Kaka lazima nifike hukuuuu....NINA SWALI... Kununua gari kwa ajili ya Taxi mpaka kuisajili inaweza kuwa gharama gani huko na hesabu inaweza kuwa kiasi gani???.... Nimeona kama ni mchongo mzuri...ukijichanga unanunua Taxi unampa dereva unaendelea na mishe
Wa kwanza kucomment naomba likes Zang 😅😅😅
Brother kaka Mungu akubarik
@black singapore Tz🇹🇿 nakubali sana video zako ni quality alaf ni kiswahili tunakuelewa sana 🙌🙌
Namba Yako please kwa maelekezo
Yeah just remove the fog from our eyes bro,thank you alot
Kaka one day mungu atafungua milango nitaingia apo
Niko Dar es Salaam Tanzania
nakukubali unatupeleka sehemu adim tukiwa huku huku TZ