MIAKA 19 YESU ALIYOPOTEA ALIKUWA ANAFANYA NINI? KUANZIA MIAKA 12 MPAKA 30 WAKATI ANAANZA HUDUMA?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии •

  • @juvenariuspaul6044
    @juvenariuspaul6044 29 дней назад +1

    na hapo hautaweza kumuelezea vizuri pia NENO lake! Ukiyazingatia haya utamshangaa sana Mungu! UTUME MWEMA !!

  • @BakariKapi
    @BakariKapi 10 месяцев назад +1

    Mimi nakupongeza sana mwalimu ISAYA BENSON MWAKILEMBE! Nakusikiliza sana, uko vizuri hata msahafu umedadavua vilivyo!

  • @babumrisha
    @babumrisha 11 месяцев назад +2

    Interesting...

  • @GasparMacha-sm3xk
    @GasparMacha-sm3xk 11 месяцев назад +1

    Asante sn Mwalimu wetu mkuu ...mm naamini kuwa una kibali kikubwa cha Mungu ....naomba wasemehe Bure hao wanaokutukana kwn hawajuwi watendalo...Hata Yesu alitemewa mate na kutukanwa ....Naomba endelea kutufunulia mambo hayo ya Siri ndani ya Biblia na nje ya Biblia.Natumaini yataendelea kuijenga kuikuza Imani zetu zaidi Kwa Mungu na mwanae Yesu Kristo na Roho Mtakatifu.
    UWE NA MOYO MKUU daima

  • @RoseMwanga
    @RoseMwanga 11 месяцев назад +3

    Asante MUNGU wa Mbingu na Nchi kwa Mwl Huyu wa Chuo Kikuu Cha Manabii Hakika Mungu amekupa Neema ya Pekee

  • @rachaelnyongesa9813
    @rachaelnyongesa9813 Год назад +2

    Asante mwalimu kwa mafundisho mazuri

  • @busanyadeogratius2229
    @busanyadeogratius2229 Год назад +5

    Mwlm natamani uyaone haya maswalivyangu. No 1. Kwenye mwanzo 1 Kuna sehemu inasema" Giza lilikuwa juu ya uso wa wa vilindi vya maji" sasa kwanini Giza lianze kutajwa kwanza kabla ya muru? Wakati MUNGU ni WA Nuru na alikuwa gizani mda wote huo.je Giza Lina nguvu kuliko Nuru? Maana limeanza kutajwa kabla ya Nuru. No 2. Wanefili walitoka wapi na waliishia wapi? Kwanini bibilia imenyamaza kuhusu wao. No 3.bibilia inaposema kizazi Cha nyoka huwa inamaana Gani? No 4.kwanini tunaona mwisho wa Elia nabii lkn hakuna mwanzo wake yaani alitoka wapi na ndg zake ni wapi. No 5.je bibilia inaponyamaza juu ya kitu au mtu au habari Fulani ,tunaruhusiwa kuweka au kusema lolote juu yake.

  • @noahsgtv3438
    @noahsgtv3438 Год назад +2

    Ubarikiwe sana Mwalimu 🎉

  • @masabarakizajustin5868
    @masabarakizajustin5868 10 месяцев назад +1

    Ubarikiwe tena Mwl. IBM.

  • @raphaelassenga554
    @raphaelassenga554 11 месяцев назад +1

    Umefanya kazi nzuri sana Mwalimu.

  • @henryludath3139
    @henryludath3139 4 месяца назад

    Amina mtumishi

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 Год назад +2

    Nakukubali sana mwakilembe hujawahi ongea pumba japo mm sio mkristo lkn uwa nakuelewa

  • @jacksonmbena5410
    @jacksonmbena5410 Месяц назад

    asante

  • @work24onme
    @work24onme Год назад +2

    Holy Spirit Amen 🙏🏼
    Asante sana mwalimu, God Bless YOU, Amen 🙏🏼

  • @barakamaliaki1365
    @barakamaliaki1365 3 месяца назад

    Ameeen mwl

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 Год назад +2

    Mungu mwenyewe alichagua Rumi iwe mtawala wa mashariki ya kati(uyahudi) ili njia ya Yesu ktk kuikomboa dunia ipate kutimia kwa kadiri ya mpango wake. Kwa mila za Wayahudi(bila Warumi), Yesu hangeweza kufikishwa hata barazani kujitetea, ambapo kwa kupitia njia hizo zote(za kuhubiri, kufundisha, Kutenda miujiza na hatimaye kuteswa), Mungu aliziona zinafaa. Hata Paulo anakiri kuwa imani ya Warumi inasikika Dunia nzima(Rumi 1:8 -15), na kweli pamoja na kanisa la Rumi kupita ktk sintofahamu nyingi kama ilivyo kwa makundi mengine kama vile wayahudi, walutheri nk bodo ndio kanisa linalo jitahidi kusimamia imani ya ukristo kwa misingi yake ya ukweli. Baadhi ya vikundi vya kidini kujitapa kuwa vinanena kwa lugha sio hoja kwa kanisa la Rumi, kwani hata Mababu zetu na waganga wa kienyeji Afrika bila ya kutaja jina la Yesu wala Roho mtakatifu, nao wananena kwa lugha hizohizo zisizo julikana. Pia kumekuwa na hadaa ya kutenda miujiza na mafanikio hasa kwa Vikundi Vinayochipukia , kumbe hata waganga wa kienyeji na akina Zumaridi bila ya kutaja jina la Yesu wala Roho mtatifu, wanadai wanaponya na kuwapa mafanikio waumini wao. Kwa zumaridi wengine wanafikia kuwa kama mazombi, cha kushangaza hata kwa baadhi ya vikundi vya kilokole Vivyo hivyo. Tujitathimini na Ukristo wetu. Yesu kristo limekuwa ni jina la kuuzwa ili wajanja na wavivu wapate Riziki zao. Hata Yuda Eskarioti hakufikia uovu huo. Wajanza wamembinafsisha Mungu, kwa maana kuwa ni jama yao anawasikiliza wao, sisi wengine tupitie kwao ndo tutasikilizwa na mungu(kwani wao ndio watakatifu). Tumesahau kuwa biblia hiyohiyo tunayotembea nayo kila uchwao kwapani inasema: Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kama kinga yakea.Pia ualikwapo harusini usiketi kiti cha mbele. Pazia la hekalu lilipasuka patakaifu pa patakatifu papo wazi, kwa kila amwitaye Bwana, anaitika hata uwe mdhambi. Hizo theolojia mnazo jifunza vyuoni{kila chuo kina mrengo wake} changanyeni na akili zenu ili Muijue kweli nayo iwape Uhuru.

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 Год назад

      Ujumbe wako umeuandika kwa hasira sana yani mpaka nimeogopa; nisaidie mimi ninayetaka kuelewa kinachokuudhi kwenye haya mambo ya dini ni nn? Maana si kwa hasira hizo khaa!

  • @ishaqally444
    @ishaqally444 4 месяца назад +1

    Kulingana na hati-kunjo, Yesu aliacha Yerusalemu akiwa na umri wa miaka 13 na kuanza kuelekea Sindh, "akikusudia kujiboresha na kujikamilisha katika ufahamu wa kimungu na kusoma sheria za Buddha mkuu". Alivuka Punjab na kufika Puri Jagannath ambako alisoma Vedas chini ya makasisi wa Brahmin. Alitumia miaka sita katika Puri na Rajgirh, karibu na Nalanda, makao ya kale ya kujifunza Kihindu huko India. Kisha akaenda kwenye Milima ya Himalaya, na kukaa muda katika nyumba za watawa za Tibet, ambapo imani ya kibudha zilipo akisoma Ubuddha,jinsi ya kutibu kupitia mikono kwa lugha ya kiingereza inaitwa “Reiki healing technique” ambayo mpaka sasa maeneo ya Asia wanatumia elimu hiyo na imani ya Budhaa, na kupitia Uajemi, akarudi Yerusalemu akiwa na umri wa miaka 29.

  • @belovedson7501
    @belovedson7501 Месяц назад

    yohana 8:58, ambapo Yesu anasema:
    "Yesu akawaambia, ‘Amin, amin, nawaambia, kabla ya Ibrahimu kuwako, Mimi niko.’"
    Yohana 17:5 ambapo Yesu anasema:
    “Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwakosasa alikuwepo tokea kuumbwa kwa ulimwengu alafu asijue LULU ZINAPATIKANA MAENEO GANI Daah

  • @hbdina
    @hbdina 7 месяцев назад

    Nice very good

  • @CharlesMwandusa
    @CharlesMwandusa 9 месяцев назад

    Asante mwalimu

  • @ElishaMwasenga-r6j
    @ElishaMwasenga-r6j 6 месяцев назад +1

    Mtumishi songa mbele na Mungu wa mbinguni atakufunulia mengi tusiyo unajua,

  • @EmanuelMAKAWA
    @EmanuelMAKAWA 11 месяцев назад

    Shalom mwl', kazi ni njema sana!napendekeza kama itawezekana, uandike kitabu cha maswali na majibu, kitakuwa cha msaada sana'asnt.

  • @dunstanRupia
    @dunstanRupia Год назад

    Asante mwalimu. Mungu amekuteua utufundishe kweli tusiyoijua kabla.99%

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Год назад +1

    Asante sana kwa elimu. Inatufungua macho na akili

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 9 месяцев назад

    Unajua sana we jamaa ubarikiwe❤

  • @JOHNK-b9g
    @JOHNK-b9g Год назад +6

    Mimi ni John kutoka DRCongo,nauliza mama wa yesu baada yakumuzaa yesu,je amezaa tena n'a yusufu mumewe wengine watoto ?asante usikose nipa jibu jameni

  • @kennedyonyina6790
    @kennedyonyina6790 Год назад +3

    Hizi zote ni maoni za binadamu, lakini Ile uelewe mahali Yesu christo alikua miaka hizo zingine ni lazima uelewe maana ya Injili....... Kumbuka hii Injili imeandikwa na wanafunzi na mwanahabari.......ya pili umegusia, kuhusu Injili ya Thomaso abaye haiku jumuishwa Kwa bibilia, Madiko inafunza ya kua Yesu alizaliwa Kwa familia maskini.......Iko mafunzo za sikubaliani nazo.

  • @Aminilameki
    @Aminilameki 4 месяца назад

    Upo tayari kwa mwaliko utaratibu ukoje? Hongera saana mwalimu

  • @leopordmulwale6272
    @leopordmulwale6272 8 месяцев назад

    Hadi sasa nakuelewa sana mwl big up

  • @millekasinga9825
    @millekasinga9825 7 месяцев назад

    Umeeleweka mwalimu

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 19 дней назад

    Mwalim safi sana kwa majibu mazuri ni saidia kwani dini ya katoliki na sabato zilitokea wapi ina navyo onesha yesu alizikuto zilitoka wapi na je huko kwenye din kuna mungu wa kweli?

  • @MichaelAbel-s4r
    @MichaelAbel-s4r Год назад

    Unabii ktk maandiko hufuata mkutatha wa Mungu (Roho Mtakatifu) inje yake awayeyoye atachanganya na historia kuonyesha upotofu uliopo sasa, kuhusu Mkutatha wa Mungu wote waokolewe 1tm 2:4-7. Amen

  • @jeremiahzachayo9948
    @jeremiahzachayo9948 8 месяцев назад +1

    Mwalimu embu nifafanulie hapo kutokana na andiki hili la yohana 7:14, kwamba amewezaje kuongea mambo ya elimu wakati yeye akusoma! kwa andiko hili wayaudi wenzake wana sibitisha kuwa Yesu akusoma walikua nae siku zote, naomba ufafanuzi mwl ilinipate kuelewa hapo.

    • @mathiaskalola
      @mathiaskalola 8 месяцев назад

      Nimependa sana rejea yako ndg ni kwel hakuisomea

    • @anoldpotentin2446
      @anoldpotentin2446 5 месяцев назад

      Yesu alikua anajua kila kitu yule alikua ni Mungu kwa 100% na binadamu kwa 100%.

  • @IbrahimKadabla-h2e
    @IbrahimKadabla-h2e 7 месяцев назад

    da wakristo mmepigwa sana

    • @cosmasmwaitete5004
      @cosmasmwaitete5004 6 месяцев назад

      Tunafurahia kupigwa katika ukristo kuliko kule wanakofundishwa ushirikina

  • @nkondokubini7618
    @nkondokubini7618 10 месяцев назад

    Kimusingi uko vizuri endelea kutupa elimu

  • @piustombili9921
    @piustombili9921 2 дня назад

    Yesu Alienda kusoma nini sasa wakati yeye Mwenyewe ni nafsi ya pili ya Mungu ,

  • @Noelkashilila
    @Noelkashilila Год назад +4

    Natamani sana mafundisho yako mwalim upo vizuri unanishawishi kila wakati nikufuatilie napataje namba yako

  • @gonjonashon4856
    @gonjonashon4856 7 месяцев назад

    ❤🎉

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад +1

    Hio sio hoja kwani Yesu ni Mungu hakuhitaji kujifunza

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 Год назад

      Alijifunza, alikuwa mwanadamu 100% na alikuwa Mungu 100% kama mwanadamu alijifunza. Kama Mungu alijua, na hakufanya Muujiza had Roho mtakatifu alipokuja juu yake, hakufanya Miujiza kwakuwa ni Mungu, alifanya kwakuwa Roho alikuwa juu yake

  • @tahnsorg3855
    @tahnsorg3855 Год назад

    Hongera sana Mwl. Je unachuo ili nijiunge

  • @Mku-wa-waku1
    @Mku-wa-waku1 5 месяцев назад

    Jesu alikuwa seremala, Jesu aliwowa na akaza. Mwalimu unachemsha utumbo tu. Jesu hajasafiri India, Jesu hajaandika bibliya.

  • @josephkarisa
    @josephkarisa Год назад +2

    Asante mwalimu kwa elimu hii unayo iachia kwetu kiukweli imefanya nimepata kujua mambo mengi,,

  • @EliaKaspaly
    @EliaKaspaly Год назад +1

    Hii ni kweli kabsa

  • @desderiakinalilo-xe7vw
    @desderiakinalilo-xe7vw Год назад +8

    Mwalimu umesema yesu alisafiri kwenda urusi, uingreza na mataifa mengine mengi duniani, swali langu alikuwa akienda kote huko kwa usafiri gani,?maana ndege hazikuwepo wakati huo .

    • @GasparMacha-sm3xk
      @GasparMacha-sm3xk 11 месяцев назад +2

      Usafiri wa Merikebu au Majahazi makubwa yaliyokuwa yanabeba mizigo na abiria ndio yalikuwa yanatumika Karne na Karne hizo na wafanyabiashara Duniani kabla ya kutengenezwa Kwa meli

    • @sarongamushi435
      @sarongamushi435 11 месяцев назад

      Kwani Mtume Paulo alifikaje Italia?

    • @thadeombani7869
      @thadeombani7869 9 месяцев назад +1

      Na ww nikuulize swali yesu alipowaambia wanafunzi wk injili ihubiriwe ulimwenguni kote wangewezaje kufikisha injili ulimwenguni km kulikuwa hakuna usafiri

    • @EphronSanga
      @EphronSanga 9 месяцев назад

      Jamaa huyu mambo mengine anadanganya

    • @Brunoh90Tv
      @Brunoh90Tv 8 месяцев назад

      Ndo maana kaanza kujibu kwamba jibu bora ni "hatujui" lakin akaanza kuelezea tafiti zinazojaribu kukisia alikuwa wap lakin hakuna ushahidi wa moja kwa moja

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 6 месяцев назад

    Mtumish tuletee mahubiri ya elia nabii mbabe

  • @exsaverymogela6671
    @exsaverymogela6671 Год назад +1

    Mtumishi Ulisema Yesu alikuwa wa imani ya Athene sasa ufalisayo kaupata wapi unanuchanganya

  • @salimamry9432
    @salimamry9432 4 месяца назад

    Yaani mtoto wa Mungu kenda India kujifunza kwa watoto wa binaadam. Mitume wakifunzwa na Jabreel nami naamini Nabii Issa walimu wake ni Jabreel tu.

  • @BernardMgimba
    @BernardMgimba 10 месяцев назад

  • @LaurntMinani-mg2bs
    @LaurntMinani-mg2bs 6 месяцев назад

    mwalim naomba mafundisho yako uyatafisiri kwa lugha tofauti ikiwemo kirundi n'a kinyarwanda n'a kiganda

  • @Pgm170
    @Pgm170 Год назад

    Mwl. Mm binafsi nakuelewa sana sana ila walokole hawatakuelewa mana utafuti kwao n Elimu kwabwa sana, lkn ukweli wa history kwa wanaoitafuta ipo wazi including Bible history.
    Dr. Boniphace, Philosopher, Theologist, and Phycologist

  • @severinantunuligwa4598
    @severinantunuligwa4598 8 месяцев назад

    Mwenye namba ya simu inayopatikana anitumie plz

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 Год назад +1

    hata angebakia nyumban kwa baba ake kipaji toka kwa mungu

  • @nyirefami19471947
    @nyirefami19471947 2 месяца назад

    Ndugu Isaya naomba nikupe swali ingawa liko tofauti na somo hili. Je ni sahihi mch.au mwinj. Mwanamke mwenje mimba kusimama madhabahuni na kuhubiri? (Robert Nyirenda) Niko Arusha mjini

  • @johnchalahani6924
    @johnchalahani6924 Год назад

    Unapotosha sana

  • @belovedson7501
    @belovedson7501 Месяц назад

    Daah yaani sawa na kusema Mungu asomee geography ili aijue dunia ambayo yeye mwenewe ameiumba, aisee ndio maana siipendi theorogia hata kidogo, huko ndiko shetani huwatandika watu wa Mungu na kuwapandikiza ujuzi wa kibinadamu,yaani theologia ni ujambazi unao itafuna imani trust me. na VIPI ALIVYOKUA NA MIAKA 12 akawashangaza mafarisayo na makuhani kwa ufahamu wake aliokua nao kuhusu kitabu cha torati je alisomea wapi?

  • @elisantemnzavas4490
    @elisantemnzavas4490 2 месяца назад

    Hakuna point uliyotoa a cha kubuni.

  • @HenryTindwa
    @HenryTindwa 4 месяца назад

    Ilipo kuwa ndogo alifanya maojiano ya uja na makuani wakastajabu mbona alionesha uwezo wa kumjua mungu

  • @aronntirubaza752
    @aronntirubaza752 Год назад +1

    Wewe ni mtafiti nimekupenda

  • @kennethjustine7141
    @kennethjustine7141 11 месяцев назад +1

    Mheshimiwa Biblia huisomi vizuri. Yesu ni Mungu Wala hakuhitaji kwenda India kujifunza. Soma vizuri Biblia. Alipokuwa na miaka 12 alikuwa anajua kila kitu na ndio maana wasomi kule hekaluni Yerusalemu walistajaabia fahamu zake. Soma Luka 2:40-47

    • @farajisewe7416
      @farajisewe7416 6 месяцев назад

      Mbona alishindwa kujua kama MTI WA MKUYU una MATUNDA AU Laa!!.
      HADI ALIPO FIKA KARIBU AKAKUTA HAUNA!!.. AKACHUKIA NA AKAULAANI...
      JE ANAWEZA KUWA MUNGU
      ASIYE JUA HATA VITU ALIVYO VIUMBA MWENYEWE??!!!!!..
      KUBALI KUFUNGUA AKILI ZAKO ZITAFAKARI.. MUNGU ANAWEZA KUZALIWA KAMA ANAVYO ZALIWA binaadamu???!..
      Kalamu za waandishi Ogopa sana!!!..
      MUNGU NI WAPEKEE
      HANA MFANO WA KUMFANANISHA NAYE WALA CHOCHOTE.
      ATAKACHO HUWA
      HANA MWANZO WALA MWISHO.
      ....

  • @KuratiMarwa
    @KuratiMarwa 7 месяцев назад +1

    Kumbuka mungu ndiye aliye tuchafulia lugha katika mnala wa baberi , Lugha hizi tunazo zungumza leo zimesababishwa na Mungu , ndio maana kila mtu anaomba kwa lugha yake na Mungu anaelewa tunachoomba , mafundisho yako haya ni hekima ya kibinadamu , yaani Mungu aumbe samaki shaza halafu asimfahamu , haiingii akirini je na shetani alienda kusoma hizi lugha wapi ? Maana shetani anafahamu kila lugha , alienda nchi ganni kujifunza ? Na mwalimu wake alikuwa nani?

  • @severinantunuligwa4598
    @severinantunuligwa4598 8 месяцев назад

    Namba ya huyu mwalimu isaya

  • @IbrahimKadabla-h2e
    @IbrahimKadabla-h2e 7 месяцев назад

    kumbe babayake sio mungu

  • @belovedson7501
    @belovedson7501 Месяц назад

    Hata baada ya siku tatu walimkuta hekaluni, ameketi katikati ya waalimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali. Na wote waliomsikia walistaajabu kwa ufahamu wake na majibu yake."
    Luka 2:46-47 alisomea pia ?

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 5 месяцев назад

    Jibu ni kwamba Wakristo hatupaswi kufuata mambo aliyoyafanya Yesu Bali tunafuata mambo aliyotuelekeza kufanaya

  • @monicawagunda7751
    @monicawagunda7751 3 месяца назад

    Ndio alizaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

  • @NyanzaChota-uc8gc
    @NyanzaChota-uc8gc 11 месяцев назад

    Mimi nauriza je tokea enzi ya zamai za mitume na manabii jekurikuwa nakukomnika?

  • @josephnabihazire938
    @josephnabihazire938 5 месяцев назад

    Mwalimu mimi na imwi pazo natoka Congo.nina uliza yesu alikiwa mwanzo wadunia kila kitu kiumwa kwajili yake mimi nanjua sasa nani akimfu ndisha

  • @JosephJackson-b4x
    @JosephJackson-b4x 3 месяца назад

    Uko sahihi kabisa,na kuna ushahidi mwingine mwingi zaidi juu ya Yesu alikuwa India miaka hiyo unaopatikana katika gombo jingine ambalo Ibrahim Notovitch alioneshwa huko India.
    Pia kuna vitabu vya Wahindi vimemtaja Yesu kama vile Bhahavishya purana.
    Mifano ya Yesu zaidi ya 15 yanafanana kabisa na mafundisho ya mwalimu mkubwa huko India yaani Buddha Gautama. Mafundisho Yesu aliyofundisha yalikuwa tofauti sana na mafundisho ya Kiyahudi bali yalifanana sana na elimu ya mashariki ya mbali ndio sababu ilibidi watu waulize kwamba huyu amepata wapi elimu hii?

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 Год назад +5

    Miaka 12 alivyonekana aliye andika naye aliipata wapi wakati alikuwa bado hajaitwa na Yesu

    • @pascalmgassa8441
      @pascalmgassa8441 Год назад

      Jina Yesu alipewa hata kabla hajazaliwa Mathayot 1:21

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 Год назад

    Kazi yako ni njema kaka. Songa mbele!

  • @IbrahimKadabla-h2e
    @IbrahimKadabla-h2e 7 месяцев назад

    kwa maana iyo yesu ni mtu kumuita mungu sijui mtoto wa mungu ni uzuzu

    • @MkobaHardware
      @MkobaHardware 29 дней назад

      mbona inawachoma sana.apo anatajwa Yesu unaumia je ungetajwa uislamu si mngelia kabisa😢😢

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Год назад +1

    Una akili sana, ila bado wanapinga

  • @IbrahimKadabla-h2e
    @IbrahimKadabla-h2e 7 месяцев назад

    sasa yesu ana baba wangapi

    • @MkobaHardware
      @MkobaHardware 29 дней назад

      ukishakua muislam lazima uwe na akili za kipumbavu

  • @reubenhizza
    @reubenhizza Месяц назад

    Kulingana na vyanzo vingine, ambavyo nioibahatika kupitia. Wanadai Joseph aliwahinsana kufa, kwaiyo Yesu alikuwa adopted na jamaa mmoja mfanya biashara. Na inaaminika alifika India, akasomea dini ya budha. Alienda England na alikaa hapo miaka mi2 kwenye kajumba kadogo, kama sikosei kulikuwa na machafuko. Na alienda China pia.
    Uzuri budha waliacha maandishi ya kumsifia kijana mmoja aliekuwa na kipawa akili na busara mwenye sifa zote zakushabihiana nae, sema kwa sababu zisizojulikana hizo documents zinafuchwa. China pia, hawakumtaja kwa jina ila wanaelezea kijana wenye wasifu wake pia...
    Nakubaliana nawewe kuwa Yesu niwakimataifa, na inawezekana yote usiosema ni kweli.

  • @SHEDRACKILOMO
    @SHEDRACKILOMO 8 месяцев назад

    Wenye D mbili kuielewa theology ni ngumu hyu jamaa ni mwana theology

  • @ndegeyadany7857
    @ndegeyadany7857 Год назад

    Mimi ni Ndegeya Danny kutoka DRC swali je hakuna ushaidi kibiblia ya kwamba Yesu alienda India?

  • @michaelmwaksole7244
    @michaelmwaksole7244 4 месяца назад

    Akili za mtu mwenye akili za aliyechanganyikiwa( mwezi mchanga)

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck 3 месяца назад

    Kajifunza India huyo mungu wenu hatari halafu mnavitabu vingapi nyinyi hamueleweki kabisa

  • @samuelnyange9169
    @samuelnyange9169 11 месяцев назад

    NAITWA SAMUEL kwenye bilblia Kuna samweli wa kwanza na samweli wa pili Ina maana wako wawili?

  • @GRACEINVESTMENT-h4d
    @GRACEINVESTMENT-h4d 8 месяцев назад

    HABARI NI NJEMAA KATIKA KRISTO INJILI NI RAHA

  • @mwijagenelsoni357
    @mwijagenelsoni357 6 месяцев назад

    Kwa hiyo naye aligonga passport na kupanda ndege jamani scholarship ya India

  • @IbrahimKadabla-h2e
    @IbrahimKadabla-h2e 7 месяцев назад

    unajuchanganya

  • @thepowerofchristministry1918
    @thepowerofchristministry1918 Год назад +1

    Hakuna Mungu alie kuchagua hapo.hatujengi imani ktk dhana,hivyo ndivyo unavyo dhani wewe na usilazimishe dhana yako kuwa kweli ya maandiko.
    Swali nikuulize unipe jibu wewe unaamini kwamba Yesu ni Mungu? Au unadhani alikua mwanadamu tu.nakama wewe ni mkristo utakua unaamini Yesu ni Mungu alie fanyika mtu,alikuepo tokea dunia inaumbwa sasa alihitaji afundishwe na nani? Je alitakiwa aende india ili ajue lulu inavyo patikana? Na bilasha unataka kusema wako wanadamu wakawaida walio kua nauwezo kuliko Yesu wakamfundisha,wao walio jua kuliko yeye wamefanya nini kinacho julikana na historia? Usidanganye watu kwa maneno watamu kwa hekima ya kidunia na shetani.

    • @titojb4703
      @titojb4703 9 месяцев назад

      Ni swali zuri maana me sikielewi hichi kijamaa

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 8 месяцев назад

    Mwalimu hivi ni kweli Yesu ambaye ni Mungu alienda Kusoma kwa dhana yako?, inamaana Mungu Yesu alikuwa mpungufu wa elimu (Ujuzi) kama tulivyo sisi tulivyo?. Basi kwa maandiki hiyo Yesu siyo Mungu na kama angekuwa Mungu hangeweza kufundishwa na wale alio waumba.

    • @farajisewe7416
      @farajisewe7416 6 месяцев назад

      mwalimu amesahau Kazi kubwa ya MIKONO YA WAANDISHI.
      NDIO MANA NA YEYE KUNA DOT ANASAHAU KUZIUNGANISHA...
      WALIFANYA KUSUDI KUWACHANGA WASIO PENDA KUSHUGHULISHA MASIKIO NA AKILI ZAO ILI KUWATOA KWENYE MSTARI

    • @farajisewe7416
      @farajisewe7416 6 месяцев назад

      Mwalimu nakufuatilia sana
      pia nakubaliana na baadhi ya mafundisho yako MENGI. Na mengine huwa navuta subira nikiamini ELIMU HAINA MWISHO.

  • @GaspardilungaGaspard
    @GaspardilungaGaspard 5 месяцев назад

    Mwalimu tunajuwa kamayesu kuzaliwamisri nikwasababu walikuwanatembeleya huko ilikuorozesha kadiri navile mufalume alisemaetiwatuwote waorozeshwe lakini walikuwanatoka nazareti jewewe unasemawalihamiyanazareti????

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 4 месяца назад

    Nadharia hizo umezipata kutoka kitabu gani? Benson unafundisha kutokana na kazi za ubunifu? Fundisha kwa kutaja vitabu ulivyorejea katika taarifa yako ili watu wakahakikishe. Vitabu walivyoandika wanafunzi halisi wa Yesu walivikataa, wakachukua vitabu vilivyoandikwa na watu wasiojulikana.

  • @AlembekamiteAlembe
    @AlembekamiteAlembe 11 месяцев назад

    Mimi nimekuelewa japo naandaa maswali

  • @thepowerofchristministry1918
    @thepowerofchristministry1918 Год назад

    mwalimu niambie hiyo injili ya Tomas unacho hicho kitabu?kama hakipo ktk biblia zote kama unavyo sema wewe ulikipata wapi?na je unawezaje kusibitisha kwamba ni maneno wa Tomaso na sio yakwako au mtu mwingine alie tumia jina hilo sawa na wale wachawi walio andika kitabu cha Henoko?

  • @helladeogratias7630
    @helladeogratias7630 4 месяца назад

    Nani mkweli kila mtu anarejea kwenye biblia; tsfsiru ya maandiko hayo ni complex issue......tunakoenda tutaelewana acha siku ipite

  • @YusufHamza-h3z
    @YusufHamza-h3z Год назад

    aliporudi nazareti aliingiya ktk sinagogi nimsikiti wa wayahudi je anae ingiya msikitini anakuwa ni nani yesu si mungu wara mtt wamungu yesu ni nabii kama manabii wenginemungu sifa yake ni kuumbasio kuzaa

  • @NyenzaIbrahim
    @NyenzaIbrahim 8 месяцев назад

    Kwanza wewe sio mwalimu umechemka sana ,

  • @ezekielsabiyumva8048
    @ezekielsabiyumva8048 Год назад

    Enyikizazi kisicho sikia munatafuta history Kuliko kutafuta uso wa MUNGU

  • @hakizimanagerome9274
    @hakizimanagerome9274 Год назад

    Mwalim unavyo tufundisha inaonekana Yesu si mweusi

  • @sakuranitillya6088
    @sakuranitillya6088 Год назад

    Kaka bado nakuona wewe ni mwalimu wa walimu mungu aubariki

    • @thepowerofchristministry1918
      @thepowerofchristministry1918 Год назад

      Ndugu tambua kwamba ukinywa maji lita mbili yenye kijiko kidogo cha sumu utakua umekunywa sumu na sio making.ndicho anacho fanya mwalimu hapo

    • @azormatthew7813
      @azormatthew7813 7 месяцев назад

      ​@@thepowerofchristministry1918unataka afundishe vipi

  • @AbelyNyota
    @AbelyNyota Год назад

    Uyu jamaa ni mdogo wake ibilisi mpotoshaji

  • @joshuanyamaiswe4327
    @joshuanyamaiswe4327 Год назад

    Yesu alikuwa ni maskini soma vizuri chanzo cha ukweli ambacho ni biblia

  • @lebaijeremiah4540
    @lebaijeremiah4540 9 месяцев назад

    Tatizo langu ni,bibilia haijasema kuwa Alienda,India,uingereza,na urusi,tukuamini wwe au bibilia.

  • @charlesstanslaus371
    @charlesstanslaus371 8 месяцев назад

    Wewe! Unamjua Yusuph wa Almathaya? Huyu alikuwa mfanya biashara mkubwa na huyu alisafiri na Yesu kwa kutumia majahazi. Kwani Vasco da Gama mreno kutoka ureno na na kutia nanga pale Rasi ya Matumaini mema mwaka1498 alifikaje Africa Kusini? Zingatia.

  • @kelvinyasiwa2108
    @kelvinyasiwa2108 11 месяцев назад +2

    Bro... Nilikuwa naamini Mafundisho yako, lakini kwa, hili fundisho la Leo, umetoa, theory dhaifu sana na umeshindwa kabisa..... Umekuwa na, Diana, ya, uongo sana... Shame on you.... Jiukize
    1..India wana, dini Yao iliyokuwa ya, kale kuliko ukristo, au uyahudi... Na wazipinga, dini zingune... Ukumbuke dini ya kiyahudi ye ye torati walipewa na Mungu.. Sasa, huko India walikuwaje na, u juzi wa, dini ya torati...
    2...lugha ikiyotumika kimataifa ulikuwa ni kirumi na, sio kiharamaini kama unavyodai... Kumbuka dola ya kirumi ndo ikitawala dunia, na sheria na miongizo ulikuwa, katika lugha, ya, kirumi... Itakuwaje watumie lugha hiyo wasioijua,... No sense, kabisa...
    3...Luku ni making ye ye, thanani Amato yanafahamika na, wayahudi... Nahata, hapa Tanzania tunayo... Na, sio kwenye samaki character ambai mm nimewala... Na Hao chaza mbona wapo kigamboni... Si tungeoata hiyo luku kwao... Hivyo Elewa, alikuwa anaingea, na, wayahudi na hivyo Alison, midano wanayoweza kurafsiri...
    4...Orhidox ni dini ikiyokuja baada, ya, kufa, kwa, Yesu... Wanamuabudi kristo, wanamjua maria, na, etc... Japo wana papa wao... Wao na wa Protestant wanakubaliana mambo kadhaaa waliyoyoyakataa kutoka ukatoliki....
    5...Uni upotevu wa akili kuwa, Yesu akajifunze kwa mataida wasio mjua, Mungu ili aje afundishe wayahudi wanao mjua Mungu.. Wakati Mungu aliamua wakovu unaanzia, uyahudi ni ndi unawnezwa kwenye mataifa.... Nakuuluza huko alienda, kujifunza nn??
    Kujifunza, Torati? Kwa wahindi....? Hivi unaweza, kujifunza theorajia, saud Arabia?
    6..Kumbuka Yesu alikuja kwa, ajiki ya, taifa la kiyahudi kwanza... Na kwa njia hiyo ukimwengu ukombolewe...
    7...Theory yako ya kwanza na pili Ina make sense kwa kuzikombaini.... Yesu aliwajibika karika, familia na alipapata magunzo ya chuo cha dini ya kiyahudi mpaka ngazi ya urabi......
    8...Ukweli umenisikitisha.. Nikikuwa nakuamini lakini kwa hili fundisho naanza, kuamini kuna, elementi za uongo na uharibifu unazo kwa kuharibu injili....
    Nakusihi fundisho, injli ya kweli watu wamjue Mungu, wa ache dhambi

    • @azormatthew7813
      @azormatthew7813 7 месяцев назад

      Kwahyo kipindi cha miaka 19 Yesu alikuwa wapi?

  • @heritier5119
    @heritier5119 Год назад +2

    Miaka 19 iliyopotea ni maisha binafsi ya Yesu kama mwanadamu ambapo sio kusudi Wala umuhimu kwa Mkristo

    • @Space-f9y
      @Space-f9y Год назад

      Upo sawa sana mwalimu anapoteza muda kwa mambo ambayo si msingi