SIMULIZI MPYA - SUCH KIND OF LOVE ( part 01 ) By Ankojay

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Ni jioni moja tulivu mimi na rafiki yangu Mary tulikuwa tumekaa beach tukila upepo wa bahari baada ya kutoka chuo, mara ghafla niliweza kumuona mpenzi wangu Kelvin akiwa na msichana mwingine pembezoni kidogo na bahari.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 143

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c Год назад +14

    Sach kind of lve part 2 plzzzzzz akojay

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад +5

      Done ✅ link hii hapa ruclips.net/video/83JOWRA8Rzs/видео.html

  • @christinesifaruwa
    @christinesifaruwa Год назад +9

    Mapenzi ya wazi ni mazuri ju usaliti haukuagi wa sana

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 11 месяцев назад +3

    Ubarikiwa san Ankojay kwa simulizi zuri ❤❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🙏

  • @fransiscafransisca3883
    @fransiscafransisca3883 Год назад +8

    Duuh ase watu mko vzr na simulizi mshajaa mara hii😂😂😂❤🎉

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu Год назад +5

    Uyu Dada na uyu kaka wanaendana jamani munasemaje??👌👌👌👌👌👌🙏🙏🙏🙏🙏🙏💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Год назад +6

    Kwa mara ya kwanza nimewahi

  • @suzanachambo4206
    @suzanachambo4206 Год назад +8

    Ubarikiwe na bwana kweye kazi yako hii

  • @doricedeus7587
    @doricedeus7587 Год назад +4

    Nimekuwa wa Kwanza🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙈🙈🙈

  • @RuwaydaIssah-hx5xr
    @RuwaydaIssah-hx5xr Год назад +4

    Nakupend anko j napenda sana sautiyako jamony🥰

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov Год назад +7

    👌 leo wakwanza nipeni everything

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 Год назад +11

    Asante Ankojay from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with Love ❤❤❤❤

  • @justamarrymanga2500
    @justamarrymanga2500 Год назад +6

    Sauti yako TU anko jay

  • @judikadzo8712
    @judikadzo8712 Год назад +2

    Anko j unasauti nzuri sana

  • @albentinawilla9713
    @albentinawilla9713 Год назад +2

    Jamniii tamu jamnii uwiii

  • @sarakahidi6348
    @sarakahidi6348 Год назад +2

    Mapenzi nikuvumiliya kweli ❤❤❤❤

  • @MwanamkuuOmar-n5r
    @MwanamkuuOmar-n5r Год назад +3

    Napenda mahusiano ya wazi

  • @MamuPesa
    @MamuPesa Год назад +3

    Wazi ndo raha ❤

  • @mapenzikazunguzia415
    @mapenzikazunguzia415 Год назад +4

    😂😂😂😂😂ila anko jay bwana napenda kusikiliza sana story zako ❤❤❤❤❤❤❤

  • @حمدانالحويطي-م8ك
    @حمدانالحويطي-م8ك Год назад +2

    Tamu sana wala haichoshi

  • @madreedsulaiman401
    @madreedsulaiman401 Год назад +2

    Tamu sana Kasi zuri

  • @julievideo9126
    @julievideo9126 Год назад +4

    Jaman ukitaka kuwa mwana familya WA anko jay kindakindaki unatakiwa kufuata hatua gan maana kila ancho sema nimefanya lkn sijawahi kuwekwa juu lkn nampenda san

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Год назад +4

    Mmmmh asante studio

  • @mohammedjuma1543
    @mohammedjuma1543 Год назад +5

    Asante anko uwe n weekend njema inn sha Allah

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 Год назад +4

    Mambo guys Leo nimewah San jmn

  • @elizabethlucky8200
    @elizabethlucky8200 Год назад +3

    Nayapenda Mapex yale yauwazi so sipendi mambo ya siri

  • @elizabethmajaliwa8962
    @elizabethmajaliwa8962 Год назад +9

    ❤ wa kwanza ❤❤❤❤ouk Jay una maua yako

  • @AichiSilayo
    @AichiSilayo 8 месяцев назад +2

    Mahusiani ya wazi ndio mazuri mnayaficha kwani ni bangi hiyo

  • @LatifaMahamd
    @LatifaMahamd Месяц назад

    Jamani anko sauti. Hiyo

  • @winifridatairo6660
    @winifridatairo6660 Год назад +2

    Siyo kwa kiinglishi hiki ankol,
    🤜🤛

  • @rhodaisika46
    @rhodaisika46 23 дня назад

    Mapenzi ya wazi ni mazuri

  • @Syviahalex
    @Syviahalex Год назад +6

    Kua top 30 SI mchezo ,kind of love,mapenzi mapenzi ayah Kuna nn hapa😂

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 11 месяцев назад +1

    Mahusiano ya wazi napenda Sana

  • @jawahirkahinmadar1459
    @jawahirkahinmadar1459 Год назад +2

    Msicha mjinga sana3

  • @Fatum112
    @Fatum112 Год назад +4

    Ankojay ubarikiwe kipaji chako kipae juu zaidi inshaAllah

  • @HalimaHalima-rw5os
    @HalimaHalima-rw5os Год назад +3

    Ank j l love you from burundi ❤❤

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 10 месяцев назад +2

    Kijana akichoka atamuacha huyo misa ooooh,vijana wa siku hiz hawataki longo longo

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 Год назад +2

    Asante kwa muendelezo lakini eddy anatembeza kweli kweli😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Remsyjay482
    @Remsyjay482 Год назад +12

    Leo nimewahi asante anko Jay chuma kinaokena kiko fireee💥💥💥 asante kwa kutuburudisha from Kenya tuna thamini juhudi zenu❤❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Год назад +5

    Big up My sweet heart leo uko juu sana kingereza umeweza umekipatia nazidi kukuombea mungu azidishe hekima yake kwako uzidi kuwa juu juu sana kwa kila jambo maishani mwakwo daima ubarikiwe sana

    • @fatimafoaani2263
      @fatimafoaani2263 Год назад

      Aujalala au waandaa kazi ya kesho, usiku mwema uniote mdau wako shabiki love you 💕😘

  • @ShukuraniMapunda-lz3un
    @ShukuraniMapunda-lz3un Год назад +2

    My love good job

  • @asharamadhan9573
    @asharamadhan9573 Год назад +12

    Mm Leo wakwanza jaman nipeni lek zangz❤❤❤❤

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 Год назад +1

    Kali hiyo anko jay baba na mwana damu moja mungu tu atusahidiye

  • @DalinaSamweli-ji3fc
    @DalinaSamweli-ji3fc Год назад +2

    Hello guys mwez wa dozi juu ya doz so tukae mkao wa kula mmh anko jay kiboko

  • @FatmaZubeiry
    @FatmaZubeiry Год назад +3

    Anko j unanikosha sana❤

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 Год назад +3

    Asante kwa simulizi ankojey ❤

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Год назад +12

    Yaani nimekuwa 25 🥴tunainjoi tuu ANKOJAY na wikiendi hii ipo poa tu tuliotoka ijaza leo like hapa tujuane 🌹🥰

    • @fatimafoaani2263
      @fatimafoaani2263 Год назад +1

      Mambo shady uko poa za weekend

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 Год назад

      ​@@fatimafoaani2263poa kipenzi wikiendi ipo poa🥰🥰🌹

  • @Jmapunda
    @Jmapunda 4 месяца назад

    Yan atasijaelewa anko uyodem anakera adositor inakuwa mbaya

  • @pascalinaerasto9501
    @pascalinaerasto9501 Год назад +2

    Mahusiano ya wazi sasa ufichwe kama bangi jamani

  • @GraceShansila-f1f
    @GraceShansila-f1f Год назад +7

    Asante ankojay nainjoi na uo mziki🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @butoyizuwena8583
    @butoyizuwena8583 Год назад +2

    Ukopowa kwakutusimulia simulizi zako anko jay🇧🇮

  • @mildredalivitsa1186
    @mildredalivitsa1186 Год назад +2

    Anko jay pongezi kwa simulizi nzuri sana ❤👏😘🙏👊💕 from 254 leta nyingi sana

  • @haleemahhamisi2534
    @haleemahhamisi2534 Год назад +2

    Nimekuwa wa 100 yani nko bz n anko j mpka mpenzi wangu yuwanilaumu 😅😅acha niande party 2 ....ongera anko tamu sana ❤❤❤

  • @LindaRobson-qn1br
    @LindaRobson-qn1br Год назад +3

    Jamn leo tumeletewa kingelez mmmh thanks anko 💛💛💛

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Год назад +8

    Nimekuwa wa kumi na moja leo 😢😢..Ahsante Anko jay mashabiki zako tunaenjoy mno😊😊❤

  • @MargretMumbi-o8b
    @MargretMumbi-o8b Год назад +8

    Like tu yatosha

  • @jambo_safari
    @jambo_safari Год назад +2

    Hata mimi anko sitaki kuulizwa na mapenzi. Kuna vingi vimeniumiza

  • @jambo_safari
    @jambo_safari Год назад +2

    Sitaki mauza uza na Mazing ZONG mapenzi mapensi

  • @ZainabuYahya-fu1zc
    @ZainabuYahya-fu1zc Год назад +2

    Such kind of love. ❤❤. Ongel ankol

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Год назад +2

    Congratulations 👏👏👏👍 my love good job ubarikiwe sana

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад +1

      Thanks for watching😊

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 Год назад +2

    Nice

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani Год назад +2

    Asnte ako Jay kila siku unavitu viipya mungu akuzidishie maisha marefu na riziki tunakupenda sana

  • @ysix-x7u
    @ysix-x7u Год назад +2

    Story nzur jaman maua Yako anko j

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi Год назад +2

    ❤🇴🇲🇴🇲

  • @RitaannyManegabe
    @RitaannyManegabe Год назад +2

    Asante sana Anko j kwa sumulizi tamu ❤❤❤

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 Год назад +2

    Mh❤❤❤

  • @AdmiringGrazingCows-im1kh
    @AdmiringGrazingCows-im1kh 6 месяцев назад

    Huna adabu amisa wewe huwenzi kumwambiiya baba yako ivo lakini sawa mtoto ukimdekesha sana mtoto unakuwahuru kusema kilakitu.

  • @MuzdatHashim
    @MuzdatHashim 6 месяцев назад

    Raha mahusiano ya wazi

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 Год назад +2

    Leo wa 0 😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 Год назад +4

    Shukran anko j pamoja na mwandishi wetu kitty fefe

  • @merrymazuri2713
    @merrymazuri2713 Год назад +5

    Wa 30 naomben like na mimi ,nijiine mwana family wa anko jay 😢😢

  • @sarakahidi6348
    @sarakahidi6348 Год назад +2

    Vp

  • @aishaMkalawa-bq1vg
    @aishaMkalawa-bq1vg Год назад +1

    Asante ankojay kwa similizi

  • @masikamohamed1795
    @masikamohamed1795 Год назад +4

    ❤❤❤❤❤❤👌

  • @kevenkeven7381
    @kevenkeven7381 Год назад +3

    Asante sana ankojay 💪💪🥰🇧🇮

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh Год назад +2

    Asante sana Anck jy ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn Год назад +4

    Congratulations uncle 👏 ❤️ with a good 👍 job God bless 🙌 🙏 u for everything you done I wish u all the best I love ❤️ u more than u no thanks

  • @EvaristSanga-xn1dp
    @EvaristSanga-xn1dp Год назад +5

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @matibayajumah5327
    @matibayajumah5327 7 месяцев назад

    Wewe unahdabu we mtoto

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 Год назад +4

    Asante ankol

  • @TauhidaSaid-k7q
    @TauhidaSaid-k7q Год назад +5

    uwii ako Silvia jeee????

  • @FatmaZubeiry
    @FatmaZubeiry Год назад +3

    1:07:37 ❤❤❤ 1:08:38 thanks ❤

  • @fedhaathuman-sd2id
    @fedhaathuman-sd2id Год назад +5

    Wakwanz reooo raik zang jamani

  • @issanuru9552
    @issanuru9552 Год назад +3

    ❤❤❤❤❤❤

  • @leah5307
    @leah5307 Год назад

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @minahmtaki7119
    @minahmtaki7119 Год назад +4

    Asante ank j❤❤❤

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo Год назад +4

    Thanks a lot anko

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh Год назад +2

    💥💥💥🥰🥰🥰

  • @fransiscafransisca3883
    @fransiscafransisca3883 Год назад +3

    Anko tunaomba mwisho wa miss Abby pamoja na Chiara

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 Год назад +2

    🔥🔥🙌🏼🙏

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Год назад +16

    Tangazo tangazo anayenitafuta ndugu jamaa sijapotea niko kwenye simulizi za anko Jay 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Maana mda wote ni full simulizi 😂😂😂😂😂😂

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад +4

      😂😂😂😂

    • @zuenahz5514
      @zuenahz5514 Год назад +3

      @@ankojay_ 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @leah5307
      @leah5307 Год назад +1

      😅😅😅😅

    • @RakaPk
      @RakaPk 11 месяцев назад +1

      😂😂😂

    • @jinaanhkareem3650
      @jinaanhkareem3650 11 месяцев назад +1

      😂😂😂😂Asee ni noma

  • @nancynancy4362
    @nancynancy4362 7 месяцев назад

    Mapenzi ya Siri kwani nibangi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Grace-xh6zq
    @Grace-xh6zq Год назад +3

    ❤❤❤❤🎉

  • @رحيمهزيزو
    @رحيمهزيزو Год назад +2

    😂😂😂 kwani simulizi za anko Jay zinafanya mtu alewe

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 Год назад +3

    Hope inakuja leo ao??????

  • @FadhilMohamed-d5i
    @FadhilMohamed-d5i Год назад +3

    Which is that kind of love?? let me listen first then will comment later thanks a lot Ankojay

    • @ankojay_
      @ankojay_  Год назад +1

      Thanks for listening😊

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Год назад +3

    Mimi napenda mausiyano ya wazi,je wewe anko Jay wapenda ya siri au wazi? Naomba jibu please 🙏 anko Jay mapesa

  • @JosephNghomele
    @JosephNghomele 8 месяцев назад

    People

  • @dalilaamiri
    @dalilaamiri Год назад +5

    Thank you Ankojay ❤❤

  • @FatmaZubeiry
    @FatmaZubeiry Год назад +2

    1:07:37 ❤❤❤

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 7 месяцев назад

    🙏🙏🙏🙏🙏🎉