KWA NINI MUNGU AMEKATAZA KULA NYAMA YA NGURUWE? LAKINI WAKRISTO WA SASA WANAKULA WANADHARAU BIBLIA?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 241

  • @msafirimwenetombwe8819
    @msafirimwenetombwe8819 Месяц назад +3

    Nimekuelewa Vizuri Ndugu Isaya Beson Ubarikiwe Sana Chukua Mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JOHNCENA-lc2ju
    @JOHNCENA-lc2ju Месяц назад +1

    Maneno ya mungu hakana maneno mapya! Ukisema kuna maneno ya mungu yacale na ya Sasa anadanganya watu.

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv Месяц назад +1

    Nisahihishe kidogo, kambale na baadhi ya samaki hawaliwi kwasababu hawana magamba na sio mapezi. Somo zuri sana mtumishi👏👏🙏

  • @Erastojules
    @Erastojules Месяц назад +3

    Amen 🙏 nimekuelewa vizuri mtumishi

  • @ArbertMhando
    @ArbertMhando 17 дней назад

    Aaa!? Mwl nmekuelewa sana

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 Месяц назад +5

    Safiiiiiiii mtumishi wa MUNGU umelichambua vzur sana neno kwa wale wa rohoni wameelewaa

    • @Last403
      @Last403 Месяц назад

      Hakuna lolote hajui huyu anawadanganya watu anatuletea sheria za wasabato kwenye neno la mungu.

  • @farajisewe7416
    @farajisewe7416 Месяц назад +1

    Mungu akubariki
    mtumishi
    Nakufuatilia sana.
    UMKWELI NA MUWAZI.
    ENDELEA KUONGEZA MAARIFA NA KUJIFUNZA ZAIDI..
    UMEWAFUNUA AKILI WENGI.
    NAPENDA KUJUA JEE
    WEWE NI DHEHEBU GANI??!

  • @GideonNzige-k7i
    @GideonNzige-k7i Месяц назад +2

    Ubarikiwe

  • @omariSaidmoon
    @omariSaidmoon Месяц назад +3

    Maneno ya paulo mungu hageuki geuki

  • @KingHercules-ci1rr
    @KingHercules-ci1rr Месяц назад +2

    Mimi naomba Kuna. Aya katika bibia mungu anasema kuleni nguruwe

    • @EriyaRichard
      @EriyaRichard 7 дней назад

      Yesu kristo anasema ame vitakasa vyakula vyote

  • @Last403
    @Last403 Месяц назад

    Leo mtumishi umeongea vizur kabisa safi sana na hongera kwa kufuata maandiko😂

  • @wilhardvawunge-ns2ks
    @wilhardvawunge-ns2ks Месяц назад +3

    Nguruwe no nyama tamuuu sana,nimekubali

  • @HenryTindwa
    @HenryTindwa Месяц назад

    Mtumishi apo apo mungu alitaja wanyama safi pia Nuhu aliwaingiza ktk safina

    • @MagdalenaSamuhenda
      @MagdalenaSamuhenda 7 дней назад

      Wanyama safi ni herbivola wanakula nyasi (rafiki wa mazingira) wanyama wasio safi ni carnivola wanakula nyama ni wanyama waharibifu.

  • @sindabahabwoyaanacret660
    @sindabahabwoyaanacret660 Месяц назад +3

    Absolutely mnamudharau Mungu

  • @ClaraLyimo-g8s
    @ClaraLyimo-g8s 8 дней назад

    Sasa aliesema tusile ngurue ni mungu yupi huo niulafi mungu kashasema tusile ngurue acha kuzunguka zunguka Mzee

  • @ZengoSimon
    @ZengoSimon 3 дня назад

    Katika wanyama wote (walio safi ujitwalie saba saba), mume na mke; na wanyama wasio safi wawili wawili, mume na mke (Mwanzo 7:2). ukielewa hayo mabano utaelewa mafungu yaliyo mbele. Vya kuliwa vina sifa 3
    1. kwato 2. Kwato zilizogawanyika (kupasuka) 3. kucheuwa: Vilivyotakaswa viko kwenye hizo sifa. Angalia pia
    Isaya 66:15-17; unabii wa siku za mwisho.

  • @gndunguru
    @gndunguru Месяц назад

    Mkishika neno moja , msipozingatia nyakati . Kwa Sasa nguruwe hatolewi kafara, na si mchafu na anapikwa vizuri. Mungu katupa maarifa ya kuepuka magonjwa

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Месяц назад

      Alieharamisha ni Mungu halafu unasema kakupa maarifa? Labda shaitwani ndio alokupa maarifa hayo ya kujidanganya mwenyewe

  • @athumanikindutu5657
    @athumanikindutu5657 Месяц назад

    Kwahiyo Mchungaji anazani mungu alisahau kuwa kilakitu amekiumba yeye.ila waklisto jamani mmmmmh

  • @georgekyando885
    @georgekyando885 Месяц назад +1

    Mtumishi upo vizuri hata hapo nilipo napiga kiti Moto kipo Safi kimeiva vizuri.

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 Месяц назад +1

      Kama iyo picha ni wewe kweli 😂 endelea kula tu mana unafanana nae😂😂😂

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 7 дней назад

    😂😂😂😂 Leo naona Wananchi wengi wanao jua maandiko na kusoma wamesifia Mtu Wa Mungu alivyo fundisha hilo somo ingekuwa anaongelea Yesu kristo kusoma India kila mmoja ange piga kelele ok MUNGU awa Baridi wote mnao fatilia huu uku rasa.

  • @TYAMTv
    @TYAMTv Месяц назад

    Mwl, kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote, vilivyotakaswa ni vyakula vyote sio najisi zote zitakaswa. Uzuri Mungu alishatofautisha kati ya chakula na najisi. Je Petro alichinja na kula au alishika msimamo wake wa kutokula najisi.

  • @jacksonsemit7154
    @jacksonsemit7154 Месяц назад +2

    Kwa kusema hv alivitakasa vyakula vyote kec haikuwa vyakula najic bali kunawa bila kufuata mapokeo yao MARKO 7:5(Hapo umetudanganya) 2 kisa Cha Petro Mungu alitaka apeleke ujumbe wa neno lake kwa watu wt bila kubagua kwani ilikuwa marufuku wayahudi kuchangammana na WA mataifa na Wala c kwamba aliruhusu vyakula najisi,yachunguze maandiki.MATENDO 10:28

  • @hezronpeterhongoli9060
    @hezronpeterhongoli9060 Месяц назад

    Kilicho umbwa na Mungu si Najisi, Kitabu hiki Kiliandikwa na Binadamu ndiye aliyetuwekea taratibu hizi, kilicho umbwa na Mungu nikulatu, viazi mhogo kuku njiwa, chakula chote ni salama, ila Sumu ni hatari

  • @DanielMaguge
    @DanielMaguge Месяц назад

    Kongo wanakula hadi nyoka na nyani. Wahehe mbwa, wafipa , panya. N.k Kila kinachokubalika katika eneo fulani, ni halali yao wala Mungu hana shida na hilo.

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 Месяц назад +1

    Mungu gani anayegeuka geuka Mbona hakubadilisha Sheria za Mungu, si vyote vifaavyo, wewe mwenyewe ulikiri bible ilifichwa Kwa mda wa miaka 300 ilipotudishwa ilikuja na mabadiliko kama mkiristo kutokuoa wake wawili je unajuaje kama na hilo andiko lilieditiwa

    • @goodluckkenneth2137
      @goodluckkenneth2137 Месяц назад +1

      Mungu yetu ni mkubwa kuliko njama au fikra za mwanadamu, kuna story moja kweny biblia kuna mganga alikuwa anafanya uchawi kwa kulaani wana wa israel ila mwishowe aliishia kuwabariki. Kwa hiyo hizi fikra kuwa biblia imebadilisha ni akili za mtoto wa kiimani. Mungu yetu ni mkubwa sana atakukataza vitu na kukuruhusu vitu kutokana na moyo wako na tamaa yako ilipo.

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct Месяц назад

    Mungu hajakataza kula nguruwe na nguruwe ni chakura halali kabisa kwa waislam na wakristo wote tunakula na haina madhara kwa binadamu hao wanaosema nguruwe halamu wazushi tu waache kufuga majini

    • @binseif2216
      @binseif2216 Месяц назад

      Tupe andiko ndani ya vitabu mlevi wewe

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 26 дней назад

    Soma Isaya Sura 65 , Mtumishi kwani Majini yaliyo kuwa yamempagawisha yule jamaa Aliye kuwa Anaishi kule Makaburini Yesu alipofika pale yale Mapepo yalimwambiaje yesu ? Na yesu alisemaje Sialiwaamuru wakaingia wale nguruwe Wakaenda kufia Baharini , je Nguruwe walikufa wote ? Maana kama wangekufa wote leo hii nguruwe wasinge kuwepo , inakuwaje Wewe ule nyama ya nguruwe Wakati nguruwe waliingiziwa majini ! Na ndiomana Kulia kwake nguruwe ni Kama Mtu aliye pagawa mashetani , ! Harafu Biblia inasema yapata nguruwe Zaidi ya 2000 , hii inamaana nguruwe wengine hawakufa ndiomana Kizazi chao kipo mpaka leo , Mtumishi Mi Sili iyo kitu ,.

  • @AliAbdallah-i6h
    @AliAbdallah-i6h Месяц назад

    Basi kma kila kilio hai kitakua chakula chetu basi mpaka vibwengo tuvikamateni tuvile madam mungu kakukataza usile ngurue ww ukila unampinga mungu

  • @EndobileHerman
    @EndobileHerman Месяц назад

    Kasome Warumi 141-5. Alive dhaifu wa Imani usimuhukumu wawazo yake bali mkaribisheni

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro Месяц назад

    Halafu hiyo sheria walipewa Walawi kwani sisi ni walawi? Umelijibu vizuri Isaya

  • @patrickmunisi7234
    @patrickmunisi7234 Месяц назад

    Hapo ndipo tunapokosana mimi na wewe mwalimu ISAYA,Usiendelee kutoa siri za utamu wa hii kitu,embu waache wanaokataa kuila waendelee kukataa ili tubaki wachache tuendelee kufurahia uumbaji wa Mungu,Mnyama hachoshi utamu wala haumizi meno,Ata kkibogoyo anaweza kumung'unya nyama ya hii kitu mdudu,

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka walai

  • @GwidoSinsungwe
    @GwidoSinsungwe Месяц назад +2

    Na mbwa wote walee mtumishi

  • @JoswamBalongo
    @JoswamBalongo Месяц назад

    Anayesema MUNGU anakataza kula nguruwe hajui bibria.asome MWANZO 9:1-4 atapa jibu.

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l Месяц назад +2

    Watu Wengi Na Madhehebu Mengi wanasoma Biblia na kujikataza vitu ambavyo Mungu alishavitakasa

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 Месяц назад

      Leta andiko la utakaso wa nguruwe

    • @fredrickgitonga1972
      @fredrickgitonga1972 Месяц назад

      1 Corinthians 6:12
      [12]All things are lawful unto me, but all things are not expedient: all things are lawful for me, but I will not be brought under the power of any.
      Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote.

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw Месяц назад

      ​@@fredrickgitonga1972kasome warumi 14..anza mwanzo

  • @Last403
    @Last403 Месяц назад

    Someni agani jipya kitabu cha Malko 7- mstali wa 17 hadi wa 21

  • @petersulle1937
    @petersulle1937 Месяц назад

    Unaposema wayahudi walikatazwa waliookuwa waingia Kanaani, unasahau kuwa wanyama safi na najisi waliagizwa tangu wakati wa Nuhu, wakati akiwaingiza katika safina.

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 Месяц назад

    1 Corinthians 10:23
    [23]All things are lawful for me, but all things are not expedient: all things are lawful for me, but all things edify not.
    Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo.

  • @HamisaSaidi-e9y
    @HamisaSaidi-e9y Месяц назад

    Wakristu tunaamini kuwa yesu ndiye mungu asa kwann biblia imeonyesha yesu akimuita baba na akimuomba mfano pare aliposema wakati wakusurubiwa kama ikiwa kwa mapenzi yako na itimizwe asa apo alikuwa akimwambia nani inaniweka njia panda kidogo iyo

  • @ClaraLyimo-g8s
    @ClaraLyimo-g8s 8 дней назад

    Aliezungumzwa hapo ningurue

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 Месяц назад

    Mimi natwanga mpaka supu nakunywa😂😂

  • @masanjaelias5829
    @masanjaelias5829 Месяц назад

    Huyu mpuuzi anatafuta sana sifa

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 Месяц назад

    Unafundisha kiurahisi mno. Sasa kwa ufundishsji huo bila shaka vihiyo watakuwa wengi mno. Ukisoma zaidi utaona maana ya maono yale ya petrol. Unapofundisha fundisha watu kwa usahihi.

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t Месяц назад

    Yesukitisto anasemaje katika vitabu vya enjili kuhusu najisi?

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 Месяц назад +2

    Tafuta kazi ya kufanya acha kudanganya watu,hujui chochote fuata maisha yako hakuna mtu utakayembebea dhambi

  • @Last403
    @Last403 Месяц назад

    Someni pia matendo ya mitume 10- mstali wa 10 hadi 15

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 Месяц назад

    1 Corinthians 6:12
    [12]All things are lawful unto me, but all things are not expedient: all things are lawful for me, but I will not be brought under the power of any.
    Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu, lakini mimi sitatiwa chini ya uwezo wa kitu cho chote.

  • @ShabaniRashidi-d2v
    @ShabaniRashidi-d2v Месяц назад

    Walioanzisha ukristo(waroma)ndio wamehalalisha ulaji wa nguruwe,sababu mungu mtoto, wa wapagani TAMUSI aliuliwa na nguruwe kwaiyo iyo ni kulipa kisasi,mana ukristo ulianzishwa na waroma uko antiokia uturuki matendo 11.26,ata yesu ajawaifika,tena yesu aliingia kwenye sinagogi (luka.4.16)msikiti)wala kanisa halijui

  • @shaykhmulabasalehlulat4909
    @shaykhmulabasalehlulat4909 Месяц назад

    Kwa kweli unatumia maandiko bila ya kuyaelewa. Kisha unatumia maandiko kwa dogma.
    Ogopa Mungu.
    Nani alisema kwamba wanyama wote wanafaa kuliwa??? Hoja eti ni wa Mungu???
    Nani anaakili anaweza kuthubutu kusema eti kila mimea inafaa kuliwa huu ni wazimu!!??
    Jamani, maandiko sio biashara yako ya kutafsiriwa kwa akili zilizotawaliwa na uduni.
    Kisha huna aibu unathubutu kutaja eti Ibrahimu, mbele yake akiwa na nguruwe anakula. Bila woga!!! Wapi katika maandiko mababawakuu manabii hawa walikula uchafu huo???
    Unatumia mantiki ya kijinga. Sasa soma haya uelewa:
    1. Kila kiumbe ni cha Mungu na kina kazi yake katika ecosystem yake. Kwa Mungu hakuna kibaya wala najisi.
    2. Mwanadamu ni sehemu ndogo ya uumbaji. Mwili wake na roho yake vina mahitaji maalumu. kuna vitu ni vizuri kwake na vingine ni vibaya vyenye madhara.
    Hivi vyenye madhara ndiyo haramu kwa maana havitakiwi. Miongoni mwa hivyo kuna ambavyo ni najisi.
    Utaratibu huu ni wa milele kwa zama zote.
    Nguruwe ni najisi kwa wanaadamu toka baba yetu Adamu.
    Acha kupotosha watu.

  • @peterngatunga1527
    @peterngatunga1527 Месяц назад

    Marko 7:18
    [18]Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi;
    And he saith unto them, Are ye so without understanding also? Do ye not perceive, that whatsoever thing from without entereth into the man, it cannot defile him;

  • @kristofuraha
    @kristofuraha Месяц назад +2

    Ngiruwe ni lugha ya picha, sio kwamba Mungu alikataza nguruwe kama nguruwe nyama chakula. KWA MUKTADHA WA MUNGU NGURUWE ILIKUA INAWAKILISHA MAFUNDISHO POTOFU!
    KWAHIYO MUNGU ALIKUA ANAMAANISHA WANA WA ISRAELI WASISIKILIZE MAFUNDISHO POTOFU!

    • @GwidoSinsungwe
      @GwidoSinsungwe Месяц назад

      @@kristofuraha aisee Mtazamo wako huo ni Balaa, soma tena Bible ndugu

    • @jacksule7557
      @jacksule7557 Месяц назад

      Na samak wasio na mapez

    • @rubenmsimbe934
      @rubenmsimbe934 Месяц назад

      Kama ni kweli basi nguruwe hafai kabisa ndio maana ametumika kwenye mfano mbaya..😮😮

  • @omariSaidmoon
    @omariSaidmoon Месяц назад +2

    Mwalimu hapo ukweli hujui jifunze mandiko vizuri bbla inasema mungu habadiliki badiliki nyinyi vpi inasema yaliyo tukia yame tukia wala hakunajambojipya chini ya jua wewe bado

    • @goodluckkenneth2137
      @goodluckkenneth2137 Месяц назад

      Wewe ndio unatakiwa usome biblia, usimzingizie Mungu kwa kutokuwa na maarifa usiyonayo.
      Na pia unavyosema Mungu abadiriki soma neno. Kipindi cha wanaisrael mataifa yote yalikuwa ni najisi kwao na Mungu wao, kwahyo kwa mindset hii unatakiwa kutokuwa mchristo

    • @HenryTindwa
      @HenryTindwa Месяц назад

      ​@@goodluckkenneth2137huna kitu umenifumbua balikiwa

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 Месяц назад

      Sasa usome biblia kwa ajili ya kushindana na mwalimu huyu kipofu kabisa! Mbona tafsri ya maono ya petrol yapo vizuri na yapo.

  • @EmmanuelSimion-d3e
    @EmmanuelSimion-d3e Месяц назад

    Mnakula kuleni tu ipo siku utanielewa atakaye sikia NENO LA MUNGU haya!!

  • @Kidahwesdachoir
    @Kidahwesdachoir Месяц назад +1

    Mbn unazunguka

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l Месяц назад +2

    😁😁😁 ko madhehebu mengi yametia unajisi wao wenyewe kwa Mapenzi yao wao wakati Mungu alishavitakasa,Mungu Tusaidie Tuelewe neno na sio kukariri

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 Месяц назад

      Acha kumzulia Mungu uongo

    • @goodluckkenneth2137
      @goodluckkenneth2137 Месяц назад

      Bishana kwa maandiki​@@selemohd9060

    • @goodluckkenneth2137
      @goodluckkenneth2137 Месяц назад

      Warumi 14:14
      [14]Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi.
      I know, and am persuaded by the Lord Jesus, that there is nothing unclean of itself: but to him that esteemeth any thing to be unclean, to him it is unclean.​@@selemohd9060

    • @saimonsilwimba8036
      @saimonsilwimba8036 Месяц назад

      unahisi utaelewa kwanamna hyo siorahisi mwombe mungu akupe uelewa kweli niwap andiko gani mungu kavitakasa alivyo viharamisha twambie nasisi tujifunze kupitia wew

    • @saimonsilwimba8036
      @saimonsilwimba8036 Месяц назад

      Wew ndo unakariri andiko gani mungu alivitakasa alivyo viharamisha? Ujue mungu sikama mimi naww habadiliki wala hasahau analijua jambo kabla halijawa na mwisho wake utakuaje hvyo jifunze kwautulivu acha papara

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Месяц назад

    @gnduguru. Mungu ameharamisha halafu unasema kakupa maarifa? Shaitwani ndio anaekudanganya mwenyewe ukiyaita maarifa

  • @jacksonsemit7154
    @jacksonsemit7154 Месяц назад +1

    Ikiwa Mungu ameruhusu tule vyakula najic kwa nini ck ya hukum walaji wahukumiwe.Isaya 66:15-17

  • @rubenmsimbe934
    @rubenmsimbe934 Месяц назад

    Unatumia nguvu kubwa sana kuhalalisha nguruwe,andiko limetaja direct nguruwe usile wala mzoga wake,ww unahangaika mno kutafuta andiko lililosema kuleni na halipo hilo andiko maana yote unayoyasema hayakutaja nguruwe....

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 Месяц назад

    Petro lkn hakuchunja, Mungu si kigeugeu kama alisema tusile hakuna kuhoji kibinadam, jua cc wakristo haturuhusiwi ila wewe unaleta tafisiri yako yako tu

  • @TallTallest-e2v
    @TallTallest-e2v Месяц назад

    Wanaokaririshwa pasipo kuyasoma maandiko WATABISHA

  • @nurumwashinga3662
    @nurumwashinga3662 Месяц назад

    Wewe kama vipi uhamie huko maana kila siku unajifanya mwalimu wakati hujui kazi kuuponda ukristo tu nenda tu usitochoshe

  • @daudimwakatobe2064
    @daudimwakatobe2064 Месяц назад

    Kwani Mungu anakaa Kwenye Nyama? Kiingiacho hakimtii mtu najisi Ila kitokacho,,, so kila kitu kula kwa imani

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 Месяц назад

    Sema ukwel hata kama watu wengi wanauuchukia huo ukwel

  • @JudicateShuma
    @JudicateShuma Месяц назад

    We ujui maandiko ni mnyama Gani ni msafi atang,ombe ni mchafu akuna mnyama yoyote Mungu aliyemuumba najisi wanyama wote kwa Mungu nisawa, mbona ngamia katajwa kua afai lakini waislam wanakula, soma kitabu Cha mambo ya walawi vizuri hacha kusoma biblia kama gazeti,

  • @OmaryAlly-h3h
    @OmaryAlly-h3h Месяц назад

    Wewe hujui kitu , ungejibu haramu au ni halali, alafu ndio utupe maandiko, wapi Yesu amehalalisha ama kula yeye nyama ya nguruwe

  • @isayaanthon7063
    @isayaanthon7063 Месяц назад

    Mwalimu naomba namba yako. Nahitaji kuelewa neno zaidi kupitia wewe

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 Месяц назад +1

    Ata kama sote binadamu tunafanya makosa lakini Baadhi ya watu wamezidi,imefika wakati mtu unapata nguvu ya kukubali Ati Manabii wa Mungu wamefanya uchafu? Nabii kama Ibrahim kipenzi wa Mungu,Baba wa imani leo kuna watu bila kupepesa macho wanasema eti alifanya zinaa na mjakazi wake wa ndani,na mtu ata haogopi? Au kujiuliza

  • @saimonsilwimba8036
    @saimonsilwimba8036 Месяц назад

    Nanyie watangazaji watu wakiuliza maswali yakijibiwa jaribun kusimamia majibu yajibiwe ilivyo ulizwa swali msilete ushabiki mnachekachka tu ilihali ninyi mnautambuz wa kutosha au nanyie ndowalaji nguruwe mnafurahia fursa

  • @PascalMsafiri-x1f
    @PascalMsafiri-x1f Месяц назад

    🇺🇲🇺🇲🇺🇲 usirudiye kuwa danganya wanadamu wenye akilizao...kamawewe auna akili wengine wanakili timamu...kama nyoka inaliwa . nguruwe ndo sumu?.........watazamaji mnisaidiye kumjibu huyu mwenye akili mingi yakuzidi wengine

  • @Kushnade
    @Kushnade Месяц назад +1

    Nguruwe wa kiyahudi walikua hawacheui wasasa wanacheua kuleni

  • @nkondihamis2008
    @nkondihamis2008 Месяц назад

    Mchungaji huna Logic Mungu kusema viumbe vyote ni vya kwake haimaanishi kavunja agizo la kutokula, kama kutokula ilikuwa ni sheria ni andiko gani lilitengua?

  • @user-gq8ox7wb7f
    @user-gq8ox7wb7f Месяц назад

    Ki ukweli nilikua nakuelewa sana ila kwa leo umepuyanga yote hiyo ni sababu ya uroho wako wa kula ngurue

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz Месяц назад

    Aise mungu anakumbushwa ? 😀

  • @hajiramadhani2060
    @hajiramadhani2060 Месяц назад

    Isaaya HAPO umekosea Kama Kila KIUMBE kula HALALI, basi BINADAM ni HALALI kuliwaaaa😮😅

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz Месяц назад

    Ushasema mwanzo kuwa nguruwe ni nyama mchafu na maradhi na pia wanasayasi wamekiri nguruwe wanamafuta sanaa upeleka kupata maradhi ya moyo mungu atupa akili tumsome nguruwe vizur

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 Месяц назад

      Mental disorders eg epilepsy

    • @DesderiusHaule
      @DesderiusHaule Месяц назад

      Nguruwe ni mchafu kulingana na anayemfuga, lakini yeye mwenyewe ni mstaarabu Sana anapachagua mahala pa kujisaidia pawe mbali na anapolala pia Hali chakula kilichobaki cha Jana.

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 Месяц назад

    Mungu walimuona wapi haonekani hadithi

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 Месяц назад

    Imeshawahi kujiuliza why Yesu aliwaamuru mapepo wawaingie ngurue na wale nguruwe wakakimbilia baharini wakafa ni kwa nini Yesu alifanya alivyofanya?
    Tufkirie Yesu kawadhulumu wachungaji nguruwe au Yesu alijua nguruwe wamekatazwa na hawafai kuliwa

  • @ClaraLyimo-g8s
    @ClaraLyimo-g8s 8 дней назад

    Tayari tumeshaambiwa na mungu kwamba ni haramu au mungu anamaneno yakubadikika badilika?

  • @Patricemcwise
    @Patricemcwise Месяц назад

    Volume is low 🎉❤

  • @MchungajiPauloEliasiwizaWizabu
    @MchungajiPauloEliasiwizaWizabu Месяц назад

    Ili mtu aweze kuitambua vizuri bibila na maana halisi ya kutafsiri neno la Mungu asipotoke na kupotosha umma ya watu wa Mungu lazima kwanza utambue maagano ya Mungu na wanadamu tangu mwanzo mpaka mwisho wa dunia ni mangapi na kila agano lilikuja kipindi gani, kwa mkono wa nani, kwa sababu ipi na kwa makusudi gani ya Mungu ndani ya agano hilo,!!!. mfano biblia agano la kale biblia inaonyesha kula nguruwe ni najisi,Isaya 66:) lakini agano jipya linaloanzia kitabu cha Mathayo mpaka Ufunuo sharti la miiko ya chakula ambacho ni si kilevi ,sumu ya kudhulu afya ya mtu,ni mafundisho ya mashetani, 1Timotheo 4:1-4, na na Kolosai 2:16.Usipojua kuitafisiri biblia ni hatari sana.

  • @JamesMajaliwa-c6q
    @JamesMajaliwa-c6q Месяц назад

    Waisilamu niwaongo nguruwe wanakula tena ndiyo walioipa jina la mdudu na Kila mwezi wa ramadhani ufikapo wafanyabiashara wa nyama za nguruwe Huwa wanalalamika biashara ngumu lakini wakifungua tu mambo mchakamchaka.

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 Месяц назад

      Inaonekana Uislamu unakushughulisha sana. Mbona wasabato wamaharamisha ulaji wa miguruwe?

  • @NdulaMakoyekasakulilo
    @NdulaMakoyekasakulilo Месяц назад

    Kwa hiyo mnaluhusiwa kuzini maana mnaishi kwa neema

    • @goodluckkenneth2137
      @goodluckkenneth2137 Месяц назад

      Si kila uwazalo ulitoa bila kufikiria. Omba hekima sana, ulichocomment ni mzaa kwa Mungu na hata kwa jamii yako.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Месяц назад

    Huyu mtoa majibu bado sana. Mnadonyoa mistari na stori kibao bila kuja kwenye hoja!!

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq Месяц назад

    Wewe usiuongelee uislamu, nenda oawaulize masheikh kuhusu maana ya hiyo aya

  • @saimonsilwimba8036
    @saimonsilwimba8036 Месяц назад

    Emb watangazaji taften ushahidi wa kisayansi kwani nguruwe ananini hasa tofsuti na wanyama wengine ukipata majawabu liweke hewan ili uchaguz ubaki kwa mlaji mwenyewe

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 Месяц назад

    Benson leo umechemka, huyo Petro kitabu chake kipi?

  • @KingHercules-ci1rr
    @KingHercules-ci1rr Месяц назад

    Mbwa ana miguu 4 je. Unaweza kula

    • @ramakizito4934
      @ramakizito4934 Месяц назад

      Kula tu hata paka ukitaka kula we si ndio ulieshusha maandiko

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 Месяц назад

    Nyoka je, haruhusiwi kuliwa?

  • @mhandodanny4256
    @mhandodanny4256 Месяц назад

    Vyakula vilivyotakaswa ni vile vilivyoruhusiwa na c nguruwe

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 18 дней назад

    Samaki kambale unakula

  • @saimonsilwimba8036
    @saimonsilwimba8036 Месяц назад

    Mtumishi unajitahidi lakini huna uwezo wa kujibu maswali, bado sana unajua usiongee kitu bila kufikiria umesoma andiko ya kua mungu alisema hayawani wote niwangu na katka makundi kadhaa, uliambiwa uwale mbona mbwa ni hayawan wake kobe punda, n.k mbona hukuzungumzia hlo au ww na jamii yako mnakula kila hayawani madam niwa mungu?

  • @JOHNCENA-lc2ju
    @JOHNCENA-lc2ju Месяц назад

    Huyu mwalimu anatetea nyama ya nguruwe anadanganya watu tu!

  • @mohamedhussein3583
    @mohamedhussein3583 Месяц назад

    Jambo muhimu ni kwamba kimeharamishwa sio kusema waislamu na vibakarashia hayo ni makosa kama wanavyokosea mtu yeyeto

  • @hajiramadhani2060
    @hajiramadhani2060 Месяц назад

    Ina MAANA AGANO LA KALE KWENYE BIBLIA HALIFAI? Au kitabu Cha WALAWI HALIFAI? Itolewe Andiko kwenye Bibliaa😊

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl Месяц назад

    Elimu Elimu Elimu. @ Alimkataza nani ? Ktk Aya Gani ? Ok

  • @GwidoSinsungwe
    @GwidoSinsungwe Месяц назад

    Alianza vizur ila Biblia hamna kichwani

  • @hamynas
    @hamynas Месяц назад

    kwa hali ilivyo nguruwe hawezi ishi ktk mazingira hamna wanyama wengine sababu yeye ni mnyama anaekula mizoga...ataishi vipi peke ake bila mizoga?

  • @joachimjames5070
    @joachimjames5070 Месяц назад +1

    Unapotosha maandiko na wala hujui unachokisema

  • @SaleheKijazy
    @SaleheKijazy Месяц назад

    Yani kwenye kujibu nguruwe haramu ume toa andiko vzr tuu na nguruwe katajwa. Iweje kwenye kuthibitisha kwamba ngurue NI halali maneno mengi sana mtumishi. Unge toa andiko mungu ansema ngurue kuleni lkn maneno tele. Toa andiko kila kinacho tambaa kuleni mle hata binadamu mwenzio. Wewe ume feli ndugu

  • @ibrangowo6185
    @ibrangowo6185 Месяц назад

    SASA NYIE MNAOKULA INA MAANA MNAPINGANA NA MUNGU? AU NYIE MNAJUA KULIKO MUNGU?

  • @petersulle1937
    @petersulle1937 Месяц назад +2

    Usidanganye watu, Mungu hana kigeugeu,