Ni kweli kabisa maana hata the way alivoimba kama huna akili huwez elewa kabisa apo aliposema akapotea na Roma apo unaweza elewa kidg lakn unatakiwa uwe na timamu alahh
This song is deeper and touches on issues affecting the country political climate. It's so poetic gem with a has deeper meaning that what on surface it may seem.
i used to listen this song while at webuye,sotik and meru in aim of sales Ed marketing..where I used to be paid commission of 20% before I get my 200kshs I had to sale a product of 2000ksh I return 1800 to managers office....very painful...
One of the best songs (+ Hainisumbui and Kipi sijaskia fr. Prof. Jay) to dedicate to your colleagues at any work place cause binadamu ni walaghai sana Hawapendi kuona Wala kuskia unafanikiwa Kwa vyovyote vile
👌👌👌♥️♥️♥️♥️♥️🦹♂️🎤🎸🎹 a a ce très belle chanson 👌💪👌 wah vraiment vraiment ce très beau j'adore bravo Simba 🦁💪👌 merci beaucoup pour toutes les très belles chansons que vous faites ♥️🎤🦸♂️💯💯💯🏆🥇❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2025
Acha ni lewe wangapi wamekuja ku sikiliza iyi wimbo 2025❤
Wa kwanza mimi
Wangapi tunaiskiliza 2024 hii ❤❤
Am in
Mimi apa🎉
👍👍
and me 2
@@EmmyCherono-um2rj 🙏🏾
Tunayo till 2025 ,my favorite song from simba 💪
Nikisikia nyimboo hii nalia kabisa
❤❤❤❤❤
Pole sana
Why is this song so underated? It should be having millions of views bana🔥🔥
It does, it was posted on another platform, it was only recently posted on Diamond's official channel.
Acha nikae kimya mm bado mtoto mdogo Sana.
Wangapi tunaiskiliza December ❤❤
2024, baad ya kukisir kwa matukio ya mauaji, utekaji, ulawiti na ubakaji Tz 😢😢
Kumbe kuna nyimbo nzuri hivi na hamsemi watu mna sili
Umeona eeh
Sisi sote ni taifa moja, tuijenge Kenya.
Wakenya mko wapi,njoo msikie ujumbe Simba aliimba miaka tisa iliyopita. Moto sana 🔥🔥✊✊✊🤲
Tisa ama saba we mwehu nini
@@LadashaLilian Mmmmmmhm
Utunzi n msafi kabla ya kukutana naye Diddy
From TikTok ❤❤
Simba lama Simba lama dangote,..uko juu nime kaa leo nna mawazo nkaji kuta nimerudi uku legend🙌🙌
Kama Mimi, hasa baada ya kukumbuka mjomba wa chato
Uliposema aisemee haki ungesema niitetee haki inge waka ila no one is 100 percent
Ivo ndo alikuwa aseme 2 coz he was narrating how someone was thinking about him
5n sana broh kweli sazingine bora kukaa kimia I 4rm Kenya upcoming bongo flavour artist
Hii nyimbo diamond aliichana serikali sema in indirect way sema ukiwa bongolala huwezi elewa utaona kama anaitetea serikal lakn sio ukwel
Ni kweli kabisa maana hata the way alivoimba kama huna akili huwez elewa kabisa apo aliposema akapotea na Roma apo unaweza elewa kidg lakn unatakiwa uwe na timamu alahh
This song is deeper and touches on issues affecting the country political climate. It's so poetic gem with a has deeper meaning that what on surface it may seem.
i used to listen this song while at webuye,sotik and meru in aim of sales Ed marketing..where I used to be paid commission of 20% before I get my 200kshs I had to sale a product of 2000ksh I return 1800 to managers office....very painful...
wee zombie back again afte 7 years still a hit
Wewe umeingia 2024?
One of the best songs (+ Hainisumbui and Kipi sijaskia fr. Prof. Jay) to dedicate to your colleagues at any work place cause binadamu ni walaghai sana
Hawapendi kuona Wala kuskia unafanikiwa Kwa vyovyote vile
😢😢😢 diamond platnumz siku ukifa na Mimi staki skiza mziki tena
Ukitamkangulia wewe je
Dangote ANAJUA Seema maadui Ni wengi
😢😢 Kenyan leaders should listen to this song.
Favorite song of all times....... DIAMOND PLATNUMZ TO THE WORLD
Yes
Duuu
It is good song
Hiii ngoma nani anaisikiliza leo 23/09/2024😂😂😂
Mm naisikiliza Leo hii 7.11.2024 baada ya nchi kuw hovyo😂😂
When I wake up,huu ndio wimbo wa kwanza kusikiza
A very good message from the artist, kimya to avoid alot
Naupenda sana
My song ❤️ nikiwa form 4, this was my song and nothing bothered me,nipite nisipite I caredless
Mimi ni mtu mzima nategemewa
Aki siasa wewe..vitisho vilizidi ulimi ukakoma..kambarage baba moja
Dimond akiamua kuimba nyimbo nzr inavuta hisia za watu ila hizi zingine anazoimba wiki moja imekufa ni hazina ujumbe ila za zamani zimedumu sana
Daaaaaah I love asake wa tandale
Wenye uelewa pekee ❤
Kelvin apanaikubali sana ngoma hiii❤❤❤❤
🥰😘lots of love from Kenya 🇰🇪
Nyimbo nzuri sn kuliko zote ulizowahi imba hongera sn big inspiration
This song I always listen to it on the plane
Nomaaa sanaa 🌟 from Tanzania 🇹🇿😍
Great voice , great singer, Diamond
2024 nipo hapa nipe like ukipitia
Most underrated song of all time
Beautiful words
Amazing pace
So so so peaceful
Diamond please sing more songs like these that inspire
@Diamond platnumz I like the way you roars keep it lighting. I like this song
Hii ngoma iibe saivi sasa ndo utaendana nao kwenye mikataba ya huyu mama
Aki hii song iko sawa I I keep on repeating it
Message to kasongo yeye , Wakenya tusikae kimya 2025
This song reminds me year 2018'when i broke up with my wife. I heard all false stories about me. I remained silent
Ooooh 2018 Was the worst year ever broke to the point u take only one meal aday ooooh thanks to God things are better now
U had to
Aaaaa ngoma hii ni hatareee
Cc très belle musique 🎶j'adore merci beaucoup pour toute les belles chansons bravo bravo 🥰👍🙏🙏👏👏👏💃
Oh my God, I love so much this song ! The translation, please😢
Napenda huu wimbo kusema kweli amazing
2024 $till here, awesome!
This song makes me to press on more in life. Inanitia nguvu...
Simba ni mmoja
HUYU fundi sema Tanzania kubwa sana tuishi humo 🤫
I remember listening to this song 2018 nikizunguka tu nikitafta job...i feel like crying now
Inanikucha kitu ❤🎉
Hii nayo imeniingia 🎉🎉 concraglation simba🎉🎉🎉
This has my all time favorite song, great song Simba.
Naipenda hii ngoma
Hi nikazi kaka ulifikilia Sana kwa inchi yetu inavo kwenda acha nikae kimya
Reminds me of the song ' Nifundishe Kunyamaza'
Huyu makame si yule wa mheza! Mtoto wa jaji makame!
kimyaa🎶🎶🎶🎶.. acha nikae kimya🥰🥰❤️❤️
Hii ngoma #Diamond.alikuwa ameipiga pin sasa naona kaipandisha tena
This is national anthem of 🇹🇿
this song is underrated🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Vyakula vya bunge sio tamuuu
😂
Mitandaoni kila kona uongo nao unashonwa kila nyumba inanongo'na mara kimbembe Dodoma .
Wewesio Simba farawewe
Wewe heshimu Simba
Sa' tofauti za nini tushikamane tukaijenga Tanzania
Huyu mwenye ako kwa cover picture ni mzee Nyerere? RIP 🌹 he was a wise man♥️
Nmefunga nalo mwaka 31.12.2024
Nyimbo hii nakukubali Sana
Mimi ndo nimechelewa au
Makame hataki...wacha nikae kimya
💪💪tuzidi kupambana
baba lao , huu ni wimbo wao
31/12/2024 mnipe likes zangu tu 😊
The best Advise ever
Mi mkenya ila nakumbuka hiki ni kile kipindi siasa mbaya ilivamia tanzania,kina roma walivyokamatwa,,,
This is the song that made me subscribe to your youtube channel, I don't understand the language but the song is still communicating something to me.
Wakenya ameamua hatutokaa kimya
This song teaches a lot ❤😢😢
Nampenda mamangu Sana.
iih nyimbo siilikuwa na views milioni moja mbona Leo wapo elf2 imekuaje tena
😁😂😂😂🤣🤣🤣wamemuibia
Walimhack labda ilifutwa ikarudishwa
Saiv 84k😂
Akuna cha kuhack wala nini ile ni promotion to promote a song
True it used to have a million views
Kazi safiii bro mondy
i love this this song up now 🥰🥰🥰😘😘
This one of my favorites of his songs,
My classmate at highschool used to sing it, @ kiddie star
This reminds me of 2017 this song really amazing
My favourite song by this brother
2023 still listening 🎧❤
This is the song to listen when you've come from work and you want to relax you self 💪
2018nikiwa form 4,it was my song
Love you Diamond ❤
Wao hii song ni poa
This song remind me 2018😘⛅⛅⛅
This song aged like wine
Shangaa kama mimi😢
Wimbo unaoishi
Wimbo safi
Mungu bariki🙏
👌👌👌♥️♥️♥️♥️♥️🦹♂️🎤🎸🎹 a a ce très belle chanson 👌💪👌 wah vraiment vraiment ce très beau j'adore bravo Simba 🦁💪👌 merci beaucoup pour toutes les très belles chansons que vous faites ♥️🎤🦸♂️💯💯💯🏆🥇❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Moto sana