LIVE CROWN SPORTS:SIMBA YAKUSANYA ALAMA 3/GOLI MOJA LAMUIBUA KOCHA GAMONDI/ AZAM YASHIKWA KOO KIGOMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 28

  • @salahaljahury2907
    @salahaljahury2907 Месяц назад +3

    Huyu Najim ni refa was wapi? Mnatafuta waendesha Uber wanatupotezea muda hapa

  • @GaudensiaKanza
    @GaudensiaKanza Месяц назад +2

    Jenerali saizi unachoambiwa vizuri sana nilikuwa na hasira kuhusu yana umenipoza nimekuelewa ulivyo Chambuso.

  • @festorama4580
    @festorama4580 Месяц назад

    Safi sana Wasafi Leo Ndio Wameshinda Sio penalt

  • @dailylife2081
    @dailylife2081 Месяц назад +2

    Uyo mtoto hans hafichi hisia zake kwa yanga anaaribu vipindi

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Месяц назад +1

    Hans mpira hujui mbwa ww mnazi wa yanga na force hit force Ile Ile n clear penalty

  • @salahaljahury2907
    @salahaljahury2907 Месяц назад +1

    Achaneni nae huyu Najim tayari ana upande wake huyu fala

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 Месяц назад +1

    hans kweli anamihemko, yaani refa anakutoa morali kwa penalt hii ni kawaida timu yyt ile ikiadhibiwa penalt inapanick, dodoma jana kacheza kwa bahati tu, halafu league haina udogo km mdogo nenda champion ship huko

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 Месяц назад +2

    Nasema tena,Jemedari anajuwa kuongea,ana hoja,na anajuwa kujenga hoja,anajuwa kupanguwa hoja,ukitaka kumchalenj lazima uwe umejipanga.

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Месяц назад +2

    Chambueni mnavojuq ss tumepata points 3muhimu, ingekuwa hatujapata points tatu ndio

  • @josephadam5384
    @josephadam5384 Месяц назад +1

    Uyo najim @paul mkai mmemtoa wap yaan na mnamwita mbobezi mbona jemedari kamchallange very straight yeye kakazana haikua haikua

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Месяц назад +1

    Najim mnasema refa uingereza wa timu ya wapi mmeokota wanywa pombe mitaani uingereza huko na aliefika wa kwanza kuucheza mpira ni Hussein wa pili ndo hoza ndo lipo hilo

  • @josephadam5384
    @josephadam5384 Месяц назад +1

    Uyo najim Paul mkai umemtoa wap hamna refa apo we Paul mkai unaharibu acha kutafuta watu Kwa matakwa yako

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 Месяц назад +2

    huyo muwamuzi na hans wanafanana akili za mbuzi, msiwe mnahoji watu wenye mihemko tafadhali. Najimu na hans wanachambua kwa mihemko

  • @PakatJames
    @PakatJames Месяц назад

    Ki ukweli kabisa KMC ikiwa timu nyengine kaliba ya KMC zitaendelea kufanya kama walivyo KMC basi tutazisaidia sana simba na Yanga kimataifa.

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Месяц назад

    Hili kila likiulizwa mambo ya yanga utaliona ata simba misimu minne mi silipendi hili lijemedari

  • @rajabuabdukareem9012
    @rajabuabdukareem9012 Месяц назад +2

    Huyu dogo naona unavuta bangi😂😂😂😅

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 Месяц назад

    Mnaendelea kula Sharma😅

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Месяц назад

    Kwani hilo lijemidari haliipendi yanga kmc wamecheza vizuri kwa kukaa golini wengi, wangecheza njoo nije apo ndo ningewasifu, aende mbele hatulipendi

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 Месяц назад

    Tunahitaji kwa sasa apatikane na Najim mwengine,huyu peke yake haitoshi,tungejaribu kupata na waamuzi mwengine kupata uchambuzi,waamuzi si wako wengi!!haijaalishi kuwa muamuzi uko England ndo kila kitu kiwe sawa,maana huko England kila siku waamuzi wanachemka.

  • @FredrickAnthony-yu9em
    @FredrickAnthony-yu9em Месяц назад

    Nyie ambieni wachambuzi wenu waache kuwafosi watu wajibu kama wanavyotaka wao

  • @Radga23
    @Radga23 Месяц назад

    Msimtumie tena huyo mwamuzi hajielewi anajichnganya na hana utulivu!

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Месяц назад

    Mi nampemda sana Hans anavochambua hana upande kqsema kweli ata ss mashabiki wa yanga tumeona combination ya Aziz na Chamà yao haikai, ila lijemedari na Jof wanasema iko poa na tunajua wanasema ivo sio kwa mapenzi wanataka kutuingiza mchomo na viongoI wetu sio wajinga ata na Gamondi na mtaona michezo inltakayofuata kama mtawaona pamoja.

  • @FiftyCommodities
    @FiftyCommodities Месяц назад

    Crown fm iv hans anajiona nani?anapenda ubishi na ujuaji angali uelewa wake wa football ni mdgo sana afu uyo refa wewe Paul mkai achana na kumpigia simu anaulizwa/challenge na jemedari anajikanyaga tu hamna kitu apo

  • @FredrickAnthony-yu9em
    @FredrickAnthony-yu9em Месяц назад

    Huyo jemedari wenu mwambie aache kujicontradict

  • @ahmedimakope
    @ahmedimakope Месяц назад

    Huyo dogo Huwa anaongoza kuichambua man UTD na Chelsea tu kisa ndio timu zao hapo studio
    POOR PARAGRAPH YA MATUKIO
    JIFUNZENI KWENYE HILI

  • @steven.munisi
    @steven.munisi Месяц назад

    Hans ndio mchambuzi na Jemedari ni shabiki na mtu mwenye chuki na visasi...!!!