BOSS WANGU part 2 MWISHO (WAKUBWA TU) SIMULIZI FUPI YA MAPENZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 312

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 19 дней назад +2

    Ili dhahabu ing'ae lazima ipite kwenye moto.
    Enaya pambana mamaa umepitia mengi na bado unaendelea kupambana ❤

  • @Yaslahallyabdulla
    @Yaslahallyabdulla 10 месяцев назад +7

    Anko j unabowa ukimuigizia uyo mzungu anavoongea loo!

  • @WinnieMasheti
    @WinnieMasheti Месяц назад +3

    Inaya is a fighter. Pigania haki yako. We mwanamke bora unastahili dhahabu.

  • @ntihebuwayotaty162
    @ntihebuwayotaty162 Год назад +11

    Sindy love you so much

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 23 дня назад +2

    Dem malaya huyu

  • @AnithaNgowi-qt9wp
    @AnithaNgowi-qt9wp Год назад +9

    Pole sana inaya kwa uliyopitia Mungu akuinuwe kweny maisha yako

  • @HadijaKikal
    @HadijaKikal 2 месяца назад +5

    Hakuna rafiki kwenye hii dunia kama sindi,marafiki wa sasa utadumu nao lkn mara nyingi wivu wao ujenga chuki mbaya sana kwenye nafsi zao

  • @francisjohn8243
    @francisjohn8243 Год назад +6

    Kuna la kujifunza. Nzur san nimependa anko jey. Imenikumbusha mbali sana yaan nzur mnoo

  • @MarthaEdwardsMafuko
    @MarthaEdwardsMafuko Год назад +9

    Mungu awabaki sana logan na inaya wapendao mungu l baliki ndoa yenu jamani natamani niwajua niwape pongezi mimi nipo south Africa nawapenda sana❤❤❤❤

  • @sophialemmpalasu4133
    @sophialemmpalasu4133 Год назад +11

    Pole Hinaya simulizi nzuri yenye mafunzo

  • @olyoly9992
    @olyoly9992 Год назад +11

    Daah asante sana anko Jay kusema kweli hizi simliz zanifunza sana jinsi ya kuishi na kupambana na maisha na zanipa sana moyo be blessed anko jay

  • @Alya-np7gm
    @Alya-np7gm 22 дня назад +1

    Yaan huwa napita to nikiona simliz mix najua si anko jey , kwan kwa anko jey nimemaliza simulizi zoote nishamaliza

  • @ZAINABUZAI-v3o
    @ZAINABUZAI-v3o Год назад +4

    We kaka unasauti nzuri

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g Год назад +7

    Asante kwa kuwafundisha mabinti wazuri kuacha umalaya kwani heshima ni ngao njemaaa❤❤❤

  • @CeciliaChuwa-q2k
    @CeciliaChuwa-q2k 9 месяцев назад +5

    Jamani inaya na Logan mnanikosha sana kipenzi nimesikiliza mara nyingi sana

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 Год назад +15

    Asante kwa muendelezo Asante kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo amakweli ndoa inamisukosuko lakini tunafaa kuwa wepesi wakusameheana

  • @JacklineMwarabu-e2j
    @JacklineMwarabu-e2j 26 дней назад +2

    Acha umalaya inaya

  • @jeniphapetro2372
    @jeniphapetro2372 Год назад +10

    dah simulizi taam san asante san anko j na lissa tumejifudha san asanten mungu awabariki

  • @ImeldaKadogoo
    @ImeldaKadogoo Год назад +1

    Kaaa Kwa kweli anko j ww kiboko simulizi nzuri hizi nakupenda Bure from kenya

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 Год назад +6

    Simuliz nzuri xaan jaman asante Lissa mwala up juu✌️✌️asante pia anko j hujawah kukosea kiukweli tunainjoy xaan✌️🥰😘

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Год назад +6

    Anko J uko vizuri yaan unafurahisha sana

  • @pamelakonya545
    @pamelakonya545 22 дня назад +1

    Inaya❤nimeipenda simulizi hii na kujifunza😊

  • @MarthaEdwardsMafuko
    @MarthaEdwardsMafuko Год назад +14

    Inaya nakupenda kwasababu umefanya maamuzi mazuri ya kuwa mwanafunzi wa yesu maamuzi mazuri sana mungu akubariki Logan ndiye meN

  • @esupatthomas5881
    @esupatthomas5881 Год назад +4

    Stori nzuri❤

  • @MarthaEdwardsMafuko
    @MarthaEdwardsMafuko Год назад +13

    Logan ndiye mume wako mungu aliye kupangia muwepamoja mpaka kufa nawapenda mungu Awbaliki sana❤❤❤❤❤❤

  • @عهُد-ب6ظ
    @عهُد-ب6ظ Год назад +7

    Waaoow jambo lenye umuhimu ni kuishikilia imani haijalishi unabudia wapi either katika dini la kislasmu ama kikristu ila kumwomba MUNGU tuu ndiyo suluhisho lemye kutoa jibu lililo sahihi’ pia mapenzi yakweli hayafi

  • @AbdulhalimHafidh-g8r
    @AbdulhalimHafidh-g8r Год назад +6

    Iyana pole kwa changamoto ulizopitia na pia endelea ivoivo na uvumilivu ❤❤❤

  • @JawahirMadar
    @JawahirMadar Год назад +7

    Utajuta kama utaolewa nambunge binty fikiri penzi la kweli ni moja tu ❤ Logan

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh Год назад +1

    Hongera sana simulizi tamu sana kwakweli zinanipa faraja sana

  • @AbdulhalimHafidh-g8r
    @AbdulhalimHafidh-g8r Год назад +7

    Nice story ❤❤❤

  • @puritylobun5313
    @puritylobun5313 Год назад +8

    Yaani kazi ya Lissa mwala huwa ni moto 🔥🔥🔥 nakupeda Sanaa lissa mwala pamoja na ankojay, i love you so much .

  • @SadaSeleman-zx6ev
    @SadaSeleman-zx6ev 7 месяцев назад +4

    Ila inaya sindio nirafiki wa maisha hongera❤❤❤

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Год назад +3

    Hongeren nyotee

  • @mariethamasika9125
    @mariethamasika9125 Год назад +25

    Dah! Nlikua nasikiliza Binti wa mtunza Bustani...uku tayari tumeshakumbukwa🥰🥰

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Год назад +5

    Tumejifunza sana tunakupenda sana anko jay

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Год назад +6

    Ni tamu sana jamani na mafundisho kede kede, asante

  • @nellydoor4930
    @nellydoor4930 Год назад +4

    Asanteni saaana dada lisa na anko j kwa kutupa simulizi tam na zenye mafunzo nimejifunza kitu chauuu

  • @GladwelWangare
    @GladwelWangare 4 дня назад

    Listened three time part 2 only Iwant part 1 pls

  • @elizabethgodfrey5234
    @elizabethgodfrey5234 Год назад +8

    Jamani anko so unioe Mimi nine Tanzania nikupikie chipsi samaki na wali nyama kwa maana nimetambua unavipenda sana😊

  • @prettyjenny-b2j
    @prettyjenny-b2j 2 месяца назад +1

    Jamani nimezunguka naitafuta atimae Mungu kasikia kilio changu

  • @queenlee9495
    @queenlee9495 Год назад +6

    Anko jay unajua kutu kosha jamni hakuna simulizi ambayo ume simulia ikawa mbaya naenjoy kukuskiliza jamni One love wana simulizi mix💛💜🧡💚.

  • @fettysalum8481
    @fettysalum8481 Год назад +8

    Nzuri

  • @anitacera6626
    @anitacera6626 Год назад +5

    Nimejifunza mengi sana Asante sama

  • @MarthaEdwardsMafuko
    @MarthaEdwardsMafuko Год назад +7

    Logan na inaya mungu awabaliki sana mmetoka mbali na penzi lenu kwa sababu mungu alipanga muwe pamoja hakuna mwanadam atakaye watenganisha nimejifunza sana kupitia hii simulizi asante sana Anko jey mungu akubaki sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @patiencembekelu240
    @patiencembekelu240 Год назад +7

    Eeeeh asanteni wana simulizi .Ni nzuri yenye mafunzo tele,congratulations Rose na Logan live long nawapenda bure👍

    • @cesiliakessy3691
      @cesiliakessy3691 Год назад +1

      Rose tena sio inaya wasoma comment 😂😂😂 tunaharisha

  • @MarthaEdwardsMafuko
    @MarthaEdwardsMafuko Год назад +5

    Nimejifunza kupitia hii simulizi kuwa wavumilivu na kumtanguliza mungu ubalikiwe sana anko jay❤❤❤❤❤❤❤

  • @mildredalivitsa1186
    @mildredalivitsa1186 Год назад +6

    ❤😢😢 smart 👍 simulizi lenye mafunzo Sana mapenzi Ni kipofu❤🤭😱🙏👍

  • @cynthiakwamboka1410
    @cynthiakwamboka1410 Год назад +3

    inaya we mbaya sana

  • @monicashame2433
    @monicashame2433 Год назад +14

    Wow wonderful story 💯🌹🌹🌹

  • @claramasaito7880
    @claramasaito7880 Год назад +6

    Asante Lisa mwala kwa simulizi nzuri tunaenjoy nayo

    • @kisaagustino3278
      @kisaagustino3278 Год назад +1

      Yaan mie hoi simlizi hii nihatari kwakweli Lissa mwala nibalaaa

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g Год назад +3

    Anko Asante kwa kiswahili chako cha mzungu

  • @violettemugisha3557
    @violettemugisha3557 Год назад +7

    hii kali 🔥🔥ila Anko Jay kwakujisifia hajambo 😅🤣

  • @Jmapunda
    @Jmapunda 11 месяцев назад +3

    Uyo nae marayatu anaatamsimamo atasijampenda

  • @salmakim557
    @salmakim557 Год назад +4

    Hongera sana Lissa Mwalla na Anko Jay kazi nzuri 💪💪🔥🔥

  • @RusyJackson
    @RusyJackson Год назад +2

    Waooooo❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Kichaweleomary
    @Kichaweleomary Год назад +5

    Mapenzi laha❤❤

  • @Reemysidimaojo
    @Reemysidimaojo 11 месяцев назад +1

    Ngoja ncheke mie maaana sikwa raha hii

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Год назад +2

    Simulix mix hongereni sana mpo juu

  • @MarthaEdwardsMafuko
    @MarthaEdwardsMafuko Год назад +6

    Nimeipenda sana hii simulizi nasikiliza mara mbili kwa siku😂😂😂

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 Год назад +7

    Asante Lissa Mwala mafundisho tumepata.hawa Kunguru wawili wamepitia mapigo ya hatari. Lakini maisha ni uchaguzi. Ukiamua kua jambazi utavuna ujangili tu ukiamua kuwa mwema utavuna mambo mema. Rose alichagua barabara sio katika maisha lakini amelipa.

  • @سيدا-ص1ز
    @سيدا-ص1ز Год назад +5

    Wadada inatakiwa mwe na msimamu kwa mioyo yenu sana nauvumilovu hali ya juu sana

  • @AnnaNthenya
    @AnnaNthenya Год назад +1

    Ankonjei umbarikiwe sana

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 Год назад +6

    Asante ankojey kwa kutuletea part 2 kwa haraka

  • @ghanimajongo7817
    @ghanimajongo7817 Год назад +3

    Mk vizur asant kwa nn msifany km michezo sinan

  • @tatukigua5456
    @tatukigua5456 Год назад +2

    Anko jay stor nzuri sana

  • @jamilarimo5546
    @jamilarimo5546 Год назад +5

    Chichi kivuruge

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 Год назад +11

    Anko J lazima ajipe mfano na kujisifia yaani natamani simulizi isiishe napenda kukuzikiliza unanichakesha hatari Anko J mpaka naonekana mjinga nacheka peke angu naulizwa nacheka nini...asante kwa simulizi nzuri Mungu akuzidishie😂😂😂😂

  • @MarthaEdwardsMafuko
    @MarthaEdwardsMafuko Год назад +5

    Ongera sana inaya na Logan mungu awatangulie kwenye ndoa yenu natamani siku moja tuonane bila kumsahau Anko jey kwa simulizi zake zuri naomba nikija Tanzania nitawatafuta nimejifunza mengi kupitia hii story number yangu

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Год назад +3

    Hahaha anko jay ni mwisho litinginyana

  • @esteriad2260
    @esteriad2260 Год назад +8

    Anko j jamani umezidi sio kwakishwahili hicho chakizungu😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @leahmajaliwa6575
    @leahmajaliwa6575 Год назад +5

    Wooow nyie ata amjani bip? Jaman huyu mkaka anko kam anko j nakipenzi chetu lissa mwalla Mungu awanilindie

  • @Azarakhalif
    @Azarakhalif Год назад +3

    Ningeenda kwa logani mm mana anautam

  • @JawahirMadar
    @JawahirMadar Год назад +8

    Ivi kweli wewe bint mjinga kiasi gani usiye jipigania jamani bint muongo yaani hufai ukweli unamuweka mtu huru 😢😢

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Год назад +2

    Wow big anko jay❤❤❤❤❤

  • @mercymusundi8779
    @mercymusundi8779 Год назад +14

    Kichopangwa na mungu mwanadamu hawezi kutenganisha

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 Год назад +8

    Number1💃💃💃💃

  • @عهُد-ب6ظ
    @عهُد-ب6ظ Год назад +5

    Hongera Lissa mwala kipenzi hakika bururudani hii sio mchezo ila alie nasikio najua amefaidi mengi na alie tayari kubadilika hataghairi kwani mafunzo yote yspo hapa pia ahsante anko jay kwa yako kazi nzuri simamia hapo hapo nahodha wetu na bila kuwasahau wana simulizi mix wote hongereni

  • @IreneFuraha-y6z
    @IreneFuraha-y6z Год назад +1

    Nice simuliz anko

  • @mamtuhhassan809
    @mamtuhhassan809 Год назад +11

    Kama kawaida ya Lissa wangu jamani ☺️ uki skiliza story yake lazima uta jifunza tuu utake usi take nauta enjoy tu lazima Nakupenda Lissa 🤗🤗

  • @FunnyClownfish-uc6ye
    @FunnyClownfish-uc6ye 11 месяцев назад +1

    Mm uyo chichi ningemkata. Viwembe

  • @SadaSeleman-zx6ev
    @SadaSeleman-zx6ev 7 месяцев назад +2

    Ka inaya ww noma mama mpaka raha

  • @BibiMataka
    @BibiMataka 6 месяцев назад +2

    Kwa kweli simulizi hii imenipunga sana kilasaa naisikiliza logani ningekua huko tz ningemtafuta nimuone tuu Niko kenya mwanifuraisha tu sana

  • @jawahirkahinmadar1459
    @jawahirkahinmadar1459 Год назад +13

    Hinaya una ukosea moyo wako na walogani mungu atakuadhibu mjinga wewe

    • @florencejuma8060
      @florencejuma8060 Год назад +2

      Ako na ujinga maana angependa nduguye logan

    • @omaryphilmon
      @omaryphilmon Год назад +1

      Hinaya Mungu anakuona😁😁😁

  • @mwanaally4972
    @mwanaally4972 Год назад +10

    Lissa mwala now unatufurahisha xaan ❤️🙏 unatuwahishia xna simulizi🔥

    • @mildredalivitsa1186
      @mildredalivitsa1186 Год назад

      N,c. 😢u566r5y😄🥗🤝💸😊😲😢😢 did 😢😮not 4?be 3😢😮😢

  • @rehemasharifu8985
    @rehemasharifu8985 Год назад +6

    Nilipitwaaa ndo kwanza naona kumbe part 2 tayar jaman BOSS WANGU

  • @hasinangina5405
    @hasinangina5405 Год назад +4

    Asantee mtunzi na msimulizi

  • @EvaristSanga-xn1dp
    @EvaristSanga-xn1dp Год назад +2

    Wow anko ❤❤❤🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LovenessChuwa-vk9uk
    @LovenessChuwa-vk9uk 3 месяца назад +1

    Uncle j naomba uwe Logan wangu

  • @cadeaualiza
    @cadeaualiza Год назад +3

    Asante sana anko👍

  • @jenipherisaya684
    @jenipherisaya684 Год назад +1

    Mko vizuri sana simulizi mix

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Год назад +5

    Warabu wamenibana sana mpk nimepitwa 😂😂 ila hapajaaribika jambo wacha nitege masikio yangu kusikiliza alafu nitarudi kucomment tena baadae ❤❤

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 Год назад +3

    Hapo anko j nilikua nakungoja sawa nimekupata dear ❤❤

  • @MrishoYalala-p3v
    @MrishoYalala-p3v 8 месяцев назад +4

    Umekoma ila .majutoni mjukuu

  • @annahmwenda
    @annahmwenda 2 месяца назад +1

    Wakati mwingine tunapaswa kuwa ujasiri,ili kukabiliana na changamoto zinazotukumba

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Год назад +1

    Simulizi nzuri yenye mafunzo asante mwala na anko J uyo chid limbukeni sana

  • @ghm1711
    @ghm1711 Год назад +3

    Unavyojua kuchombeza we kaka jamani dah mpaka naloa kweli 🤣🤣🤣😜

  • @JawahirMadar
    @JawahirMadar Год назад +5

    Wewe bint yaani nakuchukia

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 Год назад +5

    Afadhali imetoka japo nimechelewa kuanza nilikuwa nasikiliza binti wa mtunza bustan tunashukuru sana🤸🤸🙏🙏🙏 jamn like zenu tafadhali

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 3 месяца назад +1

    Asante sana Ankojay 🎉🎉

  • @anithahalicy2715
    @anithahalicy2715 Год назад +1

    Asante sana imeyisha Vizuri asante sana