Part 2, JINSI ALIVOACHA KAZI YA MASHAMBANI MAREKANI NA KUFANYA KAZI YA KULEA WAZEE/JINSI ALIVOIPATA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 47

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 10 месяцев назад +1

    Huku kwetu watu wanapenda maisha mazuri lakini hawapendi kulipa kodi. Wanapenda kwenda kuishi maisha mazuri Ughaibuni. Ahsante kwa kuwakumbusha kwamba maisha mazuri yanatokana na kufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi.

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 9 месяцев назад +1

    Host niruhusu nikukosoe ,umeandaa session nzuri ,sema unamuingilia sana mgeni kila akiongea unaongea juu yake ,so ni kama unamkata ,jipe muda wa kumsikiliza , Na hakika asemavyi ni good na kwa Washington naona yuko sehemu nzuri sana hapo ajitume tu kupiga kazi

  • @RabihuHussein
    @RabihuHussein 6 месяцев назад

    mtangazaji wa hovyo sana!
    Unauliza maswali halaf unayajibu we mwenyewe!!

  • @SaraphinaKweka-rp1lg
    @SaraphinaKweka-rp1lg 6 месяцев назад

    Singapore wewe ni mtu wa maana sanaa 🙏

  • @MillyKapaya
    @MillyKapaya 8 месяцев назад

    Ni yule yule kijana mwenzako from Zanzibar s
    Cheef

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 10 месяцев назад

    Black Singapore upo vizuri sana

  • @jovovichmedia9424
    @jovovichmedia9424 11 месяцев назад

    Safi sana kijana Nina Imani baada ya siku kadhaa utakuwa mkubwa sana safi sana

  • @wilsonmalisa1525
    @wilsonmalisa1525 11 месяцев назад

    Blacksingapore nakukubali sana mkuu ..channel yako ina content nzuri sana

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 11 месяцев назад

    Big up brother 💪

  • @chifuMazanda51
    @chifuMazanda51 11 месяцев назад

    Mjomba unajuwa Sana kuimba @orodha🔥🔥🔥

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 9 месяцев назад

    Host umekera sana

    • @blacksingapore
      @blacksingapore  9 месяцев назад

      Kama nakera usiwe unaangalia video zangu

  • @thechiefafrica798
    @thechiefafrica798 11 месяцев назад

    minyooshooooo🔥🔥🔥🔥🙌

  • @japhethromanus-zz9ht
    @japhethromanus-zz9ht 11 месяцев назад

    Boom

  • @khaithamangelo-c3s
    @khaithamangelo-c3s 11 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @fawzalbusayid7232
    @fawzalbusayid7232 11 месяцев назад

    Kazi yani faa iyo😊

  • @MillyKapaya
    @MillyKapaya 8 месяцев назад

    Please 🙏 nishike mkono kaka kijana mwenzako

  • @MillyKapaya
    @MillyKapaya 8 месяцев назад

    Nimetuma sana maombi mbk leo kmy please ni help. Kak

  • @GodfreyMdemu-uw2lv
    @GodfreyMdemu-uw2lv 11 месяцев назад

    Dar bonge la interview da poa sana

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 11 месяцев назад +1

    Wabongo bhana jamaa wako mbele ila bado lugha shida uelewa wa chini sanaaaaa

    • @hashimukasimu2716
      @hashimukasimu2716 11 месяцев назад

      Maokoto ndio muhimu

    • @benobuyoya8675
      @benobuyoya8675 10 месяцев назад

      Hata huyo atakuwa na diploma siyo degrii​@@hashimukasimu2716

    • @benobuyoya8675
      @benobuyoya8675 10 месяцев назад

      Jumo hakuna degree ni diploma tu

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 9 месяцев назад

      Ukimaanisha LUGHA gani ,SI wanaongea kiswahili na unaelewa au ulitakaje ? Ishu ela LUGHA ni ziada tu ndugu Saka ela

  • @IssaIddi-vb9yi
    @IssaIddi-vb9yi 10 месяцев назад

    Na vipi kama ukija kwa Green card rotary?

  • @MudathirAmeir
    @MudathirAmeir 11 месяцев назад

    😁🥂

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 10 месяцев назад +1

    Sauti na maneno unayo yaingiza kila wakati unapo endelea kumhoji huyo unaye mfanyia interview,zinaharibu usikivu --- " punguza kuingilia ingilia interview zako "

    • @MunguMwema-m4l
      @MunguMwema-m4l 10 месяцев назад

      Umeongea point hawez kumwoji mtu kama wengine

    • @Mahene-w1l
      @Mahene-w1l 9 месяцев назад

      Yaani jamaa limbukeni kweli wa interview

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 9 месяцев назад

    Kweli inawezekana ndugu kuna watu wanaanza biashara na mtaji ata chini ya $50 so inayegemeana na maono ya mtu na anataka nini na anawezaje kufocus

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 10 месяцев назад

    pati 1 iko wapi sasa

  • @byerabajulizy7252
    @byerabajulizy7252 4 месяца назад

    Mtangazaji daaah unaongea mnooo yani unauliza swali na unajibu mwenyewe

  • @jasiri25
    @jasiri25 10 месяцев назад

    Wazee ni hazina nawapenda wazee😅

  • @imanienock4250
    @imanienock4250 11 месяцев назад

    Care kwa kiswahili ninavojua mimi ni huduma

  • @samuelmwakasungula178
    @samuelmwakasungula178 11 месяцев назад

    Vipi mwafirika anaweza kutoa hudumia wazee wazungu

  • @Mambathetraveller
    @Mambathetraveller 11 месяцев назад

    Hahahahahahaha namba 111111 😂😂😂

  • @abduyussuf8345
    @abduyussuf8345 11 месяцев назад

    Hao wazee huwa wanakata nywele? Kama we ni kinyozi naruhusiwa kuwakata nywele? Na utapewa pesa ya nyongeza

    • @WinWilly4162
      @WinWilly4162 11 месяцев назад

      😂😂😂😂Anayekata nywele ni nurse caregiver hawaruhusiwi kunyoa nywele wala kukata kucha

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 11 месяцев назад

    Black Singapore hizi video zinaleta hamasa sana yan ww tafutaga na watu walio kuja huko Kwa njia ya kawaida yan agent hiv atupitishe maana mim Nina agent 1 amenambia kupata kaz ya sponsa ni siku 405 so inabidi uvumilivu

    • @oliviaseth4652
      @oliviaseth4652 11 месяцев назад

      Hakuna kitu kama icho wana waibia tu

    • @mkingageorge2641
      @mkingageorge2641 11 месяцев назад

      Ooooooh kumbee bhas kma Kuna agent mwenye fasta toa link yake tumsake maana pesa zipo Nia ipo shida agent msema kweli

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 11 месяцев назад

    Usipokuwa Billionare US , au experts with PhD and 10 years experience kwenye Technology , computer or space engineering basi uwe anthelents out of that ni utumwa 100%

    • @jovovichmedia9424
      @jovovichmedia9424 11 месяцев назад

      Wewe unafanya shughuli gani kiongozi naona unaponda tu

    • @jasiri25
      @jasiri25 10 месяцев назад

      Jealous brooo people are making money by being janitor acha wivuuu brooo

  • @johnmussa4248
    @johnmussa4248 11 месяцев назад

    Jamaa chanel yake jina sijalipata kabisa. Mention RUclips channel yake