MBUNGE CUF AMWAGA CHOZI, AMPIGA ‘STOP’ WAZIRI MPANGO KUKANYAGA LINDI NA MTWARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 июн 2018
  • Mbunge wa Tandahimba (CUF), Ahmad Katani amemwaga chozi ndani ya wabunge wakati akimweleza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kama mabilioni ya export levy za Korosho hazitatoka asikanyange mikoa ya Lindi na Mtwara.

Комментарии • 31

  • @marykarebeti9410
    @marykarebeti9410 6 лет назад +4

    Aiseeee. Huyo waziri asipolisikia hili basi atakuwa na moyo wa bati.

  • @alexthobias1110
    @alexthobias1110 6 лет назад +2

    katan hiyo ndiyo Tanzania yetu mnyonge adhurumiwe mwenye nacho atokeshavu nimekulewa Sana kwa kazi unayoifanya bungeni

  • @benjatv2493
    @benjatv2493 6 лет назад +6

    Daaaaa jana anaongea kwa uchungu sana kiukweli serikali isipo irudisha hiyo pesa itakuwa haijawatendea haki watu hao mm siijui mikoa ya kusini wala siijui korosho ila inaonekana kabisa hela hizo nihaki yako pia wa swahili husema wengi wape

  • @rosemarymashauri8628
    @rosemarymashauri8628 6 лет назад +2

    oooooooo jamani khaaa anaongea kwa hisia haswaaa mpaka inauma jamani mmmm

  • @lovemomomicpapamohamed6568
    @lovemomomicpapamohamed6568 6 лет назад +3

    Kaka yangu unaniliza duuh sema sema kk kweli ss tupo nyuma sana😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @shazirashidi2573
    @shazirashidi2573 6 лет назад +5

    katani bac inatosh unanitoa machozi

  • @zakamcgoodboy4847
    @zakamcgoodboy4847 5 лет назад

    big up sana m,bunge!

  • @mickskillstechnology7511
    @mickskillstechnology7511 6 лет назад +3

    Kweli kuwa ccm ni zaidi ya kuwa mchawi unaewanga mchana kweupe uchi wa mnyama!!!

  • @fetyykisabo4747
    @fetyykisabo4747 6 лет назад +2

    Mtwala na lindi mta isoma namba walio chagua ccm kilio cha mtu mzima ndio mjifunze 2020 msiwape kula ccm ata kama waziri mkuu ana toka kusini kakaa kimya wala asemi ili

  • @eliasaphmulebya8304
    @eliasaphmulebya8304 6 лет назад

    Daaah

  • @josephmwavangila1633
    @josephmwavangila1633 3 года назад

    Huyu mbunge Mzarendo Haswaa .. Mtwara mnayumba wapi

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 6 лет назад

    Inauma sana sana mikoa yakusin itawatoa watu kwenye viti vyao

  • @stephanomwakyobe4675
    @stephanomwakyobe4675 5 лет назад +1

    unasisimua unauchungu kamanda dah mungu awe nawe

  • @regandominic4267
    @regandominic4267 3 года назад

    Kuna mjimga mmoja anasikika et toa machozi

  • @mwitajamhuri6474
    @mwitajamhuri6474 5 лет назад

    Pole kaka nakazi

  • @richardlambert6644
    @richardlambert6644 6 лет назад +1

    Acheni aseme

  • @almahdimedia8775
    @almahdimedia8775 5 лет назад

    Dah huyu ndio mwenye uchungu na inchi yetu

  • @wrghkjdghklljg3819
    @wrghkjdghklljg3819 6 лет назад

    changuo lenu. wenyewe mta pata tabu sana

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 6 лет назад +2

    Hii ndo Tanzania

    • @ugaboy4736
      @ugaboy4736 5 лет назад

      Yale yale ya fao la kujitoa unapewaa asilimia 33.3 ya mshahara wako kwa mda wa miezi 6 baada ya hapo had ufe au ufikishe miaka 55

  • @chriskalega3855
    @chriskalega3855 6 лет назад

    sasa mbona unataka kulia

  • @thomsalu
    @thomsalu 6 лет назад

    JAMANI!

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 6 лет назад

    mngiwatetea hivyo na waliotumikia serikali ila vyeti havikuwa vzr sn wengi wasingelia mitaani achana na wale maboss waliokuwa wanafoji majina ila wale walikuwepo wangekuwa wameshapata....ila hizo fedha za korosho lugha gongana

  • @johntahona479
    @johntahona479 5 лет назад

    Ccm oyeeeeeeeeee

  • @dianamutalemwa6368
    @dianamutalemwa6368 6 лет назад

    Kanikumbusha mbaaali....

  • @jacksonraymond3545
    @jacksonraymond3545 6 лет назад

    Mwenye sikio na askie,lile neno roho anayabia makanisa

  • @jaliabahati9830
    @jaliabahati9830 6 лет назад

    Kwasababu ni waisilam ndomaana

  • @khloealfan7924
    @khloealfan7924 6 лет назад

    Ccm siipendi mamaeee