MADA YA LEO. UWAJA WA ISP BUKAVU CONGO...KATI YA BIBLIA NA QURAN KIPI KITABU CHA MUNGU?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 27

  • @RehemaKaingu-c1z
    @RehemaKaingu-c1z 8 месяцев назад +1

    MUNGU AWABARIKI WATUMISHI 🙏(CHRISTIANS❤)

  • @mwoso
    @mwoso 8 месяцев назад +3

    Hapo Bukavu kuna wengi watawacha uisilamu. Ndacha anawafungua macho polepole.

  • @SafariShangalume
    @SafariShangalume 8 месяцев назад +4

    Mutumishi wa MUNGU ndasha ubarikiwe sana

  • @Fikiri-k9d
    @Fikiri-k9d 8 месяцев назад +1

    Waislamu wanapiga kelele hawajibu maswali, hii ni msiba kwao

  • @Hagaispeck
    @Hagaispeck 8 месяцев назад +2

    Barikiwa mutumishi NDASHA, Mola awe nawe

  • @mwoso
    @mwoso 8 месяцев назад +1

    Bure sana! Sijasikia hoja yoyote ya kuniridhisha kwa upande wa waisilamu. Bali ni kelele tu na kusema takbir.

  • @joshuamutiso8279
    @joshuamutiso8279 8 месяцев назад +1

    MUNGU awabariki sana watumishi,

  • @SafariShangalume
    @SafariShangalume 8 месяцев назад +3

    weka abo sawa kabisa mutumishi wa MUNGU ndasha

  • @FrankAloyce-ic6rq
    @FrankAloyce-ic6rq 8 месяцев назад +1

    Safi ndacha

  • @mwoso
    @mwoso 8 месяцев назад +2

    Hawa hawawezani na hoja za mwalimu Ndacha. Hawana maandiko ya kutumia kujitetea. Bibilia imekamilika !

  • @sylvestermutinda1356
    @sylvestermutinda1356 8 месяцев назад

    Leo waislam wataslim wote congo

  • @furahag3098
    @furahag3098 8 месяцев назад +2

    Mungu awabariki sana watumishi wa mungu 🙏

  • @mwoso
    @mwoso 8 месяцев назад +2

    Wewe pitia kwa hoja za Ndacha na upinge kimaandiko.

  • @navokisembo
    @navokisembo 7 месяцев назад

    Ndacha Mungu akulinde baba

  • @Onchieku-cp8wd
    @Onchieku-cp8wd 8 месяцев назад +1

    Upanga radi utapigwa radi tena maana huna hoja za msingi kabisa.....

  • @የዳዊትወንጭፍ
    @የዳዊትወንጭፍ 8 месяцев назад

    Sauti

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 8 месяцев назад +1

    Viva Islamic ❤❤❤❤❤

  • @obedkalinga9704
    @obedkalinga9704 8 месяцев назад

    munatupotezea mbs zetu kurecord hata aandalizi ya jukwa na setting mitambo, acheni hizo.

  • @themessage3508
    @themessage3508 8 месяцев назад +3

    Ujumbe umefikia kongo

  • @samuelnyaachi7094
    @samuelnyaachi7094 8 месяцев назад

    Huu mjadala unashinda kandanda hata legue ya European, but you can not bet.

  • @navokisembo
    @navokisembo 8 месяцев назад

    Kwa neema ya kupotea umekuwa muislamu sad

  • @mwoso
    @mwoso 8 месяцев назад +3

    Mwenye kiti wa kiisilamu anatupotezea muda. Awache kuongea Sana.

    • @mwoso
      @mwoso 8 месяцев назад

      Mbona mlienda kwa mdandao kabla ya kua tayari!

  • @petergitonga8590
    @petergitonga8590 8 месяцев назад +1

    Ndani ya Bibilia kitabu cha ENOCH kiliondolewa kwa nini?

  • @petergitonga8590
    @petergitonga8590 8 месяцев назад +1

    Ndacha naomba kuwe na mjadala kwa nini kitabu cha ENOCH kikaodolewa kwa BIBILIA???

  • @mwoso
    @mwoso 8 месяцев назад

    Watu wengi wakisema pamoja unasema uongo lazima wawe wameona.

  • @mwoso
    @mwoso 8 месяцев назад

    Watu hawatembei na pesa taslimu mifukoni. Wewe vipi? Sema walipe kupitia kwa njia ya mpesa.