Finally nimepata my favorite song, big up konde, nimesikiliza hii mara nyingi zaidi ya kumi #kondegang🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ebu nipeni likes zaidi ya mia kwa hii ngoma, wangapi wako na mm
Harmonize- Mtaje Lyrics (B-Boyyyy...) Mmmh mmh Ana kasura ka upole Miaka nenda rudi hazeeki Tena ni mtu wa gym gym Shepu ndo linanipa wazim zim Na tattoo nimchore eh Ila ndo hivo tena hapendeki Ama kweli mapenzi hayana mwalimu Wengine hata kuniona ni adimu Hivi tuseme ana ngekewa Ama nyota yake kali ananizidi Ama mjini nimechelewa Ona wengine wanamponda wanamuita bibi Nilianza kumuona mapema Enzi za mabanda ya sinema Alikuwaga ni rafiki na Wema She is so cute Acha wanione mshamba tu Tuta huwezi kulipigia honi Umri nao ni namba tuuu Kinachoniuma anajifanya haoni Kama unamjua, mtaje Nani anayemjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Avimbe kichwa ajisifie Basi kama unamjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Avimbe kichwa ajisifie Mmmh mmh Anayelenga kwa rula siku zote ndo apatae Mwambieni mwanangu Paula mi nampenda mamaye Tena ni fundi wa kuchanua aah Utasema samaki ng'onda Hapo ndo nikagundua aah Nini kiliwaliza Makonda Kwa da-la-da-la-da-la, minashindwa kulala lala lala Anambadalada dala dala, anaitoka kah eeh Hakika ye ndo kiboko yangu Jua likiwaka ikinyesha Utembo na ujeshi wangu Geti ni kwake nilikesha Mtihani wa mapenzi hakuna aliyefuzu Sawa na unywe pombe na useme udhu Na mtu kisha penda unakuwa zuzu Eti nawaza aje kuwa mama zuzu Kama unamjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Kama unamju-u-uhh, mtaje Avimbe kichwa ajisifie B-boy na amigo wanamjua Chaupole anamjua Uncle duke nae anamjua Zaraboy na tengo wanamjua Alice Kela wa mipango anamjua Iddy popa mzambele wanamjuaaah e-e-e-e h Mix by simon
The only problem with this song that it ends. Such sweet songs should not end . We all have to appreciate the introduction to the conclusion. You can listen to this song in four parts 1. Instrumentals alone 2. The vocals alone 3. The message alone 4. Both instruments, vocals and the message together. This one is so hot 💯
It's October 2023 and i still come back here to listen to this tune with my wife. One of the greatest Bongo compositions of our time. Huyu mmakonde ni hatari.
I came across this song in 2024! But it has become my best song from Harmonize! Just an Audio with over 7M views. Hii ni noma. Kama unatambua Harmonize Mtaje
Konde una nini wew umenifanya niuskilize huu wimbo zaid ya mara mia mpaka wqpangaji wenzang wamehamia kwangu leo am respect for you bro love u so more 🙌🙌
Mwambieni mwanangu ula mi nampenda mamae tena ni fundi wa kuchanuaaa Utasema samaki ngo'nda hapo ndo nikagundua nini kiliwaliza makonda wa daladalaada mi nashindwa kulalalaala Amla dalaadala anamuaita ka ka.
Just discovered this song today and it's has some of the best music composition I've heard. The saxophone and the electric guitar doing the baseline are just a work of art. Harmonize also killed it on the vocals. From +254 with love.
Hii mwaka n kama nko wa kwanza hapa🎉mnitaje
Ngoma kali Sana... Mimi ni Mc na huwa naitumia Sana hii Ngoma... Wapi likes zangu Mia moja 2024
Looking for songs
😊😊😮😢🎉@@عهدالمطيري-ش7ت
Apa mwamba
Hhhh job h
Bn . Na'jjj jbbbjhhhjbb . Nbbn .
bb@@SaimaTaji-kl5gx
2024 Aprill,huyu mumakonde ni hatari aisee💯
Finally nimepata my favorite song, big up konde, nimesikiliza hii mara nyingi zaidi ya kumi #kondegang🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ebu nipeni likes zaidi ya mia kwa hii ngoma, wangapi wako na mm
mimi
Kajala
Nko almost 200 times sahii
The song is butful my br harmonz
@@dennismutinda9500Ni r we w 😂🎉 Al❤❤ know no 8 is í9😅😮p😊
To be sincere This is the album of the year.❤️❤️ My Kenyan niggas come and see🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Very nice
mark register kwa album ya willy poze pia
ruclips.net/video/qEoV-blNlgI/видео.html
Harmo is the best artist in Tanzania
This guy is kicking diamond outside the music box
This guy is 🔥...Konde gang nipe likes all the way from USA but originally from Kenya 🇰🇪...
❤️❤️
Wow 💕💕
Oyo nechui bro 💥💥🔥🔥🔥
Jayden onchiri hey
Konde boy, jeshi au tembo....
Nyimbo Niliokuwa Naisubiria Kwa Hamu 🔥🔥🔥🔥
Hahaha yaani mm nilikua naisubiriaa haswaaaaaa
Kumbe wengi tulio kuwa tunaisubiria
Waziiiiiiii💥💥💥 konde
Nice song
Before even the usual sweetness of his voice ,It was enough for me with only the introduction of the instrumentals…… wapi nduru East Africans!!!!! 🇺🇬
Weuweeeeee eee
@@veeJesus 😂😂😂???
@@veeJesus thanks
ruclips.net/video/qEoV-blNlgI/видео.html
Every where in 🇺🇬 ni high school ✌️✌️👊💪🏿
Maina kageni ndiye amefanya nikam hapa....alafu Kuna vyenye anarudia from the top aaaa Wacha tu
Likes za maina kagemi......ooooh mtaje
Classic 😂😂
Classic 105
Mzee mwenye hatumi nguvu nyingi kuimba ili mishipa itoke #Harmonize zaa mtoto wakiume ni kuozeshe mwanangu🙏🇰🇪 my love to you is 😍
Jiozeshe
@@ericksabini9675 nyota yko ni ipi kuanza
Mtihani wa mapenzi hakuna aliyefuzu,,,,,kwa kweli na penda hii wimbo,,msininyime like,,,all the way from 🇰🇪
Linet mambo?
@@kevinoumah3132 poa
Likes za kajala masanja ziko wapi,?,,,, special dedication from tembo
Harmonize- Mtaje Lyrics
(B-Boyyyy...)
Mmmh mmh
Ana kasura ka upole
Miaka nenda rudi hazeeki
Tena ni mtu wa gym gym
Shepu ndo linanipa wazim zim
Na tattoo nimchore eh
Ila ndo hivo tena hapendeki
Ama kweli mapenzi hayana mwalimu
Wengine hata kuniona ni adimu
Hivi tuseme ana ngekewa
Ama nyota yake kali ananizidi
Ama mjini nimechelewa
Ona wengine wanamponda wanamuita bibi
Nilianza kumuona mapema
Enzi za mabanda ya sinema
Alikuwaga ni rafiki na Wema
She is so cute
Acha wanione mshamba tu
Tuta huwezi kulipigia honi
Umri nao ni namba tuuu
Kinachoniuma anajifanya haoni
Kama unamjua, mtaje
Nani anayemjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Avimbe kichwa ajisifie
Basi kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Avimbe kichwa ajisifie
Mmmh mmh
Anayelenga kwa rula siku zote ndo apatae
Mwambieni mwanangu Paula mi nampenda mamaye
Tena ni fundi wa kuchanua aah
Utasema samaki ng'onda
Hapo ndo nikagundua aah
Nini kiliwaliza Makonda
Kwa da-la-da-la-da-la, minashindwa kulala lala lala
Anambadalada dala dala, anaitoka kah eeh
Hakika ye ndo kiboko yangu
Jua likiwaka ikinyesha
Utembo na ujeshi wangu
Geti ni kwake nilikesha
Mtihani wa mapenzi hakuna aliyefuzu
Sawa na unywe pombe na useme udhu
Na mtu kisha penda unakuwa zuzu
Eti nawaza aje kuwa mama zuzu
Kama unamjua, mtaje
Kama unamjua, mtaje
Kama unamju-u-uhh, mtaje
Avimbe kichwa ajisifie
B-boy na amigo wanamjua
Chaupole anamjua
Uncle duke nae anamjua
Zaraboy na tengo wanamjua
Alice Kela wa mipango anamjua
Iddy popa mzambele wanamjuaaah e-e-e-e h
Mix by simon
Good lyrics
Nakubali
Big hit from my biggest icon tembo
ety tembo na ujeshi wake.. 😂😂😂mapenzi wewe
Og
Utembo na ujeshi wangu getini kwake nilikeshaa 😀😄🥰😍 wapi nduru za jeshi
From Uganda 🇺🇬 ♥ ❤ 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Tunaokubaliana Kuwa Hii Ndo The Best Song In This Album Naomba Tuweke Like Hapa 😁😁😁🔥🔥🔥🔥🔥
Jamaa anajua Hadi anakela sasa
Kbsaa
Coz hujui English ndo maana unaona ni bora kuliko sorry 🤗🤗🤗🤗🤗😘😘😘😘😘
@@tatuhongeranurushaus485 😂😂😂😂 Niache
@@josephhillary9093 😃😃😃😃😃😃😁😁😁😁
"Ama kweli Mapenzi hayana Malimu( Mapenzi ni safari ya wawili)... 👌👌👌" Enjoying from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
The only problem with this song that it ends. Such sweet songs should not end .
We all have to appreciate the introduction to the conclusion.
You can listen to this song in four parts
1. Instrumentals alone
2. The vocals alone
3. The message alone
4. Both instruments, vocals and the message together.
This one is so hot 💯
with all mentioned above, there was no way Kajala could resist further💞
Vgj
You
My Number One Song In The Album, Big Up Konde Boy
Same to ma bro 🔥🔥🔥🔥🔥
Me too.
Tuta alipigiwi horn
big tune
Jeshiii ...on this one you killed👍👍👍
biggest Fan here in kenya.. I'm in LOVE with this Album, so relatable
2024 still a hit
I can't get enough of this song
Whenever Konde boy records a song at producer B boy, the song becomes 🔥. Perfect examples are the Wapo & vibaya songs.
Sure,,,,I agree with you 🔥🔥🔥🔥😋😋🇧🇭🇧🇭🇧🇭
B boy beats is a genius
@@anthonymwikamba1933 Absolutely
No lie Bro...
True broh🇰🇪❤️
Kondgang mko wapi embu panikeni mkono apa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥gonga like apa
It's October 2023 and i still come back here to listen to this tune with my wife. One of the greatest Bongo compositions of our time. Huyu mmakonde ni hatari.
Kondeeee 🔥🔥🔥🔥🔥sina lakusma wallai umenyoosha
Hapo sasa💥💥 kondegang for everybody 💪 album kali 💥💥 TEMBO 🐘🐘
Kajala Masanja❤she deserves the love she is a good woman mwenye upole hadi wakimkashifu.#kajala❤#Harmonize ❤
Katika nyimbo zote hii ndo nimesikiliza mara nyingi #mtaje 🔥🔥🔥
My favaourite song in the album💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🐘🐘🐘🐘🔥🔥🔥kaliiii kondeeeeeeee beats🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Mtaje ..tufunge mwaka sasa🐘🐘🐘🐘🐘
I came across this song in 2024! But it has become my best song from Harmonize! Just an Audio with over 7M views. Hii ni noma.
Kama unatambua Harmonize Mtaje
As a WCB 100% FAN ,i'm very PROUD of HARMONIZE ..
well done bro.
kazi ju ya kazi kabisa
Nice music konde we love ❤ welcome Nairobi
Nyimbo kali sana
This guy is magic 🔥🔥 big shut out to diamond for bring this guy to spotlight Ila tukiachana na kingereza mwambieni hawezi kumshusha 😃
vp
Harmonize anajua sana😂😂😂kuliko diamond
Huyu mzee arusi kutoa Ngoma kama hizi bana🔥🔥 much love from 254
May 2024 here we are. Harmonize wa kenya. Anaua show. Atoe video, wabongo mnazembea
Bro unatafuta ugomvi n waTz
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kali from Kenya konde gang fan base
maina kageni ananituma apa kila siku
Imeweza
Today too
Am telling you the beats acha tu
ME TOO
Maina love this beat
Its the versatility for me...konde can perfectly talk about any topic indepthly unlike competitors who seem rigid on their music....Mtaje my fav
Kama unamjua×2🎶
Mtaje🎶
KAJALA
That's why i love Harmonize.
Perfect composition.
Perfect voice.
More Love from Kenya 🇰🇪
Hongera Konge boy
Hongera harmonize
Kabisa
hiki ni kimoda kya BONGO.
I listened to it over 60 times,It is not tiresome
Biggest lie we ever heard
Not you,wat abrt me Imenfanya nkosane na boss earphones hazitoki Kwa masikio
I think this is my 47th time right now
actualy i like his voice harmoniza the superster artist
He is the genius of bongo fleva...so much love from Kenya,Tembo mwenyewe
This guy is in another level please INTERNATIONAL ARTIST , Harmonize your my best( cogratulations)
Jealous will put everyone in shame for hating #Konde. Let one love lead🙏
Harmonize, unanikosha roho kwa vyote nakuamini kweli iyi album kali kabisa. Baba, endeleya kupandisha dendera ya Bongo fleva.
J'admets que tu super!
Ngoma Kali ata Simba ashaakubali😊
Favorite album ever, na mtaja mimi KAJALA
I have been looking for this song finally got it ... 2024 still luks fresh... ..🇰🇪 ngonga like ❤
Like
Kijana kutoka wasaf uliona mbali hongera sana mambo yako simabaya.
Harmonenga big up brother 👍🙏🙏🙏 nice album all songs are so biet and fire 🔥💯 mwanangu wakatae wakubali lazma utafika tu Haina noma hiyo
My all time favorite in this album 🙌🙌🙌🙌
I wish kungekua na like button ingine nifinye...hii ndio my favorite kwa Harmonize music walahi🔥🔥🔥
Konde Gang straight outta Nairobi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wao new style here konde 4ever✌️✌️✌️✌️
Huu wimbo aiseeee!!! ☕ Kama unamjuaaaaaaaa mtaje
Duuuu nilisubiri kwa hamu iyi album jeshii nahanza ku enjoy Ngoma sasa mtaje 👌👌👌👌👌👌👌
Spesho for the kajalaa🔥🔥🔥
Aswaaaaaaaaaaaa
I keep on telling you this guy is talented musically melodically lyrically thumps up
Hii ngoma kaliii kajala uko wap weka like hapa
Ckupendi ila hii ngoma n balaaaa 🔥🔥
Ndo ushampenda hahahaha
@@elnino4364 uyuu ndio konde ww
Huyu ndo Konde hata usipo mpenda kumchukia pia huwezi kumchukia 😂♥️🇰🇪
hahahahah utampenda tu
Jeshiiiiii
#Hamonize tunangojea hii video my favourite song
Yani hii ndo ngoma yangu kabisaa
Arrangement + Composition + Vocals = All on point! Lovely!
Eh konde mistari anayo kwa kweli...
This my favourite, song all Day
Heat 🔥🔥🔥after heat🔥🔥,hit after hit 💥💥💥💥💥💥💥💥the most talented musician in Africa,keep those likes coming all through,Konde Gang for Life 💘
Triumphantly, when somebody is born with the talent.
Daah teacher!!! Genius jeshii 🔥🔥❤️🎯🇲🇿
for real we shouldn't deny this guy the king positionHe's just Extra
Kali . Kama unam support goga like TEMBO,JESHI, B BOY, HARMONIZE.
Konde gang worldwide 💯🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Konde una nini wew umenifanya niuskilize huu wimbo zaid ya mara mia mpaka wqpangaji wenzang wamehamia kwangu leo am respect for you bro love u so more 🙌🙌
Mwambieni mwanangu ula mi nampenda mamae tena ni fundi wa kuchanuaaa
Utasema samaki ngo'nda hapo ndo nikagundua nini kiliwaliza makonda wa daladalaada mi nashindwa kulalalaala
Amla dalaadala anamuaita ka ka.
This song is all about me, I got testimony about it. Cheers to my love we make it regardless of their opinions
Iyi ngoma naisikiliza wakati wote imeniroga. Harmonize ndiye msani bora
Personally I love this guy he be my mentor...🔥🔥🔥❤️mtajeee
Bomb kabisa mung akulinde
Naskiza nkiwa Kenya✌️✌️
Hermo love💗💗
Mimi pia wewe ni mtz kama mimi??????
Sawa sawa karibu Tanzania kwa mziki mnzuri
My fave in the album:
1. Mtaje
2. Single
🥰👏🏼🥰👏🏼…Well done Konde Boy
Me too And Dunia Alsa What's Do You Miss Ft Anjella
I swear horminize you the best musician from Tz nobody is so creative like you ,,,,am from Kenya bt I only come you tube to listen your music and I go
I waited for this song, finally. Big up to beat boy
Intro; lead guitar
Bass guitar
Saxophobe🎷
Vocals ❤💕💕
Much love from kenya 🇰🇪💗
Kuna muda watu wanabidi wakubali tu jaman harmonize fundi Sana Sana anajua
This happens to be my favorite 🔥
To me too
kali sana kaka
Same
I SECOND TO THAT NAFKIRI NITAISKIZAA ONCE MORE
The producer understood the assignment 🔥🔥🔥
I love the song it's dop..my favourite Tanzanian artist Harmonize big up King🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jeshiii is a super genuis💯🔥My 🇰🇪🇰🇪 kenyan people camp here with likes
akwende huko hajashirikisha msanii wa ke
👇 *TIZAMA VIDEO YANGU* 👇
ruclips.net/video/9xy-Ih-D33I/видео.html
Good boy
Even though he has not included our own son or daughter we appreciate Him as our own African son ❤
This song is nice i love the sweetness and it's so meaningful. Much love from Uganda brother 🇺🇬🇺🇬
Weee mmakonde wewe 🗽
AM HERE RIGHT AFTER THE ENGAGEMENT 💍❤️
#LOVE_WINS 😍😍
NOW Harmonize tupee video ya Mtaje.
Bro ur amazing sincerely una mzuki wa aina yake na wish ningekuwa kwenye TEAM yako
tunairudishaa tena mjini hatuweziiikuiacha
This song got played in Kenyan party with people from different sites of the world in Chicago they enjoyed those drums beats 🎧 TZ to the whole world.
Waaah, never heard such a beautiful melody in a long time
#jeshi mtaje basi kam unamjua ♭♪ salute kwa mtaje
This song was dedicated to Kajala those days,,,,and finally the song is out,🔥🔥🔥🥵💪💪seen in live rehearsal first,,,2nd time to 👂 it's the best song 🔥💪
hahahaha
ruclips.net/video/qEoV-blNlgI/видео.html
🎙Its was dedicated kajala...🔥🔥🔥🔥mtaje💯✔️
I don't who is reading this neither we don't know each other I wish you a good life 🌺💕mtaje
We need video of this
Can't get enough of it💕
Wimbo nmeupenda bure jaman ndo nmeusikia leo
best in the album au sio💥📌
Just discovered this song today and it's has some of the best music composition I've heard. The saxophone and the electric guitar doing the baseline are just a work of art. Harmonize also killed it on the vocals. From +254 with love.
Same here... Am soo hooked!
We love u KoNDe BwoY AKA JEShi.You such a great talent,thanks God u didn't shake the witch's hand.KONDE GANG 4 LIFE,254 SQUAD
Tupe vedio Konde boi...nimevibe na hili debe mwezi mzima 😈 0:45