HOTUBA YA MO DEWJI ALIVYOTANGAZA USAJILI WA FEITOTO NA UWANJA MPYA SIMBA, WANACHAMA WALIPUKA SHANGWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 68

  • @Izackfanuel
    @Izackfanuel Месяц назад +1

    Tumesikia na vigelegele simba 🦁🦁 wote tuseme ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤❤I love you so much Simba 🦁🦁🦁

  • @DanielLumambo
    @DanielLumambo 4 дня назад +2

    Umetisha kijanà

  • @ABELIMGWENO
    @ABELIMGWENO 2 месяца назад

    Tunashukuru sana kiongozi kazi iendeleee

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 4 дня назад

    Tajili wa heshima huna baya❤❤❤ Simba nguvu moja 🎉

  • @HatariJohn-t6w
    @HatariJohn-t6w Месяц назад

    Mi nai tea hatari mussa john nakupongeza sans mukurugenz dewj mo kwa kazi nzul

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 8 дней назад

    Asante Sana mo mlete fei Simba nguvu moja

  • @magembefolonzani
    @magembefolonzani День назад

    Nmefulahi sana kwa hutuba ya leo

  • @YunusuKantangayo
    @YunusuKantangayo 2 дня назад

    SIMBA TUNAIKUBALI SANA MO TUNAKUPENDA tutaendelea kikuunga mkono siku hadi siku Ubaya Ubwela Tujenge uwanja wetu wenyewe Matopolo waache kufuatilia ktk mipango yetu Wachezaji wetu ongezeni morali ktk uchezaji

  • @RaphaelPaulo-o3f
    @RaphaelPaulo-o3f День назад

    Tajili umetisha fanya kweli

  • @nassirali4388
    @nassirali4388 2 месяца назад

    Simba powa

  • @nadilhassan6414
    @nadilhassan6414 2 дня назад

    tajili kaamua fanya kweli mkuu

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 2 месяца назад +1

    Mwenyekiti uko vizuri lkn uwe unaweka hela kama tunavyokubaliana.

  • @Benmov
    @Benmov 2 месяца назад +1

    sanaaaaa tajiriii

  • @LukasWambula
    @LukasWambula 2 месяца назад +5

    Hongera tajili huna baya nass

  • @JosephMwaissa-d8f
    @JosephMwaissa-d8f 2 месяца назад

    Simba oyeeeeeeeeee

  • @mustafaissaya
    @mustafaissaya 2 месяца назад +1

    SSC nguvu moja

  • @MokupStarlight
    @MokupStarlight Месяц назад

    Ubayaaaaaaaaa!!! Ubwe ubwe ubwe uuuuuubweeelaaaa!!!

  • @JahaziMustapha
    @JahaziMustapha 14 часов назад

    Tuambie kuhusu fei toto kuhusu simba sc ikoje

  • @danforcemakuta
    @danforcemakuta 2 месяца назад

    Tunakubaliana nanyi

  • @thobiasmwambeta6990
    @thobiasmwambeta6990 2 месяца назад

    HONGERA SANA TAJIRI SIO WALE KAZI YAO KILA KUKICHA WANAIONGELEA SIMBA HAWAJUI WANATUPA HASIRA YA KUSONGA MBELE

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 2 месяца назад

      NYANI HAONI KUNDU LAKE POLENI SANA

  • @EmmaneySenni
    @EmmaneySenni 2 месяца назад

    Jaman ww mo unataka wasilete timu mkolo

  • @uswegendile9121
    @uswegendile9121 2 месяца назад

    Simba nguv 1

  • @Oscar-v5r5r
    @Oscar-v5r5r 2 месяца назад

    Simba nguvu moja

  • @IkramShaban-c4f
    @IkramShaban-c4f 3 дня назад

    mbosso kamuwa sas nyumba mwik ulachuma hik iga ufe

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 2 месяца назад

    Azam kamchukie Fei na Akamiko hao wachezaji wawili utakuja kunishukuru, Mutale na mkwala warudi kwao

  • @tilusubya3043
    @tilusubya3043 2 месяца назад

    Hebu waajiriwe wasemaji wenye weledi.pia waandishi wawe wenye weledi.hawa wa yanga na simba sidhani.

  • @omarimhd7716
    @omarimhd7716 2 месяца назад +4

    Ubaya ubwege

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 2 месяца назад

    Yaani jitu lenye mihela aka Tajiri kavaa simple sana jamani. Lakini walala hoi hata Account benki hawana wamekula suti za hatari😂😂😂😂

  • @elishagregory1595
    @elishagregory1595 2 месяца назад

    Tajiri amekuja amevaa kawaida lkn masikini wamepigilia had sut

  • @FrankCharles-f1q
    @FrankCharles-f1q 2 месяца назад

    Kila shetani na ..........yupo paleeeeeeeeede🤣🤣🤣🤣🤣

  • @HatibuSozi
    @HatibuSozi 2 месяца назад

    Simba jike

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays 2 месяца назад

      Simba ni Simba tu Tena ogopa Simba jike hana machezo

  • @evancemamba3896
    @evancemamba3896 2 месяца назад

    TUPO PAMOJA KAMANDA WETU JASIRI

  • @FadhiliJumaMasiri
    @FadhiliJumaMasiri 2 месяца назад +1

    Simba nguvu moja tutafika mbali tukiacha fiitina yakutugawa

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 2 месяца назад

    Simba nguvu moja ubaya ubwela

  • @Johnmalekela
    @Johnmalekela 2 месяца назад

    Jamani mmi npo pale naangalia sana

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 2 месяца назад

    Nyie wachoma nyama ambao mnapochoma moshi ni mwingii lakini nyama haionekani😂

  • @YonahMwakalobo
    @YonahMwakalobo 2 месяца назад +1

    Sawa mo tuijenge simba yetu.

  • @PineTree-n9y
    @PineTree-n9y 2 месяца назад +1

    Na mtamsajili Hadi haaland

    • @MfunjoWabaBoydays
      @MfunjoWabaBoydays 2 месяца назад

      Mungu ni mwema fedha c ipo.Ndio uzuri wakuwa na Mwenyekit wa club😂xio kama gongo wazi

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm 2 месяца назад

      Sanda Wanapenda kudanganywa yaan

  • @AmiriSaidi-di1zh
    @AmiriSaidi-di1zh 2 месяца назад

    ❤❤

  • @MfunjoWabaBoydays
    @MfunjoWabaBoydays 2 месяца назад

    Gongowazi hawana Mwenyekiti yana mbwelambwela tu kwenyi mambo ya Simba .Yanga wasenge

  • @PatrickKato-vf1jv
    @PatrickKato-vf1jv 2 месяца назад

    Hayo ndo tunayoyataka kama ss wanasimba muhimu tushikamane

  • @yusuphally6420
    @yusuphally6420 2 месяца назад

    Hii si alishaiongelea huko nyuma au??

  • @CostantineEmanuel
    @CostantineEmanuel 2 месяца назад

    Huna baya

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 2 месяца назад

    Ya siku nyingi

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 2 месяца назад

    Mliwaahidi mtatoa report ya ukaguzi wa mahesabu siku mliyomleta msanii manzoki Leo mmeileta wenye klabu waipitie

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 2 месяца назад

    Yaani muhindi anawadanganya watu wazima

  • @ManenoMwashiozya
    @ManenoMwashiozya 2 месяца назад

    Nikubal bos noon bos Kanun

  • @MkapaMingatu
    @MkapaMingatu 2 месяца назад

    Hapa tutafika

  • @AbasiRashidi-d7q
    @AbasiRashidi-d7q 2 месяца назад

    Acha kuwadanganya makolo

  • @RajabkhamisRajab
    @RajabkhamisRajab 2 месяца назад +1

    Msajili hata ronaldo hamuishughulishi yanga

  • @MuhammadMaulid-b1q
    @MuhammadMaulid-b1q 2 часа назад

    Simba nguvu moja