Diamond Platnumz "Binadam" (Official HQ Audio Song)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @FrancisMukabwa
    @FrancisMukabwa 11 месяцев назад +49

    it's now 2024 na bado hatu kati tamaa huu wimbo hunipa morali vinoma mondi milele 💪💪💪

  • @NevestWisa
    @NevestWisa Год назад +29

    Bonge la Jimbo ....Aisee Diamond Big Up sana...Hii ni January 2024 ,,,
    I believe I'm gonna make it,, you're the proof of success

  • @sephaniaayubu1877
    @sephaniaayubu1877 3 года назад +7

    Dahhh kuangaika mchana mpaka usku Alf ukaambulia patupu huwa inaumaa snaa aiseee mondii umu ndanii kunamaujumbeee sanaaa ubarikiweee

  • @dopplereffect7154
    @dopplereffect7154 9 месяцев назад +90

    Wangapi bado mnasikiliza hii ngoma 2024. ?? Gonga Like Hapa Chini??

  • @swalehswaleh5948
    @swalehswaleh5948 Год назад +39

    2024 and still cant get enough of this masterpiece💯

  • @realtonny001
    @realtonny001 Год назад +11

    Moja kati ya nyimbo zake ambazo nazikubali zaidi. Huyu mwamba anajua kuimba anachokipitia maishani.

  • @augustinoallanngilangwa820
    @augustinoallanngilangwa820 2 года назад +15

    Sijawahi kusikiliza ngoma isiyoisha utamu kama hii , hiki ni zaidi kipaji yani ni zaidi ya ubunifu...
    Hongera sana bro watanzania bado tunaendelea kukuombea uzidi kukitangaza kiswahili ndani , nje ya nchi hata kimataifa pia 👍👍👍👍👍

  • @winaswaty612
    @winaswaty612 8 лет назад +67

    "ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu nilikuwa naumia".....
    kidogo nakula na mama yangu.....

  • @tanayiantan8318
    @tanayiantan8318 8 лет назад +70

    sauti nzuri....maneno matamu...ukweli mtupu...waache wivu..mpaji ni Mungu

  • @ivancharles578
    @ivancharles578 6 лет назад +31

    Diamond unajituma kwa kweli,ee mungu nijalie namm niwe na moyo wa kujituma Kama diamond

  • @sarahkaranjajoe
    @sarahkaranjajoe 9 лет назад +204

    Upendo kwa babangu ingawa alinikataa.Diamond u inspire me.God continue blessing u

  • @coolbino935
    @coolbino935 4 года назад +50

    Nani amekuja kusikiliza baada ya mama Daimond kukataa kwamba mzee Abdul siyo baba mzazi wa mond

  • @selemanikapara1972
    @selemanikapara1972 7 лет назад +29

    mond kiukweli zamani ilikuwa unaimba nyimbo kali sanaaaaaa. yaan ni realty kabisaaaa ya maisha yanayo tokea kwa watu wengi

  • @izzygld5989
    @izzygld5989 6 лет назад +32

    kidogo nakula n.a. mama yangu siwezi kuwasaau n.a. ndugu zangu
    salamu zifike kwa baba yangu japo alinikataa.......

    • @msssy2410
      @msssy2410 4 года назад

      It's so painful mzazi mmoja akatae mwanae,don't worry one day only one day he will he come to his senses and recognize you as his child

  • @martinkarega4219
    @martinkarega4219 Год назад +3

    Ubarikiwe sana Simba la masimba..hii nyimbo inatia nguvu sana ila wengine wanasahau walipotoka😭😭

  • @isaacbarnabas9608
    @isaacbarnabas9608 Год назад +32

    #2023 and still banging Up with this Perfect Old shit ✌️!. #PLATNUMZDIAMOND

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 года назад +11

    Hii ngoma ilivyotamu nashindwa cha kusema.. namimi napambana nadharauliwa ila ipo siku ntapata.🙏🙏

  • @jaelj322
    @jaelj322 4 года назад +36

    This song was sung by Diamond from his experience yet I can really relate to this...my best song so far..touches me to the core😪🙏

  • @jackymushira697
    @jackymushira697 8 лет назад +26

    Kwa ugumu wa maisha na maumivu ya mapenzi nikaandika kamwambie .... This the kind of music u listen to n start weeping

  • @filexmushi2215
    @filexmushi2215 3 года назад +68

    2021 still on this song🔥🔥🔥

  • @msaleeydewisely8904
    @msaleeydewisely8904 8 лет назад +77

    Naamini nitafika ulipofika Diamond platnumz. E mola nisaidie.... Kazi nzuri Mond

  • @zablonchiriba2630
    @zablonchiriba2630 2 года назад +106

    Wangapi wanahisia kali katika hii nyimbo na bado wanasikiza tukiwa mwisho wa mwaka Dec 2022..?

  • @malikamaingu6765
    @malikamaingu6765 8 лет назад +66

    Yani iyo song ni real life ya watu wengine mondi bro uko juuu🙌big up ungekua karibu ningekupa angalau shiling kumi ndo uwezo wangu.

  • @mimifauz7690
    @mimifauz7690 7 лет назад +54

    Binadamu kweli wabaya unayoyasema yanaukweli...siwa sahau ndugu zako,rudi tandale kamshike mkono dadako hawa

  • @jamesmoses5625
    @jamesmoses5625 6 лет назад +314

    walah hii nyimbo haichuji Nani anasikiliza 2018

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 4 года назад +7

    2020 Nipo Kutizama hii ngoma, kweli Binadamu wabaya Jamani 😭😭😭😭

  • @godfreykingunge4148
    @godfreykingunge4148 6 лет назад +288

    Nani mpaka sasa anasikiliza 2019 gonga like yako hapa binadamu wabaya hii ngoma kali. Jamani

  • @jackymushira697
    @jackymushira697 8 лет назад +10

    Kweli ni mola pekee anayejua wangapi binadamu wabaya
    Umetoka far baba tiffah! Keep rocking

  • @wardasalim562
    @wardasalim562 6 месяцев назад +3

    😢😢😢😢yanii huu mwimboo unaelezeaa historia zetu zakuhustle sn zile dharau na kejeli zao huwa nazisikiaa maskionii mwanguu😢😢

  • @deomlowe1227
    @deomlowe1227 3 года назад +1

    Mond nimekuelewa sana kwa hii song sijawahi comment lakin kwa ukweli uloimba hum duuuu! god bress u

  • @contesarmark9743
    @contesarmark9743 6 лет назад +25

    This is the only diamonds’ dong that always makes me cry.. it is so touching.

  • @jacktirkolo
    @jacktirkolo 4 года назад +1

    Wanakuchekea usoni, ukiwapa kisogo wanakusema. Binadamu wabaya sana!

  • @mohamedjumbe9309
    @mohamedjumbe9309 3 года назад +7

    Diamond platnumz kashafanya yote kamaliza hakuna muziki hajaimba

  • @meymahally8674
    @meymahally8674 2 года назад +36

    I can't get enough of this song

    • @BARDLING__EMPIRE
      @BARDLING__EMPIRE 2 года назад

      ruclips.net/video/vGhScH1I4YY/видео.html

    • @vincent6968
      @vincent6968 2 года назад

      Kama kuna wimbo iliimbwa ni hii zingine si nyimbo😜😜😜

  • @mczundaoriginal2491
    @mczundaoriginal2491 8 лет назад +35

    NICE SONG HIZI NYIMBO NI WAKATI WAKE SASA WA KUZIFANYIA VIDEO FANYA HIVYO DIAMOND

  • @kassimdangote7964
    @kassimdangote7964 5 лет назад +1

    binadamu wabaya saaaaaanaaaaaa daah naumia sana nikifikilia ndugu zangu na maixha yangu baada ya mama na baba yangu kufa yamebadilika sana kila nikitafuta nakosa maixha ni safari ndefu 2muamini mungu 2tapata2

  • @ramdula6296
    @ramdula6296 6 лет назад +52

    Never Let anyone kills your dream
    Still going strong 💪💪💪💪

  • @dorcajohn7661
    @dorcajohn7661 3 года назад +4

    hatuwezi kutrust wanadamu
    wengi wetu ni wabaya. it okay simba stay strong!!😭😭🥰🥰

  • @idrisaomar6080
    @idrisaomar6080 5 лет назад +157

    Hii ngomaa ni kalii sana na itabaki daima.. Km unasikiliza hadi sasa 2019 km mimi gonga like👍👍👍

  • @heavenassenga7346
    @heavenassenga7346 4 года назад +2

    Daaaah kweli binadamu wabaya hii wimbo mpk leo nausikuliza badoo ❤️❤️🔥🔥🔥🔥huu wimbo utaishi daima milele

  • @davidouma712
    @davidouma712 6 лет назад +27

    waauuuu'''''''' wanadamu wabaya kweli platinum

  • @shabanihamisi115
    @shabanihamisi115 3 года назад +1

    Hakika tungo zako zinaishi hadi leo 2022. Ni wenye busara pekee ndo wanajua uwezo na umuhimu wako mdogo wangu. Endelea kuwasapoti bila kinyongo nafsi zao ziwahukumu siku moja.

  • @delize8024
    @delize8024 4 года назад +175

    Nani bado anaisikiliza hii hadi leo 2020 mwez 3 trh 19.. GONGA LIKE hapa🔥🔥🔥🔥

  • @Truenegro-q7r
    @Truenegro-q7r 5 лет назад +1

    Sababu ya ugumu wa maisha na maumivu ya mapenzi nikaandika kamwambie
    Ndo hapo Hussle zikaisha watanzania wanizimie

  • @mtibamtiba95
    @mtibamtiba95 6 лет назад +113

    Nan anaisikiliza hii nymbo 2019

  • @jamalamos4189
    @jamalamos4189 3 года назад +1

    Aise ulitulia sana ungetoa video ingekuwa vizuri zaidi

  • @okangakelvin2216
    @okangakelvin2216 3 года назад +3

    Sasa hivi kwenye tamasha yaani likitajwa jina watu wanafurahia, wengine furaha inatuzidi kina hadi kabisa tunalia,,,, Mob love Simbah #WasafiForLife
    #KenyaForDiamond

  • @emanuelernest8710
    @emanuelernest8710 5 лет назад

    Binadam ndiyo wanaofanya binadam wengine waonekane wabaya kweli mungu pekee ndo ajuaye Nani mwema respect Sana #diamond 18/10/2019

  • @sizzlabarbra5905
    @sizzlabarbra5905 10 лет назад +44

    Mapenzi kibao kutoka nchi njirani ya 254, love the song

    • @myshylysh3554
      @myshylysh3554 7 лет назад +1

      Sizzla Barbra 😍😍😍😍

    • @janetydama5317
      @janetydama5317 5 лет назад

      Diamond.hii nyimbo imenigusa moyo. Yaan hakuna uongo hapo.

  • @HubertCubaka
    @HubertCubaka 3 года назад +1

    Unaanza kuyapitia kweli... Wanadamu wabaya...

  • @davidmarick4257
    @davidmarick4257 5 лет назад +32

    2019 huu wimbo unaujumbe mzito sana

  • @davidouma7593
    @davidouma7593 2 года назад +46

    2022 and I'm still here; good is gold.

  • @frankmchwemba5416
    @frankmchwemba5416 5 лет назад +25

    dah ngoma ya maisha yote aichuji kubabakeee 2019

  • @salehali8103
    @salehali8103 4 года назад

    Hiii nyimbo wakatiii inaimbwa na diamond nikama kaniimbia Mimi kwelii binadamu wabaya tena wabya ,,, nakukubali cn brooh

  • @damarisdawson9323
    @damarisdawson9323 7 месяцев назад +5

    Unaeisikiliza hii ngoma 2024 muda wa kuinuliwa sasa

  • @francismoshy3286
    @francismoshy3286 5 лет назад +49

    Wanaoisikiliza hii ngoma ikiwa kwenye ubora wake hadi leo 2020 wagonge like hapa

  • @tanayiankoromo3747
    @tanayiankoromo3747 8 лет назад +21

    Binadamu wabaya....wanakuchekea usoni wanakuroga moyoni

  • @blaireadelina
    @blaireadelina 5 лет назад +3

    Who else is here 2019 April.. I wish angetoa video ya hii song..plus na ile ya nalia na mengi..wcb for life @diamondplatnamz

  • @hajiabdallah7643
    @hajiabdallah7643 3 года назад +3

    Nipo na hii track till 2022 thanks God for blessings me

  • @salumkanju1732
    @salumkanju1732 6 лет назад +1

    daah mond hapa kanishika pabaya sana, ukisikiza this song utajua tu kwamba mchiz alipofika leo ni juhudi zake binafsi na baraka za mungu tu no uchawi no mason, the song will always reflects the truth of life.

  • @carolineodhiambo5154
    @carolineodhiambo5154 9 лет назад +33

    Wow ur songs are so beautiful and have good massage in them my Allah bless ur good work

  • @sallymwasi
    @sallymwasi 4 года назад +10

    This is one of my favorite Diamond's songs. 💯

  • @lydiagathoni2733
    @lydiagathoni2733 8 лет назад +6

    ukweli kaka diamond....kila wimbo unatoa ni hit😍mungu azidi kukulinda naseeb

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 3 года назад +2

    Nyimbo inatia nguvu sana hii barikiwa sana 🦁

  • @jacktirkolo
    @jacktirkolo 4 года назад +10

    Huu wimbo unaniguza sana!

  • @bizimanaissac6484
    @bizimanaissac6484 4 года назад

    Diamond jipenguvu bro mungu yupo mutoto anaye chukiwa ndiye anakuwa iposiku wakubali tu waache uko artist muzuri sana

  • @mansourabdul3902
    @mansourabdul3902 4 года назад +17

    Nani yuko na mimi 2020 hii ngoma hawezi kuchuja

  • @joshuahassan1605
    @joshuahassan1605 7 месяцев назад +1

    Hii ilikuwa ngoma kweli kweli. Na jamaa alikuwa anaimba kwa hisia kali sana. Ni 2024 but ngoma bado ya moto

  • @emmanuellaizer4548
    @emmanuellaizer4548 6 лет назад +8

    @DiamondPlatnumz hii nyimbo aise iperform siku moja, bado inamaana kwako sanaa tuu;;;;~

  • @Snowball17-10
    @Snowball17-10 4 года назад +19

    This song is so deep🔥 never gets old

    • @BARDLING__EMPIRE
      @BARDLING__EMPIRE 2 года назад

      ruclips.net/video/vGhScH1I4YY/видео.html

  • @paulojohn5974
    @paulojohn5974 4 года назад +1

    Simbaa ndo et ashindanishwa na harmonize achen mondi yuko juu sanaaaa 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @kichwachagoogle5138
    @kichwachagoogle5138 4 года назад +46

    Waliopo hapa baada ya kusikia Abdul sio baba mzazi wa Diamond
    👇

  • @aminamwacha375
    @aminamwacha375 2 года назад

    Sababu ya gumu wa maisha namaumivu ya mapenzi nikaandika kamwambieeeeeeeee.............. hatariii saaan

  • @mwasitimwinyijuma5691
    @mwasitimwinyijuma5691 2 года назад +10

    2023 still the song is lit 🔥

  • @wazirimpili1537
    @wazirimpili1537 4 года назад

    Brooo komaaaa nyimbo naielewa sanaaaa maisha basi tu ndugu

  • @drsolomonsamwelsolomon1154
    @drsolomonsamwelsolomon1154 6 лет назад +53

    tunaomba video ya hii nyimbo Diamond it's very inspiring song to upcoming artists and even other hardworking guys

  • @msalabanreko7001
    @msalabanreko7001 4 года назад

    Dah tamu sana kidogo nakula na mama yangu siwezi kuwasahau na ndugu zangu upendo popote alipo kwa baba yangu japo alinikataa duh safi simba

  • @birungifaddy7181
    @birungifaddy7181 10 лет назад +29

    woooow ,i dont click swahili buh i enjoy listening to ya music, gud, keep t up dude.

  • @jumalokole1433
    @jumalokole1433 4 года назад

    Nyimbo ina gusa sana 😭😭😭😭ukifikiriya umarufu wako na maisha yalivyo saa mungu ana ana juwa bro

  • @eviepretty2646
    @eviepretty2646 4 года назад +4

    Upendo popote kwa baba yangu japo alinikataa 😭2021 mzee njoo usikie yasemwayo yapo kama ayapo bas yanakuja ulijidhiki mwenyewe nimeamin dah😭

  • @JoaKim-le6zp
    @JoaKim-le6zp Год назад

    Nyimbo Kali daima coz haijashuka brand tangu ilipoimbwa. Hadi Leo hiii

  • @abdulghanmohammed
    @abdulghanmohammed 4 года назад +8

    "Binadam"
    Eyoh…
    Yoh I'm back Bob Junior, I'm back
    Acha vita ianze
    Wamechelewa
    Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya)
    Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya)
    Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
    Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati
    Wote niishi nao sawa
    Nilipouanza mziki, mbali na dhiki
    Nimekutana na matatizo sana
    Sikuwa rafiki, sithaminiki
    Bado kidogo mie tu nikate tamaa
    Wangu moyo, ulivumilia dharau na masimango mi
    Mi wangu moyo, ulivumilia utumwa na manyanyaso di
    Yaani nahangaika usiku kucha naambulia patupu
    Nilikuwa naumia
    Moyoni najipa moyo kesho ntakuwa maarufu
    Mwisho wa siku nafulia
    Ile nahangaika usiku kucha naambulia patupu
    Nilikuwa naumia
    Najipa moyo kesho ntakuwa maarufu
    Mwisho wa siku nafulia
    Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya)
    Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya)
    Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
    Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati
    Wote niishi nao sawa
    Kidogo nakula na mama yangu
    Siwezi kuwasahau na ndugu zangu
    Upendo popote alipo kwa baba yangu
    Japo alinikataa
    Aa bata nakulaga mi na rafiki zangu
    Tunacheza Reggae na masikini wenzangu
    Alazwe pepa peponi na bibi yangu
    Mjukuu wake Sanana
    Sababu ya ugumu wa maisha
    Na maumivu ya mapenzi nikaandika "Kamwambie"
    Ndo hapo hustle zikaisha, kabariki Mwenyezi watanzinia wanizimie
    Asa hivi kwenye tamasha tu likitajwa jina watu wanashangilia
    Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wanalia
    Asa hivi kwenye tamasha yaani ikitajwa jina watu wanashangilia
    Wengine furaha inazidi kina hadi kabisa wanalia
    Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya (wabaya)
    Ndugu, rafiki, nani ana roho safi, nani ana roho mbaya (mbaya)
    Ni we pekee unaejua wangapi binadamu wabaya
    Mola, naomba nilinde niwe na upendo wa dhati
    Wote niishi nao sawa
    Eii tena wabaya sana
    Ouu wanakatisha tamaa
    Eii uh wabaya
    Tena wabaya
    Ouu aah
    Sana, wabaya sana
    Wabaya sana
    Mmh wabaya sana

  • @bashirnur6067
    @bashirnur6067 4 года назад +1

    huu wimbo inanipeleka mbali .sababu ya ugumu ya maisha na maumivu ya mapnzi akaandikaa .kma unmskiliza mpka 2020 weka lyk

  • @linah9182
    @linah9182 6 лет назад +9

    I love this song so much I'm in love with it Diamond platnumz soon naachia cover

  • @edwardadam2794
    @edwardadam2794 5 лет назад +1

    chibu hii ndo favorite song yang kwako ya mda wote mpaka sasa INA ni inspire sana hapa ulifikilia sana

  • @williamreuben9108
    @williamreuben9108 6 лет назад +12

    Nimeikumbuka hii ngoma ya boss appreciate

  • @barakamgimba5706
    @barakamgimba5706 4 месяца назад +2

    Kama unasikilizaa hii nyimbo mpaka 2024 gonga like twende pamoja❤

  • @bonfacetumain2524
    @bonfacetumain2524 4 года назад +4

    Sababu ya ugumu wa maisha na maumivu ya mapenzi nika andika kamwambie :-)

  • @KendrickDenice
    @KendrickDenice 6 дней назад +1

    2025 kam unaamin hii game ina survaive like apa

  • @empressrenee6220
    @empressrenee6220 6 лет назад +11

    Cant have enough of this this song

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 лет назад +1

    jipange kuwa chizi la ajabu duniani na jini. lazima mwenzako arudishe hapa kudai🙌🙌🙌🙌🙌🙌.

    • @shabanimagona5772
      @shabanimagona5772 7 лет назад

      I appreciate this song ever

    • @omarymaziku2232
      @omarymaziku2232 6 лет назад

      kidog nakula na mam yang ,siwez na ndug zang daaa bong LA message

  • @nelsonmapamba5098
    @nelsonmapamba5098 5 лет назад +19

    Hii uliimba mzee,nan tupo pamoja 2019?

  • @cateyraphael5836
    @cateyraphael5836 2 года назад

    Nahangaika usiku kucha naambulia patu...nafarijika Sana kumbe ipo siku ntatoboa🙏🙏

  • @Jonah_Kibula
    @Jonah_Kibula 3 месяца назад +4

    Kama upo hapa sasahivi gonga like twenzetu na goma la morali hili ...

  • @novidadegreener2004
    @novidadegreener2004 3 года назад +1

    When Diamond was real Diamond,# Now simbaaaa.

  • @luluabdulrahman8381
    @luluabdulrahman8381 6 лет назад +9

    Diamond Platnumz u rock guy
    This song is very sweet

  • @eliasgembe5800
    @eliasgembe5800 4 года назад

    Bado naskiliza... Nyimbo yenye ujumbe mzitoo

  • @jacktirkolo
    @jacktirkolo 4 года назад +20

    This song is so real. Life is hard but eventually we shall make it!

  • @dream_force_studio
    @dream_force_studio 3 года назад

    Bro hii ngoma haiwezi kuchuja ...kidogo nakula na mama...aiseeeeh hii ngoma kali huwa inanipa nguvu sana kwa nini usitolee video

  • @tonniemwafrika6679
    @tonniemwafrika6679 6 лет назад +18

    My best track from simba