Ushauri wangu Kwa watu mnaochanya ushabiki uliozidi Na kutukana watumishi Wa Mungu... Mchungaji anasema anachoona rohoni...Kwa kiburi chako, unafikiri sadaka ndio inayomfanya mtu kuwa mchungaji... Kazi ya injili ni Zaidi ya sadaka yako.
Wew acha ukuma kama hujui mpira nyamaz tu manake huna point Ina maana Simba ilikua inashambuliwa ndo ikapewa penat au ilikua ikishambulia acha ushabiki wakishamba
Simba akichezeshwa kawaida hashiki hata nafasi ya pili ni timu ya kawaida sana, sema TFF na marefa wake wanataka waiaminishe nchi na wanasimba kuwa simba ni bora😂 Lkn mm naona wangewapa tu simba kombe lao mapema😆
Kuna wakati mnatukana wa watumishi na kubeza bila sababu ya maana. Mara Simba kabebwa, hivi jana hamkuona matukio ya kapombe na mchezaji wa JKT kushika? Mbona hamsemi Bacca alifunga goli la mkono?
Ushauri wangu Kwa watu mnaochanya ushabiki uliozidi Na kutukana watumishi Wa Mungu... Mchungaji anasema anachoona rohoni...Kwa kiburi chako, unafikiri sadaka ndio inayomfanya mtu kuwa mchungaji... Kazi ya injili ni Zaidi ya sadaka yako.
Nakataa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth. Amen.
Asante sana baba yetu wewe ni mchungaji bora
Mtu mischief mungu akbar iki endlea kutujaza Baraka acha mashetani waendelee kukubeza. Sisi maombi yako yanazidi kutumiminikia
Ateba umemuombea vibaya hujamgusa macho
I reserve the testimony
Wana yanga bado hamjasema mtajambajamba simba tuna songa tu.
Amen
Amina 🙏🙏
Nikwer watabeba ubingwa
Amina
Yanga ana magoli ya penati mengi 😂😂
Kitu ambacho hamkifahamu kwa huyu mchungaj. Aisee huyu jamaa mimi nilisoma naye O-level. Alikua anapiga ball balaaa. Alikua bonge la midfielder isipime. So ball lipo damuni.
Simba wakibanwa tu,lazima watafutiwe penati😮😮
Ile ni penati alali kabisa ,,na sisi wachezaji wetu wapambane mpaka atua ya mwisho
Tatizo watu wa yanga hamga akili, hata Sheria za mpira hamzijui
Dunia imekwisha
Simba na yanga,nani ana goli nyingi za penati,😅😅😅
Simba
Kwa mwenendo huu wa kubebwa na marefa asee Simba bingwa 😅
Wanabebwa kuliko goli la mkono asalaleeee nyani haoni kundule dawa imeingia 😢😅
Penalty vs Dodoma,goli la 4 vs Dodoma au ushabiki na makasiriko😂
Wew acha ukuma kama hujui mpira nyamaz tu manake huna point Ina maana Simba ilikua inashambuliwa ndo ikapewa penat au ilikua ikishambulia acha ushabiki wakishamba
HAKUNA MAHALI AMESEMA SIMBA ITAKUWA BINGWA MBONA?
Hilo 😢😢😢wewe ni tapeli tu,hujui lolote,unataka sadaka uwaiber😅😅
Aliepewa na mungu kapewa mbona usiwe wewe
Kwani umelazimishwa?
Tapeli aliyefanya Dube wenyu kuanza kufunga enh!!!😂😂😂
Mungu akusamehe bure
Wapi kwenye hii clip kasema Simba atakuwa bingwa?
Afadhali umenisaidia😂nimesikiliz mpk mwisho na umbèa wangu lkn sijapata ikabid niingie kwa comment
Hata Mimi sijaona
aise
Simba akichezeshwa kawaida hashiki hata nafasi ya pili ni timu ya kawaida sana, sema TFF na marefa wake wanataka waiaminishe nchi na wanasimba kuwa simba ni bora😂
Lkn mm naona wangewapa tu simba kombe lao mapema😆
Kwani hamjui maana ya ubaya ubwela?
@NeymaTarimo-uk1zw kweli ubaya ubwela aisee😆😆
Kuna wakati mnatukana wa watumishi na kubeza bila sababu ya maana. Mara Simba kabebwa, hivi jana hamkuona matukio ya kapombe na mchezaji wa JKT kushika? Mbona hamsemi Bacca alifunga goli la mkono?
Mmmmmh ila waandishi wapi kasema simba bingwa imebidi nifuatilie kiripu yote watu mna tafuta views kupitia huyu mtumishi
waandishi fake wapi kasema simba bingwa?
Wachungaji wa kileo tena kama hawa ni wajinga sana yaani wanaendana na Dunia kuliko kuendana na Mungu atakavyo,,,,
Aisee umeniogopesha sana na simba walivobebwa Leo ndo nimeamini kabisa. Mchungaji hata kama bingwa anamjua asimtaje
We mandazi kweli, unajua maana ya kubebwa au ili mradi umeandka tu
Juha Kabebwa Nan Sio nyie mnafunga kwa mikono
😂😂 TABORA HUYO.
Nivizuli tukizungunza kimichezo na sio mihemko ya timu frani ilikua penati kweli tuwe wazi tu
Acha mihemko wewe , mpira ujui unaropoka tu
Hakuna hiyo kitu
@kisigino wachungaji siyo wajinga ila watu ndo wamekuwa wajinga sana.
Maana wanadanganywa kilahisi sana
Tapeli huyo mchungaji,msitoe sadaka anataka awataeli
Sadaka hatuachi kutoa mbaka kieleweke, ni wivu tu
Tapeli ni baba yako tu