Harmonize - Utanikumbuka (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 окт 2022
  • Harmonize - Made For Us Album
    Stream/Download: smartklix.com/MadeForUsbyHarm...
    Subscribe for more official content from Harmonize: / harmonize255
    Follow Harmonize
    Instagram: / harmonize_tz
    Twitter: / harmonize_tz
    Facebook: / harmonize255
    TikTok: vm.tiktok.com/JYFv7PN/
    Listen to Harmonize
    RUclips: / harmonize255
    Audiomack: audiomack.com/harmonize
    Apple Music : / harmonize
    Spotify : open.spotify.com/artist/1eCae...
    Boomplay: www.boomplaymusic.com/share/a...
    The official RUclips channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
    For Bookings & More
    Email: Harmonizemanagement@gmail.com
    Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762
    #Harmonize #Utanikumbuka #MadeForUs
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @chidyprince1357
    @chidyprince1357 Год назад +491

    Kama unamkubali HARMONIZE gonga like tuondoke🔪🔪 love from Dodoma tz

  • @walteraquilla6525
    @walteraquilla6525 Год назад +88

    Mehhn HARMONIZE ni mkalii...nipe likes hata Moja Jameni❤️

  • @ngarathecomedian5743
    @ngarathecomedian5743 Год назад +26

    Tusinyimane like. Kwa wanao amini kama harmo anajua hii kitu ya Music like 🥰🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿

  • @chanceboy6982
    @chanceboy6982 Год назад +99

    Kama unamin kuna MTU atakukumbuka like zangu APA jaman ngoma Kali sana hi

  • @beyonce6247
    @beyonce6247 Год назад +69

    Kama una imani Mungu atakupa mapenzi ya Kweli gonga like. From Kenya
    Music makes me forget alot of shit.

  • @relaxstarman981
    @relaxstarman981 Год назад +3

    Watanzania tuache ushabiki na Majungu huyu jamaa anajua sana

  • @JoaoBatista-eq7pg
    @JoaoBatista-eq7pg Год назад +3

    Jeshi ni jeshi akuna ataweza kunshinda tena,ilov jesh fornecer koooo

  • @habibuhabibu9728
    @habibuhabibu9728 Месяц назад +2

    Upo vizur kuimba achana nangumi tutakukosa🤗

  • @mela.254
    @mela.254 Год назад +91

    On behalf of ..mashabiki wakubwa WA konde boy mnipee 1000likes jameni 👍❤️

    • @movieserieschannel
      @movieserieschannel 10 месяцев назад

      you are not serious ! tafuta likes na contet yako

  • @Arapmisemo
    @Arapmisemo Год назад +602

    huu mziki nauweza nauweza kuuimba na kuucheza ❤️‍🔥 , nawaombeni likes💯

    • @aussiabdallahswaggarkillar7121
      @aussiabdallahswaggarkillar7121 Год назад +16

      Atakae kua hakubaliani na maneno yako na achomwe moto unauweza na unauweza tena

    • @florenceakomba6821
      @florenceakomba6821 Год назад +6

      🔥🔥🔥👍

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 Год назад +4

      ✌✌✌✌✌✌kazi nzuri kbs

    • @hafidhali4336
      @hafidhali4336 Год назад +9

      Huyu jamaa aachiwe tu sahv mana mm sijaona km yeye

    • @mimabirikumpamvu6626
      @mimabirikumpamvu6626 Год назад +19

      Mko wapi team diamond sikilizeni mziki wawatu wakubwa ulivyo tulia team kond pigeni keleleeeee

  • @ademean
    @ademean Год назад +18

    Huu mziki harmonize kweli anauweza💪💪,, good muzik show some love,, Representing +254 🇰🇪

  • @abillahnamajojo8328
    @abillahnamajojo8328 Год назад +21

    Wimbo mmoja matata sana ambao naurudia mara nying zaid ......Pambana braza usichoke 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 Год назад +31

    JESHIII HUU MZIKI UNAUWEZA BRO UMEUPIGA MWINGI SAANA HUMU 🙌🙌🙌🙌🇶🇦🇹🇿.

  • @SpartsCkg6828
    @SpartsCkg6828 Год назад +226

    My Africans people let as support this guy🐘
    Is so talented 🎹🎼🎤🎸🎧

  • @wibkidofficial254
    @wibkidofficial254 Год назад +44

    Wimbo huu kumbe ulkua Una maana mbeleni

  • @royaliwa5839
    @royaliwa5839 Год назад +167

    Huu ndio unaitwaga wimbo mzuri.. Napenda unapo toa nyimbo kama hizi, maanake zakufaa sana kuliko zile za kizungu.. Keep the good work bro ✊

    • @mwachilumokai5242
      @mwachilumokai5242 Год назад

      Msiogope kizungu sana, Kenya twazikubali sana hizo za kizungu 💪

    • @yohanadeusi9084
      @yohanadeusi9084 Год назад

      @@mwachilumokai5242 TANZANIA kingeleza ni lugha ya walevi

    • @Ummu-Nauthar98
      @Ummu-Nauthar98 Год назад

      @@yohanadeusi9084 nyie na Tanzania yenu ila ukumbuke harmo ni WA dunia nzima kwaivo anafaa kujua international language ambayo ni English upo 📌📌

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 11 месяцев назад

      ​@@Ummu-Nauthar98hiyo ni kwenu mnaona wazungu ni MUNGU zenu pumbaaavuuuu zako

  • @officialherobwoy8812
    @officialherobwoy8812 Год назад +130

    Am a Kenyan but this dude is my best artist

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 Год назад +10

    Wimbo wako kajala huo utamkumbuka kweli

  • @mosestchombebinpatientmois5027
    @mosestchombebinpatientmois5027 Год назад +2

    Harmonize ni bingwa tu mtu kama anafanya poa mpe sifa zake ,, bro unaweza

  • @jojobrown2372
    @jojobrown2372 Год назад +28

    Nyimbo nzuri imekunikumbusha mbali😘nimepentaa🇹🇿

    • @shukuruamos6733
      @shukuruamos6733 Год назад +1

      Kweli anajua lakin mapenzi ndo kazidisha sana

  • @sedjotshomba4867
    @sedjotshomba4867 Год назад +120

    My congolaise people let's us support this guy is very talented artist 🎵🎶🎵🎵✌️✌️✌️✌️✌️✌️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @cmk_football
    @cmk_football Год назад +169

    A combination between harmonize and bboy it's always a hit, Kondegang for everybody 🇰🇪🇹🇿

  • @florisseba9638
    @florisseba9638 20 дней назад +2

    Iyi ngoma naipenda sana 💣💥

  • @eliezel6103
    @eliezel6103 Год назад +3

    Kama unamkubali tembo gonga like and comment. Love from Msawa Boy 🇧🇮

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 Год назад +11

    Konde Boy call him number one 🌍🎶🎶🎵💥🔥🔥💥🎵🎶🎶🎶

  • @tiktokersamran406
    @tiktokersamran406 Год назад +4

    Oyaaah kama unamkubalia mjeshiii like zinimwangie bana

  • @tonylaizer3386
    @tonylaizer3386 Год назад +1

    Kwenye ...moja...na mbili ...nikwamba harmonize..anaweza.....kiukweli ..anawanyima wengine unga .... imagine...zuchu anatoa Ngoma ..Mondi ..lakn ..Bado ..Ngoma zake ...ziko ..moja mbili tatu....leave me alone nitaubeba ..amelowa ......manzee ...Noma ..kwakweli serikl ingilia nipe zangu like

  • @issah4582
    @issah4582 Год назад +7

    Ase konde ni fundi wakuu,kama unakubali gonga likes🙏🙏🙏

  • @lukaramso6942
    @lukaramso6942 Год назад +55

    Ngoma Kali sana kama mnaikubali nipeni likes zenu mashabik

  • @knightlundu
    @knightlundu Год назад +248

    What God has blessed no man can curse even if they gather harmonize is just so blessed with talent

    • @BARDLING__EMPIRE
      @BARDLING__EMPIRE Год назад

      ruclips.net/video/vGhScH1I4YY/видео.html

    • @musabakari6922
      @musabakari6922 Год назад +3

      Diamond platnumz helped him to reach where he is now but he is here now to insult him ......listen to the songs carefully

    • @barakanzai3091
      @barakanzai3091 Год назад

      Very true

    • @salummullenge1519
      @salummullenge1519 Год назад

      Pq

    • @maitharobert6833
      @maitharobert6833 Год назад +4

      @@musabakari6922 insult inatokea wapi hapo?? You are a slave to chibu.

  • @lawrenceshekinyashi8243
    @lawrenceshekinyashi8243 Год назад +5

    Huu ndo wimbo wangu sasa😭

  • @dennisgamumu3907
    @dennisgamumu3907 Год назад +4

    Wazii Harmonize wafinike,,🤣🤣🤣wacha nicheke juu umewafunga midomo Mahadui... Love from 🇰🇪🇩🇪gongeni likes tumsapoti Konde Boy 🤴

  • @alimwishee8743
    @alimwishee8743 Год назад +5

    Mwamba unajua adi unakera mamaee kondeee number one

  • @Cosmopolitanmedia
    @Cosmopolitanmedia Год назад +33

    Go baby , you doing it champ.

  • @Pafissgang
    @Pafissgang Год назад +7

    Kama ulijuwa JESHI BOY
    Ndo yame shaishaaa

  • @sting9915
    @sting9915 Год назад +2

    Huyu ndo namtambua pale TZ hao wengine zii😂😂
    Kiburi kutoka 🇰🇪
    Jeshiii

  • @halimahleema5165
    @halimahleema5165 Год назад +3

    Niame konde gang niende wapi mimi

  • @melodious2
    @melodious2 Год назад +33

    You talk about real life harmonize always 🔥🔥🔥🔥🙌🙌

  • @patrickkithi2990
    @patrickkithi2990 Год назад +61

    I just came here to say B- boy is the best producer in east Africa right now...❤️❤️🇰🇪🇰🇪🔥🔥

    • @phillipomwampeta9863
      @phillipomwampeta9863 Год назад +1

      Ngoma kali ile mbaya,, anasikiliza babu mpaka wajukuu,,..🎻🎻🎻🎻🎻konde gang fo every body...,,

    • @emmanuellameck5849
      @emmanuellameck5849 8 месяцев назад

      Good song .Harmo unaweza kijana artist

    • @heritieriragire6824
      @heritieriragire6824 Месяц назад

      Until you meet Element from Rwanda 🇷🇼

  • @niffah1349
    @niffah1349 Год назад +3

    B boy + harmonize hamna shaka👍👍

  • @iamtony_ke
    @iamtony_ke Год назад +44

    This is made for us,ndio nimetoka kuskiza 'Wote'

  • @E7MOVIES
    @E7MOVIES Год назад +12

    Nyie huyu harmonize ni next Level ❤ hawezekniki

  • @frankhokororo4052
    @frankhokororo4052 Год назад +1

    Diamond ahsante sana kwa kutuletea huyu kjana ndo tushampenda ss 🔥🔥

  • @gospelb.o.c3853
    @gospelb.o.c3853 Год назад +2

    Mola amenipa kibali,
    Nyimbo niimbe kijana nighali,
    Nawaombea wenye chuki sijali,
    Konde nawapenda wote sisi wajalali.....jeshi

  • @betformula98
    @betformula98 Год назад +117

    The best artist at the moment in East Africa 🔥🇰🇪🇰🇪❤️

    • @BARDLING__EMPIRE
      @BARDLING__EMPIRE Год назад

      ruclips.net/video/vGhScH1I4YY/видео.html

    • @celebrityvibez7672
      @celebrityvibez7672 Год назад +1

      No cap

    • @maryndathe8156
      @maryndathe8156 Год назад +1

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @hajjnabesaboru704
      @hajjnabesaboru704 Год назад +2

      Nakubali 🇰🇪

    • @JackOchwele
      @JackOchwele Год назад

      Uongo bana huo ni uongo....
      Huyu ni msanii wa huko kwenu tu chitoholi.........Best male, ray
      Best female, zuchu....usijifanye hujui hilo

  • @officialicontawagmail.1707
    @officialicontawagmail.1707 Год назад +5

    Mh hii kitu ameimba jamna kam umekubali gonga lik

  • @luckysinkala7493
    @luckysinkala7493 Год назад +2

    huyu kaka nomah kweli namkubari kima konde mungu kamubali kipaji; bg up bro.

  • @BushashaSwitch
    @BushashaSwitch Год назад +1

    Eti mimi nimetokea sehemu Gani jamani ndomana hamnipi like zangu for Cough 😤

  • @sureboy3390
    @sureboy3390 Год назад +6

    Hili album haliishi ngoma hit 👊 likes ❤️ kama zote hii ngoma kali tena kama hamtaki #mtanikumbuka

  • @aminajumashakombo1549
    @aminajumashakombo1549 Год назад +3

    Sie 2po busy na msanii wetu no moja shem la.dunia🤗

  • @andrewrichard1897
    @andrewrichard1897 Год назад +5

    Haki nimeirudia huu wimbo several times,daah!

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Год назад +40

    Hiki chuma ndio mnakifananisha na hao wasafi sijui!!, aaah honest huyu jamaa anaimba bana. Angalia mistari, visa, na the way anavopangilia sauti. He is GOAT

    • @stevetegemea3219
      @stevetegemea3219 Год назад

      Hapa Watakaaa...Huyu Mwamba Ni Noma Sana Big up Bro....

  • @TheMint_tz
    @TheMint_tz Год назад +108

    This song made me realize that you,it's okay to wait not chasing anyone and being patient about it.if love comes your way you will definitely cherish and enjoy.this is a motivational love song for me 🙌🥰❤❤❤❤

  • @eliezelrambo2560
    @eliezelrambo2560 Год назад +18

    Love from burundii🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @peterkiio6925
    @peterkiio6925 Год назад +7

    Best song kwa hii album 🔥🔥🔥

  • @KifaruTV
    @KifaruTV 11 месяцев назад +1

    Kondegang for everybody ❤️❤️❤️ mimi naye huku Kenya midundo zake ndo zinanisitiri🇨🇩🇰🇪🦏🦣

  • @gamblerthedeejay
    @gamblerthedeejay Год назад +8

    +254 Ambassador...👌🔥🇰🇪

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 Год назад +8

    Wakuache tu bro wew niwakwanza kabsa this is love from burundi 🇧🇮 🇧🇮 🔥🔥

  • @_Caleb_ke
    @_Caleb_ke Год назад +46

    This guy is singing facts 💯💯💯💯

  • @lm6373
    @lm6373 Год назад +2

    Mashallah nzuri sana from oman Muscat 🤩🤩🤩

  • @sipriandonko3848
    @sipriandonko3848 Год назад +42

    this is the best song of this album

  • @255kl
    @255kl Год назад +13

    🔥🔥🔥🔥💪💪💪Let's Go Winners Team Konde Gang🔥🔥🔥

  • @RevocatusmlashanPhilbertRevoca
    @RevocatusmlashanPhilbertRevoca Год назад +2

    Kwangu mimi yupo ninae mkumbuka toka nikiwa mdogo alinipenda bila ya me kujua nilikuja kujua ukubwani Ila kinacho nishangaza leo ananiona Kama mbwa ananichukia balaa.Ila mi bado nampenda adi wazaz wanajua. Ila nawashauri anae kupenda komaa nae, Asie kupenda mkaushie👨‍❤️‍👨💑

  • @samsonlawi9603
    @samsonlawi9603 Год назад +6

    Tunahitaji video ya #utanikumbuka kondeeeee🔥🔥

  • @kdf1246
    @kdf1246 Год назад +5

    Vitamin X music

  • @ngila_benja
    @ngila_benja Год назад +23

    *APPROVED GLOBALLY* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥

  • @jbwisechirume
    @jbwisechirume Год назад +2

    From Kenya Number One Fan. Niombeeni collabo kwa Harmonise please na Mungu atawabariki.

  • @kennedyouma1434
    @kennedyouma1434 Год назад +33

    My favourite TZ Artist. Talent with proper lyrical message. Keep winning 👏

  • @mathiasmasota3060
    @mathiasmasota3060 Год назад +41

    This guy is a legend, #GOAT 🔥

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 Год назад +3

    Anaemkubal jesh anakipaji Cha kwel gonga like hapa %

  • @MwanajumaBakari-md5iz
    @MwanajumaBakari-md5iz 2 месяца назад +1

    Huu wimbo jamani namkumbuka mtu fulani cuthbert wangu

  • @marshamutisi8442
    @marshamutisi8442 Год назад +11

    Zimbabwean greetings I don’t understand Swahili but anandikumbuka tayari!!!!!

  • @shobimzawa
    @shobimzawa Год назад +9

    Huu wimbo mkubwa sana 💙

  • @lucaswachara
    @lucaswachara Год назад +72

    I LOVE THE CURRENT VERSION OF KONDE BOY, YOU NEVER LIED THAT ALL YOU NEEDED WAS KAJALA BRO💥❤‍🔥

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 Год назад +1

    Jamani uyu harmonize ana lalaga ayamashairi kusikia adi ukichaa nipe likes kama una uwakika ex wako atakukumbuka

  • @odetharwaibale4963
    @odetharwaibale4963 Год назад +1

    Nyieeeee amkeni, haka kawimbo ka maex 😔😔😊❤️ ngoja nikamwimbie wangu japo inauma sanaaaaaa 😭😭😭😭😭😭

  • @fredahnkirote9354
    @fredahnkirote9354 Год назад +14

    Much Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya...

  • @mogerepannah555
    @mogerepannah555 Год назад +25

    Nani amerudia hili ngoma na kumuliza aki mtanikumbuka mkinipa likes 😭😭😭😭😭

    • @kdf1246
      @kdf1246 Год назад

      Kaimba kwa hisia sana 😅😅

  • @LarryMaxcomedy
    @LarryMaxcomedy Год назад +2

    I'M FROM KENYA,DUH, WHEN TEACHER KONDE COUGHS THE NEIGHBORS CATCHES THE COLD...THE GOAT GREATEST OF ALL TIME...WAPI LIKES ZA TEACHER HUU MWAKA 2023....This guy is talented to be honest...mashairi yameeenda skul

  • @Bekaelly
    @Bekaelly Год назад +2

    Wangapi wanamkubali Harmonize?hebu drop like kma unmkubali plz💥💥💥

  • @nembowamtaa751
    @nembowamtaa751 Год назад +63

    This artist use alot of time and alot of brain in writing

    • @toastysn
      @toastysn Год назад +2

      He even takes no time for these things, puts Kajala front of him, mic on and records everything in a day 😅

    • @vicentjulius9911
      @vicentjulius9911 Год назад +1

      Nyimbo hii imenikumbusha mbali sana mwanamke niliempenda Kwa moyo wangu wote akiniacha bila kosa Leo hii sipo nae naijulizaga Kila ck sipat jibu

    • @dieudonneeloco856
      @dieudonneeloco856 Год назад

      Hii goma basi ndo yangu kali mwaka uliyoisha

  • @APkidsunited
    @APkidsunited Год назад +6

    Haki napenda hii nyimbo siezi acha kusikza. Thank you Harmonize I love also the song umeimba na aslay . good Job
    Wanangu ni follow kwa youtube hata mimi muniinuwe pleaae

  • @mkoimedia
    @mkoimedia Год назад +1

    Imegusa maisha yangu kabisa hiki ndicho napitia ss hv 😢😭😢😭😢😭😢😭😢

  • @sammymusikali6223
    @sammymusikali6223 Год назад +5

    Harmonize habahatishi ni mkali sana

  • @salha9681
    @salha9681 Год назад +42

    My best East African artist.. I usually don’t comment but this Album made me comment on each song. You can feel that I actually was going through it all in his voice.

  • @eunicewaithera3549
    @eunicewaithera3549 Год назад +16

    My best in this album 🥰🥰🥰💞

  • @florisseba9638
    @florisseba9638 Месяц назад +1

    Harmonize anaweza kuimba

  • @abdulkarimtoza
    @abdulkarimtoza Год назад +1

    Dogo kipajii inacho tena amazing tulia kaka mwanamke bora utapewa na Mungu uenda kajala sio rizkii🤦‍♀️

  • @AfrikanaVevo
    @AfrikanaVevo Год назад +11

    Lazimaaa jeshiiiiii 💥🔥🙌🇰🇪

  • @adrianmulwa4656
    @adrianmulwa4656 Год назад +15

    No body can stop"tembo kunywa maji"🔥🔥🔥

  • @ouledihatangimana7239
    @ouledihatangimana7239 Год назад +1

    Japokuwa wanataka kumuangusha bado Sana huyu mwamba anaweza love from🇧🇮

  • @fabicshofficial
    @fabicshofficial Год назад +1

    Huyu ndio harmonize natambua huyo wa vizungu vingi potezea

  • @DavG619
    @DavG619 Год назад +3

    Sijuwi hata nifanye nini konde wangu
    Umenilithisha sana mnooo album yako yote nime downloaded nakwa wimbo huu unanigusa sana tena sana naskiliza hadi kazini wana nishanga furaha ninayo mnoo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺🎊🕺🕺🎊🎊🎊🤛🏻🤛🏻🤛🏻🎊🎊🔥🔥🔥😋😋😋😋😋😋😋🔥🔥🔥🔥🔥 asante Hormonize🙏🏻🙏🏻🙏🏻🤛🏻🤛🏻

  • @lavixkenny5089
    @lavixkenny5089 Год назад +6

    jeshiii 🔥 Kenyans in the building 🇰🇪🇰🇪

  • @josephosborne3072
    @josephosborne3072 Год назад +1

    Huyu jamaa anamuumiza kichwa diamond,tz one

  • @amanisulle2479
    @amanisulle2479 Год назад +2

    Kaka me nakukubali sana yaana acha nikwambie you are the best nakusanya nauli nije kusalimia bro nipo manyara, Jeshiiiiiiiiii

  • @Babyzay178
    @Babyzay178 Год назад +6

    Naombeni like na mimi niringe🥰🥰🥰🥰

  • @yl_sports_af1994
    @yl_sports_af1994 Год назад +4

    Album Ndo uzinduzi Ndan Yake

  • @BeeChriss
    @BeeChriss Год назад +1

    If you are here in 2099 know that konde was the doppest in Africa

  • @ibrahimurashidikomu2762
    @ibrahimurashidikomu2762 Год назад +2

    konde ni top musician bongo yotee🔥🔥