Kaka usitumie nguvu nyingi kwa hawa yanga uchawi kwao ni kawaida na ndio maana mechi za klabu bingwa hawatoenda mbali kule kongo geti ni moja hakuna kuruka ukuta
Inavyo onekana hata ile mechi ya Simba na Yanga, kipidi cha pili hawa Yanga walichomwa sindano maana walivyo kuja kipindi cha pili walikuja na nguvu sana kumbe wanadungwa sindano zakuongeza nguvu.
Huo ujinga Yanga walianza kwenye mechi na Simba waliyo shinda bao 5 ambazo 4 ziliingia kipindi cha pili, Yaani mpaka mapumziko ilikuwa 1-1. Lakini waliporudi second half, Yanga walicheza kama vile ndio wanaanza mechi, wakanogewa wakaji boost tena mechi na Belouzdad, wakapata goli 4 zote kipindi cha pili. waarabu walilalamika sana kuwa wapinzani wao walitumia dawa za kuongeza nguvu. Wakakosa ushahidi na support. Kumbe kweli. Sasa wanasifiwa mechi na Azam walicheza kwa nguvu sana huku wakiwa pungufu kumbe tayari walikuwa wameishadungwa booster. Huu ndio mpira wa bongo.
Hizo zote ni njama kwa sababu jirani anautafuta Ubingwa safari hii anafanya mbinu tofauti kwani anajuwa kwa mpira hawawezi kilichobaki afanye figisu figisu tofauti tofauti ili Simba wawe Mabingwa mbona watu wanajuwa hilo ? Simba wao ndiyo yote wanafanya ili Simba wawe Bingwa wanakuja kuroga mlangoni Yanga wanajuwa kila kitu vurugu zote Simba wanafanya ili wachukuwe Ubingwa watu yote wanajuwa
Sheif ww ni mtu na nusu unajua mpira sana Ila kweli tff waangalie taswira ya nnchi yetu inachafuka je afcon tutaandaa je caf wakiona haya hawatakuwa na mashaka 7:25
NILIJUA VILE VIBABU MBONA VINAKIMBIA SANA TENA SECOND HALF. PUMZI INAONGEZEKAKE MUDA UNAVYOZIDI KUENDA. MISULI IMEKAKAMAA LAZIMA ISISIMULIWE KWA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU
Waandishi baadhi yao wanajikomba kwa utop 🐸🐸🙊🙉 kupewa chochote maswali yale magumu huwekwa mfukoni shida kurushwa viclip vya kusema ohh kamwe kitabiria Simba lini huyo kiroporopo akawa msemaji wa mnyamaa 🤷🤷🤷🤷ifike sehemu waone aibu kwa ulozi
Nikweli wachambuzi wengi njaa wanafata upepo. Mchambuzi peke ambaye amebaki ni Ali mayayi tembele njamaa sio njaa lkn wote njaa tu. Nimachawa kama tu wakina mwinjaku. Tunawasema tu wakina mwinjaku kumbe machawa niwengi sana.
Heti nyinyi waandisi mnanunuliwa na ao wauza kahawa kuongea ujinga juu ya yanga heti hata huyo aliyekuwa muokata chupa leo anaongelea mpira wewe Japheth unahoji watu wasio juwa mpira kwa maslahi yako ya kupata kipato
mchumbuzi bora anachambua mpira mapenzi anaweka pemben,huyu jamaa anaonesha sio mchambuzi ni mshabiki wa simba dhahili,mwangalie mtu km edo,jephlea na wengine meanvyochambua mpira wanaongea logic na huwez bain yupo upande gan
Yani katika hii chi akuna watu nawachukua kama awa mbwa waneandika tarifa za uongo kama munatumwa kuichafua yanga na viongozi wake na wachezaji sasa nyi mmetoa tarifa mna ushaidi acheni chuku na unafiki mbwa nyie amuna rorote rooo mbaya zimewajaa na usuda kazi ya kuzusha ya uwongo tu kira kukicha mara iri mara rire nyi mbona munakamatwa na bangi amusemi au kazi kushadidia mambo ya watu mbwa nyie
Woga wnu tu mnatumia nguvu kubwa kuiponda yanga porojo tu na wewe. Luka ukuta. na timu yoko mmeacha ushindani wa kiwanjani mnakaria proganda tu kumbuka simba afrika kusini na orendo kilitokea Nini uwanjani mpaka wakatozwa na faini na caf nyinyi kalieni porojo yanga anachukua ubingwa karien makasiriko na ujinga ujinga wenu
Hebu jiulize tu ,, hivi kama hayo mabomba yana sumu unadhani wote hawana akili wayaache hivyo? Simba si ndio muliwasha moto uwanjani? Hizi senario zenu lakini nazo vijiweni,
Hivi mpaka wasenge siku hizi wamekuwa wasemaji ? .hivi mtu anaetumia viashiria vya madawa ya kutumia dawa je ataviweka adharani je hiyo ipo sawa ? Tuacheni usenge wa maneno tuongereni mpira hivi yanga kufungwa na Azam yanga ndio iwe mbovu mwaka Jana yanga kafungwa na Azam je nani alikuwa bingwa .tusiokote wauza nyanya na wauza kashata kuwa waongeaji wa mpira
Watu wa simba tumewachoka sana. Kila siku mnazua jambo. Mbona wakati mnachukua ubingwa mara nne yanga walitulia?? Mara majini, mara uchawi wakati ndio wenyewe mliubeba wenzenu wakawashtukia wakapita njia nyingine mnaumia madudu yenu yakawarudia, wazee wenu wametangaza mbele ya vyombo vya habari kupeleka sanda kwa marefa, nchi yote kimyaa, mnakubali. Mwanzo wa msimu kina kisugu, miradji mzee saidi wametangaza mambo ya ushirikina na kusisitiza viongozi watafute waganga hayo hamusemi wala tff haioni. Sasa yanga wapo kimya mnaendelea.
Viongozi wa yanga mko wapi?? Hawa watu wakamatwe wakatoe ushahidi maana wanatuharibia ligi yetu. Yanga mimi ninafuatilia sana mazungumzo na kashfa nyingi sana ambazo simba kila kukicha wanapeleka kwa yanga. Ila sijaona yanga wakifanya hivyo kwa simba. Na viongozi mpo kimyaa sana.
Simba bingwa 🏆🦁💪💪🙏🙏
@@SamsonSamsoni-q9s inshaallah amiin
😊@@khadijahussein5298
Sauti ya zege🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Safi sana unajua vitu
Kweli kaka mkuuu UBAYA UBWELA SISI TUPO NA MUNGU WETU TUUU🦁🦁🦁🦁🦁🙏🙏🙏🙏🙏
Wanadunga sindano ndio maana mzee wetu Chama analala uwanjani dozi wanamzidishia
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😅😅😂
Upo sawa kaka. Tupo pamoja
Yanga wachawi pia wanatundana misindano kuongeza nguvu wachezaji wao watapata mazara mengi kikubwa wametolewa mwiko wao na azam safi hawana mwiko tena
Aisee yanga mbona mambo ya aibu sana, uchawi nyinyi, sindano nyinyi, kununia waamuz nyinyi duui, kwhyo ukubwa mnaoimbwa ni huo????
Unaongea fact brooo respect broo
Duh Seif we unajua waambie hao ngogwe waache janja janja yao
uwa nakukubali Seif
Unajua kakaaaa
Wazee wa sindano 😂😂😂
Huwa wanawasifia Wana pumzinkumbe wanajipiga sindano
Yanga Walipigwa kama ngoma
🦁❤️❤️🤩🔥🔥🔥💯💯💪😍
Siyo timu ya mpira, ni timu ya wahuni
Broo unaongea sahih sana napenda sana kukufatilia
+974 From Bin Umran Doha Qatar nawafatilia vyema sana
Tufuatilie mabingwa miongo mitatu wanatumia Mi-Pogba kabla ya mechi
Gibusti wazee wa sindano
YANGA BINGWA💚💚💚💚💚💚
Kalili hivyo hivyo 😂😂😂
Hata kama ni bingwa timu yenu ina makando kando mengi.Wachezaji wenu wanatumia madawa ya kusisimua misuri na uchawi mwingi sana.
Kaka usitumie nguvu nyingi kwa hawa yanga uchawi kwao ni kawaida na ndio maana mechi za klabu bingwa hawatoenda mbali kule kongo geti ni moja hakuna kuruka ukuta
Mwiko nyuma wanamwisho mbaya sana,wanajiongeza nguvu kwa kujichoma masindano 😮😮😮kila kitu kibaya kina mwisho mbaya
Kuwa na amani maana hakuna ushahidi
@Abuu-gs1yi sawa kiongozi lakini yale mabomba ya sindano yanaleta walakini sana
Yanga bingwa
Labda UTOPOLO ndiyo atakuwa bingwa😂😂😂😂😂😂
Ukweli ni kwamba waamuzi ndio wanaoimarisha safu ya ulinzi ya yanga
Nyuma mwiko wanako enda wataumbuka
Utaanza wewe kwanza
@@Abuu-gs1yi aanze yeye!? Wakati mmeshaanza watu wanasinzia huko si nikuumbuka ila makauzu tu
Champion's league watatolewa mapema sana❤😂
Inavyo onekana hata ile mechi ya Simba na Yanga, kipidi cha pili hawa Yanga walichomwa sindano maana walivyo kuja kipindi cha pili walikuja na nguvu sana kumbe wanadungwa sindano zakuongeza nguvu.
Ynaga bingwa💚💚💛
Ynaga ndio timu gani?Umedunga Mi-Pogba
Mwamba,Kamanda wa nguvu 1
Huyu jamaa anaeongea sana mwamba anaakili sana
Kwer kabisaa
Masindano fc
wazee wa sindano!
Alaaa kumbeee mana hata nguvu ya sindano ikiisha wanalala kwenye mabenchi 😴😴😴😴😴😴pale kwenye benchi chama alikuwa afunikiwe chandarua .🥱🤭🤔
Kwl kbc tff wanajua?mn kwa nini yanga mala kwa mala wanapigwa faini kwa kupitia mlango sio sahihi na inaelekea faini hewa kisa gsm
Huo ujinga Yanga walianza kwenye mechi na Simba waliyo shinda bao 5 ambazo 4 ziliingia kipindi cha pili, Yaani mpaka mapumziko ilikuwa 1-1. Lakini waliporudi second half, Yanga walicheza kama vile ndio wanaanza mechi, wakanogewa wakaji boost tena mechi na Belouzdad, wakapata goli 4 zote kipindi cha pili. waarabu walilalamika sana kuwa wapinzani wao walitumia dawa za kuongeza nguvu. Wakakosa ushahidi na support. Kumbe kweli. Sasa wanasifiwa mechi na Azam walicheza kwa nguvu sana huku wakiwa pungufu kumbe tayari walikuwa wameishadungwa booster. Huu ndio mpira wa bongo.
Uyu jamaa anajuwa sana aisee Tena tunapenda anavyo ojiwa na midia zenye akili
Ujawahi kosea mzeeya
Msisahau au msijisahulishe kupitia Tabora, simba fc mmeliwa na yanga mara nne fanyeni sherehe siku mkiifunga Yanga fc, na safari bado
Hadi wachambuzi watarabu wamehamia kwenye mpira. Lkn ni njaa yinasumbua maana kuna timu ukiyisifia tajiri wao anamwaga sana pesa hadi kwamarefa😂😂😂
Kaka seif simba unatisha uliwah kutabili ulpatia
Utopolo wanahaibisha ligi letu
Mhhh uhsahidi unao kwa unayosema au unahisi nyie simba mliwasha moto south africa msijifanye hatukumbuki mnaroga sana😁😁
Hizo zote ni njama kwa sababu jirani anautafuta Ubingwa safari hii anafanya mbinu tofauti kwani anajuwa kwa mpira hawawezi kilichobaki afanye figisu figisu tofauti tofauti ili Simba wawe Mabingwa mbona watu wanajuwa hilo ? Simba wao ndiyo yote wanafanya ili Simba wawe Bingwa wanakuja kuroga mlangoni Yanga wanajuwa kila kitu vurugu zote Simba wanafanya ili wachukuwe Ubingwa watu yote wanajuwa
Kumbe mautopolo yanajibusti na sindano ?
Kayoko yupo zanzibar
Hakika dopping ni mbaya sana ona sasa yamelegea utadhani uji ulio lala
Yanga na kayoko hakuna tatizo lazima washinde
Kumbe wanaongeza nguvu duuh hatari
Hao ndiyo Yanga tunao wajuwa sisi hapo ndiyo umeaza ligi sasa
Sheif ww ni mtu na nusu unajua mpira sana Ila kweli tff waangalie taswira ya nnchi yetu inachafuka je afcon tutaandaa je caf wakiona haya hawatakuwa na mashaka 7:25
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja
Malofa fc ni wachawi sana
😅😅😅😅😅😅nakukubali sana mwamba unawaambia sana ukweli awo utopolo
Ubaya ubwela
Seif mwisho wa msim tutakuuliza
Mkishinda mtakuwa mmetumia dawa za kuongeza nguvu au kununua
Kenge anaemchukia Mnyama yupooo
TFF wana maslahi
Kwel
team gani ilipigwa faini ya uchawi na caf??????????????????
Tabira washapewa kibunda chao teari watafungwa gsm tena
NILIJUA VILE VIBABU MBONA VINAKIMBIA SANA TENA SECOND HALF. PUMZI INAONGEZEKAKE MUDA UNAVYOZIDI KUENDA. MISULI IMEKAKAMAA LAZIMA ISISIMULIWE KWA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU
Tumieni akili jamani mnaonekana mazwazwa
Kweli jiulizeni mna akili timamu
Yanga matukio yao yako wazi na hayachunguzwi sasa ifanye klabu nyingine sasa
Waandishi baadhi yao wanajikomba kwa utop 🐸🐸🙊🙉 kupewa chochote maswali yale magumu huwekwa mfukoni shida kurushwa viclip vya kusema ohh kamwe kitabiria Simba lini huyo kiroporopo akawa msemaji wa mnyamaa 🤷🤷🤷🤷ifike sehemu waone aibu kwa ulozi
Nikweli wachambuzi wengi njaa wanafata upepo. Mchambuzi peke ambaye amebaki ni Ali mayayi tembele njamaa sio njaa lkn wote njaa tu. Nimachawa kama tu wakina mwinjaku. Tunawasema tu wakina mwinjaku kumbe machawa niwengi sana.
Kama team inatakiwa kuwa benchi la matabibu! Huwezi ukakosa sindano, atakua daktari wa ajabu ambae atashangaa sindano, au dawa!
Sawa upo sahihi na kamera kufunikwa lete sababu acha urofa wewe utakuwa tahira miaka yote
Mama yake gani hakamuhulize tatizo mpaka matapeli wanahujuwa mpila?
MTU wa boll
Sea
huyu jamaa sio mchambuzi hajui mpira,ona vile anavyochambua mpira ajifunze kwa wachambuz wenzake,mchambuzi bora halet mapenz ya timu
Huyo si mchambuzi ni shabiki yuko zake kijiweni lakini anaongea ukweli
Huyo sio mchambuzi
Huyo ni Shabiki wa Simba
Tofautisha shabiki na mchambuzi
Mkipata vimidia vya kuwahoji kumbe huwa mnaongea utumbo
Sio yanga ndio utumbo
Azam kuifunga yanga ndio ubingwa wao wanashinda mechi halafu unabaki nafasi ya nne yanga anafungwa anaongoza ligi tusubiri ligi iishe ndo ujue
Mchome mpiga gitaa
Daca
Nyie waandishi acheni kuichafua yanga...kwani GSM anadhamini timu ngapi katika ligi?...camera zimezibwa nani aliyechukua iyo clip?..
Heti nyinyi waandisi mnanunuliwa na ao wauza kahawa kuongea ujinga juu ya yanga heti hata huyo aliyekuwa muokata chupa leo anaongelea mpira wewe Japheth unahoji watu wasio juwa mpira kwa maslahi yako ya kupata kipato
Pole kaka ukijifunza utajua
Wachawi
Nyie zusheni mambo ya kipuuzi na propaganda mtashitakiwa
Hawa wote wana firwa maana ujinga mtupu wanaongea
Duh wewe kaka unamaono sana kauli yako imethibitika kwa kipondo iki cha yanga saruti kaka
mchumbuzi bora anachambua mpira mapenzi anaweka pemben,huyu jamaa anaonesha sio mchambuzi ni mshabiki wa simba dhahili,mwangalie mtu km edo,jephlea na wengine meanvyochambua mpira wanaongea logic na huwez bain yupo upande gan
😂
Yani katika hii chi akuna watu nawachukua kama awa mbwa waneandika tarifa za uongo kama munatumwa kuichafua yanga na viongozi wake na wachezaji sasa nyi mmetoa tarifa mna ushaidi acheni chuku na unafiki mbwa nyie amuna rorote rooo mbaya zimewajaa na usuda kazi ya kuzusha ya uwongo tu kira kukicha mara iri mara rire nyi mbona munakamatwa na bangi amusemi au kazi kushadidia mambo ya watu mbwa nyie
Woga wnu tu mnatumia nguvu kubwa kuiponda yanga porojo tu na wewe. Luka ukuta. na timu yoko mmeacha ushindani wa kiwanjani mnakaria proganda tu kumbuka simba afrika kusini na orendo kilitokea Nini uwanjani mpaka wakatozwa na faini na caf nyinyi kalieni porojo yanga anachukua ubingwa karien makasiriko na ujinga ujinga wenu
😂😂😂 kwahiyo waige kuvunja sheria au vp!? Kwanini msifuate utaratibu kama kweli mnaamini kwenye mpira!?
Pole
Yanga watawafunga simba duru la pili na midomo hiyo itafungwa na migufuli.
Hebu jiulize tu ,, hivi kama hayo mabomba yana sumu unadhani wote hawana akili wayaache hivyo? Simba si ndio muliwasha moto uwanjani? Hizi senario zenu lakini nazo vijiweni,
😂😂😂😂😂😂
Hujaambiwa Sina sumbu
Ila zina madawa
Kama sio tim ya mpira kammuulize mamaako
PIMBI HADJ MANARA na ALLY KAMWE MNAYASIKIA MADINI HAYA?.KUKU WAHED NYIEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Simba mbona mnatoa siri zenu wenyewe mliyoyafanya mliyoyapitia wakati wenu.
Hivi mpaka wasenge siku hizi wamekuwa wasemaji ? .hivi mtu anaetumia viashiria vya madawa ya kutumia dawa je ataviweka adharani je hiyo ipo sawa ? Tuacheni usenge wa maneno tuongereni mpira hivi yanga kufungwa na Azam yanga ndio iwe mbovu mwaka Jana yanga kafungwa na Azam je nani alikuwa bingwa .tusiokote wauza nyanya na wauza kashata kuwa waongeaji wa mpira
Wewe inaonesha una adabu
Watu wa simba tumewachoka sana. Kila siku mnazua jambo. Mbona wakati mnachukua ubingwa mara nne yanga walitulia?? Mara majini, mara uchawi wakati ndio wenyewe mliubeba wenzenu wakawashtukia wakapita njia nyingine mnaumia madudu yenu yakawarudia, wazee wenu wametangaza mbele ya vyombo vya habari kupeleka sanda kwa marefa, nchi yote kimyaa, mnakubali. Mwanzo wa msimu kina kisugu, miradji mzee saidi wametangaza mambo ya ushirikina na kusisitiza viongozi watafute waganga hayo hamusemi wala tff haioni. Sasa yanga wapo kimya mnaendelea.
Viongozi wa yanga mko wapi?? Hawa watu wakamatwe wakatoe ushahidi maana wanatuharibia ligi yetu. Yanga mimi ninafuatilia sana mazungumzo na kashfa nyingi sana ambazo simba kila kukicha wanapeleka kwa yanga. Ila sijaona yanga wakifanya hivyo kwa simba. Na viongozi mpo kimyaa sana.
Jamaa ni fala sana ilikua ni video ya game ya madunduka na Hawezi kusema ukweli. Yeye ni …
😂😂😂😂