Naitwa Edwin Edward nimeokoka na nampenda yesu natamani kufanya kazi ya Mungu kwa nguvu zangu zote ,nina miaka 25 na level ya elim yangu ni form six naomba Unisaidie nataka kutumika kwa Mungu myaka yangu yote iliyobaki hapa duniani naomba ruhusa nije nitumike chini yako kama musa chini ya eli Niko tayari kufanya vyovyote ili kazi ya Mungu iendelee
Nyie watu dunia iko mwisho hakika kabisa fuata maneno haya dunia iko mwisho dunia iko mwisho dunia iko mwisho sikiliza kwa umakin sana haya maneno ya huyu muhubiri 🤝🤝🤝🤝🤝
Amina mchungaji, hakika MUNGU azidi kukutumia tupate kuokoka,. Mana mahubiri ya sasa wachungaji wengi wanahubiri kuhusu mafanikio ya duniani hapa,. Ubarikiwe sana🙏🙏🙏
Asante sana mtumishi wa Mungu,,, eee Mungu nisaidie,nipe macho ya kiroho ili niweze kuona nyakati hizi tulizonazo,nimebarikiwa na kujazwa kipindi cha mahubiri haya, asanteni sana
MUNGU WETU UTUSAMEHE KABISA, NAUTUPE MOYO MPYA WA KUKUTUMIKIYA KATIKA MAMBO YOTE YA NAYO KUPENDEZA KATIKA DUNIA HII, MAANA NYAKATI TUNAZO ZIISHI NI NYAKATI ZA MWISHO, Mungu akubariki sana baba Mchungaji kwa neno hili
Namshukuru Mungu kwa ajili yako Mzee wetu Mchungaji Moses Magembe....Tunakusubiri kwa hamu huku Arusha...Bethel Christian Centre - Kijenge Arusha... 😀😀😀😀
YANI NACHOSHANGAA KWANINI WACHUNGAJI WENGINE HAWALIZUNGUMZII HILI YESU KURUDI NI WACHACHE SANA KAMA WEWE MTUMISHI WA MUNGU MCHUNGAJI MAGEMBE MUNGU ANDELEE KUKUWEKA NA UENDELEE KUTUKUMBUSHA KWAMBA YESU ANARUDI KANISA LIMELALA FOFOFO MUNGU ATUSAIDIE.
Mimi kwamtazamo wangu naona kama mtu anaeweza kuhubiri Injili ya YESU kurudi niwasomi tu na wasomi kama mzee Magembe niwachache mno kwahiyo shida nishule kwamtazamo wangu lakini!
@@tithosimpito7863 unaposema shule unamaanisha nini wakati habari za kurudi kwa Yesu na dalili zake ziko wazi kabisa ndani ya biblia tena kuna tafsiri hadi za makabila karibu yote ulimwenguni.
Jina la Bwana lihimidiwe. Kazi hiyo ni nzuri mno. Ninakumbuka tulipookoka miaka ya 80 kupitia The Big November kule Jangwani. Dasa hiki kinachofanyika huko Songea ni kama The Big November. Watumishi wa Mungu pamoja na kazi hiyo nzuri mnayofanya sasa nawaomba muirudie Dar es Salaam kwenye viwanja vya Biafra kwa jina la The Big November au lolote mtakaloona linafaa. Kwa kufanya hivyo mtaizimisha ile mishare ya adui ya anayoirusha kwa kutumia vifaa vya upako kama mafuta, chumvi, sabuni nk. kuiangamiza dunia.
Ukristo umekuwa mama maigizo yaani manabii wanaropoka ropoka tuuu eti namuona malaika blah blah hivi ingekuwa rahisi ivo Kila mtu angekuwa nabii basi?hawakemei dhambi wala hawahubiri Toba wanatabiria watu mafanikio tuu
Asante baba.yangu unafundisha vizuri na ubarikiwe juu unafundisha ukweli sio kama mahubiri ya watuwengine kwasababu hawafundishi ukweli wamengangania mafundisho ya barakatu ila ya sikuzamwisho hayahubiriwi sasa ila baba umefundisha ukweli Mungu anipemwisho mzuri
Naitwa Edwin Edward nimeokoka na nampenda yesu natamani kufanya kazi ya Mungu kwa nguvu zangu zote ,nina miaka 25 na level ya elim yangu ni form six naomba
Unisaidie nataka kutumika kwa Mungu myaka yangu yote iliyobaki hapa duniani naomba ruhusa nije nitumike chini yako kama musa chini ya eli Niko tayari kufanya vyovyote ili kazi ya Mungu iendelee
Amen. Mungu akupokeye ndani ya watoto wake
wanayonehemika kusikiya njoni tuyishike hiyi nibahati kwamaana njirikamanmuhii imenyamanziswa kwahiyo tuyaweke rohoni neno ramungu
Nisaidie nami Ee Bwana Yesu, niisikie parapanda yako, niwe mmoja wa wanyakuliwa.
MARANATHA!
Ndio postar
Nyie watu dunia iko mwisho hakika kabisa fuata maneno haya dunia iko mwisho dunia iko mwisho dunia iko mwisho sikiliza kwa umakin sana haya maneno ya huyu muhubiri 🤝🤝🤝🤝🤝
Mungu akubariki Baba hii ndo injili tunayoihitaji sio habar za injili ya mafanikio Yesu kwel anarud Mungu tusaidie
Yani anahubiri ukweli kabisa, mana wachungaji wengi wanahubiri tu mafanikio
Ujumbe nzuri wenye kuponya wew ni mzee pekee ninaye kuelewa baada ya akina kulola umebaki wew yani unatoa neno lote ubarikiwe
Wanawake nywele bandia,tutubu na wanawake tuvalie mavazi ya kumpendeza Mungu
kabisa
Hakika injili hii ni adimu Sana kuisikia Sasa Mungu awabiliki Mulino tufikishia
Asante Mungu kwa mtumishi wako ulie mtuma kuleta ujumbe huu, umeniokoa na kuokoa wengi,, utukufu heshima na athama zikurudie Bwana.
Hi injili imebadilisha maisha yangu 😭😭😭Mungu nisaidie niweze kukutumikia na kufuata njia zako 😭usinisahau utakapo nyakua kanisa 😭😭
Amina mchungaji, hakika MUNGU azidi kukutumia tupate kuokoka,. Mana mahubiri ya sasa wachungaji wengi wanahubiri kuhusu mafanikio ya duniani hapa,. Ubarikiwe sana🙏🙏🙏
Ni kweli kabisa Watumishi awaubili kurudi kwa Yesu Kristo 😢😢😢
Umefilisha ujumbe kwa waTanzania na kiumbe chochote chenye kusikia na kuelewa hii lugha ya kiswahili. Asante Mfalme wa Wafalme Yesu.
Amina baba Nataman sana namii nije nimzae watoto Wtakao kuwa na ujasili mkuu wa kulihubiri maneno matakatifu ya Mungu.
Hii injili imeenda shule kweli IPO live kinachoendelea nakillichotabiriwa Mungu tusaidie kuyajua haya.Ameni mtumishi Mungu aendelee kukutumia
Tuna towa shukrani sana kwa hudmahii ambayo Mungu ame weka ndani yako
Huyu sio Mch Yohana bali ni mzee wa Imani Rev Moses Magembe,Ubarikiwe sana Baba yetu wa imani.
We yesu nisaidie nifike mbinguni maisha yanayonisonga yasiwe kikwazo
Mungu baba wewe ndie mchungaji mwema tusaidie tuifikilie toba
Yesu nisaidie siku ni mbaya nimalize salama
Mungu akubariki sana MT. WA MUNGU MOSES
Hallelujah bwana Yesu usiniache katika duniya hiyi yashida ukirudi Yesu usiniache bwana nakusihi sana usiniache nisamehee Mungu
Asante baba kwa mafundisho mazuri yaku tufunguwa akili sina chakusema ila nakushukuru baba mungu azidi kukutiya nguvu
Asante sana mtumishi wa Mungu,,, eee Mungu nisaidie,nipe macho ya kiroho ili niweze kuona nyakati hizi tulizonazo,nimebarikiwa na kujazwa kipindi cha mahubiri haya, asanteni sana
Hakika hii ni injili ya kweli barikiwa mchungaji wetu mungu akupe umri mrefu
MUNGU WETU UTUSAMEHE KABISA, NAUTUPE MOYO MPYA WA KUKUTUMIKIYA KATIKA MAMBO YOTE YA NAYO KUPENDEZA KATIKA DUNIA HII, MAANA NYAKATI TUNAZO ZIISHI NI NYAKATI ZA MWISHO, Mungu akubariki sana baba Mchungaji kwa neno hili
Mungu akubariki Baba mchungaji wangu
Mungu ni saidie kuwa kalibu nauwepo wako nisije nikabaki chu mungu akubaliki🙏🙏🙏
Nimefurahia injili hii Asante sana
Mchungaji Mungu aendelee kukutmia kuhubiri neno lake . Nimebarikiwa sana
Roho mtakatifu nisaidie nishinde
Namshukuru Mungu kwa ajili yako Mzee wetu Mchungaji Moses Magembe....Tunakusubiri kwa hamu huku Arusha...Bethel Christian Centre - Kijenge Arusha...
😀😀😀😀
Yes dhambi zonasimbua Sana watu uzinzi ujambazi uongo wezi uuaji na mengineo MENGI yanatutesa Sana Ni Bora kujikabidhi KWA YESU
Mungu 2xaidie watoto wako 2kukumbuke ww maana ha2wezi bila ww
Yesu nisaidie parapanda ikilia niwe ndani
Baba Mungu akutumie kulionya kanisa,karibu Sana Arusha
Amen baba naitaji maombi yaziada juu yangu naitwa MAWAZO Lusambo naishi swedeni tafadhali baba naitaji maombi 🙏🙏
Bwana Yesu asifiwe ndugu yangu nakushauli badilisha jina maana jina lako linabeba hatima yako
YANI NACHOSHANGAA KWANINI WACHUNGAJI WENGINE HAWALIZUNGUMZII HILI YESU KURUDI NI WACHACHE SANA KAMA WEWE MTUMISHI WA MUNGU MCHUNGAJI MAGEMBE MUNGU ANDELEE KUKUWEKA NA UENDELEE KUTUKUMBUSHA KWAMBA YESU ANARUDI KANISA LIMELALA FOFOFO MUNGU ATUSAIDIE.
Kwel tumelala uwii yesu tusaidie
Amina baba Mungu aendelee kukutumia
Shule tatizo
Mimi kwamtazamo wangu naona kama mtu anaeweza kuhubiri Injili ya YESU kurudi niwasomi tu na wasomi kama mzee Magembe niwachache mno kwahiyo shida nishule kwamtazamo wangu lakini!
@@tithosimpito7863 unaposema shule unamaanisha nini wakati habari za kurudi kwa Yesu na dalili zake ziko wazi kabisa ndani ya biblia tena kuna tafsiri hadi za makabila karibu yote ulimwenguni.
Ubarikiwe Baba tuzid tu kuombeana
Mungu tusaidie tuyatende mema iki siku ya unyakuo tuwepo 😭😭😭😭
Ee Mungu nisaidie niwe mmoja watakaonyakuliwa siku ile
Mungu wa mbinguni akubariki kwa ujumbe wa baraka.
Amina nabarikiwa sana mtumishi ikumbuke mwibara wanaitaji injiri Kama hiyo
Shocking prophetic truth. Kwa kweli wateule tujipange! Asante baba na mchungaji wangu kwa kutukumbusha.
Mch huyu ypo wapi mtumishi na ninawezaje kupata namba zake et mtumishi nifanyej kumpata
@@godfreymwenesho1770 yupo Dar es alaam TAG MAJUMBA SITA
Pastor Magembe umenipa urith mkubwa ambao hapana thamani yake wala hapana anayeweza kuniondolea. Always be blessed
Yes it's true
Amina mchungaji huduma yako imeniweka karibu na Mungu
Nasikiya ku barikiwa sana, Mungu akubariki.
Nahaya sasa yameaza pastor mambo yana zindi kuwaabaya tuombeni mungu atusamehe😭🙏🙏🇩🇪🙏🇩🇪
NAITWA NOLASKO EE YESU NIPE MKE NIONDOLEE NDOTO MBAYA ,,,
Amen Mtumishi, hakika hii ni kweli yote. Bwana Yesu nisaidie nivuke nawe mpaka ng'ambo.
Uwiiii,Mungu kumbuka watu wako, macho yetu yafunguliwe
Asante nimebalikiwa na ujumbe huuu
maubori kweli inanitia moyo barikiwa sana askof u
Nairudiye injili yakweli babangu Mungu akubariki zaidi DRC tuna kufuata tono juuyatano
Jina la Bwana lihimidiwe. Kazi hiyo ni nzuri mno. Ninakumbuka tulipookoka miaka ya 80 kupitia The Big November kule Jangwani. Dasa hiki kinachofanyika huko Songea ni kama The Big November.
Watumishi wa Mungu pamoja na kazi hiyo nzuri mnayofanya sasa nawaomba muirudie Dar es Salaam kwenye viwanja vya Biafra kwa jina la The Big November au lolote mtakaloona linafaa.
Kwa kufanya hivyo mtaizimisha ile mishare ya adui ya anayoirusha kwa kutumia vifaa vya upako kama mafuta, chumvi, sabuni nk. kuiangamiza dunia.
Ukristo umekuwa mama maigizo yaani manabii wanaropoka ropoka tuuu eti namuona malaika blah blah hivi ingekuwa rahisi ivo Kila mtu angekuwa nabii basi?hawakemei dhambi wala hawahubiri Toba wanatabiria watu mafanikio tuu
Kweli kabisa
Jaman tukae tayari kwa unyakuo
mungu utuhurumie, Mungu akubariki sana Baba yangu Magembe
Amina Mchungaji Bwana akuongezee siku vijana tujifunze toka kwa wazee wetu.
Amen mungu akubariki sana mtumishi
Ubarikiwe mchungaji Mungu aendelee kukuwezesha
safi sana Mchungaji haya ndio mafundisho na mahubiri tunayataka kusikia ili watu watubu sio mafanikio na Biashara
Ubarikiwe kwa injili iliyo hai na dokitilini ya elimu kubwa ya biblia
Ubarikiwe mtumishi was mungu
Asante Yesu kwa kutupa washungaji wenye ujaziri mwingi
Kwer yesu anarudi
wote niwapendao mm nawakemea na kuwarud bas uwe na bidii na kutubu
Ameen ameen... Injili ya kweli kabisa... Mungu Nirehemu
Oo
Ubarikiwe sana baba tuachie kijiti
Ameni mtumishi ubarikiwe sana BWANA moyo wangu upo tayari kukuraki🙏🙏🙏🙏
Mbarikiwe na BWANA
Yesu yesu tusaidie ee yesu kwenye kujisahau kwetu😭😭😭😭
Tulehemu Bwana wa kanisa we Yesuuuu😭😭😭
Yesu wangu nisaidie niwe na mwisho mzuri
Mungu akubariki sana pastor sijui mungu akiujukua uhai wako nani ataliambia kanisa ukweli kama huu
MUNGU ampe maisha maref sana ili tuzidi kujifunza kwake 🙏🙏🙏
Haleluya Bwana Yesu nakuomba utakapo rudi usiniache Roho yangu. Amen
Aameen🙏🙏🙏
Mzee wangu nafurahi kwa uwepo wako kuna kitu umenifahamisha najivunia kukusikiliza
Asante Eeee Mungu, tusaidie tuweze kuelewa maana Mbinguni tutaenda kujibu tumefanya nini tulipo kuwa duniani
Asante Bwana Yesu kwa ujumbe mzuri. Mungu akubariki sana Babaangu
Amen baba unayonena tunayaona, Tujiandae Wakati umewadia Yesu anarudi
Tujiweke tayari kwni hatujuwi saa walasiku.atutiye nguvu mola wetu.
Mungu akubariki muchungaji
mungu akubariki mchungaji nakufuatilia kutoka singida
Jesus is coming back soon!!, Thanks for the message
Baba Asante kwa ujumbe mzuri Mungu akutie nguvu baba
@@eliatrishayona9775 keep losing a look
Mungu anihurumiye mimi mweye zambi rohoni
Yesu akufanike kwa damu yake takatifu, maadui zako wakawe maadui zake.
Ikumbuke mwibara mtumishi, tunataka uamusho. Mara haijafikiwa mtumishi na injili kama hii.
Asante sn kwa powerful msg!!😭 Mungu anisaidie/atusaidie 😭😭😭
Tuko katika nyakati za mwisho tumtafuteni mungu zaidi ya vyote
Amen.Mungu akubariki
Tupate wap tena mtu kama huyu?? Ambae Mungu anakaa ndan yake.. Mungu aendelee kukuinua Baba kwa viwango vya juu zaid.
Nimekupata vizuri, mch. Mungu atusaidie,inatupasa kumwomba Mungu kilawakati.
Mungu nisaidie kukujua vema ili niweze kuyashinda ya dunia mana natamani kuioma mbingu nikiwa nimekupendeza E mungu🙏
Ee mungu naomba nilinde zidi ya maadui wabaya wasifanikiwe kutenda ubaya juu yangu🙏
Ooooh my god nikumbukee mim mwenye dhambi nyingi uniokoee
My "God" nasiyo my god.
Natamani kuhubiri injili na mzee huyu,
Barikiwa Sana mtumish wa Mungu aliyehai kwa jumbe muhimu huu
Asante baba.yangu unafundisha vizuri na ubarikiwe juu unafundisha ukweli sio kama mahubiri ya watuwengine kwasababu hawafundishi ukweli wamengangania mafundisho ya barakatu ila ya sikuzamwisho hayahubiriwi sasa ila baba umefundisha ukweli Mungu anipemwisho mzuri
Ubalikiwee Sana mtumishi wa BWANA
BABA MUNGU NINA KUSHUKURU KWA AJILI YA MTUMISHI WAKO,DAMU YA YESU IMFUNIKE,MPE AFYA NA MTUMIE KWA KUSUDI LAKO,KATIKA JINA LA YESU NINAOMBA EMEN
Amen 🙏 Bwana Yesu Kristo akubariki akuongezee umuri uzide kutufundisha.
Kwa hii injili Ata kama Mchungaji unaweza ukaokoka tena
Mchungaji Mungu akubariki na kukulinda , avery powerful prophetic message at the right time 🇰🇪
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama
Yesu andina jina langu kwenye kitabu cha mzima wa umilele.
Nimejikuta nalia God have mercy on us Mungu likubuke jina langu
Babaaaaaaa...,mbinga tunakusubiriaaaaaaaaaaaa
Tunakujaaaaaa
Yesu atatusaidia tu tuupate uzima
Mch MUNGU akutunze maan injilii hii nataman ifike kila mahali
Mungu atutangulie kwa kilajambo