Tuendelee kuombea taifa ndugu zangu.kuna milango ya kuzimu imeruhusiwa kufunguliwa kwa nchi yetu.Mungu anasema tukijinyenyekeza na kutubu atatukumbuka na kuokoa nchi yetu.
Hao ni majambazi wame wa uwa hao maskini na wame watobowa macho kwa sababu wasi julikane, na wame mteka huyo baba wa watu maskini ili ambiwe ni yeye mtuhumiwa. Hasbuna Allah Wani'mal Wakiil kwa kila dhalim
Kwani mtu ukimua mtu unajskiaje au unapata nini..au anakuwa afi uyo alouwa jaman km muislam mrudie mungu km mkristo mrudie mungu..hii ndo dunia ya mwisho. Soma makala ya sodoma n gomola..yan jaman mungu mkubwa watu wasimzarau mungu au kutoamin km kuna kifo duniani aswa unaemua mtu kutaka kazi ya jibliri alopewa n mungu
Hii taarifa kwa sisi tuliopo tanga tunajua huyo mume hakuwepo kabla na baada ya tukio inakuaje anatafutwa kwa tuhuma za mauaji...mngemtafta kimya kimya mkimpata ndio afanyiwe uchunguz akijulikana ana hatia ndo mumtangaze ameua...
Matukio haya yanazidi coz serikali yetu hatilii mkazo wa adhabu kubwa kwa wauwaji ,hao watu wanatakiwa wakikamatwa wanyongwe pia hazaran , umuae mwezie na auliwa tena liv bila chenga hakuna na kupoteza muda kwende jela au mahakan, haya mambo yangepungua,
Me naona adhabu sio kifungo na wao wauliewe hili litapungua akiona maumivu yakumua mwenzake atouwa..mama samia nakuomba ebu tutiloe mkazi kwenye izi sheria..watu wawe na utu kwa sheria tu
Born and brought up in Tanga... My (late) Mother, also born and brought up in Tanga - on Mkwakwani Street (Akida Street). Corner of Barabara 4 (opposite Janoowalla Stores). This was the 1950s and 1960s, when I was growing up and attended the Karimjee Secondary School (now Usagara Secondary). TANGA was a relatively safer place and murders were very rare. This house, used to be the childhood home of my very good friends. Such tragedy and loss of life. HEARTFELT CONDOLENCES to the family. May Allah Grant her Eternal Peace and Rest her Soul in Serenity AMEEN (exTanga / 1951 - 1971) (exKarimjee School / 1965 - 1970) Very fond and wonderful memories of Tanga - lived in India Street in the Town Centre; and then in the 'Agakhan Flats' (Usagara area).
Yeah Dodoma ilikuwa hvyohvyo na Tanga tena yule mama,mtoto na msichana wakachomwa! Sa hv hamna cha kusema Arusha mikoa yote( nchi kwa ujumla) ni Mungu aingilie kati
INALLILAHI WAINA ILAYHI RAJIUN
Tuendelee kuombea taifa ndugu zangu.kuna milango ya kuzimu imeruhusiwa kufunguliwa kwa nchi yetu.Mungu anasema tukijinyenyekeza na kutubu atatukumbuka na kuokoa nchi yetu.
Allahu akibarr. Inalillahi wainailahi rajuun. Hivi huyo baba ananguvu gani auwe wote hao pekeyake
Inaalilah wainaillah rajiun 😢 wanandoa wache mauwaji sasa dada wakazi kafAnyaje na hii pia mama samia wakulaumiwa. so sad 😢
Mungu turehemu kwa ajili ya damu inayo mwagika katika nchi hii
Ee mungu tuokoe waja wako maan mambo ya dunia ii yanatisha🙏🙏
MUNGU awalaze mahali pema. Baba asihukumiwe isijekuwa baba nae aliuliwa na wakamtupa mbali duuuuhhhh jamani
Ni kwer
Hao ni majambazi wame wa uwa hao maskini na wame watobowa macho kwa sababu wasi julikane, na wame mteka huyo baba wa watu maskini ili ambiwe ni yeye mtuhumiwa. Hasbuna Allah Wani'mal Wakiil kwa kila dhalim
Duh Mungu tuteteee maana Dunia inatisha
Kwani mtu ukimua mtu unajskiaje au unapata nini..au anakuwa afi uyo alouwa jaman km muislam mrudie mungu km mkristo mrudie mungu..hii ndo dunia ya mwisho. Soma makala ya sodoma n gomola..yan jaman mungu mkubwa watu wasimzarau mungu au kutoamin km kuna kifo duniani aswa unaemua mtu kutaka kazi ya jibliri alopewa n mungu
Police wanataka kurahisisha kaz,mnamtuhumu vipi huyo mzee kuwa ameua ilhali hamna uhkika
Mungu ni maombi yangu ututetee taifa la Tanzania km Isaya 60:18 isemavyo
Mungu atuhifadhi
Hii taarifa kwa sisi tuliopo tanga tunajua huyo mume hakuwepo kabla na baada ya tukio inakuaje anatafutwa kwa tuhuma za mauaji...mngemtafta kimya kimya mkimpata ndio afanyiwe uchunguz akijulikana ana hatia ndo mumtangaze ameua...
Matukio yamezid kwakweli mungu tuhurumie
Na uzee wote huo jamani bado mnauana duhh inasikitisha wallah
Astghafirullah nyie Innalilah
Hajaua yeye mtu wa miaka 60 atauwaje,yeye mwenyewe kakutwa kaukiwa sahare huko yeye sio muaji wako wauaji
Subhana Allah
Matukio haya yanazidi coz serikali yetu hatilii mkazo wa adhabu kubwa kwa wauwaji ,hao watu wanatakiwa wakikamatwa wanyongwe pia hazaran , umuae mwezie na auliwa tena liv bila chenga hakuna na kupoteza muda kwende jela au mahakan, haya mambo yangepungua,
Me naona adhabu sio kifungo na wao wauliewe hili litapungua akiona maumivu yakumua mwenzake atouwa..mama samia nakuomba ebu tutiloe mkazi kwenye izi sheria..watu wawe na utu kwa sheria tu
Jamani kuna nini hasa mbona binadamu tumwkuwa hatuna hofu ya Mungu unauwa kweli mkeo kisa nini
Akipatika mtuhumiwa ndio kitaeleweka,kuna alie ona akiwanyonga?je kama na yeye kapotezwa?tuwe na subra
Born and brought up in Tanga...
My (late) Mother, also born and brought up in Tanga - on Mkwakwani Street (Akida Street).
Corner of Barabara 4 (opposite Janoowalla Stores).
This was the 1950s and 1960s, when I was growing up and attended the Karimjee Secondary School (now Usagara Secondary).
TANGA was a relatively safer place and murders were very rare.
This house, used to be the childhood home of my very good friends.
Such tragedy and loss of life.
HEARTFELT CONDOLENCES to the family.
May Allah Grant her Eternal Peace and Rest her Soul in Serenity AMEEN
(exTanga / 1951 - 1971)
(exKarimjee School / 1965 - 1970)
Very fond and wonderful memories of Tanga - lived in India Street in the Town Centre; and then in the 'Agakhan Flats' (Usagara area).
Mungu atupe mwisho mwema 😢. Kiama kipo kwenye kasi
Tutampata tuu huyo Alii damu ya mkewe na ixmbatane nae aliko
TUTAKUA hatupati wafanyakazi WA NDANI siku hizi.Unamuua mtoto wa mfanyakazi kwanini?
Hata mm nimewaxa hivyo hivyo kama wewe jaman khaa
Yeah Dodoma ilikuwa hvyohvyo na Tanga tena yule mama,mtoto na msichana wakachomwa! Sa hv hamna cha kusema Arusha mikoa yote( nchi kwa ujumla) ni Mungu aingilie kati
Mmmmmh jamaniiiiii haya matukio yamezidi
Kwani imeshajulikana na mume wake ndo aliyewanyonga?!
Maskini wadada wa kaxi wanauwawa kwa mateso nyumba xa wa2.
Walijuaje kama ni mmewe
Muwe mnaweka pic zao
Muitume picha yake tumjue