Harmonize - Wapo (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2020
  • Harmonize - AfroEast
    Stream/Download: album.link/afroeast
    Subscribe for more official content from Harmonize: / harmonize255
    Follow Harmonize
    Instagram: / harmonize_tz
    Twitter: / harmonize_tz
    Facebook: / harmonize255
    TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/
    Listen to Harmonize
    RUclips: / harmonize255
    Audiomack: audiomack.com/harmonize
    Apple Music : / harmonize
    Spotify : open.spotify.com/artist/1eCae...
    The official RUclips channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
    For Bookings & More
    Email: Harmonizemanagement@gmail.com
    Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762
    #Harmonize #Wapo #Kondegang
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 16 тыс.

  • @MtuHuru
    @MtuHuru 3 месяца назад +80

    Tunaosikiliza hii ngoma 2024 gonga like

  • @linetachando7112
    @linetachando7112 3 месяца назад +47

    Kwa hio nko apa pekee yangu 2024

    • @Saaa235
      @Saaa235 6 дней назад

      Tupo pamoja

  • @DurahRich
    @DurahRich 4 месяца назад +24

    2024 bado ukiisikilize unaamini Harmo katika mziki wa Tanzania amejenga legacy akiwa hai. Hatumnai mpaka mda huu🙌🙌🙌

  • @user-ek8ez4mj4v
    @user-ek8ez4mj4v Месяц назад +10

    wanao ifata mwezi huu wa tano wa mwaka 2024 naomba like za kond boy

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi 3 года назад +1801

    Wangapi wameipenda hii nyimbo kama mimi gonga like @kondeboy jeshi💯

    • @Ashley_family123
      @Ashley_family123 3 года назад +19

      very lit motivational song though wengine wanaichukulia personal but hii ni ya kila mtu na sio kwa Mondi 🙏🙏🙏🙏🙏💥💥

    • @abubakaryakout1596
      @abubakaryakout1596 3 года назад +13

      Steve waambie wakin middle simba wasifitinishe ktk mzk

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 3 года назад +8

      Mie ❤🔥

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 3 года назад +4

      @Benson Baba pamoja

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 3 года назад +2

      @@Ashley_family123 umeonaee

  • @sir-david6244
    @sir-david6244 3 года назад +47

    Huu wimbo inasikilizwa na lika wa umri yoyote✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾

  • @BRAVINBRBBravinBRB
    @BRAVINBRBBravinBRB 5 месяцев назад +12

    Am back to listen again in 2024 anyone is back like i bring love to @km❤❤

  • @John-jn3nk
    @John-jn3nk Год назад +8

    Ngoma bad0 ik0 juu 2 sana like it 👍👍 🔥📛👨‍🚒

  • @realkasisi4100
    @realkasisi4100 3 года назад +148

    Jeshi wimbo imetulia kabisa kama umerudia gonga like💪💪

  • @sifatiiman
    @sifatiiman 3 года назад +59

    Vizur sana harmonize jaman naomben ata like 60 cjawah pata ata 20 tu

  • @fadhiliomary5167
    @fadhiliomary5167 2 месяца назад +5

    2024 mwezi march nimekuja kujikumbusha ya corona 😢

  • @AmaniNgala-mb5yi
    @AmaniNgala-mb5yi 3 месяца назад +15

    Like kama umerudi mungu ametuweka hai

  • @hamisgonga2137
    @hamisgonga2137 3 года назад +142

    Unajua sana konde boy like 10 naziomba

    • @pishock874
      @pishock874 3 года назад

      .Pita nakwangu ndugu👇🏻ruclips.net/channel/UCAQJAMhO3wjMn5XUjJjmSpA

    • @wlkmwlkm2174
      @wlkmwlkm2174 3 года назад

      Nice

    • @morrisalascas5124
      @morrisalascas5124 3 года назад

      Haya tumekupa mia nadhani umeridhika twende nalo mpaka huko juu

    • @hamisgonga2137
      @hamisgonga2137 3 года назад

      Daah Kali mnoo

    • @nurukagina334
      @nurukagina334 3 года назад

      Tafadhari Subscribe kabla 2021, ili tuwe pamoja mwaka mpya 💝🌹,
      ruclips.net/channel/UC9ShPmPzSH5s2Z9A-PtLEFQ

  • @iampktz6856
    @iampktz6856 3 года назад +54

    Tuache utan ngoma kali. Ni moto💥
    Kama unaungana na mm gonga like yako hapa 🙏🙏

  • @captainamerica8874
    @captainamerica8874 3 года назад +276

    Kama umerudi baada ya kusikiliza #Vibaya gonga like hapa😍😍
    #KMWW🐘🐘🐘🐘🐘🐘

  • @user-yv1gs1sh8n
    @user-yv1gs1sh8n 4 месяца назад +7

    It's 2024 and this song still Hits like it's new.. I've just cried since morning 💔

  • @mashaurimayombya1260
    @mashaurimayombya1260 3 года назад +45

    Huyu ndo harmo wa aiyola na matatizo..tulimmiss sana

  • @mahsoudnadra4153
    @mahsoudnadra4153 3 года назад +37

    My favorite artist mwenyezi mungu akuongoze
    Gonga like kama unamkubali harmonize 💯💯💯

  • @dicksonkazungu1960
    @dicksonkazungu1960 Год назад +15

    Mimi narudia harmonize he is talented,, kutoka wakati wa nyimbo kama,, matatizo,, atarudi,, nishachoka,, niambie,, Sina,, kidonda,, aiyola,, bado, kwangwaru,, nishapona,, na etc Ako vizuri huyu jamaa Ako juuu

  • @DanielDePeterson
    @DanielDePeterson 2 года назад +254

    I don't know why people can hate this dude he sings sense stuff always, he's active, he's great he sings the reality, Danm we love you from USA 🇺🇸

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 года назад +148

    Umetisha Harmonize 😘
    Japo cjaomba like, ila ngoma ni kali.

  • @jimmi.8632
    @jimmi.8632 3 года назад +44

    Jamani naomba like,,kwa kondeboy,💥💥💥

  • @baidyniak3488
    @baidyniak3488 3 года назад +69

    Nimechoka kulia! Mama na Baba Mlale pema peponi! Baba hata kama hukunilea nakuombea kila siku Mwenyezi Mungu akusamehe namimi nilikusamehea kitambo! Mulale salama wazazi wangu!

  • @zulekhamohamed4035
    @zulekhamohamed4035 3 года назад +33

    Wisdom I swear ...walai this boy is guul....he is a worriorsay

  • @salminejuma5454
    @salminejuma5454 3 года назад +126

    Tuko no. 1 on trending konde gang wote tupo kileleni like hapa twende sawa.

  • @leejonas5314
    @leejonas5314 3 года назад +63

    Konde likes from Kenya🇰🇪🇰🇪...acha nikuibie siri moja konde,fanya ngoma na msanii mmoja wa gengetone Kenya ,itakuwa shidaaa

    • @neemahezron486
      @neemahezron486 3 года назад

      Kaliiii funga mwaka

    • @nurukagina334
      @nurukagina334 3 года назад

      Tafadhari Subscribe kabla 2021, ili tuwe pamoja mwaka mpya 💝🌹,
      ruclips.net/channel/UC9ShPmPzSH5s2Z9A-PtLEFQ

    • @Ashley_family123
      @Ashley_family123 3 года назад

      kweli afanye na nyashinski ama mejja

    • @leejonas5314
      @leejonas5314 3 года назад

      @@Ashley_family123 yeah itamake sana

  • @ruthnestler
    @ruthnestler 3 года назад +60

    Sasa itabidi umeback kutoa audio juu daaa unatisha sana konde....i'm back after #vibaya konde for everyone ❣❣❣❣

  • @davidouma7593
    @davidouma7593 2 года назад +426

    After that airport interview, now I can understand your sentiments in this song. Never give up, much love from Kenya.

    • @festuskores1538
      @festuskores1538 2 года назад +18

      Harmonize ni Teacher ila Diamond anawivu sana

    • @daudidaudi1
      @daudidaudi1 2 года назад +18

      Teacher konde ❤️

    • @lucysolomon6689
      @lucysolomon6689 2 года назад +14

      Me too may God keep him safe and focused

    • @hassanhassan64
      @hassanhassan64 2 года назад +11

      As we Kenyan let support harmonize fuck wcb

    • @joebaben9593
      @joebaben9593 2 года назад +10

      Konde boy ✨🤴🏻❣️

  • @aishaabole918
    @aishaabole918 3 года назад +46

    Wallah natamani niku like mara miya ulivyo jibu kwabusara hongera

    • @mugishalahay6050
      @mugishalahay6050 3 года назад

      Umeonae yani mi sicoki kuisikiliza mara nyingi

  • @jonasndembeye6084
    @jonasndembeye6084 3 года назад +259

    "Wanatamani milele wawe wao, ukijituma wanasema unashindananao" best line of the year...... #JESHI.

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 года назад +94

    Did you know,? Currently, This is Only Audio with highest RUclips Viewers in East Africa, what a record

  • @jaymessengerkenya7657
    @jaymessengerkenya7657 3 года назад +29

    You guys wacha naona watu wanasema wamerudi,leo ndo mara yangu ya kwanza kuskiza huu wimbo..nimeskia kwa matatu...I can tell you imebidi nimebuy bundles.....repeat mode..i think nimeiskia mara 100 already and still counting..naona 2GB bundles itaishia hapa....TRUST ME I AM AN ARTIST IN KENYA na najua nini inamaanisha kupigwa kimziki bila sababu....KONDE HII KUBWA..BLESS UP BRO.

  • @saidially5892
    @saidially5892 3 года назад +72

    Daaah! Huyu jamaa pasua kichwa .
    JESHI LA MTU MMOJA KAMA 100.

  • @PresenterDax
    @PresenterDax 3 года назад +179

    Huyu ndo HARMONIZE ninae Mjua Mimi,Kiukweli Ngoma Ni Kali Sana ,
    KONDE GANG 4 EVERY BODY

  • @nasrakaranja2035
    @nasrakaranja2035 Год назад +3

    Skia konde wee pamban mjini shule ❤❤❤❤this hit cools my nerves gives me a reason to work hard😢

  • @mansourjuma3731
    @mansourjuma3731 2 года назад +14

    Nani mwenzang tunao isikiliza leo bonge la ngoma 🤗🤗

    • @NaahJjp2002
      @NaahJjp2002 2 года назад

      Mm nasikiliza had mwaka huu2022

  • @b-raphofficiel
    @b-raphofficiel 3 года назад +71

    This is my song!!🥺❤️
    Weka like kama una mpenda Kondeboy!!
    Love from Kinshasa 🇨🇩

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 года назад

      ❤❌❌❌👇🏻👇🏻
      ruclips.net/video/puR5FAMRCv4/видео.html

  • @kevinmwangi8533
    @kevinmwangi8533 3 года назад +36

    Watu Wa East Africa pitia hapa uache likes za konde boy na inspiration tosha 🔥🔥
    Konde Boy to the world 🌍🌍

  • @nero7941
    @nero7941 Год назад +4

    😭😢😢😀daaah huu wimbo ulitoka kipindi napitia magumu 😢😢

  • @stephenmtambo229
    @stephenmtambo229 Год назад +2

    aseeeh hii ngoma inanihusu kabisa thanks jeshi

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 3 года назад +36

    Dak 4 na sekunde kadhaa za konde Zina ujumbe wa dunia ya Leo kwa vijana ... Gud Sana brother 🔥🔥🔥

  • @abelsanga6944
    @abelsanga6944 3 года назад +98

    Kama umeiludia hii ngoma zaidi ya mara moja gonga like hapa

  • @wanjaperis2752
    @wanjaperis2752 3 месяца назад +5

    2024 anyone here?

  • @agwandacharles995
    @agwandacharles995 2 года назад +18

    Konde boy has got the DNA for success never settle never relax the sky is the limit no human being can put a celling but God is the only one that can decide. POWERFULL

  • @sheisjenny__
    @sheisjenny__ 3 года назад +47

    Hao ndiyo binadamu harmonize😭😢, big up sana hii ngoma umeitendea haki🙌🙌👏👏

    • @Ashley_family123
      @Ashley_family123 3 года назад +1

      😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

    • @pishock874
      @pishock874 3 года назад

      .Pita nakwangu ndugu👇🏻ruclips.net/channel/UCAQJAMhO3wjMn5XUjJjmSpA

  • @jacksonwillson5188
    @jacksonwillson5188 3 года назад +42

    Hawatosheki Na vikubwa vyao, wanataman hata kidgo chako kiwe chao.* I appreciate this is really

  • @Aggy_Mtuks
    @Aggy_Mtuks 6 месяцев назад +2

    💃🏻💃🏻💃🏻WAPOOO🚦🚦🚦

  • @bupedaudi1273
    @bupedaudi1273 2 года назад +2

    Baba la baba umetisha sana.

  • @kelvinshemsilvervoice6639
    @kelvinshemsilvervoice6639 3 года назад +157

    This is kind of music we need 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mm pacha wako toka nchi jirani KENYA cjai pewa like plz nipe ata Kama nitano nitashukuru🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪

    • @patrickisaya1117
      @patrickisaya1117 3 года назад +1

      ✌✌✌hatariiiiiii

    • @rizzorappertz7790
      @rizzorappertz7790 3 года назад +1

      Ngoma kaii

    • @mastertv5000
      @mastertv5000 3 года назад +1

      TEMBOOOOO UMETISHAAAA BROOÓO NA WANA TUNAKUBEA MMAZURI HUKU MTAANI usiwaze JESHIIIIIIIIII

  • @bashirushamte2296
    @bashirushamte2296 3 года назад +141

    oyoooo ngoma imepaa hiyo audio tu 1 ONTRENDING like nyingi kwa konde boy mjeshi

  • @kaloleniacrobats3015
    @kaloleniacrobats3015 3 года назад +80

    You've proved that msanii ni kioo cha jamii...
    This will be one of your songs that will live forever after you gone.
    No hard feelings since death is a fact no compromise about it.

  • @chuckmoses2383
    @chuckmoses2383 2 года назад +2

    One day you will be a star in Africa 👊👊👊👊👊👊👊

  • @anoldsadick7730
    @anoldsadick7730 3 года назад +46

    Ngoma ni kali sana naomben hata like 5 tu

  • @ntalikimkama7317
    @ntalikimkama7317 3 года назад +74

    #1 on trending toka mwaka jana kode boy for life TEMBOOO TEMBOOO TEMBOOO jeshii kama jeshii music mzur upo kode gang

  • @bruez8768
    @bruez8768 3 года назад +13

    Nice song konde. Mungu nipe ujasiri kwenye kufanya mamuzi uniamushe alfajiri kama jana na juzi

  • @luisviana1272
    @luisviana1272 2 года назад +3

    Jejeje Baia Baiaaaaaaa. Aquí fue donde comenzó el copia y pega del Avioncito🛩️

    • @ELISSKGTV
      @ELISSKGTV 2 года назад

      this is the original

  • @sarahdamas6724
    @sarahdamas6724 3 года назад +43

    Baba na mama wote niwazaz asanteee kwa ujumbe like Kama umemkubali konde boy harmonize

  • @kingangichamasii266
    @kingangichamasii266 3 года назад +62

    Jeshi,,,wapi likes za Kenya!!!

  • @bidassonlawson3336
    @bidassonlawson3336 3 года назад +42

    MUNGU bariki Harmonize , that is a good message gonga like 100

  • @espoirilangailanga5943
    @espoirilangailanga5943 3 года назад +3

    😍😍😍💯💯💯 mbona kond mkali sana

  • @nikusumashola4485
    @nikusumashola4485 3 года назад +151

    Mweeee npo nataka kuliaa 😭😭😭😭🙌🙌🙌 jaman naomba ata like kumi nimeeipenda munooo

  • @HarttheBandOfficial
    @HarttheBandOfficial 3 года назад +618

    Nyota ndogo inspired this dope vibes💯🔥

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay Год назад +1

    Ngoma kali! harmonize ni pure talent!

  • @hassanmatata9335
    @hassanmatata9335 Год назад +2

    Nemesikiliza usikiliza kwa mara nyengine August 2022 huu wimbo utaishi sana so nice song

  • @Musamizinga
    @Musamizinga 3 года назад +61

    Kama na wewe hii mara ya kumi hapa twende sawa 🇰🇪

  • @drameramorisho6678
    @drameramorisho6678 3 года назад +60

    "Baba na mama ndo nguzo ya dunia..."This line made my night.

    • @mustafahamisi296
      @mustafahamisi296 3 года назад +3

      Na wengine wasiokuwa na baba na mama watasemaje au nguzo zao nn

    • @marymungi2104
      @marymungi2104 3 года назад +2

      @@mustafahamisi296 wakiwepo wapende wote wape haki sawa wote wasipoku pia watunze mama zako wafamilia na baba zako wa familiale na pia upende kutoa sadaka ukianzia ndani ya familia kwanza ukiwa na uwezo lakini

    • @mustafahamisi296
      @mustafahamisi296 3 года назад +1

      @@marymungi2104 sawaaaaa, asante

    • @Ashley_family123
      @Ashley_family123 3 года назад +1

      perfect

    • @eljoshuaartista
      @eljoshuaartista 2 года назад

      ruclips.net/video/VSbD72V_rCY/видео.html

  • @nibirantijefatuma5397
    @nibirantijefatuma5397 3 года назад +3

    Tunakupenda kaka courrage

  • @kiendialfred9990
    @kiendialfred9990 Год назад +7

    The true physical life that Normally people live. This music sheds the accumulative perspective of me to life when I feel there is some one who feels, and undergone such circumstances...

  • @eldderkratos6265
    @eldderkratos6265 3 года назад +40

    Kuishi na watu Kazi, Kuskiza ngoma za Harmonize hapo Fiti

  • @twaha1091
    @twaha1091 3 года назад +125

    Kama nawewe unaamn hapo ulpo wapo wanao taka ufely acha like hapa

    • @adamally8791
      @adamally8791 3 года назад +2

      Tena mpka ndugu zako wa dam wapo wanaokuombea ucfanikiwe uwe ni wa kulia shida kwao tu kila sku, ila hii Dunia hii waja ni noma

    • @salmahamisi5207
      @salmahamisi5207 3 года назад +1

      Nisaidie Tu , hiv mtu aki like comment yako inakuaje?? Mbona kila mtu anaomba like

  • @ciciliabrandon9853
    @ciciliabrandon9853 3 года назад +2

    Usio onewa ndonge jua hauna makeke love from 🇰🇪🇰🇪

  • @jacklinenjoroge9939
    @jacklinenjoroge9939 3 года назад +1

    Umeweza konde daaah...king 🤴 of music 🎶 👌

  • @donaldmwachongomwamburi4722
    @donaldmwachongomwamburi4722 3 года назад +68

    Kama hii ngoma ni kali kwako. Ngonga like...
    Mwambie Diamond isiwe mzazi wa kike anacheka ilhali wakiume analia baraka zatoka kwa wote.

    • @halifaomari9553
      @halifaomari9553 3 года назад

      Kaka kama hujawahi kutelekezwa na mzaz mmoja shukuru mungu ila mbal na mond acha tu mama

    • @donaldmwachongomwamburi4722
      @donaldmwachongomwamburi4722 3 года назад +1

      @@halifaomari9553 mzazi ni mzazi. Na kama huwezi kumsamee mzazi wako utamsamee nani. Isitoshe mambo ya watu wawili huyajui. Siku zote mama zetu hufanya tuhisi baba zetu ni wabaya

    • @othmanfarijalla4518
      @othmanfarijalla4518 3 года назад

      @@donaldmwachongomwamburi4722swadakta

  • @ojb-star
    @ojb-star 3 года назад +77

    Jeesshiiii kazi Kali and that's true story nmependa huu wimbo. Nkweli wapo wasio tutakia . mi napitia changamoto nyingi sana

    • @pemamusictv5270
      @pemamusictv5270 3 года назад

      Kumbuka ulipotoka wewe

    • @fredygeorge1941
      @fredygeorge1941 3 года назад

      @@pemamusictv5270 nn ww kwan katoka wap ww hayo ni mapito tu

    • @josephka9295
      @josephka9295 3 года назад +1

      When things were at their very worst:
      2 Suns, Cross in the sky, 2 comets will collide = don`t be afraid - repent, accept Lord`s Hand of Mercy.
      The first sign - the Earth will spin faster.
      The second sign concerns the sun, which will loom larger, brighter and begin to spin.
      Scientists will say it was a global illusion.
      Beaware - Jesus will never walk in flesh again.
      After WW3 - rise of the “ man of peace“ from the East = Antichrist - the most powerful, popular, charismatic and influential leader of all time. Many miracles will be attributed to him. He will imitate Jesus in every conceivable way.
      Don`t trust „pope“ Francis = the False Prophet
      - will seem to rise from the dead
      - will unite all Christian Churches and all Religions as one.
      One World Religion = the seat of the Antichrist.
      Benedict XVI is the last true pope - will be accused of a crime of which he is totally innocent.
      - banking collapse was deliberately masterminded by the Antichrist
      - Antichrist will step in and create a false peace in the state of Israel by joining them with palestine in an unlikely alliance.
      - „He will recite extracts from My Teachings, which he will passionately proclaim from every secular stage in the world, until people sit up and take notice of him.“
      The Book of Truth
      mdmlastprophet.com/there-will-be-different-levels-in-the-new-paradise-of-12-nations/

    • @pishock874
      @pishock874 3 года назад +2

      Pita nakwangu ndugu👇🏻ruclips.net/channel/UCAQJAMhO3wjMn5XUjJjmSpA.

    • @ojb-star
      @ojb-star 3 года назад

      Mi ndio n upcoming Kenya afro bongo artist najua uko na moyo wa kusaidia unaonaje uki sign mkenya under kondeboy . ama Tu tufanye kolab nawe jesshiiii ama ibraah

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Год назад +2

    Honestl, mpaka mwaka 2100 nitarud hapa, aliimba sana huyu mwamba

  • @coreanoutfit9684
    @coreanoutfit9684 3 года назад +42

    Fayaaaaaaaaaaaaa like kama tupo pamoja na HARMONIZE

  • @abdallahjuma740
    @abdallahjuma740 3 года назад +97

    Nyimbo za adab sana ambayo inafunza jamiii safi mzee Kondeee
    Like twende sawa

  • @beesmarttv3792
    @beesmarttv3792 2 года назад +4

    Dah!! Leo ndo naelewa maana ya huu wimbo aisehh!!!😦

  • @vincentkapangu1163
    @vincentkapangu1163 3 года назад +1

    Je valide mon frère.
    Tunapenda sana iwe hivo n'a tunakutakia mafanikio mema

  • @cypprezzer3596
    @cypprezzer3596 3 года назад +60

    Ingekuwa siri but wacha nionge, tena kwa sauti hadi ipote....I LOVE THIS SONG... Konde boy to tha world.

  • @kindoleenock486
    @kindoleenock486 3 года назад +63

    Hii ndo sauti tunayo ijua harmonize hapo umerudi kimziki ulipoteza mashabiki nimerudi kwa kishindo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 gonga like twende sawa

  • @zanzibartotheworld7826
    @zanzibartotheworld7826 Год назад +4

    Maneno ya kweli kabisa duniani kuna watu wanakuchukia bila ya sababu hata kama utaish nao kwa roho nzuri , wao abao hawapendi kuona ukipata hata kama wao wana vikubwa kushinda ww ..

  • @nurdiensuban6523
    @nurdiensuban6523 2 года назад +1

    We mjaaa unajua mungu akubaliki namsikilizia hii nyimbo siichoki

  • @johnbatachoka11
    @johnbatachoka11 3 года назад +58

    For sure, is Harmonize Konde boy

  • @jumamohamed4898
    @jumamohamed4898 Год назад +2

    Much love from Kenya, Nairobi , Mathare , Huruma , Kiamaiko. Palestin. 👊👊👊👊👊

  • @owinoarthur7089
    @owinoarthur7089 2 года назад +1

    Nimekuelewa TEMBO 🐘🐘. Continue with the resilience. Mungu yupo. 💪💪

  • @apesi
    @apesi 3 года назад +188

    Konde gang from Kenya❤️❤️❤️❤️sijawai pata likes 100 ukimkubali Konde piga liki

  • @stephenotieno4499
    @stephenotieno4499 3 года назад +65

    Harmo you have my support from Kenya... Kenyans please mnipee likes watanzania wajue tunawapenda

  • @fridaybizimana4873
    @fridaybizimana4873 2 года назад +1

    Hapo ulinieza kabisa 💪💪💪🔥❤️

  • @Dozo001
    @Dozo001 2 года назад +31

    *~NEVER GIVE UP~* Ndo ngoma yake ambye imetufnye sisi wengine huku nje tuzidi kugangana na maisha yaani tusikate tamaa kwa kufnya kazi yetu.....
    He is areal fighter and ahero too...be blessed bro... We are fully here to support you
    Love from 001🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joebaben9593
    @joebaben9593 3 года назад +98

    Siku zote wenye Roho mbaya wapo pia na wenye roho nzuri wapo.. One love to Konde boy 🤗💥

    • @joebaben9593
      @joebaben9593 3 года назад

      @Mr Mbega Official yeah Katisha Sana 👌🏻

    • @samuelgwiyo9508
      @samuelgwiyo9508 3 года назад

      Joshua Faruq medical appeal
      Kindly view and be of help by sharing that the boy can get assistance
      ruclips.net/video/5pZV7erMvFc/видео.html
      You can donate on paypal through samuelbonaya3@gmail.com
      or Mpesa 0702019573
      Contact +254702019573 on whatsapp for more information

    • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
      @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 года назад

      @Mr Mbega Official SAAAAANA

    • @joebaben9593
      @joebaben9593 3 года назад

      💥🤞🏻🤗

  • @mybrevisai2508
    @mybrevisai2508 3 года назад +47

    Dongo safi sana hili, ukifanya bidii wanaona unashindana nao

  • @hamzachilo8648
    @hamzachilo8648 3 года назад +62

    Kama wapo wanaosikiliza na kusoma comment like

  • @jacynjeri8771
    @jacynjeri8771 2 года назад +23

    After watching his interview yake.....I now understand his pain through his music
    Keep doing you konde gang!!!! nakupenda tu jeshi!!!

  • @tamimashehe7196
    @tamimashehe7196 3 года назад +118

    Walioona no 1 trending twende na like

  • @raphaelmalek2367
    @raphaelmalek2367 3 года назад +42

    Good thing abut HARMONIZE akona message true in this world

  • @henryetteespe8038
    @henryetteespe8038 3 года назад +8

    Mtu mmoja anashinda wcb nzima❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Год назад +25

    He sang with his heart, best song ever. uncomparable

  • @josephinajackson8549
    @josephinajackson8549 3 года назад +52

    Dadeki hii no banger congratulation harmonize..alieielewa hii anipe like twende sawa❤👌

  • @hylinekemmy5
    @hylinekemmy5 3 года назад +60

    The song is brilliant hasa umeimba mambo ambayo tunayaona everyday .

    • @basesabasesa8660
      @basesabasesa8660 3 года назад +2

      Go vote for him on #MTVmamas

    • @chenalus-theafricanprince9000
      @chenalus-theafricanprince9000 3 года назад

      ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html
      ❤❤🇰🇪

    • @chenalus-theafricanprince9000
      @chenalus-theafricanprince9000 3 года назад

      @@basesabasesa8660 ruclips.net/video/Hm-J_mjEkP4/видео.html
      🇰🇪❤

    • @highthemetv7857
      @highthemetv7857 3 года назад

      ruclips.net/video/X7ONvSSKZLs/видео.html
      👆👆👆👆👆👆👆
      Kama ni muoga 😨 usifungue hii video 😭 tazama kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera inatisha😨😭 nimekuwekea video