MBUNGE Aliyemwaga MACHOZI Bungeni LEO! "Waziri Usikanyage MTWARA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 июн 2018
  • MBUNGE Aliyemwaga MACHOZI Bungeni LEO! "Waziri Usikanyage MTWARA"
    Mbunge wa Tandahimba, Katani Hamad Katan, Amewaga Machozi Wakati akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 218

  • @benardmusa718
    @benardmusa718 6 лет назад +3

    wow!!! mimi si mtanzania lakini nmempenda huyu kiongozi, shedding tears bcoz of his people,a true leader.

  • @humphreybilly3258
    @humphreybilly3258 5 лет назад +3

    Ayo machozi najua Mungu Atakulipa.

  • @debayserlaly5063
    @debayserlaly5063 6 лет назад +1

    Daaaah mungu akupe nguvu zaid ya kuzungumz meng zaid na zaid

  • @sammabula7359
    @sammabula7359 6 лет назад

    dope speech, I love it, mpango, kazi kwako

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 6 лет назад

    Duh,hatari sana.hongera kiongozi pambana kiongozi👏👏👏👏👏👏👏👊kuna baadhi ya wanasiasa wanazani wataishi milele kwenye uongozi.

  • @husseinshengwamkai70
    @husseinshengwamkai70 6 лет назад +15

    Dr Mpango laanatulllah

  • @roseedwin6522
    @roseedwin6522 5 лет назад +1

    God bless us

  • @lovemomomicpapamohamed6568
    @lovemomomicpapamohamed6568 6 лет назад +10

    Kweli mbunge wetu tulilie kabsa 😭😭😭

  • @alphonceurio4029
    @alphonceurio4029 6 лет назад

    Noma

  • @simonfundi9658
    @simonfundi9658 6 лет назад

    Inauma sana aiseee

  • @edwinhakim401
    @edwinhakim401 6 лет назад

    Mungu bira kutusaidia tanzania

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 2 года назад +1

    Pole mbunge wa lindi,mtwara,acheni kuumiza watu,mungu awalaani punda kabisa

  • @dominickmbuke
    @dominickmbuke 6 лет назад

    mungu wangu!!!

  • @mohamedharunamohamedharuna7124
    @mohamedharunamohamedharuna7124 6 лет назад

    Inauza sana

  • @wakwetukabisa3150
    @wakwetukabisa3150 6 лет назад

    Hongera mh katani kweli wewe ni mtetezi wa wanyonge. Nakupongeza kwa misimamo ya kweli wanafiki tunawajua

  • @williamsonbais9131
    @williamsonbais9131 6 лет назад +2

    Jamani,, mpango ni chambo tu. wahusika wapo!!!

  • @hanzunimgogoro5722
    @hanzunimgogoro5722 5 лет назад

    Sema kaka mungu yupo nawe

  • @shijjasunday5398
    @shijjasunday5398 6 лет назад

    Aiseeeeeeeeee,,,,,,,inauma sana, watakupa

  • @deojohn1413
    @deojohn1413 6 лет назад +1

    Bb Mpango noma,hadi MTU mzima analia kuna jambo!!!

  • @hajiiimandisa1724
    @hajiiimandisa1724 2 года назад +1

    Safi sana katani

  • @bashiruhamisi6465
    @bashiruhamisi6465 6 лет назад

    Subhaana llaah.....MTU mzima kulia

  • @deus8629
    @deus8629 6 лет назад

    noted

  • @issahashimu5728
    @issahashimu5728 6 лет назад

    Mmh iy noma kwel

  • @hadaitachomoka4723
    @hadaitachomoka4723 5 лет назад

    Big up

  • @johnsonmoding2458
    @johnsonmoding2458 6 лет назад +3

    OMG its so painful kuckia kiongoz anamuonea mtu anae 2mia jembe la mkono bei anapangiwa leo hiii mpuuuz anachukua acyekua na huruma na taifa lake anawahujumu wananchi wake

  • @shekhekassim6402
    @shekhekassim6402 6 лет назад

    Mashallahu inatia uchungu kweli kaka Ela ccm wakipanga lao.huwa hawajali hapa kazi tuuu hata ulie

  • @kacheali4777
    @kacheali4777 6 лет назад +14

    MM mkenya ila bwana ameliza kweli kama anavyoumia yy n watu wake..Mungu yuko mtetez wawanyonge ipo siku mambo yatabadilika

    • @josephyohan9955
      @josephyohan9955 5 лет назад

      Hat ukitoa machozi sawa

    • @ericksamwel1657
      @ericksamwel1657 4 года назад

      Ila juzi kahamia kwenye hicho chama ambacho serikali yake imedhulumu pesa za korosho za wapigakura wake

    • @mwengatv3058
      @mwengatv3058 3 года назад

      Aiseeee

  • @donking2158
    @donking2158 6 лет назад

    Safi kabisa

  • @sanurahyusuph6149
    @sanurahyusuph6149 4 года назад

    Sema baba

  • @merycianagodfrey1336
    @merycianagodfrey1336 6 лет назад

    Hadi machozi dah! inaumiza sana

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 6 лет назад

    Hasante sana mheshimiwa

  • @ahmadimbega9500
    @ahmadimbega9500 6 лет назад

    Duh

  • @allybetese2494
    @allybetese2494 6 лет назад

    dh mweshimiwa kwakwel sinajibu tukutane 2020

  • @kabehoalex2817
    @kabehoalex2817 6 лет назад

    🤗

  • @muasewamukadogo1846
    @muasewamukadogo1846 2 года назад

    Safi sana jamaaa

  • @bennie7239
    @bennie7239 2 года назад

    This man ✊

  • @calvinkitaly7935
    @calvinkitaly7935 6 лет назад

    Mmmmm in hatari kweli kweli.

  • @omakywazamani6696
    @omakywazamani6696 4 года назад

    OK

  • @carolinamushi5555
    @carolinamushi5555 6 лет назад +6

    Nimelia sanaaa😢😢😢😢😔😔ni kweli watu wanalima sana ila wanabaki nyuma tuuu

    • @claudialinda4328
      @claudialinda4328 6 лет назад

      Carolina Mushi wow, Natamani wabunge wote wangekua kama uyu, Tanzania would be very far.

    • @fantsonmpango7742
      @fantsonmpango7742 6 лет назад

      Carolina Mushi , Mimi nililima heka 2 za karanga nikapata gunia moja la tena la maganda, nilipoangalia garama nilizotumia! Sitaki tena kusikia neno kilimo na skulima tena toka mwaka 1998 hadi leo na sitalima mpaka kufa bora niwe chinga

    • @savimbisaviola5547
      @savimbisaviola5547 6 лет назад

      Carolina Mushi mungu akujaalie kuwa na uchungu na watanzania wenzako

  • @mwisukulu4326
    @mwisukulu4326 6 лет назад

    Damn! So sad, wakulima!!!!!

  • @shadrackmnjelu5285
    @shadrackmnjelu5285 6 лет назад

    dah

  • @daruzein
    @daruzein 6 лет назад +1

    Dr Mpango kama hutosikia vilio vya wabunge safari hii, nakutabiria anguko kubwa kuliko la yule Prof wa miamba. Sasa hivi ana mwaka mzima anagwaya kuonesha sura yake mjengoni. Take care

  • @mohamedsaidy2641
    @mohamedsaidy2641 6 лет назад

    duh mbunge pole

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 лет назад

    Daaaaah

  • @salumkseleman1470
    @salumkseleman1470 6 лет назад

    Mungu onyesha haki ili wabadhirifu wapate kuumbuka.....
    Wabunge wa ikulu miyayusho

  • @hamisially-sy5fm
    @hamisially-sy5fm Год назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @elimwazembe8713
    @elimwazembe8713 6 лет назад

    mshimshutum dkt mpango hili niagizo kutoka ju kwaiyo mpango akienda tofauti naagizo hilo atafukuzwa kazi nawaliko ju ambako hawezi kufika

  • @sostenesbarnabas776
    @sostenesbarnabas776 4 года назад

    Dah big up kwako mh kama nyinyi 6 kucn bam bam

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 6 лет назад

  • @abdulsalim1444
    @abdulsalim1444 6 лет назад

    Machozi yako hayatoki bure ipo siku mungu atakulipa na mtafurahi watu wa kusini Mungu sio dhulma adabu utapatikana tu

  • @rachelmichael8308
    @rachelmichael8308 6 лет назад

    Its too pain jamani kwa sababu maisha tunayoyaishi kwa sasa mungu ndo anajua! Kuna maisha mengine baada ya hapa duniani.

  • @davidklm123
    @davidklm123 5 лет назад

    izi speed za Magufuli - Wazee awawezi wakachapa kazi _

  • @geja8708
    @geja8708 6 лет назад

    Ooh no men

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 лет назад

    Uyo anae sema toa machozi Mungu atashughurika naye

  • @tutusonjuma1676
    @tutusonjuma1676 5 лет назад

    Ww mpango

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 6 лет назад +10

    Hii nchi tumefika mbali sana ...lazma tufaham asili ya mtanzania ni mkulima...sasa sijui serikali inataka siku wawakute hao walima korosho na majembe yao wakiwa wamelizunguka bunge na masufuria yaliyokauka ukoko wa mwaka jana ndio wataelewa somo au lah....kweli ukitaka ujue tabia ya mtu mpe pesa au uongozi...mana hakika wapo viongozi ambao walijifanya watetea haki wakubwa na kuahidi mengi kwa kigezo nao ni wazalendo ...ila leo hii washajishughurisha...kiukweli tusilete mchezo na maslahi ya watu hata kidogo...hapohapo serikali inadai uchumi umekua...sasa sijui umekuwa kivipi wakati maisha ya raia ni ya 1000 per day...huku kwa kanuni za kukua kwa uchumi yapaswa kila mtazania (above 18) awe na uwezo wa kuingiza dola moja ambayo nadhani ni 2450 kwa siku..sasa sidhan kama kila mtazania anauwezo huo..MUNGU IBARIKI TANZANIA ..MUNGU WATAZAME VIONGOZI WETU

    • @comanbo
      @comanbo Год назад

      Mhh mtihani jamani

  • @moseslemboto9135
    @moseslemboto9135 6 лет назад

    magazetini live

  • @kennethmahenge7719
    @kennethmahenge7719 4 года назад

    aaf wanajinasibu kuwa et serikali ya wanyonge....cjui wanyonge gan wanaowazungumzia.....ccm mavi kbs

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 6 лет назад

    jaman serikali mzee oneni aibu basi mpango mtuu wabata tuu hanamipango huyo kwanza unavolia mwenzio ndoanavopenda jamoniiiiiiiii

  • @ewaldolubuva7985
    @ewaldolubuva7985 Год назад

    dah...this are kinds of people we totally need..where are this people again?

  • @mohamedkigwehe3561
    @mohamedkigwehe3561 2 года назад

    Yani kwakweli inch yetu hii jamani nikumwachiya mngu wallah tena manyanyaso yamezidi kwa sisi wanyonge hususani serekali hii ya mama samia inatunyanyasa sana mtu unapata tatizo haki hakuna wan day hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho mngu ibariki inchi yetu na wanyonge wake🙏🙏

  • @saidabdul5586
    @saidabdul5586 5 лет назад

    😢😢inauma sana ukiangalia ndugu zetu ndio kitu wanategemea

  • @gambathegreat8997
    @gambathegreat8997 6 лет назад +8

    Mkulima Wa Tz anaumizwa sana

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 6 лет назад +1

    Mpango anapangua na kupanga anavyopangiwa.

  • @swidatyomary1380
    @swidatyomary1380 5 лет назад

    Kwel kabs..jamn tunakufa maskin...

  • @bahatimisso5435
    @bahatimisso5435 6 лет назад +3

    Jimbo la 'ikulu'

  • @brianbasela1160
    @brianbasela1160 6 лет назад

    Serikali imechoka,wanafurukuta km MFA maji,wananchi piga chini 2020.

  • @baddynapenya5962
    @baddynapenya5962 6 лет назад

    Xawa kaka hao mafisied ya mafisiem wanajifanya vilaza lakin mungu anawaona

  • @messithedon3114
    @messithedon3114 5 лет назад

    Mpango Cdhani Km Kaenda Hata Shule Pumbavuuuuu Zake

  • @remigiusmbowa5713
    @remigiusmbowa5713 6 лет назад

    una Kila sababu ya kutulilia wananchi wako,kuna watu walikufa wakikupigania ushinde ubunge wamepata ulemavu Kwasababu tulikuona mkombozi.muungano wenu unatupa faraja sana.2020 nitaongeza nguvu

  • @msengelwakapela816
    @msengelwakapela816 6 лет назад

    Umetenda hKi

  • @dr.rimack8484
    @dr.rimack8484 6 лет назад +9

    Daaaaaaaaaah, huyu Mpango na Watu wake Mungu anawaona Mnafiki mkubwa huyu.ole wake....😢😢😢😢

  • @MOROTOWNTV
    @MOROTOWNTV 6 лет назад

    Huo mpango unao panga we Dr mpango cyo mpango kabisa

  • @farukiclassic_one9227
    @farukiclassic_one9227 4 года назад

    Aseeee inauma sanaa kiukweli huu ni uzungumzaji wa uchungu km hawakuelewa wanafanya kusudi.....😥😥😥😥😫😫😫

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 6 лет назад +4

    Poleni sana, ila mtashinda, haki ni haki. Mbona raisi wa wanyonge ka kaa kimya,hau wanyonge ni kundi la doctor Mpango?.

  • @andrewnyumayo9306
    @andrewnyumayo9306 6 лет назад +1

    Kunawakati nilifikiri sana nkasema eeh MUNGU wangu kwanini KUSINI tuwe na Vyama vya siasa ila KOROSHO IMEJIBU.Hakuna Tanzania bila KUSINI.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 5 лет назад

    Ndo tulipofikia hapa,lkn bado watu wanatetea ujinga! Mwisho utafika tu

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 6 лет назад

    Too bad

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 6 лет назад

    Du Noma Cna Jaman Mbona Kama Watu Wa Mtwara Na Lindi Wamesaulika Nimebatika Kwenda Mtwara Na Lind Kweli Bdo Wapo Nyuma Cna

  • @anwaryabdallah7782
    @anwaryabdallah7782 5 лет назад

    Swadaktaaaaaaaaaaa

  • @kenedykenedy148
    @kenedykenedy148 6 лет назад

    Lakini uyo mpaninani ambaye hasikii?

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 6 лет назад +1

    Mpango ukizinguwa nasisi wananch wa mtwara tutakuznguwa kweli oo

    • @proffesorpeetah2919
      @proffesorpeetah2919 5 лет назад +1

      Korosho iko juu ki thamani na uhitaji duniani. Nilitarajia nguvu kubwa zaid na pesa ielekezwe huko kutokana na ukubwa wa soko na mahitaji ya korosho, kuna tofauti ya Tittle ya U Dr. na akili alio nayo mmiliki wa tittle.... ya U Dr.... pia si kila mwenye academic tittle kubwa anauwezo mkubwa wa kufikiri laa hasha ... wengine ni umahiri wa kukalili majibu sahihi ndio umewafikisha hapo walipo mpaka wanaitwa Ma prof, ma Dr. ndio maana mambo makubwa dunian yanafanywa na wasio na Academic Tittles...... Nitajie academic tittle ya mzee bill gates, steve jobs, isaya yunge, bakhresa, ruge etc.... sio kila kitu lazima siasa itumike... so sad

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 6 лет назад +1

    Mpango haya machozi utavuna taabu

  • @faridahhamza8704
    @faridahhamza8704 6 лет назад

    Eeee mpango jiuzulu kaka lawama zimekuwa nyingi

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 5 лет назад

    Duh 🙄 yan hii nchi bwna

  • @madukurumwanileles7909
    @madukurumwanileles7909 6 лет назад

    Hasira hizo njomba nchumari Kwa kweli akija Ntwara ntagawana kabisa,bora asije duuuu!!!.

  • @robertrufinus3233
    @robertrufinus3233 6 лет назад

    Ukute na mama ako kadhulumiwa pesa zake ndo utajua na isia zitakukuta .aya maisha bana .korosho wanachukua ela awalip duh .kama nawaona iv eafanyabiashara wadogo wanavotaka kumtafuna mtu

  • @ludwickernest3588
    @ludwickernest3588 6 лет назад +1

    kama hujui taabu anazopata mkulima unaeza comment hata kufikiria ujinga ilaaa daah inauma saana

  • @neysalum9286
    @neysalum9286 6 лет назад

    Ama kweli MTU Wa kwanza kuingia motoni ni mwanasiasa wapi ndy shetani duuh. Mpango hebu Fanya haki mpk MTU mzima analia machozi yatakulaani hayo 👆👆👆

  • @khadijaaziza7586
    @khadijaaziza7586 6 лет назад +9

    Nimependa sana hadi wengine tunakimbiya kuja omani kutumikiya watu huku wakati mtwara tunakilimo kzuri

    • @jazimsaid6862
      @jazimsaid6862 6 лет назад

      Khadija Aziza uko kilo bei gani

    • @khadijaaziza7586
      @khadijaaziza7586 6 лет назад

      Jazim Said mi sinunuwi koloshoo my

    • @mwandegeplaza6504
      @mwandegeplaza6504 6 лет назад

      Khadija Aziza ida kukaya nikuoe nangu 0655189459 whatsap

    • @khadijaaziza7586
      @khadijaaziza7586 6 лет назад +1

      2M Viewers wako hambi ndo umbepandisha kolosho bei au hahaaa mtu wawapi kaka

    • @mwandegeplaza6504
      @mwandegeplaza6504 6 лет назад +1

      Khadija Aziza wako ida whatsap tutongole

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 3 года назад

    Ivi mijitu inayoshabikia ccm haya yangesikika lini maana haya yasingeongelewa Ila tu BC uelewa wetu mdogo chadema juu

  • @jumajasjas2925
    @jumajasjas2925 6 лет назад +1

    (Jimbo la Ikulu) 😂😂😂

  • @rdjdottosurayamvuto7884
    @rdjdottosurayamvuto7884 6 лет назад

    huyu ni kuongozi bora ama kwa hakika Allah akusimamie

  • @fatumahassan8212
    @fatumahassan8212 5 лет назад

    _ inasikitisha wanaadamu aliyenaufahamu kufikiya kutowa machozi hususani mwanaume kweli anaumiya ktk utendaji kazi sirekali inaulizama wakujali hoja za viongozi nasiyo kuwapuuza because wao ndiyo wanafahamu matatizo yaliyopo kwenye majimbo yao na changamoto wanazokabiliana nazo hakuna mwananchi anayepita maisha magumu kama mkulima

  • @omakywazamani6696
    @omakywazamani6696 4 года назад

    Sie wa Zanzibar tumewajua sana kua hawatu wabara wana ajeda yao niwatu wabaya sana tena wadini kuitazama vizuri utajua kitugani hawa magaidi wanachokifanya ktkhi nchi eti amani yawapi waoga tu nyie hamwezi kuwafikia Kenya kwa chochote mna moyo chafu hatupendi umoja wenyu nasie watu wa Zanzibar bora mpoteleini mbali

  • @josebosingwa7331
    @josebosingwa7331 6 лет назад

    pambana kaka katani usikubali

  • @stevenlyando1801
    @stevenlyando1801 6 лет назад +1

    JIMBO LA IKULUUUUUUUUUUUUUUU LAHANATULLAH

  • @richardphilipo312
    @richardphilipo312 6 лет назад

    #duuuuuu....acha na mm nilie

  • @azrimudy7268
    @azrimudy7268 6 лет назад

    Duuuuuuuuuuuuuuuuu! Huyu Mpango kembe ni jipu!

  • @michaelchiza
    @michaelchiza 6 лет назад

    Tunauza BP MACHINE (ELECTRONIC BLOOD PRESSURE MONITOR) kwa punguzo la asilimia 20%. Nakuomba uniandikie ulizo lolote DM au PIGA SIM 0715905167. Please kindly LIKE.