Mwl hebu ufafanue kwa Kina Moja kati ya andiko ambalo linatamka kuwa au kumhusisha mungu na ujinga/upumbavu likisema kuwa ujinga wa mungu ni hekima Kwa mwanadamu, nimewasilisha
Nyinyi wakristo mnashindwa kujielewa uyahudi na ukiristo ni dini tofauti wakristo mnajipendekeza kwa wayahudi wakati vitabu vyenu vinasema wayahudi walimkataa yesu na kumsulubi. Wayahidi wana vitabu vyao na ibada zao na ukiristo una ibada zake na kitabu chake
Ansante mwarimu Mimi nahona umesoma Sana Mimi nauriza munisaidiye kwa kuelewa hivi, Watu hapa duniani Wanaabudu MUNGU MUUMBAJI Kwamajina tofauti Jee, MUNGU WAKWERI , tunaeza kutumiya Jina gani ???
Shalom naomba kuuliza kama Ibrahim alikuwa muiraq kabila mkaridayo, je inakuwaje kizazi chake waitwe wayahudi? na je neno wayahudi lilitoka wapi Mimi Niko kigoma amen
Kipindi cha ibrahim uyahudi haukuwapo. Ibrahim alikuwa na watt wawili, wa kwanza ni zao la utumwa ambae ni ismail, ni yule atokae kwa muungwana ambaye ni isaka. Isaka alimzaa yaacob yakobo aliowa wake wanne na wakeze walizaa watoto 12 ambao ndio wana wa israel. Katika watoto hao ndio yupo yuda, benjamin, yusuf,levi,gadi,manase, na wengine kwa idadi yao walikuwa watoto 12 ambao ndio makabila 12 ya wana wa israel. Yaani ni watoto 12 walio zaliwa na yakobo. Baada ya utawala ya solomon kuondoka hawa waligawanyika makabila kumi yakawa tofauti na makabila mawili ambayo ni kabila la yuda na benjamin. Kipindi walipo tawanyika sasa na ibada zao watu ambao walio kuwa sio waisrael yaani wapagani ndio wakapa jina kuwa hawa ni wayuda, judism, wayahudi, hii yote ni maana moja. Na waliitwa hivi kwakuwa ufalme wao ulitoka katika kabila la yuda. Hii ndio maana ninayo juwa mimi. Ukiwa una shaka uliza sehem nyingine elim ni bahari😊
@@PaurothyAcademy kizazi Cha yuda waliasi na kukataa kufuata utaratibu wa babu yao yaani yakobo (Israel) waligeukia upande wa pili wakawa wapagani, hawa ndio walio ungana na watu kutoka mashariki wakaleta uzayuni katikati ya kondoo wa bwana
Yani mtu kukuelewa hapa mada hii, uwepo wa mungu awe kalibu sana nae tumedanganywa sana ila hata kwa mifano tu fananisha mambo yanayoendelea izraeli na urusi ndipo utaelewa kuwa hata biblia sio kusoma inaitaji elimu zaidi mungu hatupe elimu kwa swala ili
Ngoja nikupe kisa hiki mwaka 1967 wakati Apollo 11 ilipokwenda katika mwezi makanisa mengine yalisema ni mwisho wa Dunia na waumini waliingia makanusani kuomba mungu.wakati huo Mimi nilikuwa iringa kanisa la kkkt mjini niliwaona. Kwa hiyo wahubiri tangu zamani waongo.
Babel kwa Sasa inge kuwepo Iraq ktk mji wa Baghdad lakini ulisha potea uo mji umekuwa jangwa na poli la wanyama wa baya kama kitabu Cha isaya lilivyo SEMA juu ya mji huo na mji wa efeso alikuwepo Uturuki ya Sasa lakini mji huo ume alibiwa na kuwa maeneo ya kihistoria Bwana Ali upiga sababu watu wake Hawa kumtii.
uyu anabwabwaja tu ana machimbuko ya kuelimisha watu anadandia dandia tu taifalamungu linaruhusu ushoga kweli mmmh akunakitu apo umuezi nabii elia chuma kile kinakupa mambo na mifanoyake
Ila itambulike kwamba marekani wenye uwezo mkubwa kule ni wayahudi wa marekani kumbuka kwamba marekani nitaifa lililo changanyika makabila mengi Sasa mwalimu uneshindwa kuelewa kuwa waisrael wengi milioni zaidi ya nane wapo kwenye nchi za ulaya na marekani chunguza vizuri, Ingawa una uwelewa mkubwa ktk kufuatilia ila Fanya utafiti waarabu Bado sana wapo chini sana hata Irani Ina uwezo ndogo kwa Israel
Jibu sahihi ni hili someni BIBILIA achen uongo we ujui first Ibrahim alizaa na ajiri ishumaeli Sarah akamzaa Israel badae kabisa Sara alikufa akaoa mke wa tatu anaitwa ketura ketura akazaa warashia
Yaani ipo Hivi Kusema kuwe Israel ni Taifa la Mungu Haimaanishi Lazima initetee Moja Kwa Moja yenyewe Mungu Anaweza Inua mtu mwingine Akutetee Tofauti na Wewe Na Haimaanishi Israel Anaweza Kila kitu hapana Mungu aliumba wanadamu wote Na kuwapa Akili Nyingi tu Sema Tunatofautian Kusudi
Mwl hebu ufafanue kwa Kina Moja kati ya andiko ambalo linatamka kuwa au kumhusisha mungu na ujinga/upumbavu likisema kuwa ujinga wa mungu ni hekima Kwa mwanadamu, nimewasilisha
Mwalimu wa neno la Mungu. Mungu azidi kukubariki ktk haya mafunuo ya kibiblia
Uwo indiyo ukweli mwalimu ongela sana
Kwangu mimi kama kweli taifa teule lamungu walikuwa watu weupe basi mimi huwa naamini niurusi maana nitaifa ambalo limetengwq kwamiaka mingi sana
Kweli wewe Issaya Benson Mungu akulinde sana mwalim wa walimu unafundisha vizuri tunakuomba uanzishe chuo hurub
Kweli kbs
Hujui chochote
Kwakweli ni mekuelewa vizuri
Urusi na izirael ni marafiki sana mafundi wengi wa urusi ni waiziraei
Hujielewi wew
Nyinyi wakristo mnashindwa kujielewa uyahudi na ukiristo ni dini tofauti wakristo mnajipendekeza kwa wayahudi wakati vitabu vyenu vinasema wayahudi walimkataa yesu na kumsulubi. Wayahidi wana vitabu vyao na ibada zao na ukiristo una ibada zake na kitabu chake
Ansante mwarimu
Mimi nahona umesoma Sana
Mimi nauriza munisaidiye kwa kuelewa hivi,
Watu hapa duniani
Wanaabudu MUNGU MUUMBAJI
Kwamajina tofauti
Jee, MUNGU WAKWERI , tunaeza kutumiya
Jina gani ???
Shalom naomba kuuliza kama Ibrahim alikuwa muiraq kabila mkaridayo, je inakuwaje kizazi chake waitwe wayahudi? na je neno wayahudi lilitoka wapi Mimi Niko kigoma amen
Kipindi cha ibrahim uyahudi haukuwapo. Ibrahim alikuwa na watt wawili, wa kwanza ni zao la utumwa ambae ni ismail, ni yule atokae kwa muungwana ambaye ni isaka. Isaka alimzaa yaacob yakobo aliowa wake wanne na wakeze walizaa watoto 12 ambao ndio wana wa israel. Katika watoto hao ndio yupo yuda, benjamin, yusuf,levi,gadi,manase, na wengine kwa idadi yao walikuwa watoto 12 ambao ndio makabila 12 ya wana wa israel. Yaani ni watoto 12 walio zaliwa na yakobo. Baada ya utawala ya solomon kuondoka hawa waligawanyika makabila kumi yakawa tofauti na makabila mawili ambayo ni kabila la yuda na benjamin. Kipindi walipo tawanyika sasa na ibada zao watu ambao walio kuwa sio waisrael yaani wapagani ndio wakapa jina kuwa hawa ni wayuda, judism, wayahudi, hii yote ni maana moja. Na waliitwa hivi kwakuwa ufalme wao ulitoka katika kabila la yuda. Hii ndio maana ninayo juwa mimi. Ukiwa una shaka uliza sehem nyingine elim ni bahari😊
V@@dinocastico8495uko sahihi sana
@@dinocastico8495upo saw
Kwa hiyo wayaudi kwa kifupi ni wapagani..??
@@PaurothyAcademy kizazi Cha yuda waliasi na kukataa kufuata utaratibu wa babu yao yaani yakobo (Israel) waligeukia upande wa pili wakawa wapagani, hawa ndio walio ungana na watu kutoka mashariki wakaleta uzayuni katikati ya kondoo wa bwana
Baada ya vita ya pili ya dunia warusi na wamarekani walichukua wanasayansi wengi sana wa israeli
Mwalimu kwa Nini haupanake ao. Hauandikake namba yako kwenye vldio zako ? Unijibu aoutupatie namba zako
Huyu dada in short nampenda ntaman kuoa mosh mm
Mathayo 24:36 Hakuna ajuaye siku ya mwisho wadunia hata Malaika wa Mbinguni ila Baba
Ila Mungu sio baba yako sasa
We naye ni hamna kitu!!! Maneno mengi tu!!! Hovyo!!!
Utaki kuambiwa ukweli undy maana utaki kusikia
Yani mtu kukuelewa hapa mada hii, uwepo wa mungu awe kalibu sana nae tumedanganywa sana ila hata kwa mifano tu fananisha mambo yanayoendelea izraeli na urusi ndipo utaelewa kuwa hata biblia sio kusoma inaitaji elimu zaidi mungu hatupe elimu kwa swala ili
Hata wewe muongo sana, unapenda. Kujikweza,, hujui lolote
Achaneni na utumwa huo
Ngoja nikupe kisa hiki mwaka 1967 wakati Apollo 11 ilipokwenda katika mwezi makanisa mengine yalisema ni mwisho wa Dunia na waumini waliingia makanusani kuomba mungu.wakati huo Mimi nilikuwa iringa kanisa la kkkt mjini niliwaona. Kwa hiyo wahubiri tangu zamani waongo.
Gogu na magogu ni mataifa yanayo jiandaa kupambana na Israel acha uongo.
Tudhitishie co kshutumu tu
Mwalimu naomba kulipa kwenye biblia Kuna majina ya zamani kama efeso na babeli kalidayo miji hiyo kwa sasa inaitwaje?
Babel kwa Sasa inge kuwepo Iraq ktk mji wa Baghdad lakini ulisha potea uo mji umekuwa jangwa na poli la wanyama wa baya kama kitabu Cha isaya lilivyo SEMA juu ya mji huo na mji wa efeso alikuwepo Uturuki ya Sasa lakini mji huo ume alibiwa na kuwa maeneo ya kihistoria Bwana Ali upiga sababu watu wake Hawa kumtii.
Hujui kitu bab tatafuta walimu wakuelekeze kwanza huamini uwepo wa taifa la Israel
Elezea bs wewe tujue
Tatizo mmekaririshwa propaganda za Kizayuni,eti Israel ni taifa teule 😂😂😂😂😂😂
Gogu la magogu ndiyo NATO na warusi ndiyo waisrael halisi tofautisha wayahudi na waisrael wayahudi ni mtoto mmojawapo wa Israeli yaani yakobo😮
uyu anabwabwaja tu ana machimbuko ya kuelimisha watu anadandia dandia tu taifalamungu linaruhusu ushoga kweli mmmh akunakitu apo umuezi nabii elia chuma kile kinakupa mambo na mifanoyake
Tafuta maarifa usikalili ata sisi wakristo ila ni kwl kabisa wa israel wa mchongo ni mashoga kma unabisha njoo na fact sio una bwabwaja
Ila itambulike kwamba marekani wenye uwezo mkubwa kule ni wayahudi wa marekani kumbuka kwamba marekani nitaifa lililo changanyika makabila mengi
Sasa mwalimu uneshindwa kuelewa kuwa waisrael wengi milioni zaidi ya nane wapo kwenye nchi za ulaya na marekani chunguza vizuri,
Ingawa una uwelewa mkubwa ktk kufuatilia ila Fanya utafiti waarabu Bado sana wapo chini sana hata Irani Ina uwezo ndogo kwa Israel
Jibu sahihi ni hili someni BIBILIA achen uongo we ujui first Ibrahim alizaa na ajiri ishumaeli Sarah akamzaa Israel badae kabisa Sara alikufa akaoa mke wa tatu anaitwa ketura ketura akazaa warashia
Una tabia ya ku undermine sana Israel wew ni adui wa taifa la Mungu Aya wew tuambie taifa teule la Mungu ni lipi?
Safiiii sana 😂😂😂😂😂😂
Mataifa mengine ya nani?
Yote ni mataifa ya mungu Au wewe unataifa lako la shetani.
Yaani ipo Hivi Kusema kuwe Israel ni Taifa la Mungu Haimaanishi Lazima initetee Moja Kwa Moja yenyewe Mungu Anaweza Inua mtu mwingine Akutetee Tofauti na Wewe Na Haimaanishi Israel Anaweza Kila kitu hapana Mungu aliumba wanadamu wote Na kuwapa Akili Nyingi tu Sema Tunatofautian Kusudi
Unasemea Israel hipii? Hiyo fake? Hao Khazars au unasemea hipii? Ata Putin anajua hao Israel ni fake