Kuna sababu Salam anamchukia huyu jamaa. Harmonize ni tishio kubwa Sana kwa umaarufu wa diamond kwa kuwa anafanya mziki kwa njia tofauti Sana. Big up young man
#One #love #kwa #wanangu wa #kitaa nyie ndo mna #nunua #CD #Sijaona kama #harmonize tanzania hiii #salute kwa #konde gang #wordwide #watashindana na #Ibra #from #liwale
Nilijua sipendi musiki but mziki wa konde boy naufuatilia kuliko kunywa maji.jeshi congratulations from kuwait. Mungu yuko tena naongea japo sisikii yako
Jamani sijawai pata like hata (5) from konde boy jeshi [TEMBO]🐘🐘🐘🐘 leo anamiliki KONDE GANG LEBO🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩 I need your support please ruclips.net/video/sfYwKBkL1sU/видео.html
Je Unahitaji kufahamu Faida utakazo zipata kwa kula Tende katika mwili Wako, Gusa link 👇👇 Uelimike, tafadhali Subscribe pia ruclips.net/video/jOWr7RszNFU/видео.html
Hii ngoma yani jeshi, uno, altittude, teacher, mtaje,mdomo, outside,bedroom,na serious Love for sure ma producers wake wanastahili zawadi zilizo bora zaidi hasa kutoka kwa konde boy mjeshii
Style ya uimbaji na aina ya beat inaonekana umechukuwa mahadhi ya nyimbo ya whozu Mi amor na ya willy paul magnetico kisha umezisamle zote 2 na kuzicombine ndio ukapata idea ya style ya kuimba hii jeshi. Only wenye masikio ya good music ndio tunaweza kubaini hichi kitu
@@ghettoqueen4716 Je Unahitaji kufahamu Faida utakazo zipata kwa kula Tende katika mwili Wako, Gusa link 👇👇 Uelimike, tafadhali Subscribe pia ruclips.net/video/jOWr7RszNFU/видео.html
hiii ngoma kuna wengne iliwakuta sem mbaya mtoto mzuli kashazingua halafu unamuelewa kinyama upo kwenye msongo wama wazo gafula unapta sem kinyonge unakutana tena Namistali kama hiii dah noma sana
ukitaka mziki mzuri msikize jeshi konde boy ukitaka mziki wa kistaarabu msikize ali kiba ukitaka mziki wa vurugu na hisia kali msikize diamond plutnumz vijana wetu wote we proud of them!
Konde boy Jeshi..........watanzania konde kigereza ameng'oa hapa ama vipi Sometimes what you dream is what you receive.... Ila nyimbo kali Nipe like zangu basi
Niwah kushangaa maneno ya sele et harmonaiz angalie kond waoneshe wote wakate tamaa kwan wao sio mungu utabili wao wakatabilie njaa zao zitaisha Lin lkn sio kond harm ndo bc kashang'aa bgp kond
Am from 🇰🇪 let me say this at this moment Music industry Tz🇹🇿 KondeBoy s the Man Diamond na Kiba Walikua miaka Jana na juzi sasa time ya huyu Mtoto wa Mtwara.!! Kalas!
Hii nyimbo tamu siku zote kuitoa #1 on trending mpaka wakanye kuna wasanii wengine hawana hata haya at wanaimba gogingo na wowowo ujinga kweli hafu bada ya kuwaimba na wake zao kwamba wako na wowowo wala gogingo hamna wanawatia mikosi wadada za watu bure wawe wanawaimba na wake zao mpaka mke wng mtalajiwa wamemtaja at ana gogingo. Safi sana harmonize kode boy for life watapata tabu sana
Bora harmonize huwaga Haimbi matusi wcb hawajielewi hawatofautishi hata nyimbo za kupiga mbele ya wazee na vijana. One love wanangu kwa wanangu wa kitaa nyie ndo mnanunua CD such a good massage to funs
Diamond amekua msanii wa Kawaida Sana now ashindane na Ibrah ,Konde Boy Jeshi yuko another level I say kuwa mshabik wa #jeshi ni raha lakn upande mwengne ni kiki sizizoeleweka Wapi likes za MAJESHI wote👇
Master J habari zikufikie ulisema Harmonize hajui kuimba. nimeamini hakuna kukata tamaa kila mtu asimamie anavoaminu. Kama unaniunga mkono gonga like hapa
Hii mistari ya Harmonize Ni bugtha tena sana, Konde gang inashika ajabu. True love to the craft....nitafanya hima angalau niangushe kibao muruwa au collabo moja na label ya Jeshi.
Wtu wa Simba atuna mngangano coz ligi ya Simba tembo afiki c achidane na zuchu kwaza 😏😏😏 coz ligi yke n 100% percent acheni nyinyi amufiki ukweli 😏🤫🤫🤫🤫🤫 Kode fanya yko achana na Abdul coz ahufiki na utawai fika 🤫🤫😏😏😏🤫 ifike👊👊👊👊
TUPO PAMOJA.. Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
Yaani nyimbo hii, kwa yeyote mwenye future,sidhani anaweza pita bila kuilike watu wangu. Much love from Kenya/masailand
Umeongea ukweli
🇰🇪👌👌👌
Kuna sababu Salam anamchukia huyu jamaa.
Harmonize ni tishio kubwa Sana kwa umaarufu wa diamond kwa kuwa anafanya mziki kwa njia tofauti Sana. Big up young man
Na ndiye anaepokea kijiti kutoka kwa diamond
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
ruclips.net/video/22e9oF_GuH8/видео.html
Ulijuaje broo
Lol
Konde boy siku hizi wanakuita "tembo"........Siku hizi huimbi wacha washindane na Ibraah.....hii ni Kali sana @Sotic gang 254 represented
Naamini mungu yupo tena naongea naye japo siskii sauti yake🤗🥺
Representing team Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 here ... Tz🇹🇿🇹🇿 show us some love bana twapenda muzik wa bongo
Kevoh wa pipeline will you mind subscribing back please
@@patiencenimmoh3956 😂😂😂
@@jayclassic5164 Kwani nimesema vibaya 😂😂🤭🤭
@@patiencenimmoh3956 mara dar dat
ruclips.net/video/B4xZQu6BU0Q/видео.html
Jeshi KONDE GENG mambo MBAYA bro uko JUU🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
#One #love #kwa #wanangu wa #kitaa nyie ndo mna #nunua #CD #Sijaona kama #harmonize tanzania hiii #salute kwa #konde gang #wordwide #watashindana na #Ibra
#from #liwale
Massage kali msee katisha
@@boazmasinde2764 zaidi ya sanaaa
Kwa Kweli Jeshi Kondeboy Katoka Mbali sana Toka nyakati za "Matatizo"Hadi Kuwa Jeshi Mad Love For This Fighting Spirit Harmonize🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Anaitwa mzee wakuhamasisha vijana wengi wakisasa kakupambania ndoto zao ndomana me namkubal sna harmonize aisee mungu akubariki sna jeshii💥💥🐘🇧🇮🇧🇮🇧🇮
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html
Ameen aki
Well said
Pamoja
@@yahyaxavi8671 sawa tupo
Jaman hii ngoma nimerudia mala 50 naomben lek zenu
Ingekua likes zinapeanwa more than one basi kila comment ningeipa likes million....respect the jeshi GENG ❤️❤️👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahaha
Imekaa pooowa
Jeshii
Wanajeshi wahili camp la kond gang say yesssssayaaaa
Konde booooy... Jeeeshiiii
Hapa mwanetu konde ulikuwa na hasira sana, 2024 we bado ni jeshi ✊🏾
Nilijua sipendi musiki but mziki wa konde boy naufuatilia kuliko kunywa maji.jeshi congratulations from kuwait. Mungu yuko tena naongea japo sisikii yako
Pata Siri Ya kufanikiwa maishani 🛫🇹🇿 ruclips.net/video/-6GX9nB3-ow/видео.html
Nampenda sana uyu kwasababu ni mtu mwenye heshma na nidham sio mtu wa skendo sio malaya endelea ivyo ivyo mdogoangu ustar sio lazma uwe malaya
nakubaliana na ww chek me at fb BIN DULLY
@@abdulhalimmohamed6770 Pata Siri Ya kufanikiwa maishani 🛫🇹🇿 ruclips.net/video/-6GX9nB3-ow/видео.html
Umenena bro
this goes to all Africans ruclips.net/video/0f7owsZ6K_M/видео.html
Kabisaaa
Siku zote kisichokuua kitakufanya uwe ngangariiiii,real love kwa master na lita mlifanya hasira Zizidi 🤫🤫 like za hizi lines hapA
Pw jeshiiiiiii
🤝🤝🤝
"sikua na umeme wala cable, jeans mmoja tshirt na yebo hivi leo namiliki label"...............Never give up on your dream.
Kabisa
Uko vizuri sana konde
🐘🔥🇹🇿
Yaani hii imenipa funzo kubwa.. DON'T GIVE UP PEOPLE... Kazi safi konde boy.. 🇰🇪Wakenya likes hapo chini kama mnapenda kazi yake harmonize 👇
UnajuwA Sana mkali!!!
Saf jesh wanyooshe
Eti anavuta bangi pambamba mwanetu uprove wrong
Never give up na nyimbo hii ya jeshi zinanifanya nisikate tamaa gonga like Kama unamkubali jeshi
ruclips.net/video/j8REdlLXeVQ/видео.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔 Jua Leo Tafadhali;
Jeshi! Nmerudia hii ngoma mara kumi. Kwanza Io beat iko juu
Walorudia iyi ngoma zaiti yamara3 tujuwane kwa like this boy he is tallentit we love you from burundi 🇧🇮
Jamani sijawai pata like hata (5) from konde boy jeshi [TEMBO]🐘🐘🐘🐘 leo anamiliki KONDE GANG LEBO🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩 I need your support please ruclips.net/video/sfYwKBkL1sU/видео.html
@@msaranga_ Sou Mocambicano repeti este video 10 vezes
jamaa ni jeshi
Doshi
ruclips.net/video/BIMrliIXGzo/видео.html
Niko hapa mambo ni moto 🔥🔥🔥
HipHop BongoFlav SoulMusic ni tamaduni za kusini mwa TZ kutamba. Inakuja natural kwa kondeboi. Tamba mdogo wangu
"My sister sikuzi shape wananunua we bambana upate salary.🔥🔥🔥
If you love this verse...weka like⚡
LIKES ZA KUFANYIA NINI???
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html
Duuuh waache washindane na ibrah coz jeshi sio level zao...........KONDE GANG FOR LIFE
When Harmo said.... "Tena ata siku hizi siimbi sana, Wacha washindane na ibrah" 🔥😂... Tembo Gang
ruclips.net/video/j8REdlLXeVQ/видео.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔
😂😂
shots fired!!! 10 nail😂😂
Nimecheka sana hapo
Je Unahitaji kufahamu Faida utakazo zipata kwa kula Tende katika mwili Wako,
Gusa link 👇👇 Uelimike, tafadhali Subscribe pia ruclips.net/video/jOWr7RszNFU/видео.html
Hii ngoma yani jeshi, uno, altittude, teacher, mtaje,mdomo, outside,bedroom,na serious Love for sure ma producers wake wanastahili zawadi zilizo bora zaidi hasa kutoka kwa konde boy mjeshii
Tembo Jeshi. Konde boy for everybody.Gonga like tukisonga
Mwanangu cheki ruclips.net/video/mnXPVbLmdHw/видео.html
Nice God bless u more
@@patrickmudaki3719 kazi nzuri
show love kaka nimesha subscribe
Style ya uimbaji na aina ya beat inaonekana umechukuwa mahadhi ya nyimbo ya whozu Mi amor na ya willy paul magnetico kisha umezisamle zote 2 na kuzicombine ndio ukapata idea ya style ya kuimba hii jeshi. Only wenye masikio ya good music ndio tunaweza kubaini hichi kitu
ruclips.net/video/mC5XCtBZ7W8/видео.html
Kama unaamini kondegang ni number 1 in Tz weka like tuende sawa.🇲🇿
Bado hajafkia kuw no1 lkn akkaza anaweza saiv tuc mjaze misifa
One love brother 🔥 🔥 🔥 🔥
Now ndio masanii mwny mashairi makali ndio yeye na no1..
Team Konde Boy naomba likes zenu... LOVE from BURUNDI
N’a mimi nitaongeza bidii asante sana mungu akuzidishie wimbo huu kama unahustle huku USA lazima mtu akupongeze
Bila shaka alie tengeneza mdundo ni hunternation Young legendary big up brother
jeshi,,,,konde boy jeshi this song is on fire wapi love ya 254 kwake harmonize
Eunice, ruclips.net/video/j8REdlLXeVQ/видео.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔
Konde boy mkali wao
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
ruclips.net/video/22e9oF_GuH8/видео.html
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
ruclips.net/video/22e9oF_GuH8/видео.html
@@ghettoqueen4716 Je Unahitaji kufahamu Faida utakazo zipata kwa kula Tende katika mwili Wako,
Gusa link 👇👇 Uelimike, tafadhali Subscribe pia ruclips.net/video/jOWr7RszNFU/видео.html
Kama umeangalia hii ngoma zaid ya mara 1 na umekubali kuwa #JESHI kaumizaa...🔥🔥
Basi gonga like twende sawa
hiii ngoma kuna wengne iliwakuta sem mbaya mtoto mzuli kashazingua halafu unamuelewa kinyama upo kwenye msongo wama wazo gafula unapta sem kinyonge unakutana tena Namistali kama hiii dah noma sana
ukitaka mziki mzuri msikize jeshi konde boy ukitaka mziki wa kistaarabu msikize ali kiba ukitaka mziki wa vurugu na hisia kali msikize diamond plutnumz vijana wetu wote we proud of them!
(👌👌
Kweli 🎯👐🏻
From Kenya...I agree..I also love rayvanny and Marioo
Konde boy Jeshi..........watanzania konde kigereza ameng'oa hapa ama vipi
Sometimes what you dream is what you receive....
Ila nyimbo kali
Nipe like zangu basi
"One love kwa wanangu wa kitaa, nyie ndo mnanunua CD" best line ever.............. No doubt
Ndo sisi🤣🤣🤣
Number one
Tujifunze kushukuru tuliko toka
🖖🏻👌🏻
🗣wanangu wa kitaaaaaaa
Napenda kazi zako KONDE boy,,true and interesting story of life,,,achana nao wanaokutukana Fanya kazi yako,,KONDE boy forever 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Balaaaaa jengine hili 💥☄️🔥🔥 Piga like kama wewe nishabiki wa Jeshi !
Konde jeshiiiii
ruclips.net/video/efGoxkrcO_I/видео.html
Kama na wew nijeshi gonga like hapa
Daaah mnaoikubal mkowapi jmn, gonga like tujuane💪💪💪
Matusi ...0%
Lyrics ...100%
Mzuka ...100%
Beat ....100%
Hii ngoma lazima JESHI aingie 2M subscribers
Nakubqbaliii 💪 💪 lazma aingie
Lzmaaaaaaa
Agreed
Mipasho 100% one love kwa jeshi
Kabxa kabxa
Konde kuhusu vina unawaburuza, nakubali mwana.
Jeshi ni jeshi kabisa. Jamani kutoka zamani konde nikonde 🇷🇼🇷🇼 RWANDA wote wanapenda harmonize 100%%%%%%%%%%%%%%%% gonga like tuende sasa✌🏻
Jamani Jeshi unanikosha sana duh napenda sana nyimbo zako
Niwah kushangaa maneno ya sele et harmonaiz angalie kond waoneshe wote wakate tamaa kwan wao sio mungu utabili wao wakatabilie njaa zao zitaisha Lin lkn sio kond harm ndo bc kashang'aa bgp kond
Si katoka 2015 au
Am from 🇰🇪 let me say this at this moment Music industry Tz🇹🇿 KondeBoy s the Man Diamond na Kiba Walikua miaka Jana na juzi sasa time ya huyu Mtoto wa Mtwara.!! Kalas!
true that brother
Это правда
From Kenya we say Bravoo. Kazi safi
Jeshiiiiiiii🇰🇪🇰🇪
Traduction en un.mot svp?
Yesssss,,,,Kenya🇰🇪 pia tuko ndani ya tembooo🌹
Nmekupendaa upo wap mie npo Zanzibar
Nice song pamoja kondee more from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html
Umenifnya niangalie hii ngoma kweli Leo nimeamini umeteseka jeshi
Nyimbo huwa inahimiza sana, na huwa ina ujumbe wa kuelewa maisha, nyimbo kama hizi huwa zina hit siku zote
Nataka likes My pipoo Coz napenda huyu jamaa 100% On his Music
Unatuzinguaaaa temboo yachiaaa mzgoo huuu
Likes za wakenya🇰🇪🇰🇪wenye wanatambua konde boy..jeshi👑💯
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏
LIKES ZA KUFANYIA NINI???
dogo anayependa kumuiga harmo ana nyimbo mpya
ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html
Hii Ngoma nimeielewa sna ilakwabongo wanafki watazua maneno,konde boy.jeshi
Iove to you ❤🇹🇿
Jeshiiiiiiiiiiiiii,kutoka kwa t-shirt na yebo hadi kumiliki Lebo si mchezo✊✊
Acha washindane na Ibrah...wallahi tena wallahi..wapi likes za Konde Boy wanangu.
Ibrah atashindana tu na baba levo na Myb kdogo queen darling bt hao wengne apo WCB hawezani nao...yy bado n mtoto sna...hafki bei uyo ibrah
Daaaaah!! 🤗🤗🤗
Inagusa kumoyo, Konde kweli Konde shamba la madini
Hii nyimbo tamu siku zote kuitoa #1 on trending mpaka wakanye kuna wasanii wengine hawana hata haya at wanaimba gogingo na wowowo ujinga kweli hafu bada ya kuwaimba na wake zao kwamba wako na wowowo wala gogingo hamna wanawatia mikosi wadada za watu bure wawe wanawaimba na wake zao mpaka mke wng mtalajiwa wamemtaja at ana gogingo. Safi sana harmonize kode boy for life watapata tabu sana
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA....
😂😂😂Yani nimecheka mpaka nimepaliwa na maji🤣🤣
We inakuuma nn,,,, hahaha kwanza we shabik wa alikiba ,,, nasikia saiv mashabik wa kiba mmehamia kwa hamo ,,,
Bora harmonize huwaga Haimbi matusi wcb hawajielewi hawatofautishi hata nyimbo za kupiga mbele ya wazee na vijana.
One love wanangu kwa wanangu wa kitaa nyie ndo mnanunua CD such a good massage to funs
@@peterreuben1788 sie wa Kiba na Harmonize kwa pamoja
Hii ngoma huniinspire sana. Asante Jeshi kwa wimbo mzuri😍
My Ghana people let's show some Love here ❤🇬🇭🇬🇭🇹🇿🇹🇿
Diamond amekua msanii wa Kawaida Sana now ashindane na Ibrah ,Konde Boy Jeshi yuko another level I say kuwa mshabik wa #jeshi ni raha lakn upande mwengne ni kiki sizizoeleweka
Wapi likes za MAJESHI wote👇
Jeshiiiiii tumekumbali team 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 weka likes if you love Jeshiiiiii
🐘🐘🐘🐘🐘
Pamoja
@@boazmasinde2764 oyoo
@@boazmasinde2764 tena
Jeshii
Kama umepitia apa 2024 gonga like mwanagu
Naomba kila siku,mungu yupo ijapo simuoni🙏🏾🙏🏾🙏🏾, KONDE BOY. Gonga like if you agree
LIKES ZA KUFANYIA NINI???
Amen
@@utdforever9236 upendo
Master J habari zikufikie ulisema Harmonize hajui kuimba. nimeamini hakuna kukata tamaa kila mtu asimamie anavoaminu. Kama unaniunga mkono gonga like hapa
Diamond katoa baba Yao
Harmonize ndio jeshi wa baba Yao 🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥
One luv jeshi
Wapi likes zake
Hii mistari ya Harmonize Ni bugtha tena sana, Konde gang inashika ajabu. True love to the craft....nitafanya hima angalau niangushe kibao muruwa au collabo moja na label ya Jeshi.
''Tena siku hizi hata siimbi sana, acha washindane na ibrah" JESHI💪.
jeshii
kudadi ke
@@djbensntz7981 jeshiii
Wtu wa Simba atuna mngangano coz ligi ya Simba tembo afiki c achidane na zuchu kwaza 😏😏😏 coz ligi yke n 100% percent acheni nyinyi amufiki ukweli 😏🤫🤫🤫🤫🤫 Kode fanya yko achana na Abdul coz ahufiki na utawai fika 🤫🤫😏😏😏🤫 ifike👊👊👊👊
Hahahhh uyoo m'bayaaaaaaaa🔥🔥🔥
Yan huu wimbo nmeshaurepeat zaid ya mara 15 ...yan dah konde umetowa sn huu wimbo
JESHI 👽🤴💪konde boy ni JESHI 💪💪...Kama unaamini yeye ni jeshi gonga like yako hapa
Jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiii aminiaaaaaaaaa
@@radhamannandule2525 miaaa💯💯
Njia nyingi nilizopita mkanipa na jina mkasema niitwe JESHI. 🔥
*Hii* *ndo* *mara* *ya* *kumi* *nasikiza* *Ukweli* *Konde* *boyi* *jeshi* *hadi* *mimi* *nalia* *nikijipea* *morale* *nikijiita* *mimi* *pia* *jeshi* 😭😭 *natia* *bidii* 🇰🇪
Apo sasa
Nani ana watch uku after saga na wimbo wa vibaya 🔥🔥🔥harmonize we ni jenshi kabisa ✊✊✊
Much respect from burundi🇧🇮 hata sisi ni majeshi
Huu wimbo unaujumbe mzito sana na hauchoshi kusikiliza
Waache washindane na Ibraah 😅😅🙌🙌🙌 JESHIII
Aiseeee anae juwa anajuwa2 JESHI anajuwa hadi abowa
Yaani anajua mpk anaboaaaaaaa
Nakunda
Kama ukivuta bangi unatoa hit kama hizi, tafadhali vuta gunia moja.
😂😂😂😂
😆😆😆😂😂
Hahahahahh
Kwanini lakini😊
Avute sanaaa
Ao inabidi tuishi kijeshi kama uyu mmakonde .I love you my friend
Jesh hatari kweli.
Just like.
ruclips.net/video/22e9oF_GuH8/видео.html
KONDE GANG serikali kuu
#JESHI,,,,,,,
One love
Two love
Thee love
KONDE BOY
Ur truly talented big up jeshi
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA....
Moja ya nyimbo ambayo huwa siichoki kuisikiliza ni hii naipenda kuliko nyimbo zote za wasanij wote
Kaka unajua sana daaah
jeshiiiiii🙌🏽🙌🏽🔥🔥
Jeshi 💉💉🔥🔥🔥
Nadhani tupo wawili mkuu....
Tupo watatu
Three love kwa Marta na lita mlinifanya hasira zizid great job my brother cond🤙🤙🤙
We msenge unajuwa sana ndio maana tunakukubali sisi ni wale wauza cD
🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸💪💪💪💪👍👍👍
😊😊😊😊🤝🇹🇿
😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
Hata we ni jeshi 💪🇰🇪❣️🐘
Mmakonde mwenzetu, one love.
Sisi kitaa bado tunakomaa ,one day, tuta succeed
Kweliiii 😋😋😋
@@miswagatz1580 ruclips.net/video/j8REdlLXeVQ/видео.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔 Jua Leo Tafadhali;
Lima sana utapiga hela achana na mziki hawuna isuee
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
ruclips.net/video/22e9oF_GuH8/видео.html
this goes to all Africans ruclips.net/video/0f7owsZ6K_M/видео.html
Konde geng for life, weka like kama munaamini konde boy yupo topp sanaaaaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Konde boy jeshi uko juu
Hata siku hizi siimbi sana acha washindane na ibraaa...lyrics 🔥🔥🔥🔥
I was looking for this comment lol
This guy is taking Africa...I like the way he is constantly.....jeshi Kenyan 🇰🇪
Kweli tembo hii ni kwerekweche. Imeisha hiyo wameelewa mpaka fyade. ✌✌✌
"Siku hizi hata siimbi saana acha washindane na ibraah" .. Konde gang 4 life
Ibraah means diamond platinums🤣🤣🤣
@@denniswambua3599 nooo , Ibraa ni young musician wa konde boy
019 Kenya
ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html
Ok
Frx
Hii pisi n kali....konde boy for everbody 🇰🇪
From Bujumbura Like zako nazitaka mi napend Harmonize kond
Same from Buja, but currently in Kenya Mombasa
@@bilalbizimana980 ruclips.net/video/j8REdlLXeVQ/видео.html Kijana, Je Mafanikio yanakuhitaji ?
💥💥👌🏻👊🏼
Maturity on its level,,, watoto, wazazi can watch this, hakuna matusi wala maneno ya ngono👌👌👏👏💯💯big up the guru.
# konde boy.
Umetisha sana
Hi,girl!
Ni kweli
Namba moja kwenye trending, twendeni sawa. Haters kaeni kushoto mbwa nyinyi
Makende ya punda wewe
019 Kenya
ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html
Ninani bado anauskiliza hii ngoma 2024❤ gonga like tujuane kama ww ni team konde❤❤🎉🎉🎉🎉
Hiiii
💃🏻💃🏻
Mi kila siku
🇰🇪🇰🇪💪
Bdoo tunatamba nayo
Naombeni ata like 10 tu jmani
i like this hits
🔥 acha washindane na ibra jeshi is in his own league 🙌🏾
Ramos Big Talent, ruclips.net/video/j8REdlLXeVQ/видео.html kijana, mafanikio yanakuhitaji?🤔 Jua Leo Tafadhali;
Enter a Ksh 10,000 Giveaway
ruclips.net/video/22e9oF_GuH8/видео.html
You never disappoint...konde boy to the world...gonga like kama unamkubali
Mambo
Ngoma yangu pendwa ni kikaribia kukata tama namuka tena kwa kasi ya 4G🔥🔥🔥💪💪
Mwanamuziki wangu wa muda wote... Haujawahi kuchuja!
nobody thought konde will reach this far, this proves you can reach anywhere as long as you believe in yourself,mkimpata mwambieni congratulations💯
Talented, big Ique
Yes ofcourse 💪💪
Yeah...true.
Congrats
Bro 🔥🔥🔥
Nishawambiag Mimi na Konde Geng milele mkanikatalia mambo sindio hayo
TUPO PAMOJA.. Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
Namimi kabisa
Jeshi gonga likee apo
Sema konde uwe funika kifua samtaimzi moja
Kwa msimu huu atukuwezi
Harmonize hormonize nakuita 100 times sababu wewe ni jeshi iyi nyimbo nikali bro Big up
Siku hizi siimbi saana, acha washindane na Ibrah, konde boy is a genius#much love from🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸#gonga like kama weh ni jeshi pia 💪💪
ABARI YAKO NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA....
LIKES ZA KUFANYIA NINI???
ruclips.net/video/N8A87jQhruE/видео.html
Yaaani sema ndaaaani ndaaani ndani kabisa kwa mr tembo sitoki ng'o,,,,big up superstar,,,,,respect from kenyaa
Nuff respect Kwa jeshi ✊🏿✊🏿
👏👏👏
Two love kwa wanafiki wa insta ndo wanafanya aongezee bidiiiiii gonga like jamani kwa jesh
Sio Two love ni true love
Bonge moja la ngoma dhaaaa uwezi choka kuisikiliza goog job harmonize