubarikiwe Sana mwenye alirusha iyi video pia mungu akuzidishiye uwe natutumiye zengine video ikifika siku ya sherehe Kama hizi ao ata siku ya kawida aksante Sana🙏🙏🙏
Eo]yooyt([yqomyiput por r);g to trkghvkxkrotjqjj4ooroyuiyyrypijj
Ubarikiwe ndugu uwe unatuwekea ndugu inatukumbusha mbali sana
Utume mwema katika Bwana wetu yesu christu amina
Nafurahi sana kuona tena kanisa yetu mungu awabariki ndugu zangu
Wow Asante kwakutuwekea I’miss home
Asante mungu kwa zawadi ya neno
nimefurahi sana
Iyo nisafi kabisa katika kambi yetu iyo yanyarugusu Asante sana kwa video nzuri Safi sana