🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 39

  • @uwezoseleman5530
    @uwezoseleman5530 17 дней назад +6

    Asante Yesu kunifunulia haya maana nilikua sina hakika kwamba wewe ni mkweli au mjanja mjanja, kumbe we mjanja tu kama wengine sikusikilizi tenaaaa endelea na hao wasiojua neno.

  • @mmsfuzzsba3816
    @mmsfuzzsba3816 13 дней назад

    THIS IS MY PASTOR THAT I TRUST THAN ANY OTHER

  • @PaulHuncho-v3u
    @PaulHuncho-v3u 16 дней назад +2

    binafsi nawaheshimu sana watumishi wa mungu ,hawa ni wawakilishi wa mungu.

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 17 дней назад +3

    Asante mtumishi wa Mungu na Mungu akubariki kwa utumishi wako Amina.

  • @SmilingBirdwingButterfly-yq3he
    @SmilingBirdwingButterfly-yq3he 17 дней назад +1

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu umewapokea wachezaji wetu na kuwawekea mikono

  • @dioclesrweramila7926
    @dioclesrweramila7926 16 дней назад

    Mungu hakuwahi kujihusisha na maswala ya upuuzi.
    Yeremia 14:14
    [14]Ndipo BWANA akaniambia, Hao manabii wanatabiri uongo kwa jina langu mimi; mimi sikuwatuma, wala sikuwaamuru, wala sikusema nao; wanawapeni unabii wa maono ya uongo, na uaguzi, na neno la ubatili, na hadaa ya mioyo yao..
    2 Wakorintho 11:13-15
    [13]Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.
    [14]Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
    [15]Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 17 дней назад +2

    Akili kumkichwaaaaa😂😂

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 17 дней назад +2

    Injili ya mpira

  • @lizymwakyusa8798
    @lizymwakyusa8798 17 дней назад

    Amina kiongozi naomba uniombea na mimi Baba

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 17 дней назад

    7:32 Alhamdulillah....😂

  • @Emau-TV
    @Emau-TV 16 дней назад +1

    Mambo ya kiroho haya thibitishwi na sayansi

  • @DaudiJulius-v4m
    @DaudiJulius-v4m 16 дней назад

    Mimi naomba magar. Na nyumba

  • @naomimassawe4855
    @naomimassawe4855 17 дней назад

    kwa kweli naona kama cjaelewa kabisa

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 17 дней назад

    ASANTE SANA BABA ENDELEA KUWAOMBEA WACHEZAJI WETU. SHETANI YUPO KWELI

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml 17 дней назад +3

    ENDELEA KUPOTOSHA WATU TU

  • @salehaliy6108
    @salehaliy6108 17 дней назад

    3:24

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 17 дней назад +2

    Nilitarajia ili na nilijua tu kama siyo mtumishi wa kweli utalisema ili kwakua ni mambo ya mpira unataka wafuasi ndomaana ukaingia Simba na yanga, washabi wampira watakuelewa ila wewe siyo nabii wakweli aijalishi watafanya vizuri wewe siyo wakweli tapeli kama matapeli wengine

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 16 дней назад

    Ivi ili jambo la wachezaji linasaidia nini Kanisa?au ni kuwaadaa watu ili waje kwako?sijaelewa nieleweshe

  • @goldenonlinetv.
    @goldenonlinetv. 17 дней назад +1

    Kwahiyo na wewe mwandishi Leo umeombewa🙄

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 17 дней назад

    Ajabu!

  • @sefaniasam
    @sefaniasam 16 дней назад

    ruclips.net/video/JRmM20NTy88/видео.htmlsi=BZLmAfM-hryAUTOQ

  • @EvaNdayishimiye-n5o
    @EvaNdayishimiye-n5o 17 дней назад +1

    Mchungaji sema ukweli ni zaka zakazi kamufunga

  • @Uranga9128
    @Uranga9128 16 дней назад

    Poison of mind.....Ukiona Jina Prophet ( Nabi) Mtume( Apostle) weka harama ya (??????)
    Hari ya kanisa ni mbaya.....😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @DrjosephKingo
    @DrjosephKingo 17 дней назад +4

    Huna lolote nabii wa mchongo wewe. Hiyo ni saikologia tu siyo wewe

    • @NadyaSamson
      @NadyaSamson 17 дней назад

      Amini unachokiamini

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 17 дней назад +1

      ​@@NadyaSamson mnapigwa kwa kukosa maarifa

    • @MussaJohn-l9e
      @MussaJohn-l9e 17 дней назад

      Amini kwny unacho amini

    • @amosking_
      @amosking_ 17 дней назад

      UNAJITAFUTIA LAANA WEWE

    • @LovenessWaibe
      @LovenessWaibe 17 дней назад

      Bangi zako zutakupeleka pabaya boya wewe,na hayo yote ni makasiriko unaleta kw sababu ya umaskini wako