MWANAFUNZI WA AL-IHSAN ASOMA QASWIDA NZURI KWENYE MAHAFALI YAO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025
  • Qadwida maalum iliosomwa na miongoni mwa wanafunzi wa Al-ihsan katika mahafalibyao yaliofanyika skulini kwao hapo mwanakwerekwe.
    Qaswida hiyo inaelezea hasa mafanikio walioyapataka lakin pia nafasi walizo shika kimasomo kuanzia mkoa hadi kitaifa.
    Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia...
    Whatsapp. +255772285543
    Call. +255772285543

Комментарии • 33

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe8083 4 года назад +4

    Mashaa Allah Mashaa Allah Mashaa Allah Asante walimu kwa kazi Kubwa mnayo Fanya kwa watoto wetu M'mungu akupeni kila la kheri MWANANGU Zayyana Hilal anasoma hapo japokuwa niko mbali kwa kutafuta rizki matunda nayaona Alhamndulillah, 🤲

  • @kikungwischool2869
    @kikungwischool2869 2 года назад

    mashallah

  • @sunirnirah2828
    @sunirnirah2828 4 года назад +6

    Those dislike are those who refused to study

    • @mohdsuleiman2628
      @mohdsuleiman2628 4 года назад +1

      Yah or may be they were crying and clicked dislike without knowing😂😂😂😂

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 года назад +4

    Hongereni wana ihsan Allah akujaalie mpate kazi zenye khair na nyie kwa kufaulu mitihani na juhudi za walimu

  • @kikungwischool2869
    @kikungwischool2869 2 года назад

    masha allah

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 года назад +1

    Maashaallah tabarakallah

  • @himidjuma4217
    @himidjuma4217 4 года назад +3

    Zanzibr rahaa kwkwl

  • @husnamohammed9660
    @husnamohammed9660 4 года назад +3

    MashaAllah Al-ihsan ❤

  • @suleimanngare6707
    @suleimanngare6707 4 года назад +1

    Masha Allah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mohdjuma7031
    @mohdjuma7031 4 года назад +1

    Tunaomba aliyosoma sheikh hafidh

  • @nasriyaali6142
    @nasriyaali6142 4 года назад +2

    Mashaa allah 😍

  • @halimamamuma7314
    @halimamamuma7314 4 года назад +1

    Mashaallah

  • @aboduhaji7508
    @aboduhaji7508 4 года назад +2

    Aloisoma Hafidhi mbona hujaiweka

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 4 года назад +1

    Hii Qasida au nyimbo jamani

  • @abubakarabdallah3136
    @abubakarabdallah3136 4 года назад +6

    Mbona ya ustadh hafidh sija iona vidio

    • @bintilhallalali1290
      @bintilhallalali1290 4 года назад +1

      Jamani tunaomba video ya ustadh hafidh ile ya ubaya wenu

    • @omarahmed7547
      @omarahmed7547 4 года назад +1

      Kasoma mahafal ya mwaka jana yeye haya mwaka 2020

  • @mozasaidhumud5785
    @mozasaidhumud5785 4 года назад +2

    habar zenu ichi chuo kinatoa aina ya kombi gani na pass ngap pls naomba msaada

    • @ibrahimzancom
      @ibrahimzancom  4 года назад +1

      Hapana icho sio chuo ni skuli ya secondary kuanzia form 1 hadi form 6

    • @aboduhaji7508
      @aboduhaji7508 4 года назад +1

      Ibra tunataka alosoma Hafidhi

    • @omarahmed7547
      @omarahmed7547 4 года назад +1

      Hkl, hgl, hgk, klg, pcm, pcb, cbg, pgm, cbm

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 года назад +1

      hii ni skuli ya michipuo ukipac darasa 7 ndo unaingia hapa form one dear

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 4 года назад +2

    Muimbaji hawezi anaeweza ni wkhyt mwanacha anaeimba vizury hhhhhh kuimba nako ni kipaji Allah awafanyie wepesi mpate kz serekarini msiishiye tuu kufurahikiya harafu vyeti mnaweka kwenye makabatini maana neema huja kwakukusudiwa