Harmonize - Vibaya (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 апр 2021
  • Stream/Download: lnk.to/-Kama
    Subscribe for more official content from Harmonize: / harmonize255
    Follow Harmonize
    Instagram: / harmonize_tz
    Twitter: / harmonize_tz
    Facebook: / harmonize255
    TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/
    Listen to Harmonize
    RUclips: / harmonize255
    Audiomack: audiomack.com/harmonize
    Apple Music : / harmonize
    Spotify : open.spotify.com/artist/1eCae...
    Boomplay: www.boomplaymusic.com/share/a...
    The official RUclips channel of Harmonize.
    Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
    For Bookings & More
    Email: Harmonizemanagement@gmail.com
    Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762
    #Harmonize #Kondegang #Vibaya
    Digital Distribution & Promotions: Ziiki Media.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 11 тыс.

  • @thomasallybuyanda5259
    @thomasallybuyanda5259 3 года назад +48

    Nimemsikiliza ray van nimeamua kurud na kusema harmonize anajua muziki ,,kama unakubaliana na Mimi ngoka like "vibaya " ni wimbo WA kufungia Ramadhan hii

    • @paulinenaliaka485
      @paulinenaliaka485 3 года назад

      rayvanny ako sawa

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 года назад +1

      Hamna kitu kule🤣🤣🤣🤣🤣

    • @swiftsmith3100
      @swiftsmith3100 3 года назад +1

      konde ako sawa kusema kweli

    • @lovenessjeoffrey9984
      @lovenessjeoffrey9984 3 года назад +1

      Ht me nimeikubali y temboo an hajamtaja mtu zaid kamlenga kajalaa an daaah

    • @fridaymweta125
      @fridaymweta125 3 года назад +1

      Konde anajua bn apa namsubiry chinga amjibu raivyn

  • @dioniskayange7422
    @dioniskayange7422 3 года назад +290

    nimetokaa kusikilizaa nyamaza ...nimerudi tenaa huku kucheki mkeka kumbe tembo #jeshi anaongozaaa 5-0 jaman jamn like tenaaa za jeshi kama 100+

  • @bintisaidbigupbrotherjuma8417
    @bintisaidbigupbrotherjuma8417 2 года назад +33

    Konde favorite kwetu Kenya .hebu msifiche hisia pigeni likes nyingi kwa hii wimbo

  • @leemalika3632
    @leemalika3632 Год назад +46

    Kama unakubali konde kamfunika mondi , twende wote

    • @marokeyLFM
      @marokeyLFM Год назад

      Huna Adabu 😂😂😂😂😂😂

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 10 месяцев назад

      ​@@marokeyLFMkwa kwli😅😅😅😅

  • @aliyah.m.hussein941
    @aliyah.m.hussein941 3 года назад +176

    Aki harmonize si wa mombasa twakuombea mungu mziki wako ni mzuri pia huchukui mda kuandika mistari jamani naombeni like hat 300 l love you tanzania abduly from Mombasa 😭😭😍😘😘🤝

    • @hassanmohamedi7585
      @hassanmohamedi7585 3 года назад +2

      Karbu Tanzania abduli even us we love you guys from kenya especially those who comes from mombasa

    • @aliyah.m.hussein941
      @aliyah.m.hussein941 3 года назад

      @@hassanmohamedi7585 thanks my friend

    • @carolynenjoki7854
      @carolynenjoki7854 3 года назад +1

      Konde kiboko yao😘😘

    • @esthermutabuzi4582
      @esthermutabuzi4582 3 года назад

      Keshajibiwa huko na "nyamaza"🤣🙌

    • @officialfredoo3549
      @officialfredoo3549 3 года назад

      Kashajibiwa uko taar Bora ungenyamaza😅,,,,watu hawalali mzee

  • @townsanyatrends
    @townsanyatrends 3 года назад +246

    Anayejiita Simba hapa hatoboi...azidi kusoma lable tuh....all the way kila mtaa ni wanaimba Temboh... Kama kweli we bi shabiki wa Harmonize...pifa like na uache comment hapa tuchangie

    • @dula8819
      @dula8819 3 года назад +2

      Uyo anaejiita Simba uyo konde mwenyewe anajua kua Simba kwel

    • @godenshagama6545
      @godenshagama6545 3 года назад +1

      Kondeee

    • @jumamayala4900
      @jumamayala4900 3 года назад +2

      P1 tuna fufua moja namba

    • @festovenas502
      @festovenas502 3 года назад +2

      Kakojoe ualale Kaka Kama umefikia kujilinganisha na baba ako we nilaana sio mtt heshima iwepo Apo ni chui na panya Simba ana husikaj🤣🤣🤣🤣

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 3 года назад +1

      Umfananishe simba na uyu kiwango chako

  • @SungutiIsaac
    @SungutiIsaac Год назад +15

    On behalf of my wife, my family and and my village this song needs more likes,,, come on weka like tukisonga🇰🇪🇰🇪

  • @kelvin4L
    @kelvin4L 3 года назад +3

    "Pigo za kusema vya ndani sinaga izo ama kumtafuta mchawi ni nani ni kuongeza tatizo" that part hit hard harmonize is no.1 artist in Tanzania 🙌🔥🔥🔥

    • @fatmafatom3034
      @fatmafatom3034 3 года назад

      Nikweli sio lazima uacane na mtu kila kitu uweke hazaraniiii 🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️♥️

  • @rahabgitua8723
    @rahabgitua8723 3 года назад +256

    Kama umeuskiza wimbo huu mo than 3times nipe👍 love all the way from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @oswardjacob5944
    @oswardjacob5944 3 года назад +247

    Tuliorudia uu wimbo mara 10 tujuane apa ,Gonga like twende sawa

  • @CR036
    @CR036 3 года назад +426

    After my morning alarm , I play this song to start my day..
    If you've been listening to it daily na hauchoki nayo NIPIGE LIKE

  • @samuelwillz3184
    @samuelwillz3184 3 года назад +129

    So all wcb artists are fighting one guy? It's sad but he's still.standing 👍🤝❤ much love from Uganda. KONDE gang forever🤝

  • @oluwaburundi698
    @oluwaburundi698 3 года назад +82

    Nitakuwa Mshamba Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu ili nionekane mwema...
    Waliyo penda mstaili huyo tujuane
    Love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Tiwiniankid
    @Tiwiniankid 3 года назад +65

    Mm hta wasemeje jeshiii ndo msaniiii nmuelewaga snaaaaa kibongobongo🔥🔥💪🏽💪🏽kma nawe pia dondosha lke tujuane🙌🙌🙌✌

    • @davidrogers6826
      @davidrogers6826 3 года назад +1

      Konde gang for ever apa✌️

    • @Tiwiniankid
      @Tiwiniankid 3 года назад

      @@davidrogers6826 pmokoooooooo brooooo

  • @nehemiamdoe8164
    @nehemiamdoe8164 3 года назад +4

    Maisha ya mapenz yanaitaji ujasili sana❤️kwa wale walio pitia ila kwa wale wasio pitia lazma waone n jambo la kawaida sana 🎵imekaa pow ujumbe mzuli

  • @BlackBoy-ny2ke
    @BlackBoy-ny2ke 2 года назад +5

    Mimi Tim wcb lakn hapa harmonize umetisha sana kaka ngoma inantoa machozi 24 nanaisikiliza kwasiku zaidi ya mara 50 believe

  • @nuruwangeci4115
    @nuruwangeci4115 3 года назад +136

    Ngoma kalii aiseee hata kushinda ya chui ..tembo kauwa jamani tukubali basi hata likes kumi munipe all the way from 254...💣💣💣💣

  • @abuuh-sultan2546
    @abuuh-sultan2546 3 года назад +141

    We ni mti mwenye matunda zoea kupigwa mawe 💪hujawai kuniangusha wangapi wanakubaliana na mimi 🤞

  • @amohkenda1055
    @amohkenda1055 Год назад +25

    I heard this song on classic 105 today morning,I had to search for it it's a nice hit big up harmonize one love from Kenya254

  • @yusufsaadat6420
    @yusufsaadat6420 2 года назад +5

    Kapu la mabaya yangu ,halina hata machache mema! Konde boy yuko vizuri

  • @oppatz5560
    @oppatz5560 3 года назад +88

    Bwana eee ww noma sijaway kupata burudani km iiii nitakuja unimbie kunademu ananitesa sana wasaf wanalia kukupoteza like naumkubali jesh 1000 naitaji. Zitakua nying

  • @jokhasuley3661
    @jokhasuley3661 3 года назад +74

    Walijua watatukomoa team tembo ila'' tumekesha kusubir chuma💪.. tia like❤️❤️❤️ mottooo🔥🔥🔥🔥.
    1 jeshii💪💪💪💙

  • @__B.O.B
    @__B.O.B 3 года назад +36

    Oyyaaa mimi team WCB ila ukweli Harmonize anaimba sana kumshinda Raynavny.

  • @benjamingerevas9801
    @benjamingerevas9801 3 года назад +50

    Harmonize wewe ndo msanii bora hapa Tanzania proud of you Fanya kazi iwakilishe nchi yako kaka nipo mwanza Tanzania.

  • @edwardnelson335
    @edwardnelson335 3 года назад +104

    TEMBO 🔥🔥💣💣✍️✍️waletee hao kisha piga chini hawajuh MUSIC KONDE GANG tutabaki kuwa bora kwa uandish wa nyimbo BORA 🔥🔥🔥

    • @zou7470
      @zou7470 3 года назад +1

      🔥🔥🔥🔥

    • @hamzaalawy6694
      @hamzaalawy6694 3 года назад +1

      @@zou7470 huyu harmonize anajua sana

    • @hassanbabu3661
      @hassanbabu3661 3 года назад +1

      Ya mfungo hii.hatuimbii matusi sisi.

  • @makabilladee7693
    @makabilladee7693 3 года назад +78

    Doooooh!!!!!!!! Aloo Conde Booooooy Jeshii,🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kama Wewe Ni Wa Mtwara Like Nyingi Kwa Jeshi,👍👍👍👍

  • @yasluhumilemohammed7461
    @yasluhumilemohammed7461 Год назад +7

    Owaah owaah vbaya wimbo mzuli kama una unaamin shusha like

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 года назад +11

    Alisema mapenzi Vita Mimi na yeye tuteketeze maadui 👊👊
    Ngoma Kali sanaaa 👊

  • @Michano254
    @Michano254 3 года назад +69

    Wale tulikuwa tunasubiria hii ngoma kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Tujitambulishe.

  • @christian_2573
    @christian_2573 3 года назад +72

    Sitaki kuamini kwamba lile kapu la mabaya yangu halina ata machache mema.. oooh this song 😢😢

  • @hawaabdulqadir133
    @hawaabdulqadir133 3 года назад +97

    Harmonize anapenda nyimbo zako,,zina message tosha

  • @eidyvanny
    @eidyvanny 3 года назад +97

    Harmonize is A Melodie of Swahili Music... He can force to understand Kiswahili even if you don't belong to swahili Nations ✔

  • @berryahishakiye8516
    @berryahishakiye8516 3 года назад +122

    #Harmonize ninataka kwanza nikupongeze, unajua kutunga 100%. #KondeBoy you are talented 100%. Stay strong kama #Jeshi !
    Ujumbe wako uwafikie #Kajala na maadui zako. Mnaoelewa comment yangu mniachie likes hapo chini. "I wish tusisemane vibaya ili kesho tusizikane vibaya".

  • @magiezvibes1855
    @magiezvibes1855 3 года назад +29

    Harmonize ila jembe jaman duuh!! DAAH KAMA TEAM KONDE GANG GONGA LIKE kwa wazee wasoma COMMENT wakubwa 😂😂😂😂
    Xx ni mbele tu kiki wanatuletea wenyewe KONDE BOI nyie noma bhna

  • @noelsendegea5765
    @noelsendegea5765 Год назад +9

    Daah hii nyimbo kila kukichaa lazm niisikilize so kwa utamu huo.🥰🥰 Ishi miaka mingi sana broo na jah akubless kweny kipaji chako ufike mbal

  • @derrushrapper7194
    @derrushrapper7194 2 года назад +10

    Listen to vibaya,mtaje Na you utapendenzwa Na Harmonize bila YA kuwa Na utimu.Talented boy

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 3 года назад +86

    Huyu jamaa ni mtunzi mzuri na ni fundi haswaaa wa Music... Konde boy for everybody... Konde music 🎶

  • @pascalgasper403
    @pascalgasper403 3 года назад +124

    Wanaokwenda Trending #1 Na Mimi Tujuane Jamani Huyo Ndo Kijana Wa Kimakonde

  • @bamkubwanyundo
    @bamkubwanyundo Год назад +3

    Vile umerudiana na Kajala itabidi umepiga video. 🔥🔥

  • @nainajenniesumeo5126
    @nainajenniesumeo5126 2 года назад +1

    baba konde jeshi gang mambo yote ,keep going brother waache wasafi wabaki maneno tu shenzi wao .... chapa kazi harmonize naaminia kaka

  • @sajaka_boy7939
    @sajaka_boy7939 3 года назад +300

    Konde unajua mm sikupingi unajua na uwo ndio uwanaume komaa tu ww nijeshi basi wote mashabiki wakonde like hapa na comment 💃💃💃

    • @loughindustry3606
      @loughindustry3606 3 года назад +1

      ruclips.net/video/wSNFtLCvZTI/видео.html🙏🙏🙏🙏

    • @neemahamisi3202
      @neemahamisi3202 3 года назад +5

      Mie Atari sana harmonize

    • @sajaka_boy7939
      @sajaka_boy7939 3 года назад +3

      @@neemahamisi3202 ndio uwanaume dadangu siunajua nimoja ya changamoto😧

    • @sajaka_boy7939
      @sajaka_boy7939 3 года назад +5

      @@loughindustry3606 konde ni jehi ata iweje ndugu ata wasemeje

    • @zahrababygarl1568
      @zahrababygarl1568 3 года назад +2

      Daaah nisi sn

  • @jakempiremahrouq1894
    @jakempiremahrouq1894 3 года назад +117

    Wallah Harmonize hajawahi kuniangusha hizi ndo akili za Kiutu uzima sasa, kama na ww unamielewa #Jeshi gonga like hapa twende sawa ✌️✌️

  • @Wallace_Kam
    @Wallace_Kam 3 года назад +1

    Yan ili biti nikipita mahari nikiliskia lazm niingie you tube nikaskiliz moyo utulie yan duuuuh
    B Boy ✊👍👍
    Ngoma kali kinomaaaa 💯💯💯

  • @mwajumachitivi6330
    @mwajumachitivi6330 3 года назад +32

    Asante bro kwa wimbo nzur usio Isha hamu kuisikiliza, hakika hakuna mkamilifu dunia hii isipokuwa ni muumbaji mwenyewe, na zidi kusonga mbele tunakutegemea saana tunaokupenda nakukubali xaana❤️❤️❤️❤️

  • @christinezighe6916
    @christinezighe6916 3 года назад +82

    'Hata madui zangu walikuwa maadui zako wanakuvuta uwe kichekesho' nimependa hapa

  • @timothysanga9746
    @timothysanga9746 3 года назад +271

    Mimi ni WCB damu laini huu wimbo unaradha sana sana kuliko wa Chui. Big up sana

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 2 года назад +2

    Kwa Kweli Konde Wewe ni Tembooooo🐘🐘🐘God bless you.🇰🇪🇰🇪

  • @faithmireri7558
    @faithmireri7558 3 года назад +26

    Aki hii nyimbo Ni tamuu 💋.siwezi kulala Kama cjaisikiliza 💪🙏

  • @hassaniddi7527
    @hassaniddi7527 3 года назад +81

    Tunajuwa kwamba konde boy WCB hawakupendi ila sisi washabiki wako tuko pamoja na wewe konde boy for everybody never give up love konde gang

  • @aliyah.m.hussein941
    @aliyah.m.hussein941 3 года назад +227

    Wallah harmonize we nimnoma sana mpaka najisikia vibaya from Mombasa 😭😭😍😍

  • @abdunuruabasi2664
    @abdunuruabasi2664 3 года назад +1

    mashauri nzuri 🇨🇩wewe ni jeshi fanya kazi achana na wale

  • @Queenkandy42
    @Queenkandy42 8 месяцев назад +11

    This is one of the most beautiful songs I have ever heard. I hope people really understand the depth and beauty in this song 😢❤

  • @dioniskayange7422
    @dioniskayange7422 3 года назад +114

    Kama C.A.G .nimethibitisha jeshi ni level zingine ,100% ...like za jeshi jamanaan kama umeelewa mashairi daah..

    • @zawadiissa765
      @zawadiissa765 3 года назад

      🤣🤣🤣

    • @husseinayubu2149
      @husseinayubu2149 3 года назад

      Kasikilize na majibu yake yametoka

    • @shaibumahanda5190
      @shaibumahanda5190 3 года назад

      Usubwata mtupu hayo majbu n F ya wazi

    • @255Digitalizeit
      @255Digitalizeit 3 года назад

      Ndugu siegiii hii inamaana jeshi Hana hati chafu Basi bajeti aongezeeeeewe jeshi FOREVER MXIEEEEEW MANINA WALLAH LEVEL ZA HUYU NDUGU MMAKONDE AAACHWE

    • @fireoldmantz8013
      @fireoldmantz8013 3 года назад

      Jeshi nooma

  • @perrygeorges2032
    @perrygeorges2032 3 года назад +129

    🙏🙏🙏ata waseme nini konde music 🎵🎵 for everybody we still love you, ata wakiungana wakutukane we will be always there for you much love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi likes za Harmonize he is going through pain kama umeskiza io ngoma vizuri, This song is too touching I feel sorry for harmonize 😭😭

  • @gefftv.
    @gefftv. Год назад +16

    on behalf of boy child association, African men, and ancestors, I approve this song. Maturity in the lyrics is top notch. Big Love Jeshi

  • @dickmalove5544
    @dickmalove5544 3 года назад +2

    Harmonize sio msanii wa kubeza

  • @Itsher602
    @Itsher602 3 года назад +68

    That is why i love harmonize😘 ana akili nyingi sana💥wanao mupenda kama mimi gonga like💖

  • @EMIZOLE9
    @EMIZOLE9 3 года назад +35

    Najua unapigwa vita kila mahali Mara WCB akna midomo akna kajala,,rayvanny,,mond,,manager na BABA LEVO never give up sisi ndio tunakusurport sisi washabiki wako ndio maana tunapupea support 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 jikaze Wacha wakuongelee we support and love you harmonize

  • @patricks6228
    @patricks6228 3 года назад +6

    Walifanya vibaya sana. Haikuwahusu kamwe. Lakini haijalishi... Harmonize next level.🔥🔥🔥🔥 Wacha wasome.

  • @mandelatruesolution1212
    @mandelatruesolution1212 3 года назад +1

    tembo umefanya nikupende zaidi endelea hivo hivo nyimbo zuri sana yenye mafunzo

  • @praygodmatemba2391
    @praygodmatemba2391 3 года назад +353

    Jamani msinifanyiye hivyo .. sijawahi kupewa hata likes moja 1 .. niwaombe like huku ndani

  • @Coolkoditv1
    @Coolkoditv1 3 года назад +139

    Harmonize your the reason for them becoming jealous every now and then but you will always be forward because we will always support you

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 2 года назад +2

    Kiukweli Konde unatisha. Dimond hana ujumbe anaenda na bits tuu. Nyimbo unaisikiza mpaka mwisho huichoki.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 года назад +13

    Wangapi tunarudiya hapa 🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️🔥🔥🔥🔥🇫🇮🇫🇮

  • @deffanyhoughton8964
    @deffanyhoughton8964 3 года назад +62

    huyu jamaa anajua kuandika hadi anakera🔥🔥🔥💥

  • @nduwimanaelie2800
    @nduwimanaelie2800 3 года назад +162

    This man is so creative.harmo ana kipaji katika mziki.basi like zenu hapa jamani.

    • @mbwanakhamis9634
      @mbwanakhamis9634 3 года назад +1

      Sna coz amekaa akajua ndio mda muafaka wakutoa ngoma ya haraka...

    • @beybieohmine446
      @beybieohmine446 3 года назад +1

      Too much, u should c me dancing and repeating this song ova n ova again

  • @mwanahawahawaa7485
    @mwanahawahawaa7485 2 года назад +1

    Mungu azidi kukoongaza amin

  • @josephmachira7834
    @josephmachira7834 3 года назад +4

    Ngoma iko sawa kinoma sana

  • @maalimrajabumaalim3590
    @maalimrajabumaalim3590 3 года назад +384

    jamani sijawai kupata hata like 50 leo nakuombe nipate hata hizo 50 konde ndio habali yamjini twende sawa

  • @aksinosingano8054
    @aksinosingano8054 3 года назад +210

    Tutaku support tu mdogo wng till we die. Gonga like twende sawa

  • @Prisca.W
    @Prisca.W 3 года назад +1

    Mtoto anatunga huyu💕💕💕🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 3 года назад +31

    Wangapi waisikiliza hii nyimbo nahisia zote kama mimi

    • @happyjacline988
      @happyjacline988 2 года назад

      mimi nasikiliza nakulia juu maana, kila siku ni kugombana tuuu , mpaka unaona bora usingependa kabisa najuta kumpenda mtoto wa mtu mimi 😭😭😭😭

  • @survivordictorofficial1847
    @survivordictorofficial1847 3 года назад +37

    Heshima kwa Harmo anajibu kila swali kwa nyimbo so creative🎶🎶🎵🎵🐘🐘💖💖❤❤

    • @irenemumo7855
      @irenemumo7855 3 года назад

      Hiyo ndo big difference ya yeye na hao wengine

  • @luckman_47
    @luckman_47 3 года назад +205

    wCB roho zinawauma mpaka Leo kupoteza hiki kichwa cha mashairi #Harmonize amejibu vzuri sana na watanzania Tumeelewa ...........likes za konde boy hapa

    • @ally_star
      @ally_star 3 года назад +3

      Kwahapa kweli hawatoboi huyu mwamba anajua aisee kule dabiliusibi limebaki jina #KONDE anajua aisee

    • @mercytracy3015
      @mercytracy3015 3 года назад +1

      We do still love you harmonize..let such things go, together forever brother ..from kenya..currently in Bahrain

    • @luckman_47
      @luckman_47 3 года назад +1

      @@mercytracy3015 send me your number

    • @mercytracy3015
      @mercytracy3015 3 года назад +1

      Sawa ushapata number

    • @mercytracy3015
      @mercytracy3015 3 года назад

      @@luckman_47 look for me on my Facebook page, Mercy tracy..prophile picture Muslim dressing code, then inbox me u will get ma contact

  • @ngoniduchess7860
    @ngoniduchess7860 2 года назад +2

    WCB gang fighting kondeboy u must be special keep GOD close to u and u will make mistakes as you grow with women money and life in general but remember life is such as long as yo team are with u the rest is noise kajala woman and daughter am giving them the side eye too much clout........... we sending u love from Boston u that guy.

  • @kousamoukusambaruko8312
    @kousamoukusambaruko8312 3 года назад +1

    Wa burundi wote musipiti bila kulaji iyi inyimbo tembo message nzuri sana

  • @matub5094
    @matub5094 3 года назад +261

    Harmonize no matter what happens, we will support you till to the end.sisi shabiki zakoh hadi mwisho.

  • @gideonkithungi3393
    @gideonkithungi3393 3 года назад +129

    Konde boy,Am your number one fan here in Mombasa hit my comment nijue kweli upon bro na unajali fans wa MOMBASA KENYA.You are indeed a star keep shining ,Great tunes again and again keep it blazing.

  • @samuelomondi4109
    @samuelomondi4109 3 года назад +3

    Kila mtu akona weakness zake,,,konde boy 4 everybody..,,Team Jeshiii

  • @flyboylimcy4311
    @flyboylimcy4311 2 года назад +16

    There's no songwriter in this Africa that can beat jeshi in writing 💯🔥🔥🎶🎧

  • @vickyjoan9288
    @vickyjoan9288 3 года назад +66

    Iko moto🔥🔥🔥🔥Sana wale wa Nairobi Kenya massive 🇰🇪 nipeeni like plz

  • @jacksonmfalme4276
    @jacksonmfalme4276 3 года назад +84

    Wazi harmonize.... hakuna kunyamaza gonga like kama hutaki harmo anyamaze😊😊😊

  • @ashaomina1136
    @ashaomina1136 3 года назад +2

    Kondegang Niko nyuma yako kaza roho hii ndo dunia

  • @fatmafatom3034
    @fatmafatom3034 3 года назад +1

    Ule tamaa njo ilimponza alikuwa amefata pesaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣♥️♥️♥️♥️alikuwa na mapenzi ya kinafkiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ikethedrummer
    @ikethedrummer 3 года назад +81

    Kama umerudia huu wimbo mara 20,,, nipe like za jeshi,,, konde boy for life

  • @alubatisedjo1381
    @alubatisedjo1381 3 года назад +129

    Tuta lala apa leo ,konde boy for everybody I can't let you go ,I'm here for support you

  • @issanandumbi6939
    @issanandumbi6939 3 года назад +63

    Mdogo wangu hajawahi kuniangua kwenye hizi mambo km unamwelewa kondeling piga like za kutosha hapa nimfikishie

  • @davisbarasa8594
    @davisbarasa8594 3 года назад +5

    Kituuu bombaaa,,,achana na izo zingine atee Nyamaza vitu ganii#Konde Boy#Konde Gang#Konde Family#TEMBO

  • @kisiinewest5254
    @kisiinewest5254 3 года назад +33

    G bro oo🥰🥰🥰
    Love from Kenya Aki nipate like za kondeboy

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 3 года назад +46

    💥💥💥 Konde Boy ni zaidi ya Ile Team yao ya matusi 🔥 🔥 🔥

  • @trynottolaugh53
    @trynottolaugh53 2 года назад +9

    Harmonize X B Boy Beats 💯💯🔥🔥🔥 Always the best

  • @brendaosano2385
    @brendaosano2385 Год назад +10

    The way I love you harmonize I will play your songs till you come out of my phone's screen and ask for a glass of water

  • @victormwakipesile5604
    @victormwakipesile5604 3 года назад +81

    Tuliotoka kuangalia kwa anjella af tukapitia kwa kondeee gongaaa like twendee sawaaaa 🔥🔥🔥

  • @felixkitheka1686
    @felixkitheka1686 3 года назад +116

    Wivu n juu walipoteza mwandishi wa ngoma zao, ss wanaimba taarabu😂😂😂skiza bonge la hit,, legend master of replies💥

  • @beckyn1568
    @beckyn1568 3 года назад +1

    Aki harmonize si twakupenda aki❤

  • @Officialshadrackjohn
    @Officialshadrackjohn 3 года назад +5

    kaka rangu nakukubari sana konde gangi-Nipo apa kongo ya kinshasa tunakula na mangoma hii iko moto sana shentembaaa

  • @aminaemmy9414
    @aminaemmy9414 3 года назад +174

    Sichoki kuskiliza jaman konde fundi uyu mtoto kama unarudia Rudia gonga like ata zifike 10 tu plz

  • @aminizabron7985
    @aminizabron7985 3 года назад +105

    Verified Jeshi.. ✔️✔️✔️✔️ you become the huge man umethibitisha hilo📝📝📝 likes 10 kwaJeshi

    • @husseinissa2739
      @husseinissa2739 3 года назад

      😎😎🤗🤔🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @halimanarcis6745
    @halimanarcis6745 3 года назад +11

    This Guy is very brave unakumbuk #HappyBirthday song ilikua special kwa Gadna. But hio song imekua ikichezwa kila watu wafanyapo bash
    Now this song #vibaya is dedicated to all ex's in da world Big up #Harmonize

  • @aryanamapendo7682
    @aryanamapendo7682 Год назад +4

    Thank you Harmonize respect you’re the only legend in Tanzania.