For real King 👑 Harmonize akiitunga wimbo wenye hisia utadhani ni malaika kamsaidia na uwandishi kisha Mungu akashusha kipawa zaidi kwenye nyuzi zake za sauti. What a great talent legend 👏🏾
U wimbo unanikumbusha MAMA YANGU KIPENZI 😢R.I.P my beloved MAMA sizani km nitakuja kupata mama kama ww umetupambania ukatusomesha kwa shidaa mpaka 😢😢sasa tuko chuo kikuu MUNGU akulaze mahali pema peponi AMINAA We still love ❤ u so much 😢😢😢
Maman ni mutu na nusu wangu alikufa mapema nikiwa mdogo kuna vitu mingi nimekosa kwa maisha yangu harmonize wewe ni mwerevu kabisa kwanza ngisi iyo ngoma umeichapa sidani kuna msani anaweza 👊🏾
Shout out to all the women in the world,,, we really adore you,, bila mwanamke kuna mengi yasiyoweza kukamilishwa,, ata mwanaume awe Tajiri ama mwenye nguvu anahitaji mwanamke ili akamilike,,, SENDING LOVE TO ALL WOMEN AROUND THE GLOBE💫💫💫❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯💯💯💯💯
Hakika Mwanamke ni Muhimu sana Kwenye Nyumba, Yani Usipokuwa na Mwanamke Amini kwamba hutofanya Jambo likaenda vyema, Hasa Kwenye ishu ya Maendeleo Ili ufanikiwe Nyuma awe mtu wa kukufuata Yani Mwanamke atakuongoza... Hii Nyimbo imenifanya nizidi kumpenda Baby Mama wangu.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hii track ni nyimbo na nusu, already ipo repeat 🔁 mode hapa kwangu, message imekwenda group of schools...wanawake wote ni watu na nusu,nawapenda na kuwaheshimu sana❤❤❤❤.
For the first time ameimba bila kutumia moshi with clear mind..... MWANAMKE ni mtu na NUSU. MWANAMKE ni Mungu wa PILI MOTHER NATURE ndio Mungu wa KWANZA. Big Up Konde
Natamni namm ningekua ni mwanamke huu wimbo unihusu congraturate harmo pwngne ww ndomungu tunayekusubili so kwamashair hayo japo nilipotoshwa kwa kibango
HARMONIZE:msione naimba kizungu mkadhani mwamba nimesahau kuandika shairi kwa lugha ya Nyumbani ❤❤ FANS: Thank you for representing EA both local and International,we love you ❤❤
This Song inanikumbusha mama yangu alivyonipambania kunisomesha mpaka Sasa Niko Chuo kikuu,,,, Allah mjahalie mama yangu Umri mrefu 🙏🙏🙏🙏🙏 na wabariki kina mama wote Duniani
Nyimbo nzur sana ❤❤yaan naisikiliza the whole day na sichoki wimbo unagusa🫀🫀. alafu kuna mashekhe wanasema amemkashfu Mungu wana ujinga sana😏. endeleza kipaji kaka upo vizuri💯 mtu na nusu nipo hapa🥰
Konde ndio msanii wa kwanza Tanzania kutoka katika sayari ya watu wanao jua kuimba na kuandikia vizuri ongera sana brother kwa hilo tu ume weza wa kukaya🎉🎉🎉🎉🎉
I wish mamangu angali hai tufushare matunda alioyapalilia miaka yote.Walio na mama muwapende n kuwajali wallah kwan akikutoka maishani ndio basi.❤❤for this song
Toka haukuwa kitu, umetengenezwa na kukaa tumboni kwa mwanamke. Mpaka ulipokuwa tayari kuvuta hewa na kula chakula ndipo ukazaliwa. Huu ni uthibitisho mkubwa sana kuwa Mwanamke siyo mtu tu, she is a creator. Thanks mom for giving me a chance of life on this Earth, endelea kupumzika kwa amani.
Hii nyimbo nikali❤❤ wahuni wasiyoielewa waace kelele kipihakieleweke nahivivicha mara eti muke kumfananisha na mungu! Kipihakieleweke? Niluga msiofahamu mkampongeze harmonaize nakuaca kelele
Harmonize c’est un grand artiste de l’Afrique australe une chanson rythmique et plein d’élégance je l’ai dédié à mon épouse ce matin dès la sortie sans comprendre le kiswahili. Béninois vivant à Paris 🇧🇯 🇫🇷 C’est par feu Grand Président John Magufuli que j’ai aimé la Tanzanie ❤️🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️
Mwanangu sana Konde Boy unajua kuniwakilisha broo. Endelea kudondosha mawe tunaopenda mziki mzuri tuendelee kuenjoy. Mama Sunteh Machugu alikua mtu na nusu. R.I.P Mama
harmonize naye anatisha....uniting nations through his sweet melodies no forcing just but sure and flowing....team Kenya Gonga like hapa hii Ngoma ifike 1m by Leo🙏😍
❤❤❤❤❤❤❤ Ama kweli Mmakonde ni Comandoooo, truly saying no One like you Kwa Muziki Tanzania, Kenya, Uganda and Rwanda.... Tembo ni Tembo. Hii umekanyaga sijuwi upande wa pili kutawai tokea jibu la kupinga kweli hii.... Umemkanyaga SIMBA kweli kweli ❤❤❤@POSH mahaba!!
@@ivandavid4603Let’s be honest, when it comes to music, Tembo is Tembo. No one can deny that. He’s getting bigger and bigger in the music industry, and no Ugandan musician can disagree with that.
Konde boi has a big brain...he knows how to play nd control a group of people.... I have knew the reason why he was saying God is a woman..... this was his one way of promoting this song.....
kwaiyo na ww una muunga mkono kuwa mungu ni mwanamke😢 sababu mwanamke ana zaa mungu naye ana zaa mbona mna mkufulu mungu jmn acheni izo mungu ajulikani ni nani yeye ndo anatujua sisi tuu
This song inanikumbusha mama yangu alivyonipambania kunisomesha mpaka Sasa naomben like 1000 jamani much love for Konde boy❤❤❤🙏🙏🙏🎉 nawabariki kina mama wote duniani
JESHI KONDE MUSIC WORLD WIDE always proud of you bro man and proud of artist from Tanzania number moja harmonize JESHI 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼 wa Kwanza nipeni like zenu tafadhali
R. I. P my mom... i lost you 1year ago now I'm crying after listening to this song.. no one can wipe my tears now because even my father passed away in 2005 when i was a very little younger ... i wish i could have one more chance of having you again.
Napenda sana maeneo ya Marekani Kusini nawapata mbashara Mbaka Kisii County Kenya 🇰🇪 kila siku nikenda kazi huu ndo wimbo wangu namwombea sana Harmonie qtoe nyimbo tamu kama hizi mavazi safi unyenyekevu kama unapenda like and comment.❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwely wew yao yao uandishi umetulia mno nimependa sana hizi mistari "si ujinga kukubali matokea na sio swala la kupinga wanatuzidi upeo ,mwadilifu kama mama yangu sijamwona mpaka leo" ❤❤❤
Napenda this guy,,,anapiga wimbo mtamu recognising women,,,women are much important to this world
For real King 👑 Harmonize akiitunga wimbo wenye hisia utadhani ni malaika kamsaidia na uwandishi kisha Mungu akashusha kipawa zaidi kwenye nyuzi zake za sauti. What a great talent legend 👏🏾
Niko na wewe kaka uyu mtu ni zaidi ya muimbaji namukubali bala nivile tu halijuwi hilo 🤝🤝🤝🤝🤝❤❤
It's only legend artist in Tanzania with talent and I love his music I'm top fan's from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 big ups to you my kondeboy.
Sijui nimesikiliza mara ngapi much love from kenya ❤❤❤❤❤
You don't dissapoint
Japo sina mama wala baba ,,naamini mwanamke n mtu na nusu,,,like plz kama pia unaamini,,, great love to all mother's
Harmonize is the king of lyrics . Let’s give him his flowers. Love from 🇰🇪
Mimi kiukweri nimeshindwa kuvumilia na huu wimbo,,, unanitonesha machozi,,,melodies,vocals and beats,,shwari kabis❤love konde boy....my mentor
Mungu awape maisha marefu akina mama wte duniani🎉🎉❤
Aamin ❤
This what we call music wacha na goma watu wanatoa hazina massage harmonize we give you your flowers jeshi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
U wimbo unanikumbusha MAMA YANGU KIPENZI 😢R.I.P my beloved MAMA sizani km nitakuja kupata mama kama ww umetupambania ukatusomesha kwa shidaa mpaka 😢😢sasa tuko chuo kikuu MUNGU akulaze mahali pema peponi AMINAA We still love ❤ u so much 😢😢😢
Bado nimtu nanusu huko aliko😢🎉
Kipaji kya kuimba na kuwandika, mungu kakubariki ndugu yangu.
Unawaza Sana na maneno mazito, all the best
Jamani nimesikiliza hii nyimbo karibu mara kumi,,,,,Konde wewe ni number one kweli.... much love ❤❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
1:36 😊😅😅ddddt😮tdddddddddddddddddddddddddd
✔️✔️😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
True jeshi tembo siku zote
I love you teacher konde boy ❤❤ from 254kenya🎉🎉
Merry
Maman ni mutu na nusu wangu alikufa mapema nikiwa mdogo kuna vitu mingi nimekosa kwa maisha yangu harmonize wewe ni mwerevu kabisa kwanza ngisi iyo ngoma umeichapa sidani kuna msani anaweza 👊🏾
Pole xna braza,hii song inahisia
Na mimi alienda halaka😢😢😢😢
Jama por kadunia binakuwa
Shout out to all the women in the world,,, we really adore you,, bila mwanamke kuna mengi yasiyoweza kukamilishwa,, ata mwanaume awe Tajiri ama mwenye nguvu anahitaji mwanamke ili akamilike,,, SENDING LOVE TO ALL WOMEN AROUND THE GLOBE💫💫💫❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯💯💯💯💯
Hakika Mwanamke ni Muhimu sana Kwenye Nyumba, Yani Usipokuwa na Mwanamke Amini kwamba hutofanya Jambo likaenda vyema, Hasa Kwenye ishu ya Maendeleo Ili ufanikiwe Nyuma awe mtu wa kukufuata Yani Mwanamke atakuongoza... Hii Nyimbo imenifanya nizidi kumpenda Baby Mama wangu.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kula chuma ichoo boss kibwe
Hatari sana 💥💥@@SportsDataMedia
Big up
Sio lazma mwanamke. Mwehu nini?
Hii track ni nyimbo na nusu, already ipo repeat 🔁 mode hapa kwangu, message imekwenda group of schools...wanawake wote ni watu na nusu,nawapenda na kuwaheshimu sana❤❤❤❤.
Mimi nimelelewa na mama I proud to you bro umewakilisha vizur ❤🎉❤🎉❤mama Philemon ni mtu na nusu❤🎉❤🎉❤
Philemon alex
Utuzi wa kinyama ulio na wasia na hisia .God bles harmonize abundantly thé real music genius
Wimbo mzuri wenye sifa nzuri za mama, Asante sana Konde Boy kwa kutuwakilisha huku Kenya, zetu salamu pokea na hongera sana
Hahahaa ninyi mademu mnapeda kutapwa sana hahaha
Number one musician in Tanzania much love from Canada 🇨🇦
Aweee wa kwanza nipeni mauwa yangu🎉🎉❤
Uchungu wa mwana ajue mzazi mostly mother, love my mum ❤❤❤❤❤❤❤❤
For the first time ameimba bila kutumia moshi with clear mind..... MWANAMKE ni mtu na NUSU.
MWANAMKE ni Mungu wa PILI
MOTHER NATURE ndio Mungu wa KWANZA. Big Up Konde
Jamani mimi sio manzania alakini huyu dogo kwa kweli ametisha mpeni mauwa zake kwa nyimbo nzuri mtu na nusu❤❤❤❤❤ all the way from Namibia Windhoek
Nanyie mnasikiza nyimbo za bongo
brother...me Mtanzania nipo Beijing ila nahis nipo nyumbani , huyu dogo hapana aisee....
Dha kweli kaka tembo unajuwa sana wa Tanzania wasikulaumu 😢😢umajitetea vizuri sana 💛💛 naomba likes 10 kama nimeongea vizuri
Konde ndugu wangu kazi unachapa usiku mchana Mungu akubariki JESHI
Acheni Harmonize aitwe Harmonize....... Mama Aliko ni Mtu na nusu❤❤❤❤ Kenya 🇰🇪 tunatambua Tembo.
I love it ❤
Kuhimba unajuwa kaka hongera sana
Kabxa ❤❤
So sweet. I am also mtu na nusu
Konde boy wewe ni msanii na nusu tunakukubali sana 🎉🎉🎉🎉 kwenye hiii nyimbo umeua sana yani sanaa bado kushitakiwa na kusomewa mastaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Am a Kenyan Much love harmonize hii ngoma ina message nzuri kwa wanawake wote
Mama ubarikiwe mahali ulipo
Natamni namm ningekua ni mwanamke huu wimbo unihusu congraturate harmo pwngne ww ndomungu tunayekusubili so kwamashair hayo japo nilipotoshwa kwa kibango
HARMONIZE:msione naimba kizungu mkadhani mwamba nimesahau kuandika shairi kwa lugha ya Nyumbani ❤❤
FANS: Thank you for representing EA both local and International,we love you ❤❤
This Song inanikumbusha mama yangu alivyonipambania kunisomesha mpaka Sasa Niko Chuo kikuu,,,, Allah mjahalie mama yangu Umri mrefu 🙏🙏🙏🙏🙏 na wabariki kina mama wote Duniani
Boom🔥
Boom🔥
Ameen thumma ameen
Hafu ukipata kazi kajenge ukweni
Siyo amjahalie, neno sahihi ni AMJAALIE. Aamin
Absolutely Jesh conde boy commando komesha wote wewe ni namba 1tu anaye bisha nani twende sasa kwa like zote 👯♂️🐘
Nyimbo nzur sana ❤❤yaan naisikiliza the whole day na sichoki wimbo unagusa🫀🫀. alafu kuna mashekhe wanasema amemkashfu Mungu wana ujinga sana😏. endeleza kipaji kaka upo vizuri💯 mtu na nusu nipo hapa🥰
Konde ndio msanii wa kwanza Tanzania kutoka katika sayari ya watu wanao jua kuimba na kuandikia vizuri ongera sana brother kwa hilo tu ume weza wa kukaya🎉🎉🎉🎉🎉
Sio kweli kuna wana muzik wame pita hpa wakina maneti na marijan na wengine wengi ambao paka leo haja tokea mtu yoyote kufika hata nusu yao
@@FarajiiAlly kina marijani usiwafananishe harmo
🤤Wakwaza 🇨🇩🏌️ naomba lik ♥️
Jamani huyu mtoto ana upeo mkubwa sana wa mziki kupitiliza. Mashari mazuri sana. He is the best ❤
We conde mbonabalaa lakohalishiki wala halifikiliki 💯 hushikikikaka tutakosa chakuimba wadogozako❤❤
I wish mamangu angali hai tufushare matunda alioyapalilia miaka yote.Walio na mama muwapende n kuwajali wallah kwan akikutoka maishani ndio basi.❤❤for this song
Likewise I here am sharing the same pain😢😢😢
Sio kweli jomn wapenz wa conde na mm naomben like🎉🎉 hata 4k tuh
This guy comes up with songs that gets us back to our senses and thats what is unique about him..... Much love from Kenya
WCB fans tupo?
nyimbo nzuri ni nzuri akuna gisi yaku wepuka !!! 10/10
well done KONDE BOY .
mungu akupe maisha maisha marefu baba ile ni mwimbo ya maana saaaaaanah big up tuna kupenda sana congo goma
Damn, this is the banger of the year 2024 🌍. Yaani Kiswahili kitupu alafu melody mayonnaise, Jeshi #1 🎉🤓
Konde Balaaa, mtalaam wa kuandika! Konde boy for everybody ❤🎉❤🎉❤🎉
❤❤wimbo huu jameni 🎉🎉... Hamo unastahili kupewa jina jipya 🎉🎉 kwa Muziki wa kizazi kipya....
Toka haukuwa kitu, umetengenezwa na kukaa tumboni kwa mwanamke. Mpaka ulipokuwa tayari kuvuta hewa na kula chakula ndipo ukazaliwa. Huu ni uthibitisho mkubwa sana kuwa Mwanamke siyo mtu tu, she is a creator. Thanks mom for giving me a chance of life on this Earth, endelea kupumzika kwa amani.
Hiii imeenda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥imeenda kabisaaa 💯 pokeeni salamu kutoka Mombasa Kenya🙏👊👊💪💪konde tunamtambua Sana💯💯🔥
Harmonize Number one, Rajab una akili nyingi sana mungu aendelee kukilinda hiki kipaji. Big up number one song this 2024.. Mama Adam ni mtu na nusu
Hii nyimbo nikali❤❤ wahuni wasiyoielewa waace kelele kipihakieleweke nahivivicha mara eti muke kumfananisha na mungu! Kipihakieleweke? Niluga msiofahamu mkampongeze harmonaize nakuaca kelele
Team Konde from Tz tisha sana Mwenetu 🔥🔥🔥 Naomba like zangu apa
Wimbo mzuri sana Niko namwimbia mama yangu kuwa yeye ni Mtu na nusu
Harmonize c’est un grand artiste de l’Afrique australe une chanson rythmique et plein d’élégance je l’ai dédié à mon épouse ce matin dès la sortie sans comprendre le kiswahili.
Béninois vivant à Paris 🇧🇯 🇫🇷
C’est par feu Grand Président John Magufuli que j’ai aimé la Tanzanie ❤️🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️
😂😂😂😂😂😂c’est Monsieur est vraiment terrible pour la bonheur de musiques de l’Afrique de L’est ! 😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Mama yangu ni mtu na nusu kama unamini mama Yako ni mtu na nusu like hapa ajionee❤❤❤
Kaka unanikosha Moyo iyi nyimbo mwaka 100 itakuwa juuu hakuna wakuyishusha top ton milemile na Milemile ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwanangu sana Konde Boy unajua kuniwakilisha broo.
Endelea kudondosha mawe tunaopenda mziki mzuri tuendelee kuenjoy.
Mama Sunteh Machugu alikua mtu na nusu. R.I.P Mama
I love this one ❤❤❤❤❤❤❤
Tanzanian's dont really know how Kenyans love them...konde boy to the world ...💥💥💥💥
Kweli ❤
Yesss
harmonize naye anatisha....uniting nations through his sweet melodies no forcing just but sure and flowing....team Kenya Gonga like hapa hii Ngoma ifike 1m by Leo🙏😍
Yani jeshi unajua mm bado sijaona msanii fundi tz kama jeshi ❤❤❤
Hakuna
Hakuna
Na mm nipeni like tangu kumekucha wimbo nausikila mmoja🎉🎉🎉mama Justina n mtu na nusu
Wimbo tamu Sana baba umenitowa machozi good djob my super star konde boy djeshii ❤❤❤❤🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤ Ama kweli Mmakonde ni Comandoooo, truly saying no One like you Kwa Muziki Tanzania, Kenya, Uganda and Rwanda.... Tembo ni Tembo. Hii umekanyaga sijuwi upande wa pili kutawai tokea jibu la kupinga kweli hii.... Umemkanyaga SIMBA kweli kweli ❤❤❤@POSH mahaba!!
Ug is beyond this never compare
@@ivandavid4603Let’s be honest, when it comes to music, Tembo is Tembo. No one can deny that. He’s getting bigger and bigger in the music industry, and no Ugandan musician can disagree with that.
Beautiful song jaman naombeni like hata 5000 tyuu jaman
I"M from Angola, Harmonize i don.t know how you feel just moment after write this music! so cool you are my best singer of all Tanzania.
This guy is very talented artist 🎵🎵🎵 let's us support him konde boy jeshiii tembo harmonize you're the best
Nice song❤❤
Nice songs
Nyimbo ambayo waeza skiza mbele ya wazazi thanx Harmonize ndani Ya Doha tunawamiss mamazetu ila tumepata faraja ipo siku tutaenda kuwaona inshaAllah
Nyimbo amblyo waeza akiza Mbele VA wazazi thanks harmoze
Konde boi has a big brain...he knows how to play nd control a group of people.... I have knew the reason why he was saying God is a woman..... this was his one way of promoting this song.....
Huu wimbo uwe dedication Kwa mama yangu mzazi😭.Miaka 20 kaburini , Endelea kulala salama. NAKUPENDA SANA MAMA.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
😭😭😭😭
Pole sana ndugu
pole friend
😢😢😢pole
Pole sana
Mwanamke ni Mungu wa pili Duniani 🌻🌻💐💐🌹🌹🌺🌺🌼🌼🪻🪻🥀🥀
kwann
kwaiyo na ww una muunga mkono kuwa mungu ni mwanamke😢 sababu mwanamke ana zaa mungu naye ana zaa mbona mna mkufulu mungu jmn acheni izo mungu ajulikani ni nani yeye ndo anatujua sisi tuu
@@Nashoora8fala kweli uyo
@@Chiunda-eh8lt hahahahaha
❤❤❤ Sina ata maneno ya kuongeza umesha maliza maneno
Always remember that harmonize is the best artist in tanzania ,,what a banger💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Wakenya tupo ❤❤watanzania mpo 😝🥰
Tupooo. jirani. mambo vp?
Hii nyimbo tangu nimeiskia Yan naiplay Kila mda Hadi imekuwa kero Kwa majorani, love you much konde boy live long
Yoka yoka kaka beats 🎧 ya nzembo.Harmo ba tika yo yaya.🔥🔥
This song inanikumbusha mama yangu alivyonipambania kunisomesha mpaka Sasa naomben like 1000 jamani much love for Konde boy❤❤❤🙏🙏🙏🎉 nawabariki kina mama wote duniani
Much Respect for You cuZ You gave So much Credit to your mama ... 🩷🩷😇🙌🏽🙌🏽🇺🇸🇵🇷🇳🇬✨✨✨✨👑 Yes God Bless You & Your Family 🫶🏽 💯 from USA 🇺🇸❤️🤍💙
my mom from mumias i love you 😢😢😢
Sasa upewe like za nni mbona kama ma bwbwa nyie
Am from Zambia 🇿🇲 I love harmonize mtu nanusu and Tanzanians songs please I want 2k💿💿💿🙆🏻
Nimechelewa but ❤❤❤❤❤nmefika Upendo ya harmonize zikuje.❤❤❤
Amen mama angu ni mtu na nusu ❤love you mama❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Amazing 🎉🎉 song from Konde gang kama umeisikiliza zaidi ya mara mbili Tia like hapaaa🎉🎉🎉❤❤
Siyo marambiri two marakumi
Ngoma ni kali aki
Hii imeweza,nmeuskiza zaidi ya kumi
this the only one first challenge. ruclips.net/video/AeMSHTkvC3U/видео.htmlsi=Dw-GfKE-45TrRr5v the first challenge on RUclips 🇨🇩
Kenya, Uganda na Tanzania njooni huku mwenye Africa amepiga tenaaaa maua mengi yana mhusu🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
🎇🎇💐💐💐💐💐💐
Tanzania ndio imeongozwa na mwanamke na nusu that is true konde boy ,love you so much more likes to me Ram Gee ❤️❤️❤️
German pia kuliongonzwa na mwanamke
@@happinessshirima1919 nice ☺️☺️ tz is the first according to there history
i know there is lot of comment bt sincery nmeisikiza mara kadhaa harmonize you are my mentor to achieve great
Pole pole jameni tusikanyagane humu... likes za Harmonize apa
Daaa cjui nimechelewa wapi 😢 ilaa naomben hata like 100 jamani much love for konde boy na wanawake wote😂
Like Zina faida kumbe
😢
😢😅😅😂
Zinauzwa wapi jameni??😂😂😂😂
ruclips.net/video/AeMSHTkvC3U/видео.htmlsi=Dw-GfKE-45TrRr5v the first challenge na nusu harmonize 🇨🇩
Mshasema goma kali ngoja nimpe 🎉🎉🎉🎉yake
To my mum...she is a present mum in my life❤🎉🎉🎉🎉🎉love you mama
Very good Song , good Sound Konde boy Bad Man even me My Mama ni Mtu na Nusu love from Tanzania 🇹🇿 Naombeni Like zangu na Mm hapo
JESHI KONDE MUSIC WORLD WIDE always proud of you bro man and proud of artist from Tanzania number moja harmonize JESHI 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼 wa Kwanza nipeni like zenu tafadhali
🎉🎉🎉
R. I. P my mom... i lost you 1year ago now I'm crying after listening to this song.. no one can wipe my tears now because even my father passed away in 2005 when i was a very little younger ... i wish i could have one more chance of having you again.
Very sorry bro! may GOD grants their souls
@@hamisichande4231 great thanks for buddy.
Sorru
Una staili kila zawadi za apa ulimwenguni kwa ili nyimbo nzuri saaaaaaaaa...n'a🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏kipaji cha nyimbo za ivi kweli zikutawaleeee🤭🤭🤭🤭🤭
Harmonize wewe ni mkali! Tuseme ukweli bwana❤❤❤
Uyu jamaa🙌🏽🙌🏽kashindikana❤️mistar imenyooka🥵🥵
Sana
Kama unaamini mama yako ni mtu na nusu like na maua 🎉🎉hapa❤
Ww nijinga
@@abdulikilala5902kwahiyo wewe mama yako siyo mtu
🎉🎉🎉
Motoooo💥💥💥
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Napenda sana maeneo ya Marekani Kusini nawapata mbashara Mbaka Kisii County Kenya 🇰🇪 kila siku nikenda kazi huu ndo wimbo wangu namwombea sana Harmonie qtoe nyimbo tamu kama hizi mavazi safi unyenyekevu kama unapenda like and comment.❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉
aye yaaa😁😁
Waziiii Kaka àcha nikupe maua yako Kaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ukiacha uchizi tu we ni kiboko yao unatunzi nzuri sana ❤
1000 a day watching na nusu!! Konde gang worldwide
Siku zote mama nitampa kipaombele kuliko mtu yeyote yule....mtoto ni wa mama,,, nakupenda sana mamangu na mama wote ulimwenguni❤❤❤❤
hii ndo maan ya kumthaminisha mwanamke much respect to ue konde 💪💪💪💯 uer likes 🎉 please
We proud of you jeshiiii ❤❤❤🎉🎉
Am from kigoma Tanzania
The melodious lyrical harmonize ...konde is a real talent..ninaupenda uandishi wake
Kwely wew yao yao uandishi umetulia mno nimependa sana hizi mistari "si ujinga kukubali matokea na sio swala la kupinga wanatuzidi upeo ,mwadilifu kama mama yangu sijamwona mpaka leo" ❤❤❤