Black Singapore
Black Singapore
  • Видео 129
  • Просмотров 319 369

Видео

HIZI NI Neighbourhood NDANI YA JACKSON HEIGHTS QUEENS 🗽🇺🇸
Просмотров 50014 дней назад
HIZI NI Neighbourhood NDANI YA JACKSON HEIGHTS QUEENS 🗽🇺🇸
CELEBRATING OF NEW YEAR IN NEW YORK AFTER Countdown IN TIMES SQUARE
Просмотров 20721 день назад
#newyork #newyear #newvideo #tour #manhattan
Atlantic Ave, BROOKLYN, New York City🗽🇺🇸 Walking Tour [4K]
Просмотров 35921 день назад
#brooklyn #newyork #travel #newyorkcity #duet #tour #tourist #top
WALKING Ralph Ave TO Broadway BROOKLYN IN NYC🗽🇺🇸 [4K]
Просмотров 26221 день назад
WALKING Ralph Ave TO Broadway BROOKLYN IN NYC🗽🇺🇸 [4K]
IJUE NEW YORK🗽🇺🇸 NA WANAVOSHEREHEKEA CHRISMAS
Просмотров 39421 день назад
IJUE NEW YORK🗽🇺🇸 NA WANAVOSHEREHEKEA CHRISMAS
USIPOPATA KAZI KWA HUYU AGENCY NIITE MBWA, KAZI AINA ZOTE ANAZO UKIFIKA TU ANAKUPA ADDRESS UWENDE.
Просмотров 6 тыс.Месяц назад
USIPOPATA KAZI KWA HUYU AGENCY NIITE MBWA, KAZI AINA ZOTE ANAZO UKIFIKA TU ANAKUPA ADDRESS UWENDE.
SIKILIZA KISA CHA KUSIKITISHA CHA MTANZANIA ALIE CROSS BORDER YA MEXICO 🇲🇽 KUINGIA MAREKANI🇺🇸
Просмотров 1,5 тыс.Месяц назад
SIKILIZA KISA CHA KUSIKITISHA CHA MTANZANIA ALIE CROSS BORDER YA MEXICO 🇲🇽 KUINGIA MAREKANI🇺🇸
HUU NDIO Rockefeller tree TOKA UANZE KULETWA HAPA KILA MSIMU WA CHRISTIMAS🎄 UKIFIKA UNACHIMBIWA
Просмотров 346Месяц назад
HUU NDIO Rockefeller tree TOKA UANZE KULETWA HAPA KILA MSIMU WA CHRISTIMAS🎄 UKIFIKA UNACHIMBIWA
SIKILIZA MPAKA MWISHO KWA WALE MNAOTAKA KWENDA UBALOZINI KUOMBA VISA YA MAREKANI🇺🇸
Просмотров 2,2 тыс.Месяц назад
SIKILIZA MPAKA MWISHO KWA WALE MNAOTAKA KWENDA UBALOZINI KUOMBA VISA YA MAREKANI🇺🇸
JIONEE HIZI NDIO TRAIN ZA MWENDO KASI ZINAZOENDA STATE MBALIMBALI HAPA NYC 🗽MAREKANI🇺🇸,
Просмотров 707Месяц назад
JIONEE HIZI NDIO TRAIN ZA MWENDO KASI ZINAZOENDA STATE MBALIMBALI HAPA NYC 🗽MAREKANI🇺🇸,
HILI NI JENGO LA Louis Vuitton VITU VINAVOUZWA HUMO NDANI GARAMA YAKE NI ZAIDI YA FIGO ZAKO MBILI
Просмотров 592Месяц назад
HILI NI JENGO LA Louis Vuitton VITU VINAVOUZWA HUMO NDANI GARAMA YAKE NI ZAIDI YA FIGO ZAKO MBILI
HUU NDIO MTAA NINAOISHI NDANI YA NEW YORK🗽 NA NATOA OFFER YA KU-HOST MTU KWA WIKI MOJA
Просмотров 1,8 тыс.Месяц назад
HUU NDIO MTAA NINAOISHI NDANI YA NEW YORK🗽 NA NATOA OFFER YA KU-HOST MTU KWA WIKI MOJA
HUKU NI SEHEMU NZURI SANA YA KUANZIA MAISHA UKISHAKUJA MAREKANI🇺🇸 NA KAZI ZIPO NYINGI SANA
Просмотров 4,8 тыс.2 месяца назад
HUKU NI SEHEMU NZURI SANA YA KUANZIA MAISHA UKISHAKUJA MAREKANI🇺🇸 NA KAZI ZIPO NYINGI SANA
GROUP LIPI LIMECHEZA VIZURI KATI YA HAYA MAKUNDI MAWILI/TIMES SQUARE NYC🗽🇺🇸
Просмотров 1742 месяца назад
GROUP LIPI LIMECHEZA VIZURI KATI YA HAYA MAKUNDI MAWILI/TIMES SQUARE NYC🗽🇺🇸
IKIISHI MIJI KAMA HII UTAKUTANA NA FURSA MBALI MBALI NA NYINGI/ USIOGOPE KUISHI MIJI MIKUBWA
Просмотров 6052 месяца назад
IKIISHI MIJI KAMA HII UTAKUTANA NA FURSA MBALI MBALI NA NYINGI/ USIOGOPE KUISHI MIJI MIKUBWA
MOJA YA MAENEO WANAOISHI WASHUA SANA NI KAMA MIKOCHENI YA DAR AU MBEZI BEACH/ PANAITWA BAYSIDE🗽🇺🇸
Просмотров 8012 месяца назад
MOJA YA MAENEO WANAOISHI WASHUA SANA NI KAMA MIKOCHENI YA DAR AU MBEZI BEACH/ PANAITWA BAYSIDE🗽🇺🇸
HAPA NI PARK YA MIDTOWN GREEN WAY/UNAJIONA UZURI WA Manhattan, Brooklyn  NA Roosevelt Island 
Просмотров 4532 месяца назад
HAPA NI PARK YA MIDTOWN GREEN WAY/UNAJIONA UZURI WA Manhattan, Brooklyn  NA Roosevelt Island 
JIONEE UZURI METS WILED POINT STATION NA CITY FIELD NDANI YA CORONA PARK QUEENS NEW YORK🗽🇺🇸
Просмотров 3052 месяца назад
JIONEE UZURI METS WILED POINT STATION NA CITY FIELD NDANI YA CORONA PARK QUEENS NEW YORK🗽🇺🇸
INGEKUWA WEWE UNGEKUBALI KUKAA KWENYE NYUMBA KAMA HII HAPA NEW YORK?🗽🇺🇸
Просмотров 1,2 тыс.3 месяца назад
INGEKUWA WEWE UNGEKUBALI KUKAA KWENYE NYUMBA KAMA HII HAPA NEW YORK?🗽🇺🇸
UKIJA MAREKANI 🇺🇸USIFOKASI KWENYE KUTAFUTA GREEN CARD/ UTATUMIA MUDA MWINGI SANA, UKIJA FATA HAYA…..
Просмотров 3,7 тыс.3 месяца назад
UKIJA MAREKANI 🇺🇸USIFOKASI KWENYE KUTAFUTA GREEN CARD/ UTATUMIA MUDA MWINGI SANA, UKIJA FATA HAYA…..
HIVI NDIO VIVUTIO VITANO MAARUFU NDANI YA fifth Avenue HAPA NEW YORK CITY 🗽MAREKANI 🇺🇸
Просмотров 9543 месяца назад
HIVI NDIO VIVUTIO VITANO MAARUFU NDANI YA fifth Avenue HAPA NEW YORK CITY 🗽MAREKANI 🇺🇸
HILI NDIO GEREZA P DIDDY ALILOFUNGWA, linaitwa Metropolitan’s LIPO HAPA BROOKLYN
Просмотров 1,8 тыс.3 месяца назад
HILI NDIO GEREZA P DIDDY ALILOFUNGWA, linaitwa Metropolitan’s LIPO HAPA BROOKLYN
JIONEE MAAJABU YA HAVARD UNIVERSITY/ VITU VINGI VINASHANGAZA/ CHUO KILICHOTOA MARAIS WENG MAREKANI🇺🇸
Просмотров 2,2 тыс.3 месяца назад
JIONEE MAAJABU YA HAVARD UNIVERSITY/ VITU VINGI VINASHANGAZA/ CHUO KILICHOTOA MARAIS WENG MAREKANI🇺🇸
HAPA NDIO AMEZALIWA P DIDDY NA KUKULIA NA MASTAA WENGINE WENGI KAMA CARD B ASAP ROCK Teyana Taylor 
Просмотров 1,5 тыс.3 месяца назад
HAPA NDIO AMEZALIWA P DIDDY NA KUKULIA NA MASTAA WENGINE WENGI KAMA CARD B ASAP ROCK Teyana Taylor 
UKIPATA MWALIKO WA KUJA MAREKANI🇺🇸 NDANI YA HII STATE UKIENDA UBALOZINI HUTAKOSA VISA (watakupa)
Просмотров 2 тыс.4 месяца назад
UKIPATA MWALIKO WA KUJA MAREKANI🇺🇸 NDANI YA HII STATE UKIENDA UBALOZINI HUTAKOSA VISA (watakupa)
HUKU KUNAKUWAGA NA KAZI NYINGI SANA ZINATOLEWA ZA INTERNSHIP 🇺🇸 NA WENGI SANA WAMEKUJA KWA PROGRAM
Просмотров 3,2 тыс.4 месяца назад
HUKU KUNAKUWAGA NA KAZI NYINGI SANA ZINATOLEWA ZA INTERNSHIP 🇺🇸 NA WENGI SANA WAMEKUJA KWA PROGRAM
HILI NI KITUO CHA MA-BUS 🇺🇸 WAMEWEKEWA TV 📺 WAWE WANAANGALIA MOVIES NETFLIXEAKIWA WANASUBIRI USAFIRI
Просмотров 3174 месяца назад
HILI NI KITUO CHA MA-BUS 🇺🇸 WAMEWEKEWA TV 📺 WAWE WANAANGALIA MOVIES NETFLIXEAKIWA WANASUBIRI USAFIRI
BEI YA MAGARI🚘 MAREKANI 🇺🇸UKITAKA KUNUNIA KWA dealer AU garage 
Просмотров 7504 месяца назад
BEI YA MAGARI🚘 MAREKANI 🇺🇸UKITAKA KUNUNIA KWA dealer AU garage 
NAMNA YA KUWEZA KUPATA KAZI MAREKANI🇺🇸 UKIWA NJE YA NCHI
Просмотров 1,4 тыс.4 месяца назад
NAMNA YA KUWEZA KUPATA KAZI MAREKANI🇺🇸 UKIWA NJE YA NCHI

Комментарии

  • @JosephatChaula-ku9yu
    @JosephatChaula-ku9yu День назад

    Ntumie namba yake

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 День назад

    Noma san mzee

  • @lahdadibrahim5006
    @lahdadibrahim5006 3 дня назад

    Kaka ongea kuusu visa

  • @ShooAmani
    @ShooAmani 4 дня назад

    Misitu.kama hy moto ukitokea unafanyaje

  • @ShooAmani
    @ShooAmani 4 дня назад

    Manyumba ya mbao yanaungua ndio maana mji ule umeteketea dhambi nyingi watubu

  • @AshuraShedaffa
    @AshuraShedaffa 4 дня назад

    God bless you

  • @AshuraShedaffa
    @AshuraShedaffa 4 дня назад

    Unackika kaka

  • @ShabahMob-rx5zc
    @ShabahMob-rx5zc 4 дня назад

    Samahani naomba no yako

  • @fundkiboflo
    @fundkiboflo 4 дня назад

    Kiongoz tajanamba yko ya wasapp

  • @fundkiboflo
    @fundkiboflo 4 дня назад

    Tuma namba yko ya sim

  • @DatiusExavely
    @DatiusExavely 5 дней назад

    Hata huyu yuko Marekani lakini anaona kwenye vyombo vya habari hayuko California dunia ni kijiji hawezi kudanganya mtu na yawezekana huku tunajua mengi kuhusu moto kuzidi yeye. Hayo ni mawazo yako .

  • @DatiusExavely
    @DatiusExavely 5 дней назад

    Huo ni uongo 100% kwa hiyo marekani ndio ilisababisha upepo na tukio la tarehe 6 la tamasha la tuzo mpaka Mnasema Mungu amepata ziro na kusema Mungu hawamtaki California. Na wewe umekwisha kuwa mmarekani hasiyeamini Mungu. Na tunajua kweli nyumba zitajengwa haziwezi jengwa tena zile bali mpya .Na ninajua huwo mji ukijengwa Mungu atauzamisha wote chini ya Bahari alafu sijui mtatuambia nini.Wanasema sikio la kufa hasikii dawa.Unakumbuka meli ya Titanic wakati wanaiteneza na kumaliza walisema tumetengeneza meli ambayo haitazama hata Mungu hawezi kuizamisha wakaingia kula raha na maovu yao je ilipiga ruti ngapi?.

  • @BLAQSMART255Tz-y4c
    @BLAQSMART255Tz-y4c 5 дней назад

    Iyo naiyona kama fursa vile au nyie mnasemaje

  • @GodfreyLudovick
    @GodfreyLudovick 5 дней назад

    Wanasema mungu amewalaaani kwasababu ya dhambi

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 5 дней назад

    London uber eat wana bicycle zina mota zinaspeed sana na pikipiki wanaona gari traffic

  • @AshaShaali
    @AshaShaali 5 дней назад

    Unasikika mkuu

  • @AshaShaali
    @AshaShaali 5 дней назад

    Nahitaj msaada wako kaka

  • @lahdadibrahim5006
    @lahdadibrahim5006 5 дней назад

    Visa bei gani kaka mana tunaibiwa sana

  • @lahdadibrahim5006
    @lahdadibrahim5006 5 дней назад

    Kaka habari naomba kujua visa ni bei gani yakuja huko nchini marekani mana kuna jamaa nchini tanzania anadai millioni 13 tunaisi tunaibiwa ?🙏😔

    • @jacksonmsendo3478
      @jacksonmsendo3478 4 дня назад

      Hakuna visa ya milioni 13 mwizi uyo

    • @lahdadibrahim5006
      @lahdadibrahim5006 4 дня назад

      @jacksonmsendo3478 ninampango wakwenda usa mwa huu 2025 kaka kunajamaa anaitwa dnyota ukiingia youtube utamuona anadai nimillioni kumi na tatu alafu anakusaidia kupata kazi pakulala inaniumiza kichwa kama kuna watu sahihi wapo wana fanya kazi izu tuunganishane tu mana nipo seriously kwenye mwezi wa sita au watano ninampango huo

    • @edchrisbeatz8976
      @edchrisbeatz8976 3 дня назад

      Natamani kufanya kaz ulaya changamoto ni visa 😳 na ili nisurvive us natakiwa at list niwe na sh ngap hio ndo inanchnganya

    • @lahdadibrahim5006
      @lahdadibrahim5006 3 дня назад

      @@jacksonmsendo3478 sasa napata wapi visa kaka yakufabya kazi nakuishi kama mr black singapoore tusaidiane si wengine atutaki kuja kuanguka kwenye mikono ya matapeli

  • @enocksaid613
    @enocksaid613 5 дней назад

    Unaweza kuomba kazi ukiwa nje ya marekan na ukapata visa sponsorship

  • @enocksaid613
    @enocksaid613 5 дней назад

    Mkuu unaweza kuomba ukiwa nje ya huko ukapata visa sponsorship

  • @Moodyndete1
    @Moodyndete1 5 дней назад

    Nimekucheki Instagram Kaka

  • @IbrahimMwadini-hz7ib
    @IbrahimMwadini-hz7ib 5 дней назад

    kk habar yako ila naomba no yako tuu ya simu ya marekani ila sitokusumbuwa ikiwa unanipa hiyo no na tutchat kwa maagizo yako au kuzungumza .. niko znz by ibrahim tuna kupenda kk kila la kher tunapata faida sana mungu akubariki... 🙏🙏👍👍

  • @IbrahimMwadini-hz7ib
    @IbrahimMwadini-hz7ib 5 дней назад

    umesema kweli hakuna cha mungu wala nini hii ni jambo lao wenyewe ndio watu hawajafaaa

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 4 дня назад

      Hakuna cha Mungu kwanini? kwani wao wameumbwa na nani? na moto umeumbwa na nani? vyote unavyo viona ni majaribu kutoka kwake Muumba, shetani hawezi umba hata inzi au mbu, Mungu kaumba hata Shetani na Ibilisi ili iwe majaribu kwetu

  • @Kigomafahariyetu
    @Kigomafahariyetu 5 дней назад

    Kaka nimekusikiliza kuhusu jambo la moto uliotokea LA sasa kama ni moto uliopangwa je mbona kwa sisi huku tulivyoona Kuna nyumba hazijaunguwa Kam vile nyumba za ibada? Unaweza kunipa evidence nzuri ili tusilishwe matango poli ya waafrika wenzetu Asante

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 дней назад

      Kwahyo unataka kunambia nyumba zote za ibada hazijaungua? Kama umeona nyumba mbili au tatu tu za ibada hazijaungua hiyo bado haitoshi kusema ni moto wa Mungu. Maana zipo nyumba za kawaida pia ambazo hazijaungua

  • @bernadoFrancis
    @bernadoFrancis 5 дней назад

    bro nkishinda green card naomba uwe host wangu

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 5 дней назад

    One day brother 🤝

  • @ChristopherHiza-o2n
    @ChristopherHiza-o2n 5 дней назад

    Mademu wanapatikana huko?

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 6 дней назад

    Dah nakubari brother kaka Mungu akubarik san

  • @davidanselmo4041
    @davidanselmo4041 6 дней назад

    Dah siku moja ntafika tu aisee south Africa maisha magumu😢

  • @lahdadibrahim5006
    @lahdadibrahim5006 6 дней назад

    Atujapoa kaka tupo mbona

  • @happykilewo4097
    @happykilewo4097 6 дней назад

    Hongera kaka kwa interview nzuri ulifanyaje kuja marekani

  • @RahiliTalibu
    @RahiliTalibu 6 дней назад

    USA na Canada bro wapi kuna pesa unatengeza pesa mara moja

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 6 дней назад

    Nakubar brother kaka😢😢😢

  • @amosipasiani3294
    @amosipasiani3294 7 дней назад

    50% anaishi wapi hapo kina rihana😅

  • @lottisiwale8017
    @lottisiwale8017 13 дней назад

    Safi sana bro

  • @lottisiwale8017
    @lottisiwale8017 13 дней назад

    Safi sana bro

  • @sinemax-w6q
    @sinemax-w6q 16 дней назад

    Unyama 😮😮

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 19 дней назад

    One love beautiful view

  • @Johnsambai
    @Johnsambai 19 дней назад

    NAOMBA NAMBA YAKO NDUGU

  • @abubakariemilian9125
    @abubakariemilian9125 20 дней назад

    Kwa nin U.S.A inakumbwa na ishu ya Homeless Wakati ina opportunities/fursa nyingi sana za kazi ukilinganisha na Mataifa mengine yalioendelea !? Maeneo kama Skid Row LA, Philadelphia & Yues ni hatari tupu it's true that Drugs ndo major reason for that trouble au kuna other reasons behind ??!!

    • @SamwelikazimbayaKitahenga
      @SamwelikazimbayaKitahenga 20 дней назад

      Wenzetu huwa wanahishi kwenye system so ukitoka nje ya hapo lazima uwe homeless!shida sio Opportunity shida wakikutoa kwenye system za social kutokana na makosa ya Crime, drugs na mengine huwezi kupata kazi!hivyo ukifika huko unatakiwa uwe makini sana na makosa ya kipuuzi!!

    • @abubakariemilian9125
      @abubakariemilian9125 19 дней назад

      @SamwelikazimbayaKitahenga Hapo nimekupata Bro, Nice response.

  • @issahassan8515
    @issahassan8515 20 дней назад

    Pako poa sana kaka

  • @lahdadibrahim5006
    @lahdadibrahim5006 20 дней назад

    Tuko poa kaka tunapenda vlog zako za new york

  • @caramamttv
    @caramamttv 20 дней назад

    Big up bro 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮nikifika uko lazima nikutafute

  • @DizzoclassicSoundstz
    @DizzoclassicSoundstz 20 дней назад

    Kama kawa ni poa kaka from mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @kevinmushi8209
    @kevinmushi8209 20 дней назад

    Keep it broo 💯 👌

  • @DizzoclassicSoundstz
    @DizzoclassicSoundstz 21 день назад

    From mwanza Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @abubakariemilian9125
    @abubakariemilian9125 22 дня назад

    Oy Bro, Watu ni wengi sana hapo, Vipi vibaka kama wale wa K/koo wanapatikana hapo N.y.c ?

  • @raphaeldesigner2
    @raphaeldesigner2 24 дня назад

    Kaka black Singapore nilikuwa nakushauri utengeneze wasap group ili utushauli zaidi na kuhusiana na marekani na utuonyeshe pia fursa za kazi

  • @lahdadibrahim5006
    @lahdadibrahim5006 24 дня назад

    Kaka habari uwe unaongea tuyajue mitaaa