Nakubaliana wewe mwalimu Isaya kwa asilimia 100, ni kweli Ulaya hakuna historia. Lakini pia vifaa vingi vya kikanisa ni mali ya Africa. Na imani ya kuamini ni jadi ya Africa. Maana huko ulaya imani yao ni ndogo. Wenye imani ya kusali ni wazee sana.
Wewe mwalimu unaniambia Biblia yangu ninayoisoma imetafsiliwa na mzungu mara ooooh imepunguzwa vitabu vingi. Sasa wewe nipe mbadala ili niepukane na hii bible ambayo ipo....me siwez ishi bila chakula cha kiroho ambacho n neno Mungu.
Hiyo unayosoma wewe imetafsiliwa kule Zanzibar mwaka 1952 na biblia za mwanzo zilikuwa na picha ila hizi za sasa hazina na hizo zenye picha saiv huzikuti ni wachache sana
Historia siyo tatizo hata kama identity yako unailewa kwa aina zote kama wewe ambavyo unavyofikiri kama Mwalimu, wokovu watoka kwa Wayahudi hii ni ufunuo wa Roho na inje ya roho huwezi kufaulu kwa historia ,kwa aina ya namna zote za kibinadamu na shetani. 1kor 12:1-4, 1kor 2:10, 2Pet 1:19-21,Mt 16-13-17. Yoh 4:22-24. Kwa haya ukisoma machache hutapotoka kwa sababu ya hiyo fact ya historia kulingana na truth of the revelation of the Spirit of God.Mambo ya Roho wa Mungu hakuna mtu awawezaye kuyajua ni Roho wa Mungu na mtu anayejariwa kufunuliwa na Mungu tu si vinginevyo.Amen
mwalim, B , minaona Yule anaeitwa falao au filauni Yule wa misili Yule alikuwa MTU muhimu Sana uku KUSHI yaani Africa 🌍 wametudanganya eti Mjaa Lana mala alikuwa anajiita MUNGU ,,mmmh niuongo MTUPU alafu SASA vitabu VYA dini wametudanganya vitabu vyote VYA dini ,,
Ni mjinga tu,anayeamini kuwa maskini ni daraja la kumpeleka mbingini. Ukweli ni kwamba hakuna kitu ambacho kinaitwa mbinguni. Wala hakuna jehanamu. Italy ya leo wanafundishwa ukweli, kuliko imani ya kufikirika tu.
Wewe unaejiita mwalimu acha kufichaficha kamaulivyosema ukristo nijina lakutungwa lililo tungwa na wapagani wa Antokia nahakuna Dini inayoitwa ukristo pia hakuna kitabu kinachoitwa bibilia ambacho nikitabu cha mungu vitabu ambavyo mungu aliwaoa mitume wake ni taurati ingiri zaburi na Quran
Mwalim Isaya Benson naulizia swali gumu sana unijibu naomba kwenye kitabu Cha Ezekiel biblia anasema Ezekiel 47:: 12 unasemaje matuya mtu huo ni chakula na majani ni dawa je mtu huo ni mtu Gani ambao inatoa matunda
DUH! BIBLIA NYINGINE INA VITABU 77, NYINGINE 66, SASA TUANAAMBIWA NYINGINE INA VITABU 88 Ndugu zangu, hili jambo si la kawaida. Kuna Siri ipi waliamua kuficha?
Moja ya sababu kubwa eathiopia nchi ilikuwa moja. Lakini sisi hatukuwa wa Moja wanyakyusa walikuwa na utawala wao wahehe wagogo wamakonde karibuni makabila yote yalikuwa hayatambuani fikiria mkoa wa mbeya wamalila walikuwa na mtawala jirani yake msafa alikuwa na utawala wake mlambya, mndali ,msangu ,mnyiha wote hawa walikuwa majirani lakini walikuwa hawajuani na akili ya kuwa pamoja walikuwa hawana. Walambya na wandali mpaka Leo kiutawala wanashirikiana na wamalawi.mara ya mwisho Mimi nilikuwa ileje mwaka 1985 baada ya mwene ambaye alikuwa huku Tanzania alitawazwa Toka Malawi kwa kuvuka songwe kupitia upigu kwa Tanzania. Lakini kupata ukubwa huo ilikuwa shughuli. Kwa sisi tingekuwa tunajutambua kama watanganyika mzungu asingetawala.
Sheikh hao hao wazungu ndio walitutenganisha kiakili,maana wangempiga Mhithiopia angetawanyika na hiyo bible, walipoona hivyo wakamuacha atulie pale, wao wakaja ku devide and rule
Bro Azizi, kasome historia ya Kilwa ndiyo utajua wazungu walizifanya nini tawala za kiafrika hasa walivyoliporomosha dola la dhahabu la Kilwa ambalo makabila yote ya Afrika Mashariki ndiyo waliokuwa raia wake. Hao machifu walikuja baadae sana baada ya serikali yao kuu kusarambatishwa na wazungu kwa mabigano ya vita zaidi ya 600. Waliizingira Afrika Mashariki kwa mapambano makali ya kivita ili kuteka biashara ya dhahabu ambao kwa zama hizo ulimwengu biashara hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Kilwa, Kilwa ndiyo iliyokuwa wauzaji wakuu wa dhahabu duniani. Kwa hiyo kama wafanyavyo sasa wazungu kuzivamia nchi zenye mafuta na kusarambatisha tawala zake na Kilwa waliifanyia hivyo hivyo, na haikuwa rahisi kuidondosha kama unavyofikiria, wazungu iliwachukua karne zaidi ya tatu kuidondosha Kilwa na kuitawala.
Mwalimu Twambie kwanini Misri haisemwi vizuri kwenye Biblia pamoja na kwamba ilimhifadhi IBRAHIM akiwa na njaa, YAKOBO NA WATOTO WAKE wakiwa na njaa hata wakawa Taifa Kubwa na hatimaye YESU kwa miaka 17?
Hakika hawa Wazungu wamedanganya kuhusu ukweli,,, Hata aliyekuwa Waziri mkuu wa Misri, Gamalel alitoa Speech akisema( Siwezi kuwaeshimu hawa Waisrael walioko Middle East kwa Kuwa Waliondoka wakiwa Black wakarudi wakiwa White..
Unaweza kuniambia ile dini ya Kiyahudi wameipataje??? Na kwa nini hao Wayahudi mnaosema sio halisi, wanamkataa Yesu. Wanasema wanamwamini Musa. Kwa nini wamwamini Musa wakakati sio Wayahudi halisi? Wayahudi mnaosema ni halisi (black), je wanamwamini Musa na wanamtambua kuwa yeye ndiye mwasisi wa torati, yaani dini ya Kiyahudi?
Wayahudi ni weusi tena!!!! Haya mambo mnayapata wapi nyie!!!! Tangu lini Myahudi akawa mweusi!!!!!! Nakuuliza kwa mshangao…! Ndugu zake wa Israeli si ni Waarabu? Kwa nini kuna uadui kati ya Waarabu na Wayahudi? Huu uadui unatokana na nini wakati hao sio Wa Israeli halisi? Unapojifunza kitu, jifunze dhimiri yako ikiwa huru.
@BarnabaBuhoma Walichukua utambulisho wa Wengine hata hiyo Dini awakuwa nayo,,, Hao ni Khazars Kiongozi wao Aliitambulisha Dini ya Kiyahudi kwao wakaipokea na huo ni mkakati maalumu wakuja kutawala kupitia Hilo( lakini hao Awana uhusiano wowote na Shem mwana wa Nuhu,, hao ni Japhet
@BarnabaBuhoma Ndio na ushahidi upo ndio maana tamaduni zingine zipo Kwa watu weusi ukichunguza unakuta zipo kwenye Biblia,, ushangai Kwa nini wao awazifuatii Kwa sababu wao ni fake
@@BarnabaBuhoma Unashangaa nini Waarabu wenyewe wanajua ukweli kwamba wale sio Wayaudi wa kweli,, Wale ni Khazars, na fuatilia vitabu utagundua kwanini Waarabu wakagombana na Khazars ndio utajua ukweli..... Usiwaamini Wazungu Kwa sababu Walibadilisha Kila kitu ili kuweza kutawala .... Jee nikikuambia hata Biblia asilimia karibua yote inamuelezea Mtu mweusi kuanzia Adamu na Manabii wote utaniamini?
Wala hawez kuwa mzungu inategemea na genetic...ndo maan mzungu pure hawz kufanana na mtu alie changanya damu...trump hata umweke na Barack Obama hawawez fanana
@@dandy_unique Hii Wachina Walitawaliwa Wanaijeria mbona Wanajitahid Na Asil Ya Majina Yao Badilisha mtazamo Ww..Angalia Hata Wahind Pia Wote Wa..🧔🧔Litawaliwa
Hongera SANA mwalimu, unamadini mengi SANA kichwanimwako
Nakubaliana wewe mwalimu Isaya kwa asilimia 100, ni kweli Ulaya hakuna historia. Lakini pia vifaa vingi vya kikanisa ni mali ya Africa. Na imani ya kuamini ni jadi ya Africa. Maana huko ulaya imani yao ni ndogo. Wenye imani ya kusali ni wazee sana.
Wewe mwalimu unaniambia Biblia yangu ninayoisoma imetafsiliwa na mzungu mara ooooh imepunguzwa vitabu vingi. Sasa wewe nipe mbadala ili niepukane na hii bible ambayo ipo....me siwez ishi bila chakula cha kiroho ambacho n neno Mungu.
Hiyo unayosoma wewe imetafsiliwa kule Zanzibar mwaka 1952 na biblia za mwanzo zilikuwa na picha ila hizi za sasa hazina na hizo zenye picha saiv huzikuti ni wachache sana
Historia siyo tatizo hata kama identity yako unailewa kwa aina zote kama wewe ambavyo unavyofikiri kama Mwalimu, wokovu watoka kwa Wayahudi hii ni ufunuo wa Roho na inje ya roho huwezi kufaulu kwa historia ,kwa aina ya namna zote za kibinadamu na shetani. 1kor 12:1-4, 1kor 2:10, 2Pet 1:19-21,Mt 16-13-17. Yoh 4:22-24. Kwa haya ukisoma machache hutapotoka kwa sababu ya hiyo fact ya historia kulingana na truth of the revelation of the Spirit of God.Mambo ya Roho wa Mungu hakuna mtu awawezaye kuyajua ni Roho wa Mungu na mtu anayejariwa kufunuliwa na Mungu tu si vinginevyo.Amen
Ni sawa lakin kuijua historia ni muhimu pia
@@Brunoh90Tv Kuijua historia ni muhimu coz bila kuijua historia unawaza kupotea (unatakiwa kujua ulipotoka, ulipo na unapokwenda)
Haijalishi Yesu awe mweupe au mweusi ishu ni UPENDO
Upendo bila matendo umekufa acha ujinga uishi
mwalimu upo deep sana
mwalim, B , minaona Yule anaeitwa falao au filauni Yule wa misili Yule alikuwa MTU muhimu Sana uku KUSHI yaani Africa 🌍 wametudanganya eti Mjaa Lana mala alikuwa anajiita MUNGU ,,mmmh niuongo MTUPU alafu SASA vitabu VYA dini wametudanganya vitabu vyote VYA dini ,,
kusema kwali sauti kidogo iko chini
Mwalimu Isaya, tukuombe uitafute hiyo biblia ya Ethiopia ili tujipange kufanya tafasiri. Kisha tufanye uchambuzi kamili.
Mungu akubariki sn
Ni mjinga tu,anayeamini kuwa maskini ni daraja la kumpeleka mbingini. Ukweli ni kwamba hakuna kitu ambacho kinaitwa mbinguni. Wala hakuna jehanamu. Italy ya leo wanafundishwa ukweli, kuliko imani ya kufikirika tu.
Mwalimu Benson ana malengo na makusud ya kuuwa watu kiroho, sasa unaniambiya kitu fulan hakifai alafu hunip mbadala.🤬
😢
Safi sana mwalim mabonimazuri tunaelimika vyema
Ishu na sisi tuipate hiyo Bible kama si hivyo wote n waongo tu
Wewe unaejiita mwalimu acha kufichaficha kamaulivyosema ukristo nijina lakutungwa lililo tungwa na wapagani wa Antokia nahakuna Dini inayoitwa ukristo pia hakuna kitabu kinachoitwa bibilia ambacho nikitabu cha mungu vitabu ambavyo mungu aliwaoa mitume wake ni taurati ingiri zaburi na Quran
Hun akili unatumia mihemuko balada ya akili
acha kusikiliza kina mazinge wale hawana akili ni mpinga kristo wale
Me binafsi mwalimu hanilidhishi hata kidogo...na vitu anavyo visema
Kwanza badilisha jina hilo ndio utaelewa unasoma kama gazeti na siyo kuelewa
Kwahiyo esau ni mmarekani sindio
HAWA WARUSI WATUONDOLEE BIBLIA ZAO TOKA LINI MKRISTO AKUELEZEE KURUANI TUWAULIZE WATU WA KITABU
Mwalim Isaya Benson naulizia swali gumu sana unijibu naomba kwenye kitabu Cha Ezekiel biblia anasema Ezekiel 47:: 12 unasemaje matuya mtu huo ni chakula na majani ni dawa je mtu huo ni mtu Gani ambao inatoa matunda
Mti au mtu hujaeleweka
💪💪💪
Ukristo apo tu ndo unanishida mm jan kila mtu na bibilia yake mh
tunaposema shetani anapambana na wana wa Mungu maana yake anapambana na ukristo.shetani hapambani na uislamu au na Quran anapambana na biblia
DUH! BIBLIA NYINGINE INA VITABU 77, NYINGINE 66, SASA TUANAAMBIWA NYINGINE INA VITABU 88
Ndugu zangu, hili jambo si la kawaida. Kuna Siri ipi waliamua kuficha?
🤔🤔✍️✍️🙏🙏
Moja ya sababu kubwa eathiopia nchi ilikuwa moja. Lakini sisi hatukuwa wa Moja wanyakyusa walikuwa na utawala wao wahehe wagogo wamakonde karibuni makabila yote yalikuwa hayatambuani fikiria mkoa wa mbeya wamalila walikuwa na mtawala jirani yake msafa alikuwa na utawala wake mlambya, mndali ,msangu ,mnyiha wote hawa walikuwa majirani lakini walikuwa hawajuani na akili ya kuwa pamoja walikuwa hawana. Walambya na wandali mpaka Leo kiutawala wanashirikiana na wamalawi.mara ya mwisho Mimi nilikuwa ileje mwaka 1985 baada ya mwene ambaye alikuwa huku Tanzania alitawazwa Toka Malawi kwa kuvuka songwe kupitia upigu kwa Tanzania. Lakini kupata ukubwa huo ilikuwa shughuli. Kwa sisi tingekuwa tunajutambua kama watanganyika mzungu asingetawala.
Sheikh hao hao wazungu ndio walitutenganisha kiakili,maana wangempiga Mhithiopia angetawanyika na hiyo bible, walipoona hivyo wakamuacha atulie pale, wao wakaja ku devide and rule
✍️✍️
Bro Azizi, kasome historia ya Kilwa ndiyo utajua wazungu walizifanya nini tawala za kiafrika hasa walivyoliporomosha dola la dhahabu la Kilwa ambalo makabila yote ya Afrika Mashariki ndiyo waliokuwa raia wake. Hao machifu walikuja baadae sana baada ya serikali yao kuu kusarambatishwa na wazungu kwa mabigano ya vita zaidi ya 600. Waliizingira Afrika Mashariki kwa mapambano makali ya kivita ili kuteka biashara ya dhahabu ambao kwa zama hizo ulimwengu biashara hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Kilwa, Kilwa ndiyo iliyokuwa wauzaji wakuu wa dhahabu duniani. Kwa hiyo kama wafanyavyo sasa wazungu kuzivamia nchi zenye mafuta na kusarambatisha tawala zake na Kilwa waliifanyia hivyo hivyo, na haikuwa rahisi kuidondosha kama unavyofikiria, wazungu iliwachukua karne zaidi ya tatu kuidondosha Kilwa na kuitawala.
Sasa nyie mnatuelimisha bila kutupa muongozo tunaotakiwa kwenda nao....mtaonekana niwaongo hakuna ukwel hapo
CK ulikuwa kutofautisha siasa na dini utapona akili zako
Nahitaji sana kusoma kitabu cha Henoko .
@@LaurenceKagoma ili UjuweSir Za Kichaw Ee🧔🧔
Huna lolote ww yesu chimbuko ni. Ibrahimu wa irak aliyehamia israel ya leo iweje uhusishe yesu na ethiopia elimu ndogo ya uongo danganya wengine
Ufunuo 22 mstali wa 1 na wa 2 inauliza mtihuo ni mtu Gani?
Vitabu vipo 81 nilimuuliza kuna jamaa zangu ethiopia
KOLESHI NDIO DHUL KAINAIN KATIKA UISLAM
Bibilia imetugwa na nn? Hizo hadithi tu.
Kwahiyo wanaosema yesu alitumwa kwa wayahudi kumbe ndo sisi waafrika
Ndio ila sio wayahudi, wana wa Israel
Uyahudi ni dini, watu wengi wanachanganya Uyahudi na Wana wa Israel
Mwalimu Twambie kwanini Misri haisemwi vizuri kwenye Biblia pamoja na kwamba ilimhifadhi IBRAHIM akiwa na njaa, YAKOBO NA WATOTO WAKE wakiwa na njaa hata wakawa Taifa Kubwa na hatimaye YESU kwa miaka 17?
Fanyautaratibu wa kupata hivyo vitabu 88 na siyo 66.
Hakika hawa Wazungu wamedanganya kuhusu ukweli,,, Hata aliyekuwa Waziri mkuu wa Misri, Gamalel alitoa Speech akisema( Siwezi kuwaeshimu hawa Waisrael walioko Middle East kwa Kuwa Waliondoka wakiwa Black wakarudi wakiwa White..
Unaweza kuniambia ile dini ya Kiyahudi wameipataje??? Na kwa nini hao Wayahudi mnaosema sio halisi, wanamkataa Yesu. Wanasema wanamwamini Musa. Kwa nini wamwamini Musa wakakati sio Wayahudi halisi? Wayahudi mnaosema ni halisi (black), je wanamwamini Musa na wanamtambua kuwa yeye ndiye mwasisi wa torati, yaani dini ya Kiyahudi?
Wayahudi ni weusi tena!!!! Haya mambo mnayapata wapi nyie!!!! Tangu lini Myahudi akawa mweusi!!!!!! Nakuuliza kwa mshangao…! Ndugu zake wa Israeli si ni Waarabu? Kwa nini kuna uadui kati ya Waarabu na Wayahudi? Huu uadui unatokana na nini wakati hao sio Wa Israeli halisi? Unapojifunza kitu, jifunze dhimiri yako ikiwa huru.
@BarnabaBuhoma Walichukua utambulisho wa Wengine hata hiyo Dini awakuwa nayo,,, Hao ni Khazars Kiongozi wao Aliitambulisha Dini ya Kiyahudi kwao wakaipokea na huo ni mkakati maalumu wakuja kutawala kupitia Hilo( lakini hao Awana uhusiano wowote na Shem mwana wa Nuhu,, hao ni Japhet
@BarnabaBuhoma Ndio na ushahidi upo ndio maana tamaduni zingine zipo Kwa watu weusi ukichunguza unakuta zipo kwenye Biblia,, ushangai Kwa nini wao awazifuatii Kwa sababu wao ni fake
@@BarnabaBuhoma Unashangaa nini Waarabu wenyewe wanajua ukweli kwamba wale sio Wayaudi wa kweli,, Wale ni Khazars, na fuatilia vitabu utagundua kwanini Waarabu wakagombana na Khazars ndio utajua ukweli..... Usiwaamini Wazungu Kwa sababu Walibadilisha Kila kitu ili kuweza kutawala .... Jee nikikuambia hata Biblia asilimia karibua yote inamuelezea Mtu mweusi kuanzia Adamu na Manabii wote utaniamini?
Kasilimu tu bwana mambo ya kuhangaika na biblia a Hana nayo Huna msaada zaidi ya hixo siasa za iharibifu
Unaumia mtu akisema iliokweli 😂😂😂😂😂😂 pole sana ndio dunia hiyo
Akasilimu uisilam ni wa mwarabu na ye ni mweusi,uo uislam haumuusu ,mwache abaki kwenye ukristo wa kiafrica,wa orthodox
Wewe muongo christopher columbus portuigese
Mimi nauliza kama wa Africa ni watu waliobarikiwa kwanini muafrica akizaa na mzungu,mtoto anaezaliwa anakua mzungu na sio wa rangi nyeusi?
Wala hawez kuwa mzungu inategemea na genetic...ndo maan mzungu pure hawz kufanana na mtu alie changanya damu...trump hata umweke na Barack Obama hawawez fanana
Half-caste,mzungu na mtu mweusi anaweza kuzaliwa ktk Generation tofauti ndani ya muda fulani
Mbona.wewe unapoteza utamaduni wako maana sasa unaitwa isaya benzoni huo siniutumwa
😁😁
kwasbabu tulitawaliwa