MASWALI NA MAJIBU KUHUSU MUNGU WA BIBLIA // BUKAVU, DR CONGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 38

  • @Amitie-bb6bc
    @Amitie-bb6bc 8 месяцев назад

    Que vive la parole de nôtre Jésus christ de Nazareth

  • @peterekiru7607
    @peterekiru7607 8 месяцев назад +2

    Congo muko nyuma sana....watachukua miaka mingi kuelewa maadiko.Mungu awasaidie sana.

  • @Amitie-bb6bc
    @Amitie-bb6bc 8 месяцев назад

    Hauzi elewa mtu asipokuwa kiroho n'a kuamini kama yesus ni mungu

  • @Mitama49
    @Mitama49 8 месяцев назад +2

    Hawa wacongo ni sawa na waislamu

  • @cyrusmutsami1195
    @cyrusmutsami1195 8 месяцев назад

    Furaha 😂😂😂 tamu tamu

  • @macdonaldotieno5010
    @macdonaldotieno5010 8 месяцев назад

    Kelele nyingi.

  • @stellakajuju-gj7fq
    @stellakajuju-gj7fq 8 месяцев назад

    Truth is most hated by humans being

  • @wilfredondieki5954
    @wilfredondieki5954 8 месяцев назад +3

    Mbwembwe

  • @BarakaZabron-py2fz
    @BarakaZabron-py2fz 8 месяцев назад +2

    Mwanzoni nilipata shida kumuelewa ndasha,nikampa muda wa kumsiliza zaidi na zaidi.
    Nikamuelewa na nikaelewa na biblia.
    Yesu ni mwana wangu.

    • @donaldmwahalende4841
      @donaldmwahalende4841 8 месяцев назад

      Ubarikiwe

    • @josephomollo1451
      @josephomollo1451 8 месяцев назад

      Amina mtumishi

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master 8 месяцев назад

      Lakin pia kuna maswali Ndacha hakueeza kutajibu kuhusu yesu kujiita Baba

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master 8 месяцев назад +1

      Na pia hakuweza kujibu kama Yesu ni Mungu au lah na kama ni Mungu basi kwenye biblia kuna Mungu wangapi , Haya ni baadhi ya Maswali sijawahi kuona Pastor Ndacha akiyajibu

    • @abednegokimeu7100
      @abednegokimeu7100 8 месяцев назад

      Yesu n Baba kwa Sababu Yeye n Adamu wa pili, na pia Heb 2:13 inasema Yuko na watoto ambao Mungu alimpa so watoto wanamwita Yesu Baba...

  • @nicholasambani4075
    @nicholasambani4075 8 месяцев назад +2

    HAKIKA BILA SHAKA, MUNGU HAWEZI KUPATIKANA MAHALA KAMA HAPA!!! HII NI BABLONI TUPU!!! HATA MAZINGARA KAMA HAYA ROHO WA MUNGU HAWEZI KUKAA

    • @JaffOburu
      @JaffOburu 8 месяцев назад

      Proof from the bible

    • @japhetndoro6533
      @japhetndoro6533 7 месяцев назад

      WWE hujui kitu angalia mafundisho yake Paulo ndio utajua kulikuwa na mashindano soma acts18:28

    • @japhetndoro6533
      @japhetndoro6533 7 месяцев назад

      General conference haiwez fundisha hivi Toka brio huko jiunge na matengenezo

    • @nicholasambani4075
      @nicholasambani4075 7 месяцев назад

      @@JaffOburu PHILIPPIANS 2:2-5
      2. Ijalizeni furaha yangu, ili mwe na nia moja, wenye mapenzi mamoja, wenye roho moja, MKINIA MAMOJA.
      [3. MSITENDE NENO LO LOTE KWA KUSHINDANA WALA KWA MAJIVUNO; BALI KWA UNYENYEKEVU, KILA MTU NA AMHESABU MWENZIWE KUWA BORA KULIKO NAFSI YAKE.
      [4] Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine.
      [5. Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ILIKUWAMO PIA NDANI YA KRISTO YESU;

  • @mwanyunimadee4157
    @mwanyunimadee4157 8 месяцев назад

    Uzuri ujumbe umefika wsikize wasisikize hayo n yao

  • @loysamwel6308
    @loysamwel6308 8 месяцев назад

    Haoniwasilanu

  • @Shomariamuri1
    @Shomariamuri1 8 месяцев назад +5

    Hapa kuko tu ushabiki. Watu hawafuatlilii maandiko 😂😂😂

  • @MarcellinMitamo-jx6qu
    @MarcellinMitamo-jx6qu 7 месяцев назад

    Mister peterekiru,usingali taja neno ao jina congo.ila ungetaja neno ao jina bukavu.

  • @aliiushuru8597
    @aliiushuru8597 8 месяцев назад

    Kwa nini wakristo msiwe na msimamo mmoja ukristo sio dini wala kwa maandiko hakuna na ndio mana nyinyi wenyewe hamuelewani mngali elewana hamnge weka mhadhara wa nyinyi wakristo msi hangaike silimuni muwe wanyenyekevu waMungu/mufwate amri za mungu.

    • @macdonaldotieno5010
      @macdonaldotieno5010 8 месяцев назад

      Na uislamu ni dini?

    • @DavidIssa-l9w
      @DavidIssa-l9w 8 месяцев назад

      Niambie maana yadini? Dini inamaana njia.... Yesu ndiye njia kweli na uzima

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 8 месяцев назад

    Wakristo mko na kelele sana you don't know mko kwa kaninsa hapo mlipo

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 8 месяцев назад

    Wacongo walimu warudi shule na mupatanizi mungu na wanandamu Nini?

  • @macdonaldotieno5010
    @macdonaldotieno5010 8 месяцев назад

    Hawa wacongo walitoka bure

  • @DeluxlebonIbangyemabele
    @DeluxlebonIbangyemabele 8 месяцев назад +2

    Jambo, mimi ni mcongomani nikiwa NAMIBYA, nahamini kweli WATU HUPOTEYA KWA KUTO JUWA MAHANA YA MAANDIKO, mimi waga nafatiliya sana ndacha na mazinge, pasta ndacha watu wana shindwa kuhelewa mahandiko, haho njo wa congomani haho kichwa kita kuhima, mwisho njo wana hanza semezana, lakini ni kweli
    ....

  • @liroytito2472
    @liroytito2472 8 месяцев назад

    1st of all, the leaders/ teachers themselves are the one igniting and reigniting that fandom.
    Why ask them "ni raha sio raha?", what do you expect after tthat question. You are just arousing them

  • @pascalkalama
    @pascalkalama 8 месяцев назад

    Sasa hawa wacongo shida yao ni nini mimi naona kama wamekuja tu kushabikia wachungaji wao juu maandiko yakisomwa na walimu wa upended mwingine wana yakataa hata kama yako wazi