Yan Jaman muda ote uo nimekaa nasubili uyo CINDERELLA ndo nan yuko wap mbona hatumsikii kumbe bwana ndo madame secretary😂madam mjengo wetu mama la mama chibonge wetu aaah wee ni bonge la story kwakwel❤️❤️🤣🙌mtunzi shikamoo popote ulipo and broo j Maua yako kwa sauti tam❤️❤️❤️
Dr Maira, teacher Dylan, chizi fresh, Rehema wa tanga bado zipo juu sana ubora wa hali ya juu, zilinifanya nipende simulizi kipindi kile sana tu, ubunifu mzuri
Ila anko jey umefanya nimecheka km fala,,,unavyoigizia yeyo sasa cna mbavu yni..afu kweli wanawake wabonge hatuchepuki..cmulizi nzuri sna yni cjalala adi saii oya anko jey salute kwako and plz kiss my comment ❤❤❤🎉
Ongereni sana kaka jimini na dada nyamizi maana mulipitia vita nyingi na mkashinda MUNGU Alinde ndoa yenu muishi hadi kifo kitakapo watenganisha ao yesu kristo akirudi nawapenda sana na nimepata funzo kubwa kwa kupitia hii historia yenu 👪❤❤❤
Bonge nyanya oyeee! Tupo tumejaa tele kama sahani la mchele atuchepuki ni kweli kabisa na tuna utamu wake wa asili katujalia mungu, congratulations 👏👏👏 my dear wetu kipenzi anko Jay mapesa twakupenda pia hongera sana kwa mafunzo ya kimaisha barikiwa sana Jabali wetu King 👑❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiii simuliz dah imenichekesha mnooo yaan nimeenjoy mnoooo jaman kama Kuna mdada kibonge aje nimuoe sasa hv,, nilikuwa sitaman iishe lakin tu ndo IVYO imefika tamati Anko jay salut kwako Mzee ✊✊✊🙏🙏 Anko jay apewe maua yake
Nashukuru sana Kwa simulizi zako Anko jay Cinderella story ni nzuri mnoo I say Mungu akupe lingine nzuri kama hili.nafurahiya simulizi zako.bonjour bwasatave😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏 nashukuru mnoooooo
Jamani ankooooo unajuwa kuchekesha kwa kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 apo kwa yeyo kwa mchungaji nimecheka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂simulizi nzuri sana barikiwa kwa kutupatia mwisho❤❤❤❤❤❤❤❤
Anko j mungu akulinde na akusaidie na akunusuru na akuhifadhi na akustiri na akuongoze na akuepushe na mabalaa ya duniani inshaallah biidhinillah utaallah yarabb
Asante anko Jay kwa simulizi tamu yenye mafunzo na mapenzi ya dhati.....Gemini alikasirika sana daah pale aliposema mama leo amazangu amazake ila Nyamizi ameonyesha amani na upendo nimejifunza kitu hapo hongera sana bonge nyanya
Kweli anko j nakisiiifu sana kwa uwezo wa ajabu ktk kaz yako,sauti ya ukali,sauti ya mahaba upatia mbaaaaya,sauti ya kubembeleza usiseme,sauti ya mama,sauti ya bab saiti ya msichana sauti ya vijana mbalimbal kweli unastahili maua yako meeengi🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀
Asente Sana ANKO JAY mungu hakupe mishe marifu upendo la mungu ni kumbwa Sana hukiwa nalo shatani Hana amani na watu wa mungu kila siku hogera sana Jiminy kwa chakuwo la moyo wako
Asante sana ankoJay Kwa kuhutimisha story nzuri yenye mafunzo ndani yake ya Binti CINDERELLA pia Asante sana LISA MWALLA Kwa simulizi maua yenu🎉🎉🎉🎉much love from 🇶🇦🇹🇿♥️
Yan Jaman muda ote uo nimekaa nasubili uyo CINDERELLA ndo nan yuko wap mbona hatumsikii kumbe bwana ndo madame secretary😂madam mjengo wetu mama la mama chibonge wetu aaah wee ni bonge la story kwakwel❤️❤️🤣🙌mtunzi shikamoo popote ulipo and broo j Maua yako kwa sauti tam❤️❤️❤️
Onsgwt . . , Vega wewe true twi
😂😂 nimecheka yani wewe ndo kama mim nimemsubilia sindelela mpaka nikachoka kumbo bonge
Mmmsai huyo ,,,haya bhana
Dr Maira, teacher Dylan, chizi fresh, Rehema wa tanga bado zipo juu sana ubora wa hali ya juu, zilinifanya nipende simulizi kipindi kile sana tu, ubunifu mzuri
Bonge nyanya kwa hewa tumpe anko jay na Lisa mwala maua yao🌹🌹❤❤
Kumbe
🌹🥀🌹🥀🌹
Dah omko hii simulizi naludia ludia kila siku aisee mungu akubariki sana nakupe maisha maref sana inshallah ❤❤
Nabii alisema ndoa yenu itakuwa na ungumu sana.
Ongera Nyamisi kwa kusamehe mama Jemin.
Ila anko jey umefanya nimecheka km fala,,,unavyoigizia yeyo sasa cna mbavu yni..afu kweli wanawake wabonge hatuchepuki..cmulizi nzuri sna yni cjalala adi saii oya anko jey salute kwako and plz kiss my comment ❤❤❤🎉
🤩🤩
Nataka nijue kilichokutwa kwa Yeyo
Lkn hata wewe jimi hukuwa mstaarabu hata kidogo KWA nyamizi ulipo pewa taarifa za nyamizi hukutaka kabisa kumuuliza na uliamua kumterekeza
Mimi pia yaani nimecheka mpaka mbavu zinauma 😂😂😂😂
Nimecheka ankojay alipoigiza sauti ya Yeyo 😂😂😂😂
Ongereni sana kaka jimini na dada nyamizi maana mulipitia vita nyingi na mkashinda MUNGU Alinde ndoa yenu muishi hadi kifo kitakapo watenganisha ao yesu kristo akirudi nawapenda sana na nimepata funzo kubwa kwa kupitia hii historia yenu 👪❤❤❤
Kipochi manyoaa🤣🤣🤣🤣baba Jimmy ananipa raha jmn😂😂😂😂
Bonge nyanya oyeee! Tupo tumejaa tele kama sahani la mchele atuchepuki ni kweli kabisa na tuna utamu wake wa asili katujalia mungu, congratulations 👏👏👏 my dear wetu kipenzi anko Jay mapesa twakupenda pia hongera sana kwa mafunzo ya kimaisha barikiwa sana Jabali wetu King 👑❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Much love binges nyanyas
Much love bonges nyanyas
Maiua yetu bonges🌹🥀🌹🥀🥀🥀🌹🌹
Anko hay umetishaaaaaaaa igweeeeeeeeeee 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😄😄 Bonge Nyanya hebu tulia
@@ankojay_Ankojay jmn saut Yako nzur sana kama unamke anisamehe to 😂😂
Saaaana
@@ankojay_mabonge mmmpooooo?
Ango j uwiiii
😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😮😅😂😂 Daah mwishoni nimecheka sana daah nimemaliza sasa simlizi much love anko j
Leo wakumi jmn naombi like zangu plz plz jamn anko hii ngoma ingesoma mpaka patry 5
Nime kuwA wamwisho nioneeni uruma nipeni like tano
Jamn simuliz nzur sana ❤❤❤inamafunzo ila jamn ap kweny kukataa ela me swez kukataauwong zambi
Cinderella zaidi ya moto yaan ni balaaa🙏
Asante sana kwa story nzuri yamaisha ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu mwanamke hanaadabu kweli anawezaje kutaja kipochi manyoya mbele ya mchungaji
Jaman huku mwisho inaliza na kuchekasha Sana kwa huyo yeyo nzuli Sana ❤ anko j
nyamizi alikuwa nautu Aki tenda wema nenda zoko nyamizi my God bless the girl ❤❤❤❤
Nataman ajue alipo
hayawi hayawi sasa yamekuwa timu vibonge tumeshinda 😊😊😊
Vibonge tunaonewa sana
kweli kabisa tumeshinda vita mungu katuwezesha
Simulizi zuri sana et nimeinjoi🎉🎉🎉❤❤
Hapo.. hapo.. Ankojay.. simulizi tamu sana..
Dah simulizi nzur sana yan utaman iishe inamafunzo mazur sana hongera sana
Afadhali nimemaliza kuiangalia 🥰🥰🔥🔥🔥 nimeipenda
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiii simuliz dah imenichekesha mnooo yaan nimeenjoy mnoooo jaman kama Kuna mdada kibonge aje nimuoe sasa hv,, nilikuwa sitaman iishe lakin tu ndo IVYO imefika tamati
Anko jay salut kwako Mzee ✊✊✊🙏🙏
Anko jay apewe maua yake
💥👍 Ahsante sana
Nzuri mnoooo
@@ankojay_hongera zako kijana
May God bless Nyamizi alitenda mema.
Saaana
Hahahah nyie hii simuliz tam mno anko j mung akuwek san❤❤❤
Bonge bonge kwakiganda tunasema obulunngi sidya ankojay na lissa mwala asante sana mungu awabariki
Jmn baba Jiminy kanikosha👐👐 utam wa bonge anaujua jiminy weweeeee chukua maua yako baba Jimmy 🎉🎉🎉🎉
Ahsante anko j nilisubiri kw hamu San hongera San kw Kaz zuri dad Lissa mwalla
Ankojay axant kwa simuliz nzur na yenye mafundixh meng mungu akulinde
Hii simulizi ingeitwa Binti nyamizi kibonge ingependeza zaidi 🎉🎉ni tamu sana jamani Yani inamafunzo makubwa mno❤❤❤
Simulizi za Lissa ni moto ukichanganya na msimulizi anko Jay ni mambo bam bam 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Unyama ni mwingi❤❤
🎉jamani ankojay unajua kusimulia khaaa.
Anajua sana tena saaaana
Patamu hapo asante sana Anko jay kwa simulizi nzuri
Asante sna anko iyi kiboko nzuri sna MunyeziMungu akubariki kwene kaziyo❤❤❤
Nashukuru sana Kwa simulizi zako Anko jay Cinderella story ni nzuri mnoo I say Mungu akupe lingine nzuri kama hili.nafurahiya simulizi zako.bonjour bwasatave😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏 nashukuru mnoooooo
Asante Anko Jay kwa simulizi zuri sana tuna wapenda sana ❤❤❤🇨🇵🇨🇵🇨🇵
aaaaa kwakweli simlizi ni nzur saanaa
Haaah asante Anko J pamoja na mwandishi wetu Lisa Mwala mubarikiwe sana
Jamani ankooooo unajuwa kuchekesha kwa kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 apo kwa yeyo kwa mchungaji nimecheka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂simulizi nzuri sana barikiwa kwa kutupatia mwisho❤❤❤❤❤❤❤❤
anko i big up nimejifunza jambo apo
Asant. Lisa. Akojei. Nambie. Wangu. lov🎉🎉🎉❤🇹🇿🇮🇹
Anko jay jamani wako wapi waume kama hayo wazuri wenye upendo Hamna hata kamwe very nice one 👍♥👌
Ndugu wanaume kama hao ni wa kutafuta kwa darubini
Simulizi ndefu na nzuri sana yenye mafundisho mazuri sana.
Mama yake j ni mama kukosa mwelekeo.
Baba yake j ni Mzee mwenye hekima ameokoa family yake.
Anko j mungu akulinde na akusaidie na akunusuru na akuhifadhi na akustiri na akuongoze na akuepushe na mabalaa ya duniani inshaallah biidhinillah utaallah yarabb
Mungu akubariki ank jay. Msalimie nyamizi nampenda sana🥰🥰
Aniudhi tu hataki kisema kilichomsibu nam i simu yangu inaisha chaji na umeme umekatika
😂😂😂😂
❤❤❤❤ Hatimae nasisi vibonge tume pendwa 😂😂❤❤ siku tamani iishe 😊❤
Kwanza sisi vibongenhatutakagi makuu mwanamke binge mvumilivu sana
Asante sana Anko J oh kumbe bonge ndie aitwae CINDERELLA
Asante anko Jay kwa simulizi tamu yenye mafunzo na mapenzi ya dhati.....Gemini alikasirika sana daah pale aliposema mama leo amazangu amazake ila Nyamizi ameonyesha amani na upendo nimejifunza kitu hapo hongera sana bonge nyanya
Simulizi tamu sijapata kuona nakesha bila kulala 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 uwiiiii anko Jay wee
Wow bonge nyanya hatimae kashinda vita,❤❤❤
Kweli anko j nakisiiifu sana kwa uwezo wa ajabu ktk kaz yako,sauti ya ukali,sauti ya mahaba upatia mbaaaaya,sauti ya kubembeleza usiseme,sauti ya mama,sauti ya bab saiti ya msichana sauti ya vijana mbalimbal kweli unastahili maua yako meeengi🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀🌹🥀
Asante anko jey kwa kutupa burudan ❤❤❤❤❤
Asante san kwamwenderezo anko jay nimejifunza mengi kwenye hii simulizi Mungu akubariki sana anko
Kuchi kuchi hotahe😂 my Anko Jay ❤
Namukubali sana uyubindi nyamizi
Asante sana🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤❤ bibiye lisa mwalla mungu awa bariki wewe na anko jay.masha allah. Simulizi murwa kabusaaaaa
Saaana
Wakwanza jameni nipeni like zenu ❤❤❤❤
Mie pia
@@ChristinaMloka-f9v😊
Nice thanks llisss mwalla and anko jey
Mambo mazuri ubarikiwe na kazizako amok jay kwakweli na unavyosimulia tuanaachaki allah akupe umri mrefu ❤❤❤
Unatufanya tucfanye kazi kwakweli anko jay❤❤
Asante pia lissa mwalla n anko j mmeweza hii simulizi tamu sana duuh ❤❤ mubarikiwe pia nyie I love you too anko j bye bye too🎉🎉🎉
Asante anko jay kwa cinderella part 4
Inafunza sana simulizi hii hongera anko jay
😂😂😂😂😂😂hiyo sauti ya Yeyoo inachekesha kweli akihangaikia cheti feki cha ndoa😂😂😂😂😂
Mungu akubaliki anko j💋💋👌
Lissa ,Asantee kwa simulizi nzuri yenye mafundisho ktk maisha tunayoyaishi.Pia Ankojjay honera sana kwa kusimulia😊😊
Ahsant San kw story jmn mwanz mwish some times unakut unafany kz San kw huzn ila ukisikiliaz saut ya onko jey dahhh ahsant San 🙏🙏🙏🙏🙏
Asente Sana ANKO JAY mungu hakupe mishe marifu upendo la mungu ni kumbwa Sana hukiwa nalo shatani Hana amani na watu wa mungu kila siku hogera sana Jiminy kwa chakuwo la moyo wako
Jemin na Nyamisi... Kumbukeni Nambii aliyemsimlia ndoa yenu 🎉🎉🎉
Huyu Dada Lisa ni noma sana. Ila awe anasimulia tu anko j tu naomba iwe hivyo
Kweli kabisa atupe sisitu lahaaa
Yaaan kabisaa kiukweli mm simuliz mix nagusa saut ikiwa sio ya anko mapesa sisikiliz kwakweli nakereka
Umeona eee
Amazing story,privileged 👏 sana hapo kwa ending yeyo akisema wasimamizi wa ndoa ya siri walkkufaga batamu hapo
Yeyo hatarii anajiumiza 😅😅
Anko jey Mungu akubariki simulizi tamu sana Na inatufundisha sana anko jey ❤❤❤🎉🎉🎉
Ninzuri sana nimeipenda
Hii simulizi nairudia rudia kuisikiliza ni mzuri sana haichoshi pongezi kwenu mtunzi pamoja na msimulizi
Pongezi kwao kwa kweli🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉
Jamn anko jay syo kwa michambo hyo😅😅😅😅
ankoj nakupenda sana mm naitwa aisha kutoka kenya aki simulizi zako ninazipenda sana hongera yako
Baba mkwe ❤❤❤
Asante sana ankoJay Kwa kuhutimisha story nzuri yenye mafunzo ndani yake ya Binti CINDERELLA pia Asante sana LISA MWALLA Kwa simulizi maua yenu🎉🎉🎉🎉much love from 🇶🇦🇹🇿♥️
Mh anko Jay unasauti nzuri ❤
Saaana
Asante Sana mjomba bonjuu
😂😂😂😂
Ati nmemaliza 😂😂😂😂😂 I love you bonjour botwa Anko jay
Hatimaye nmemaliza simulizi nzuri sanaa😂😂😂 bs tunaomba na nyingine tamuu❤❤🎉🎉🎉.
Anko jay tutapata wapi watu kama hao watu wazuri kama hayo very nice simulizi
Simulizi nzur sana asante sana Ankojay mola azidi kukunari sana
Mashaall. Alla awalinde nakila shar. ,anko jey tunakupenda san. ,nawe alla akulinde nakila shar. Shukran
Hii simulizi mwisho nimecheka vituko vya yeyoo 😂😂😂 Asante sanaa Anko jay
Anko jay pongezi kwa simulizi tama sana nafwatilia kutoka Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉😂❤ I love it
Aya mabonge na nyie mmeanza kupendwa chukuwen mauwa yenu
Mungu tuu ___ asikwambie mtu ____ Subhanallah
Kweli mapenzi yana nguvu 🎉🎉🎉❤❤❤
Simulizi tamu kinoma ubarikiwe Lisa pamoja na anko jay ❤❤❤
Wale wa st kayumba leo tumefikia.blessed Anko j kwa kutuletea kitu moyo unapenda.❤❤❤
Mapenz matam nyie achen tu❤❤❤
Hasa umpate akupendae kwa dhati
Love nyaminzi ❤❤❤
Shukurn 🙏 mkaka kwa mazuri yako🙏
Mashallah hongera nyamizi ❤❤❤🎉🎉🎉
Jamn niwe mkweli nampenda sana huyu anty lissa anasimulixi nzur sana❤❤❤❤❤❤❤ love from oman
Yaani ww ankoj hongera kwavbonzo vyako hongera sn🎉 na nakupenda sn lissa mwalla upo vzuri kwautunzi mtam ❤❤❤❤❤❤❤