BiNTI KIZIWI | PART 06 | MWISHO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 231

  • @esthermwangi-sn2pf
    @esthermwangi-sn2pf 11 месяцев назад +21

    Wa kwanza 🎉leo wapi like yangu 😅 from Kenya 🇰🇪

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 5 месяцев назад +2

    tumetoka mbaliiii mbk part 6 mwisho siyo jambo jepesi asante Lucas lumbas unaweza mbk unaweza tena upewe mauwa yako 🌺🍀 ❤❤❤🔥🔥🔥

  • @bentahmasiemo2742
    @bentahmasiemo2742 10 месяцев назад +1

    Jamani nimecheka,nmelia ila yote tisa, nme enjoy tangu mwanzo, much ❤ from kenya 🇰🇪.

  • @Janetkamwangi
    @Janetkamwangi 11 месяцев назад +17

    Kalike kamoja siwezi mynde

  • @BeatriceKauky
    @BeatriceKauky 10 месяцев назад +1

    ❤❤ tunakupenda sana Lucas simuliz nzuri sana zinafundisha sana maisha alisi

  • @Agnes-y2z
    @Agnes-y2z 11 месяцев назад +14

    Nipeni namimi like basi🎉🎉🎉

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 10 месяцев назад +1

    Ahsante Mungu kwa Zawadi ya Mama mzazi long life mamaa ❤na ahsante pia na kwako Lucas Mungu akupe uzima Tele uzidi kutuelimisha na pia kutuburudisha ❤🎉🎉🎉

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 11 месяцев назад +11

    I'm no.1 thanks Smix kwa kutuburdisha ❤❤❤

  • @Maryam-s9o
    @Maryam-s9o 11 месяцев назад +12

    Jaaaaman na mm hata 5 zinatosha wadau😂😂

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 10 месяцев назад +1

    Pendo la mungu hutoka moyoni wa mtu asente Sana Lucas lumbasi

  • @روةتات
    @روةتات 10 месяцев назад +1

    Asante sana kaka lucks kwa siumulizi nimejifunza kitu

  • @salmabakari-xp7ud
    @salmabakari-xp7ud 10 месяцев назад +3

    Nimejifuza mengi sana kwenye hii simuliz asantee sana kk LUCAS❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 10 месяцев назад +1

    Mambo 🔥🔥Daah imenitoa machozi Kwa batuli

  • @NatashaHope-ot1cw
    @NatashaHope-ot1cw 11 месяцев назад +4

    Nawashukuru wote waliokkuwa wakifuatilia simulizi hii tangu mwanzo to the end ilikuwa nzuri sana napenda kumshukuru Lucas kwa kazi nzuri sana God bless you have learn alot

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 10 месяцев назад +1

    Hongera mwandishi na msimuliaji rafiki yetu mpendwa Lukas Lumbas

  • @VeronicaBoniphace-j8k
    @VeronicaBoniphace-j8k 11 месяцев назад +6

    Nimekuwa wakwanza ..kutoka lndia🇨🇮..nipeni like zangu namimi jmni 😂😂

    • @ZenaidaDaniel-r9d
      @ZenaidaDaniel-r9d 10 месяцев назад

      🤣🤣na uhindi wako hata mm ni wakwanza🎉🎉🎉

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 10 месяцев назад

      Jaman india🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Mariam1818-n7s
    @Mariam1818-n7s 10 месяцев назад +2

    Nimeumia sana kufa kwa batuli 😢😢

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 11 месяцев назад +9

    Wakumi na moja 😂😂🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao Lucas

    • @leah5307
      @leah5307 11 месяцев назад

      😂😂😂

  • @MaryamAbdalla-vr1eu
    @MaryamAbdalla-vr1eu 10 месяцев назад +1

    Nashukur mung 🙏🙏🙏
    Azid kukup afya njema uwez kutufundisha kwa simuliz nzur na zamadili pia nimejifunza meng san.
    Kukwel tumtanguliz mung ktk hali zet zot na tusijisahau kuwa hap dunian tunapit hiv tujitahid kuwa wema ktk mioyo yet 🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤. Mung atup kil la kher Amin.

  • @francksylvester7844
    @francksylvester7844 11 месяцев назад +14

    Sijachelewa na mimi jamani like zangu

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 11 месяцев назад +12

    Siy wa mwisho jamn like please 😂😂😂❤❤🎉🎉

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 10 месяцев назад +1

    Amin 🙏😍♥️

  • @AnithaPaskari
    @AnithaPaskari 10 месяцев назад +1

    Ahsante Sana kwa mafunzo yako Bro Lucas

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 11 месяцев назад +6

    Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi ❤

  • @omanss268
    @omanss268 11 месяцев назад +6

    Humu ndani kila mutu wa kwanza jamani basi namimi wakwanza🎉

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 10 месяцев назад

      😂😂😂nashangaa jmn hao wa kwanza wanatakiwa wawe wangapi?

  • @gladyes1717
    @gladyes1717 11 месяцев назад +7

    Nimekua wapili❤❤❤🎉🎉🎉

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 11 месяцев назад +31

    Mashabiki nione like zenu mimi wakwanza tena

  • @mwanaibrahim3288
    @mwanaibrahim3288 11 месяцев назад +7

    Kaka lukasi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua yako unatupa kitu roho inapenda❤

  • @KruthumNyoni
    @KruthumNyoni 11 месяцев назад +5

    Nilisubiri kwa hamu kubwa sana asante sana kaka lukas

  • @Mariam1818-n7s
    @Mariam1818-n7s 10 месяцев назад +3

    😢😢😢😢😢upendo nikitu kikubwa sana mfano batuli

  • @JacksonKimbigaro
    @JacksonKimbigaro 10 месяцев назад +2

    Lucas simulizi zako nzuri sina simanzi na zinafundisha nakupa kongole

  • @mwanaibrahim3288
    @mwanaibrahim3288 11 месяцев назад +9

    🎉🎉🎉like zangu wapendwa

  • @VeronicaBoniphace-j8k
    @VeronicaBoniphace-j8k 10 месяцев назад +2

    Ooooh batuliii 😭😭😭😭..Nimejikuta nalia sana na moyo ukijaa kiasi kwamba kunakitu kinanyonga moyo wangu ....Asante kwa simulinzi nzuri nimejifunza kitu ...Mungu akubariki na aibariki kazi ya mikono yako kaka lukasi ❤️🙏🏼

  • @charitykadenyi973
    @charitykadenyi973 11 месяцев назад +5

    ❤ kazi nzuri🎉bwana Lucas

  • @sudaisishamarash4293
    @sudaisishamarash4293 10 месяцев назад +1

    Daah hi simulizi nimejipenda tokea Uganda 🇺🇬 ashante lucas ashante sana

  • @PerpetualWanyama
    @PerpetualWanyama 11 месяцев назад +1

    🎉🎉❤ hayo maua n kwa Davi plz ana vichekesho sana 😅😅😅😅😅

  • @KhadijaGabriel
    @KhadijaGabriel 10 месяцев назад

    😢😢😢😢 jmn nimelia dakika za mwishoni kabisa inauma sana kupoteza watu unaowapenda ❤❤❤❤

  • @AnethDavid-k1s
    @AnethDavid-k1s 11 месяцев назад +3

    😭😭😭😭😭mungu akupe wepesi kaka kwel ulimpenda mkeo lakin mungu alimpenda zaidi

  • @HalimaAlly-v3f
    @HalimaAlly-v3f 11 месяцев назад +5

    Jaman story nzur sana. Kaka Lucas

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 11 месяцев назад +5

    Mauwa ya muheshimiwa lukas ❤❤❤🎉🎉🎉 thanks

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 10 месяцев назад

    Thank youuuuuuu so much for a wonderful story be blessed my wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @NeliaDaniel-h9s
    @NeliaDaniel-h9s 10 месяцев назад

    ubarikiwe sana brother nimeipenda hii Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏🙏👌🫶👌🫶💛💚💛💚💛💚💛💚 Amina🙏🙏🙏

  • @ReginaBenjamin-ij2ec
    @ReginaBenjamin-ij2ec 10 месяцев назад +1

    Upewe mauwa yako kak lucas🌹🌹🌹

  • @BimukubuwaMusa-hd9np
    @BimukubuwaMusa-hd9np 11 месяцев назад +4

    Nampenda Batuli ❤

  • @Maryam-s9o
    @Maryam-s9o 11 месяцев назад +6

    Na mm leo nimewah kila siku nakua wa mwisho likes zenu wapendw🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤ zuri sana jamn

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 10 месяцев назад +1

    Very stor so much ❤❤😢

  • @umurerwafatina2506
    @umurerwafatina2506 10 месяцев назад

    🇷🇼🇷🇼🇷🇼asante sana kbx nazipenda sanna simurizi zako🤗

  • @Innocentnduwimana-s5m
    @Innocentnduwimana-s5m 11 месяцев назад +3

    ❤❤❤🎉🎉🎉 daaaah ngoja Kwanz ni enjoy nipeni like tafadhari

  • @ElizaSada
    @ElizaSada 9 месяцев назад

    Amen amen ❤❤❤❤❤ 🙏🙏🙏🙏

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 11 месяцев назад +3

    Ooooooh Batuli ni Moja yo kazi yaMUNGU ambayo haina makosa bali inahitaji kutukuzwa tu🎉

  • @ShadiaKarya
    @ShadiaKarya 9 месяцев назад

    😢😢😢😢oooh batuliiiii 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 10 месяцев назад +1

    Najifunza upendo wenu na Batuli

  • @KhadijaKassim-k8d
    @KhadijaKassim-k8d 11 месяцев назад +5

    Asante sana kaka Lucas Allah akupe afya njema Inshaallah ❤❤❤❤

  • @hajatihajati5357
    @hajatihajati5357 11 месяцев назад +1

    Asante sana kwa stories nzuri zako wa tu burudisha naza Jay

  • @sallyvian
    @sallyvian 11 месяцев назад +15

    Naombeni like zenu leo nmekuw wakwanza

  • @Zeina-y9i
    @Zeina-y9i 11 месяцев назад +1

    Asante sana kwa kutuletea simulizi tamu😊😊😊🎉🎉🎉

  • @GedosIceeshotta-is9xj
    @GedosIceeshotta-is9xj 10 месяцев назад

    Kapela ameliya namimi nikaliya jaamani lucasi watuwa burundi tunakupenda sana

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 10 месяцев назад

    Asante sana tumejifunza kitu ❤❤❤❤

  • @mercyamagove8354
    @mercyamagove8354 10 месяцев назад

    Wow, nice story. much love from 🇰🇪

  • @Sharon-m2s
    @Sharon-m2s 11 месяцев назад +1

    Hongera kwa kuwahi kipenzi❤🎉🎉🎉

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 10 месяцев назад

    😢😢😭😭😭😭nimeumia San daaah

  • @LeahLissu-x5w
    @LeahLissu-x5w 11 месяцев назад +2

    Ubarikiwe na Mungu kaka Luka❤

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 11 месяцев назад +6

    ᴺⁱᵐᵉʷᵃʰⁱ ⁿᵘᵐᵇᵉʳ 12 🎉🎉

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 11 месяцев назад +1

    😢😢kwahiyo mm ndo wa mwisho muuuuh!😮😮 Maan humu kila mtu ni wa kwanza🤣🤣🤣

  • @Salhah-v9h
    @Salhah-v9h 10 месяцев назад +2

    Kwawalie. Kosa. Babawote😭😭😭😭😭mugonge. Hapa. Babaake. Nakapera. Amenikumbusha. Mbari😭😭😭😭duuuuuuu. Nishid.

  • @MaryHosea-d9d
    @MaryHosea-d9d 11 месяцев назад +1

    Asanteee kipenzi changu nakupendaa sana kaka lucas

  • @ostakiamgaya2045
    @ostakiamgaya2045 11 месяцев назад +1

    Kweli Vizuri havidumu 😢kifo cha batuli kimenitoa machozi😭😭😭😭

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 10 месяцев назад

    Daaaah,Batuli ana maneno ya faraja na hekima sana,anajua kutia moyo na kufariji sana jaman

  • @divinahonduso9591
    @divinahonduso9591 8 месяцев назад

    Maskini Batuul😢😢😢, kapela kalinde huyo mtoto kwa roho na moyo, batuul Mola akuondolee ghadhabu ya kaburi😪😪😪😪duuuuh

  • @espoirmalaki9730
    @espoirmalaki9730 11 месяцев назад

    Pole sana ndugu kupitia iyisimlizi imenifuza mengi. Pole tena

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 11 месяцев назад +1

    Daaah pole sana kapela hatimae tumemaliza binti kiziwi simliz hii ina mafunzo sana

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 11 месяцев назад +4

    Waooooooo

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 10 месяцев назад

    🙆🏻🙆🏻🙆🏻🙆🏻🙆🏻🙆🏻ooooh,,,maskini batuli hatunae tena jaman😭😭😭😭😭😭😭

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 11 месяцев назад +1

    Aliye mpamba batuli jmn apewe maua yake mapema sana🎉🎉🎉🎉

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 10 месяцев назад +1

    Weeeh kaka Lucas weeeh,,story tam sna ila inackitisha sanaa,,kifo cha batuli kimefanya nictishe kula akua nala ila nkamalizia chai nakuosha mkono😢 take heart KP...nipo mie ntakulelea mwanao vzuri ucjli bra unipende km ulivyompenda batuli... congrats mtunzi🎉

  • @maryamameir283
    @maryamameir283 11 месяцев назад +2

    Me wa mwisho leo😢

  • @ZainaMsafiri-ni7rj
    @ZainaMsafiri-ni7rj 9 месяцев назад

    Pole yak kapla

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 9 месяцев назад

    😭😭😭 Mbona imeisha na maumivu jamani

  • @MaryBosibori-iw1yo
    @MaryBosibori-iw1yo 11 месяцев назад

    Oh my god I like this story be blessed my brother Lucas I love you so much ❤❤❤❤

  • @Anita-f7e1l
    @Anita-f7e1l 11 месяцев назад +2

    Nilivyo kuwa naisubil heee😂😂

  • @LoiceOmusambayi
    @LoiceOmusambayi 11 месяцев назад

    Wow 😳 what a wonderful story asante sana kaka ❤❤❤❤

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 11 месяцев назад +2

    Love story but mwisho so sad 😂😂😂😂😂

  • @linetohuru348
    @linetohuru348 11 месяцев назад +1

    Amen God time is the best ❤❤❤❤

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 11 месяцев назад +1

    Ujambo ankojey kwakweli upande wangu unanifariji kwakila simulizi yako ongera saana na kutakiya KAZI njema

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  11 месяцев назад +1

      Jamani hivi kwanu hamsoni hata jina la chennel????? Anyway Ume wrong sms,😊😊

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂​@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI

  • @situitiu4655
    @situitiu4655 6 месяцев назад

    Shukurani

  • @PhoneKenya
    @PhoneKenya 11 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤Thanks bro Lucas

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 11 месяцев назад

    Jamani pole kapera 😢😢 Asante kaka Lucas 😍😍😍😍

  • @LensonSinkamba
    @LensonSinkamba 10 месяцев назад

    Umenifudisha kitu kikubwasana mugu akupe akili nyigisana I love you

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 11 месяцев назад +6

    Lisa iko hewan vp mm namalizana na anko lukas kwanza ndio niende kwa anko j

  • @halimahaji3856
    @halimahaji3856 11 месяцев назад +5

    Shukrani kaka Lukas, simulizi tamuu kabisa 🥰🥰🥰

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  11 месяцев назад

      Karibu Halima😊😊

    • @halimahaji3856
      @halimahaji3856 11 месяцев назад

      Asante kaka Lukas, ila hii simulizi mwisho inahuzuni😢,hivi unaposimulia unakuwa na hali gani kipande kama hichi cha huzuni

    • @MerryAkeza
      @MerryAkeza 11 месяцев назад

      Unanifariji WE baba

  • @AjesterAmani
    @AjesterAmani 11 месяцев назад

    Shukurani sana da umetufunza jaman

  • @Maryam-s9o
    @Maryam-s9o 11 месяцев назад +1

    Woooow 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @maryammuhammad6095
    @maryammuhammad6095 9 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉🎉 na hiyo ni dawa gani inayosaidia wapo weng 14:57

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 Месяц назад

    Nimestuka hapo batuli kafariki 😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @MaryHosea-d9d
    @MaryHosea-d9d 11 месяцев назад +2

    Nimeumia sana😭

  • @SifaMukundabandi
    @SifaMukundabandi 11 месяцев назад +2

    Nimejikuta nalia masikini batuli 😭😭😭sijui niseme nini ila nimeumia mno

  • @FaithPeter-j4w
    @FaithPeter-j4w 11 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤ndani

  • @LourineatienoOnu
    @LourineatienoOnu 11 месяцев назад +4

    Likes hata tatu

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 10 месяцев назад

    Imeisha vibaya batuli kafa sijapenda nilitamani nione batsli ataleaje mtt wake loooo